KUNGWI DUME sehemu ya 26

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2024
  • "KUNGWI kakupa mzungu huujui maana yake mfate akakwambie maana ili uondokane na usungo, Siku zote mwanamke mazingira jambo la kwanza ni kujipenda na ndio maana ya pambo la nyumba"

ความคิดเห็น • 115

  • @user-gi4jo5ib6l
    @user-gi4jo5ib6l หลายเดือนก่อน +11

    Nakupata sana Kaka kungwi ongera kwakazi yako nzr il ulikuwa umekawiy mauwa yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @marywairimu5682
    @marywairimu5682 หลายเดือนก่อน +17

    Team strong mpo 😂 saudia 🇸🇦 am watching

  • @MwanakomboChakwe
    @MwanakomboChakwe หลายเดือนก่อน +4

    Lkn wanawake wengine akiamungu Mungu anawaona, mtu umeolewa lkn unamuongopea mwanaume wa watu, Subhanallah. Mungu atusamehe kwa kweli

    • @munamamaj9622
      @munamamaj9622 22 วันที่ผ่านมา

      Yaani ananikera mm huyu binti na atakuja kujuta sikufichi

  • @Ummy-cr9nf
    @Ummy-cr9nf หลายเดือนก่อน +6

    Napendaa snaa nijifunz meng ntakwita unifunde

  • @user-ki8yk9hd2z
    @user-ki8yk9hd2z หลายเดือนก่อน +4

    Allah azidi kutupa maisha marefu kungwi dume tunakupenda mno naangalia nikiwa 🇴🇲🇴🇲 na napata mafunzo makubwa kupitia kungwi dume

  • @user-de2de5fd2v
    @user-de2de5fd2v หลายเดือนก่อน +16

    Like zangu kungwi tulikumiss na kukusubir san

  • @firdaousally
    @firdaousally หลายเดือนก่อน +1

    Jamani siku chache tu naolewa asante Sana ibrah mungu akulinde na ukizidishie zaidi ya apoooo❤❤❤ nashkuru Sana tena sana

  • @JamesNyandwi
    @JamesNyandwi 24 วันที่ผ่านมา +1

    Naina iko imala hii nimeipenda Sana arahan James bright

  • @BimkubwaThabit
    @BimkubwaThabit 12 วันที่ผ่านมา

    Yan hee najifunza mengi nyie😊
    Nkupenda kungwi

  • @MufarijinamugunguMungura
    @MufarijinamugunguMungura หลายเดือนก่อน +1

    Hamujambo mukuwu napedasana aiseee nimimufariji naishicongo😂❤❤❤🤝🙋🙋🙋🤝

  • @user-vg2sh8pb3y
    @user-vg2sh8pb3y หลายเดือนก่อน +2

    Mwari bado anaendelea na ugego.wake ama kweli mwali kanishinda tabia 😂😂😂🎉🎉🎉 kazu nzuri.sana mafundishi nayapata nikiwa Mombasa Kenya

  • @OmbeniMwasile-n7j
    @OmbeniMwasile-n7j 14 วันที่ผ่านมา

    Nakupend San kungwi unanifuza meng

  • @AzminaMuhaji
    @AzminaMuhaji 18 วันที่ผ่านมา

    Mashallah nimejifuna kitu kaka asante

  • @mwanajumamapambo2017
    @mwanajumamapambo2017 หลายเดือนก่อน +2

    Umetueka sana kungwi dume.binafsi nilimiss mafundisho yako😊

  • @FurahaElikana
    @FurahaElikana หลายเดือนก่อน +2

    Hongera sana kungwi wangu, nakukubali mnoo.

  • @Christineedelase-vl8bi
    @Christineedelase-vl8bi หลายเดือนก่อน +2

    kungwi dume nakupenda kwa mafuz ako be blessed

  • @user-ez2ps2qq4h
    @user-ez2ps2qq4h หลายเดือนก่อน +3

    Wapi wale wa kungwi dume🎉🎉🎉🎉🎉😊

  • @user-mn7pf8iv7e
    @user-mn7pf8iv7e หลายเดือนก่อน +4

    Asante kwaelimu Ila apo kweny miski ndio pabaya MIM chukuchuku kidogo wanitowe kizaz jmn wanawake wenzang msitumi chochote kweny k zenu mtakuja kunishikuru

    • @MozaFoum-yg9he
      @MozaFoum-yg9he หลายเดือนก่อน

      Kwl kbs

    • @Mima-theboss
      @Mima-theboss หลายเดือนก่อน

      Mhh tuelekezeni jaman tunaotaman kutumia unamaana siyo nzuri au inakuwaje

    • @princessmakwega2444
      @princessmakwega2444 หลายเดือนก่อน

      ​@@Mima-thebosssiyo nzuri usiitumie ina mazala ila mazala yake utayaona baadae

    • @Mima-theboss
      @Mima-theboss หลายเดือนก่อน

      @@princessmakwega2444 sawa mumy Asante kwa ushauri

    • @munamamaj9622
      @munamamaj9622 22 วันที่ผ่านมา

      Mm siwezi weka kitu kwa k yangu kuiosha tu vizuri inabana haitokwi na majimaji

  • @PuritySalama-yv6to
    @PuritySalama-yv6to หลายเดือนก่อน +2

    Hauna bay kungwi najifunz mwanz iyo misk nitaipata wpi😅

  • @munamamaj9622
    @munamamaj9622 22 วันที่ผ่านมา

    Anakera sana huyu mwali yaani mume anampenda anajitia kisrani ehe je akirudi kwa Thabit akute mwenyewe kashaowa au hamtaki tena atafanyaje mpuuzi sana

  • @bibiruthmasanja
    @bibiruthmasanja หลายเดือนก่อน +2

    Nimejifunza ktu asante kungwi

  • @user-sd7ms7wf9t
    @user-sd7ms7wf9t หลายเดือนก่อน +2

    Wa inne like zangu kungwi tume ku miss sana karibu tena

  • @NtirampebaNoella-rp1vm
    @NtirampebaNoella-rp1vm หลายเดือนก่อน

    Jamani kungwii nafurahi sana kupata mafunzo yako❤❤
    Nakufatiriya kutoka Burundi🇧🇮

  • @halimaali3719
    @halimaali3719 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani mimi siwezi kabisa sijui kwanini walai😂

  • @user-ie4tf5es2o
    @user-ie4tf5es2o 15 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah Asante broo

  • @user-py5sn3sx2h
    @user-py5sn3sx2h 21 วันที่ผ่านมา

    Wanawake 😢😢😢tunayoyafanya sio mnzuri

  • @zawadismaili144
    @zawadismaili144 หลายเดือนก่อน +2

    Yaan tumesubri hadi tumesahau 😢❤🎉🎉

  • @bashirhalima-v4q
    @bashirhalima-v4q หลายเดือนก่อน

    Mashallah ibra thedon kazi nzur hongera❤❤ much love from kenya

  • @MinahShaban-jj9rd
    @MinahShaban-jj9rd หลายเดือนก่อน +2

    Ahsante kungwi dume kwakuniamini😂😂

  • @VeronicaRugoyi
    @VeronicaRugoyi หลายเดือนก่อน

    Boss wangu anamatenge kama yote hana vitambaa😂😂😂😂😂nimejifunza kitu❤

  • @user-mb9dv9os2k
    @user-mb9dv9os2k หลายเดือนก่อน

    pa1 sana kaka Ibrah Allah akuhifadhi

  • @zuhurahussein4738
    @zuhurahussein4738 หลายเดือนก่อน

    Masha'Allah hii imekuwa moto sana. Shukran kwa mafunzo yako🇰🇪

  • @Asmini-xp5ld
    @Asmini-xp5ld หลายเดือนก่อน

    Asante kak man ningekupat kabla cijaolew jamn ningeinjoy samhn hay mafut yanaitwaje na yanapatikan maduk gn

  • @SaidaSaida-ub4ez
    @SaidaSaida-ub4ez หลายเดือนก่อน

    Tulikusubiri kaka Angu nakupenda Sana ❤❤❤

  • @MamyPeter-dg6wz
    @MamyPeter-dg6wz 4 วันที่ผ่านมา

    nimekupata san kaka kw som

  • @SalimoNassoro-il3gb
    @SalimoNassoro-il3gb หลายเดือนก่อน

    Brow vce e muito bom eu gosto muito da sua história só de Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @MwajumaMkojera
    @MwajumaMkojera หลายเดือนก่อน

    Kungwi dume hongera kwamafuzo yako tusaidie no zako jamani tunahitaji msada wako

  • @MoniqueIrakose
    @MoniqueIrakose หลายเดือนก่อน

    Jamani nakukubali mwalimu wangu

  • @user-ep3sj2td4p
    @user-ep3sj2td4p หลายเดือนก่อน

    Unachelewesha sana broo!! Mpk tunasahau tulipo ishia yani

  • @nurumwinyi796
    @nurumwinyi796 หลายเดือนก่อน +2

    Ama kweli kwenye miti hakuna wajenzi,wwe mma kijacho utakuja kujuta....umepata mume mwenye mapenzi ya dhati na uruma

    • @Farithun
      @Farithun หลายเดือนก่อน

      Nikweli na nahisi huyu rafiki ataolewa na huyu kijana

    • @nurumwinyi796
      @nurumwinyi796 หลายเดือนก่อน

      @@Farithun bora iwe hivyo,yye asema wa nni,wenzake wasema watampata lini

    • @Farithun
      @Farithun หลายเดือนก่อน

      @@nurumwinyi796 kabsa 👌👌👌👌

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh หลายเดือนก่อน

      ​@@Farithun
      Na mimi ndivo ninavofikiria maana kama anamtoa kwenye reli kama ana choyo na hayo maisha mazuri anayoishi😂😂

    • @nurumwinyi796
      @nurumwinyi796 หลายเดือนก่อน

      Asante sana

  • @LeylaMgaya-og5mm
    @LeylaMgaya-og5mm หลายเดือนก่อน

    Kungwi mafunzo mazuri hongera

  • @user-gd6kt9hu3t
    @user-gd6kt9hu3t หลายเดือนก่อน

    Tumekumis sanaa kungwi dume

  • @user-su5oi5wb6c
    @user-su5oi5wb6c หลายเดือนก่อน

    Sijaelewa hapo kwa hicho kichupa kidogo haya mafuta yanaitwaje kungwi

  • @fatumakushonda4277
    @fatumakushonda4277 หลายเดือนก่อน

    Tumekumiss kungwi unachelewesha Sana taa 😢nliuliza swali lng kujanijibu pia dah 😳😢

  • @blueskytz9960
    @blueskytz9960 หลายเดือนก่อน

    Waoo very Nice advice

  • @rizikaCharo-kn7se
    @rizikaCharo-kn7se หลายเดือนก่อน

    Asante kungwi kwa mafunzo yako

  • @user-vc3fy9fb8p
    @user-vc3fy9fb8p หลายเดือนก่อน

    Much love❤❤

  • @SifaWangyaShabani-nt5ww
    @SifaWangyaShabani-nt5ww หลายเดือนก่อน

    Nakukubali sana kweli

  • @PapyKakonge
    @PapyKakonge หลายเดือนก่อน

    Kungwi dume uyo

  • @VicentYohana-ye5ln
    @VicentYohana-ye5ln หลายเดือนก่อน

    Atuchezi mbali sana

  • @user-de2de5fd2v
    @user-de2de5fd2v หลายเดือนก่อน

    Naizubir kwa ham mie🎉

  • @queenlinda255
    @queenlinda255 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Naweza pata namba yako kungwi

  • @FaridaMousa-xy2rk
    @FaridaMousa-xy2rk หลายเดือนก่อน

    Asante kwa mafunzo❤

  • @user-ee8lj9yl9e
    @user-ee8lj9yl9e หลายเดือนก่อน

    Hv kungwi uyo mkeo anaifyonza na kuimungunya au sie tu nd tunafyonza za shabab zetu

  • @hawaa341
    @hawaa341 หลายเดือนก่อน

    Naisubia kwa hamu unakaa kimya sana

  • @user-yt5ki8dk6b
    @user-yt5ki8dk6b หลายเดือนก่อน

    Unatueka sana bwana

  • @user-td2yx1dj2o
    @user-td2yx1dj2o หลายเดือนก่อน

    jomn tumekumc Sana maan cio kwa ukmy huo

  • @user-ot9kh7vk1x
    @user-ot9kh7vk1x หลายเดือนก่อน

    Naisubiri kwa hamu

  • @MamaNino-q5c
    @MamaNino-q5c หลายเดือนก่อน

    Leo nimewahi jmn nimekuwa wa 11 nipeni like zangu

  • @rehemachedi6615
    @rehemachedi6615 หลายเดือนก่อน

    Mash Allah 😂😢

  • @RabiaJuma-tf3im
    @RabiaJuma-tf3im หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤

  • @ramadhanmnembuka1408
    @ramadhanmnembuka1408 หลายเดือนก่อน

    Kaka tulimic

  • @MwanamisiMwamakalo
    @MwanamisiMwamakalo หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤

  • @princessmakwega2444
    @princessmakwega2444 หลายเดือนก่อน

    Kugwi tulikumisi ulikua wapi jamani kalibu tena

  • @QueenEriste-w6n
    @QueenEriste-w6n หลายเดือนก่อน

    Jmn wa 6 Leo mapema

  • @SakinaHassani-xm7ti
    @SakinaHassani-xm7ti หลายเดือนก่อน

    🔥🔥

  • @PendoLeonardi
    @PendoLeonardi หลายเดือนก่อน

    Jamani m nataka kujua hayo mafuta aliyosema yanaongeza joto yanaitwaje😀

    • @aishajuma18
      @aishajuma18 หลายเดือนก่อน

      Miski nyeupe

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh หลายเดือนก่อน

      Ukitia kwenye shimo ya k hiyo utakuja kunitafuta inawaka moto kabla hujatia jipake pajani kutest zari

    • @aishajuma18
      @aishajuma18 หลายเดือนก่อน

      @@FatimaAli-of4gh 😂😂😂😂lakin si inatibu kweli

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh หลายเดือนก่อน

      @@aishajuma18
      Haitibu chochote wanadanganyana tu
      Ngoja nikipe dawa chukua karanga mbichi zioshe kisha chemsha kunywa yale maji yake kwa siku 7 kila siku fanya hivyo napendelea sana kutafuna karanga mbichi utakuja kuniambia nipo Uingereza

    • @aishajuma18
      @aishajuma18 หลายเดือนก่อน

      @@FatimaAli-of4gh Asante sana my🙏

  • @SAFARIWTB
    @SAFARIWTB หลายเดือนก่อน

  • @SaidaSaida-ub4ez
    @SaidaSaida-ub4ez หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤

  • @user-eu4pk3eh5d
    @user-eu4pk3eh5d หลายเดือนก่อน

    Tuwekee link ya group lako Ibrahim

  • @FatmaBakar-up7jv
    @FatmaBakar-up7jv หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉❤

  • @user-fq2sg6yy7y
    @user-fq2sg6yy7y หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @ZenaMustapha-tj8yn
    @ZenaMustapha-tj8yn หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @mwajumasaid7306
    @mwajumasaid7306 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉

  • @SalmaSaid-jb5zq
    @SalmaSaid-jb5zq หลายเดือนก่อน +1

    Asante kungwi umenifmbua macho man mm nilkuw nawek maj mot ktk jagi la mfuniko ynapoa kwa hrak sas nitawek ktk chupa Asante

  • @sinangoarashid504
    @sinangoarashid504 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉😂

  • @ZainabuYahya-fu1zc
    @ZainabuYahya-fu1zc หลายเดือนก่อน

    Kungwi mix nyeupe inaitwa ivo ivo? Na yanapatikan maduk ya asil?

    • @Missah
      @Missah หลายเดือนก่อน +1

      Dear usij ukawek hiy mix sehem za siri

  • @zainabusabas7421
    @zainabusabas7421 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ZuberiJuma-v5n
    @ZuberiJuma-v5n หลายเดือนก่อน

    Kungwi wiski wengine hatujui

  • @SleepyHoneyBadger-ec8vu
    @SleepyHoneyBadger-ec8vu หลายเดือนก่อน

    Sasa kaka kama Bado ni bikra kwenye kusafisha ni lazima kuingiza vidolee wakt wa kuosha

    • @mahmoodalghefeili5370
      @mahmoodalghefeili5370 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kam ni bikra uchafu kwenye k unaletwa na nin?

  • @ElizeSindano-g4k
    @ElizeSindano-g4k หลายเดือนก่อน

    Kungwi iyo misk nitaipata wapi

    • @rahmaoman470
      @rahmaoman470 หลายเดือนก่อน

      Madurai zipo kipenz ila tuu uwe mkin kuna misk za aina mbili kuna hiyo na kuwekea kweny uke na kuna nyengine haziwekwi huko

  • @dhahabukatana3996
    @dhahabukatana3996 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤