Mrembo avunja UKIMYA "DIAMOND kanigombanisha na HAMISA MOBETTO/Kanuna/ANISAMEHE naomba"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 7

  • @vickykapama8386
    @vickykapama8386 5 หลายเดือนก่อน +6

    Huyu binti anahitaji sana kujiweka na MWENYENZI MUNGU KTK IBADA., ili ageuze TABIA YK YA KUCHANGANYA MAADUI. PRISCA UNACHOTAKIWA NI KUELEWA KUWA TAMAA YK ITAKUFIKISHA KWENYE MAUTI😢🙄

  • @fetty_sarah__
    @fetty_sarah__ 5 หลายเดือนก่อน

    Sasa aliomba msamaha wa nini kama hajui kosa? Kuna tatizo mahali hapaa

  • @adelinabaitu3291
    @adelinabaitu3291 5 หลายเดือนก่อน

    Inaonyesha kuna shida

  • @Mohaa4309
    @Mohaa4309 5 หลายเดือนก่อน

    Elezea vizur ww, kwann waficha ficha

  • @NadiaNdayisaba-k8c
    @NadiaNdayisaba-k8c 5 หลายเดือนก่อน +1

    Akili ni Mali nimemaliza 😅

  • @swalehehamza9636
    @swalehehamza9636 5 หลายเดือนก่อน +1

    Uyo miss ana udugu na mzee wa utopolo? Yule shabiki wa yanga😂😂

  • @SofiaAticki
    @SofiaAticki 5 หลายเดือนก่อน

    Mnafiki huyo alimwambia hamisa mtoto sio wadai