VITUKO VYA MJINI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2020
- Filamu ya komedi vituko vya mjini utapeli wa kingwendu @swahiliwood @BongoCinematv @millardayoTZA @SwahiliFairyTales @allmovies8606@SimuliziNaSauti @bongofive @BongoBDMovies Bongo TV @TBC_Online @Wasafi_Media @CLOUDSMEDIA
Siku hizi game uko chini Sana kingwendu jaribu movie za ustarabu achana na comedy ..... Ulikuwa kitambo
Kitambo kweli
Rapp inalipa kweli
Dah bongo tumetoka mbali sana kutoka mashuka kuuzwa elfu nne mia tano hadi elfu thelathini bei za cku hizi , dah Maisha ya zamani yalikuwa cheap sana aiseh😆.
Dah kitambo sana, imenikumbusha mbali, hapo 8.30,namuona mwanangu mwenyewe Ali, kwenye shuka hapo. From 🇰🇪 .
😂😂😂😂kingwendu nakupenda sana Cecilia from kenya 🇰🇪🇰🇪huwa kuvunja mbavu
Mtoto kipotabu mtume roho yangu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 kingwendu 🤣🤣
Shukran kwa kuleta movie za bongo za kitambo nilikuwa nazitafuta sana maana harddisk yangu ilicorrupt zikafutika zote
Mambo super sio diesel,Kingwendu wa zamani alikuwa ni zaid ya comedy yenyewe 😆.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kingwendu 🤣🤣🤣🇰🇪🇰🇪
Hahahahahah this is my favourite one nilikuwa naitafuta 😂😂😂😂😂😂 Jamani old is gold
Please part 2 and 3
Kingwendu mutume roho yang
Safi bisa
Tutalewa tuanguke mpaka tuangukiwe 🤣🤣🤣🤣🤣🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
good movie
Umetisha mzee baba
Kingwendu kamezea mate hela za wenyewe 🤣🤣🤣🤣😜🤣🤣
VITU vyako vyote 🤣🤣🤣🤣🤣🇹🇿🇹🇿 watanzania na Kiswahili. Vitu vingine vimebaki 🤣🤣🤣🤣🤣
👍