ANAYE MDANGANYA ANAKOSEA SANA/ HII NDIO SABABU NAWEKA WAZI..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 57

  • @khmissalum3881
    @khmissalum3881 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wewe mzee njaaa sanaaaa

    • @nyavunitv12
      @nyavunitv12  11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Duuuuuuhhhh

  • @flaxbeatman
    @flaxbeatman 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    mzee asikilizwe jamani 🎉🎉

  • @HamisiRamadhani-p2d
    @HamisiRamadhani-p2d 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nilichogundua Mimi waandishi wote hawana pakupata chanzo Cha habari ndio maana wanaa gaika na huyo mlevi asiye na pakukaa

    • @nyavunitv12
      @nyavunitv12  14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sio kweli tunafuata pale tunapoona kuna habari

    • @danielmboje8751
      @danielmboje8751 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Siyo mlevi anajua chakufanya,wewe mdharau,hatuna Cha kuvuna bila kumsikiliza alishaishika yanga huyu.

  • @longinomartin6062
    @longinomartin6062 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Huyu bwana kwani yeye anashindwa Nini kwenda na wazee wengine wakaonana rais wakampa mawazo hakuna kiongozi yeyeto hataki maendeleo ya timu-

    • @nyavunitv12
      @nyavunitv12  14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Duuuuuuhhhh

  • @LucasRuben-x1t
    @LucasRuben-x1t 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mwanzo walimuona mjinga saiz wameanza kujigawa wapo walianza kumsapot japo hawaonekani saiz huyo hayupo pekeake

    • @nyavunitv12
      @nyavunitv12  8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Duuuuuuhhhh

  • @marcobulili4341
    @marcobulili4341 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Michezo msiihusishe na ushirikina! Mwenyezi MUNGU mi muweza ya yote.

    • @nyavunitv12
      @nyavunitv12  18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Kweli Kaka tatizo Africa tuna amini mambo ambayo ya hovyo

  • @dahelahmad6331
    @dahelahmad6331 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyo Sio Mzee ñi kijana basi tu kaamua

    • @nyavunitv12
      @nyavunitv12  13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Duuuuuuhhhh

  • @saidimkombe9842
    @saidimkombe9842 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nakweli kapata drooo

  • @philipomkinga4708
    @philipomkinga4708 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mwamba Mzee Magoma

    • @nyavunitv12
      @nyavunitv12  14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Aaaaaaahhhhh

  • @josephngwega7398
    @josephngwega7398 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Njaa fc huyu mzee

  • @JafariNahimba
    @JafariNahimba 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Achananae hana uchungu na yanga nadhani ana tafuta kufahamika inatosha tunamfahamu

    • @nyavunitv12
      @nyavunitv12  12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😳😳😳😳

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyo Tundu Magoma mnafiki hana lolote njaa inamsumbua alishazoea kuchota maganda watu wameshitukia ndio maana analalama. Mtangazaji kama unabisha mwambiye akuoneshe risti za ada ya Yanga alizotoa zamani kama anazo kwanza huyo Pan Africa asikudanganye huyo mzushi tu mimi namjuwa

  • @ShabanMohamed-e9l
    @ShabanMohamed-e9l 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu jamaa mna mbeza ila haya mambo yapo acheni matusi kaeni nae

    • @nyavunitv12
      @nyavunitv12  14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kweli

  • @linuslusian-d5w
    @linuslusian-d5w 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    uyu Mzee yuko sawa kabisa kwanini yanga wasimpe kazi pale jangwani

    • @nyavunitv12
      @nyavunitv12  14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Asikilizwe

  • @PascalPatrick-k7n
    @PascalPatrick-k7n 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Magoma siumpige kolojuani enginear

    • @nyavunitv12
      @nyavunitv12  14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😳😳😳🔨

  • @HamisiRamadhani-p2d
    @HamisiRamadhani-p2d 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Na kama huyo mlevi anauchungu na yanga Kwa nini asiende ofisi za yanga pale wapo viongozi wote, na sio vichocholoni

    • @maclaudismail6606
      @maclaudismail6606 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Thubutuu atakula magongo ya kutosha sana paka huyu

  • @msabahaissa6201
    @msabahaissa6201 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu mzee magoma alikuwa kwenye kamati ya kuirogea Yanga,sasa hawamjali ndiyo maana

    • @nyavunitv12
      @nyavunitv12  14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Duuuuuuhhhh

  • @msabahaissa6201
    @msabahaissa6201 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nimeamini Yanga wanategemea uchawi kwenye mpira msikilize huyu mzee magoma

    • @nyavunitv12
      @nyavunitv12  14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Duuuuuuhhhh

  • @SylvesterAmbokile-ur2vd
    @SylvesterAmbokile-ur2vd 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wazee hawa wanatafuta ulaji tuu

    • @nyavunitv12
      @nyavunitv12  18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Magoma anaela sana

  • @azamsp0rtshd2kiangi3
    @azamsp0rtshd2kiangi3 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mzee tulikua na azizi pakome dey sasa maga tukupeechi gani wewe na utujakikishie ushindi tuone unayosema nikweli Kisha utasema hayo ili watu wakuini

    • @nyavunitv12
      @nyavunitv12  12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Acha tuangalie kurjuani kama itakua imefanya kazi

  • @AllyMasangaluka-bm5ib
    @AllyMasangaluka-bm5ib 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Magoma walipe posho wachezaji

    • @nyavunitv12
      @nyavunitv12  19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Duuuuuuhhhh

  • @ismailngulingar2133
    @ismailngulingar2133 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mmmmh mzee magoma ninakushauri kitu kimoja yanga ni ya wote na kila kizazi kina wakati wake Sasa wakati wako wewe ndani ya yanga umepita huu ni wakati wa eng. na kundi lake Sasa usilazimishe lazima na wewe uwepo kwa vile ni mtu mzima wa zamani ndani ya yanga je wale wazee wote walioitumikia yanga wakitaka waabudiwe je itakuaje magoma kaa pembeni kama wazee wengine usilazimishe lazima na wewe huwepo asante

    • @nyavunitv12
      @nyavunitv12  14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Duuuuuuhhhh

  • @musamongy4291
    @musamongy4291 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    KW an I wewe yanga niyakwako bass mbona wewe tuu ndounalalamika

  • @RashidShidhani-h4q
    @RashidShidhani-h4q 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwani wachezaji wamekushtakia wewe kama hawalipwi posho zao

    • @nyavunitv12
      @nyavunitv12  8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mmmmmmmhhh

  • @simonndunguru1629
    @simonndunguru1629 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyo ni Mnafiki anatumwa. Wakati tunachanga kwenye mabakuli alijificha hata senti tano hakutoa
    Ni tapeli huyo sio Mwanachama wa YANGA huyo

    • @nyavunitv12
      @nyavunitv12  19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mbona anasema yeye ni mwenyekiti mwenza wa yanga?

    • @MrishoMindu-zq7mz
      @MrishoMindu-zq7mz 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wewe ndio mnafiki. Mngoni na Yanga wapi na wapi? Huyu Mz kwanza ni mwanachama hai na wa muda mrefu. Pili huyu ni mtu wa pwani Hizi Timu asili yake waanzilishi wake ni Wazaramo na Wandengereko walio kua Makuli Bandari salama. Huyu Mz aheshimiwe kwa umri wake na sio kumdhihaki kisa ushabiki wa kukurupuka.

    • @simonndunguru1629
      @simonndunguru1629 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @MrishoMindu-zq7mz . Kama hujui uliza Wangoni Ndio Wanachama wa kwanza YANGA. Ulizia Wazee Akina Mandawa. Je unaifahamu asili ya Baba yetu Rip Karume?
      Wewe katoto kadogo umevunja ungo kwa kubakwa
      Magoma hamfahamu Rip Mzee Mandawa hata historia ya ofisi ya Jangwani. Wewe katoto na Magoma ni matapeli. Aliwadhurumu ndugu zake mirathi

    • @MrishoMindu-zq7mz
      @MrishoMindu-zq7mz 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@simonndunguru1629 Rudi kwa kungwi wako akufunde vzr jinsi ya kumuhudumia Mume sio bwana. Acha kujishika Matako utatoka na Mavi. Wangoni walikua shamba huko wana kunywa Comoni na kulima Mahindi hata mjini walikua hawajafika. Baada ya vita ya maji maji hao wazee wako waliomba uanachama kwa Waanzilishi Wa hv vilabu Mzaramo na Mndengereko na Wa Matumbi. Wengine walikuja kujifichia ili kutafuta uhuru. Hizi Club zilianzishwa kama club za watu sehem za kupotezea muda kucheza Bao keram karata wakati wana subiri muda wa kwenda mskitini. Mz Magoma unaye mdhihaki ni Mzaramo Aliuza Nyumba ya Urithi kitundu cha duara wewe huyu kwao Magomeni Makuti Mt Somanga hadi kesho Nyumba yao ipo aliuza Nyumba aliyo Kupangishia? Mtoto wa kike acha kujilegeza. Bar zina changanya jioni Jiandae Uingie kazini.

  • @papaaNdama
    @papaaNdama 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huna lolote wewe ni nani mbona unawatisha watu hivi unajiona kama nani dunia hii

    • @nyavunitv12
      @nyavunitv12  14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Duuuuuuhhhh

  • @papaaNdama
    @papaaNdama 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kinachokusumbua ni dhiki na njaa uliyonayo laiti ungekuwa na mipango kazi yako usingehangaika na yanga kila siku nenda zako

    • @nyavunitv12
      @nyavunitv12  14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Anaela

  • @thomasasseri9512
    @thomasasseri9512 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ajijazie mwenyewe upepo awe na Mali nyingi,huo upepo unajazwa kwa Yanga tu😂😂😂😂😂😂 Mwandishi unapoteza muda wako.

    • @nyavunitv12
      @nyavunitv12  19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Duuuuuuhhhh

    • @hakimundabila7940
      @hakimundabila7940 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@nyavunitv12Mbona unamfuatilia? Nadhani wewe ndo unapoteza muda