- 536
- 670 354
NYAVUNI TV
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 27 ก.ค. 2022
NYAVUNI TV: KWA HABARI, MICHEZO NA BURUDANI.
HAKUNA KILICHO BADILIKA KULI ATABAKI KUA KULI TU/ YANGA KAZI YAKE MIZIGO TU...
HAKUNA KILICHO BADILIKA KULI ATABAKI KUA KULI TU/ YANGA KAZI YAKE MIZIGO TU...
มุมมอง: 100
วีดีโอ
TP MAZEMBE IKIWA INAFANYA IBADA KANISANI..
มุมมอง 422 ชั่วโมงที่ผ่านมา
TP MAZEMBE IKIWA INAFANYA IBADA KANISANI..
MZEE wa KILINGE:HALI SIO SHWARI SIJAONA KITU/ NAONA MATOKEO MAGUMU KILINGE KINAONA GIZA MECHI HII..
มุมมอง 1.1K2 ชั่วโมงที่ผ่านมา
MZEE wa KILINGE:HALI SIO SHWARI SIJAONA KITU/ NAONA MATOKEO MAGUMU KILINGE KINAONA GIZA MECHI HII..
ANAYE MDANGANYA ANAKOSEA SANA/ HII NDIO SABABU NAWEKA WAZI..
มุมมอง 7K4 ชั่วโมงที่ผ่านมา
ANAYE MDANGANYA ANAKOSEA SANA/ HII NDIO SABABU NAWEKA WAZI..
MZEE wa KILINGE KAMA ANAJUA ZA MBELE SISI TUNAJUA ZA NYUMA/ANATAKA KUFA MZEE MAGOMA....
มุมมอง 14K7 ชั่วโมงที่ผ่านมา
MZEE wa KILINGE KAMA ANAJUA ZA MBELE SISI TUNAJUA ZA NYUMA/ANATAKA KUFA MZEE MAGOMA....
KERO ZA WAKAZI WA ULONGONI NA GONGO LAMBOTO JIJINI DARE ES SALAAM..
มุมมอง 799 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#kasimumajaliwa#cloudzmedia#wasafimedia #wasafitv#itv
JUMA MAGOMA:YANGA AFRICANS NIYA WANACHAMA NA MASHABIKI SIO YA HERSI SAID.!!
มุมมอง 10K9 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#babalevo#yangaafricans#cloudzmedia#sports#allykamwe#harmonize
MZEE wa KILINGE MASHABIKI WA MPIRA HAWANA HUVUMILIVU...
มุมมอง 2.3K12 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#babalevo#yangaafricans#cloudzmedia#harmonize#allykiba#allykamwe#ahmedally..
RAMOVIC NITAKWENDA NA WACHEZAJI WENYE UTAYARI SINTO ANGALIA JINA..
มุมมอง 68421 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#babalevo#yangaafricans#cloudzmedia#sports#simbasportsclub#mbwanduke#ahmedally#allykiba#crowntv#azamtv
EXCLUSIVE: ZUWENAPLATNUMZ AVUNJA UKIMYA YALIYO JIFICHA..
มุมมอง 127วันที่ผ่านมา
#babalevo#diamondplatnumz#mbossokhan#allikiba#cloudzmedia#wasafimedia#zuchu#itv#mwijaku#dottomagari#
MWANASHERIA AJITOKEZA HAKUNA SHERIA INASEMA HIVYO...
มุมมอง 10Kวันที่ผ่านมา
MWANASHERIA AJITOKEZA HAKUNA SHERIA INASEMA HIVYO...
MCHOME WAKATI MWINGINE TUONGEE UKWELI TU/ ATULINGANI NAO...
มุมมอง 86814 วันที่ผ่านมา
MCHOME WAKATI MWINGINE TUONGEE UKWELI TU/ ATULINGANI NAO...
MAMBO YAFICHUKA KILIONEKANA KWA MKAPA!!
มุมมอง 3K14 วันที่ผ่านมา
MAMBO YAFICHUKA KILIONEKANA KWA MKAPA!!
ENG HERSI SAID AFUNGUKA TUMPE MUDA TU/ MECHI TATU TUMERUHUSU GOLI -6!!
มุมมอง 35214 วันที่ผ่านมา
ENG HERSI SAID AFUNGUKA TUMPE MUDA TU/ MECHI TATU TUMERUHUSU GOLI -6!!
KWELI JAMANI NAWEKA WAPI SURA YANGU..!?
มุมมอง 2614 วันที่ผ่านมา
KWELI JAMANI NAWEKA WAPI SURA YANGU..!?
KOCHA HUYU HANA MFUMO HATA AKIPEWA MBINU HANA/ GAMONDI ALIFUKUZWA TATIZO NINI...?
มุมมอง 21314 วันที่ผ่านมา
KOCHA HUYU HANA MFUMO HATA AKIPEWA MBINU HANA/ GAMONDI ALIFUKUZWA TATIZO NINI...?
MALAIKA wa SIMBA ASHAMBULIWA NA WANAYANGA..!!
มุมมอง 18814 วันที่ผ่านมา
MALAIKA wa SIMBA ASHAMBULIWA NA WANAYANGA..!!
WANAYANGA UGOMVI WENYEWE KWA WENYEWE..
มุมมอง 95114 วันที่ผ่านมา
WANAYANGA UGOMVI WENYEWE KWA WENYEWE..
SHETANI WA YANGA AKIIOMBEA YANGA AFRICANS/ MCHOME ATOA DONGO..
มุมมอง 32214 วันที่ผ่านมา
SHETANI WA YANGA AKIIOMBEA YANGA AFRICANS/ MCHOME ATOA DONGO..
🔴LIVE: KWA MKAPA LEO YANGA VS AL HILAL..
มุมมอง 4314 วันที่ผ่านมา
🔴LIVE: KWA MKAPA LEO YANGA VS AL HILAL..
MIGUEL GAMONDI RASMI KUVAA VIATU VYA ALIEKUA KOCHA MKUU PATRICK AUSSEMS SINGIDA BLACKSTARS..
มุมมอง 2.3K14 วันที่ผ่านมา
MIGUEL GAMONDI RASMI KUVAA VIATU VYA ALIEKUA KOCHA MKUU PATRICK AUSSEMS SINGIDA BLACKSTARS..
AL HILAL: LAZIMA APIGWE HAPA MZEE wa KILINGE NIMESHAONA/ MAMA SAMIA KAINGIA..
มุมมอง 2K14 วันที่ผ่านมา
AL HILAL: LAZIMA APIGWE HAPA MZEE wa KILINGE NIMESHAONA/ MAMA SAMIA KAINGIA..
MZEE wa KILINGE: AFICHUA SIRI KUMBE ALIKUA ANAFANYA MCHEZO MCHAFU....
มุมมอง 7K14 วันที่ผ่านมา
MZEE wa KILINGE: AFICHUA SIRI KUMBE ALIKUA ANAFANYA MCHEZO MCHAFU....
WALITUONEA WAKAUNGANA SASA WATAKOMA....
มุมมอง 69914 วันที่ผ่านมา
WALITUONEA WAKAUNGANA SASA WATAKOMA....
WILLIAM SIMBA: APIGWA NA WANAYANGA...
มุมมอง 47421 วันที่ผ่านมา
WILLIAM SIMBA: APIGWA NA WANAYANGA...
SHABIKI wa SIMBA: TUNATAKA TUMKANYE/TUNAFAHAMU GSM KAFANYA NINI PAMBA.. FC..
มุมมอง 56821 วันที่ผ่านมา
SHABIKI wa SIMBA: TUNATAKA TUMKANYE/TUNAFAHAMU GSM KAFANYA NINI PAMBA.. FC..
SIMBA NA YANGA SIO JAMBO LA KUFUMBIA MACHO..!!
มุมมอง 34621 วันที่ผ่านมา
SIMBA NA YANGA SIO JAMBO LA KUFUMBIA MACHO..!!
NDONYA: UZI WA YANGA NIMEUKUBALI SANA/SIMBA BADO KUNAMAPUNGUFU ..
มุมมอง 28021 วันที่ผ่านมา
NDONYA: UZI WA YANGA NIMEUKUBALI SANA/SIMBA BADO KUNAMAPUNGUFU ..
HAWA SHABIKI wa SIMBA:NAMTAKA MUDATHIRI NAMPENDA SANA ..
มุมมอง 74521 วันที่ผ่านมา
HAWA SHABIKI wa SIMBA:NAMTAKA MUDATHIRI NAMPENDA SANA ..
Mishavu mikubwa zeee ovyoooooo
Kama wewe ni mshirikina utmuunga mkono Magoma,huyu hana jipya ni njaa inamsumbua,kwanini huyo kurjuani hakumuwezesha kushinda kesi?
Lakin mnafatilia Magoma na mnakumbuka alichosema
Upo vizuri uyo siyo Mungu wakumnyenyekeya peleka ujinga wake Wakuogopewa Allah peke yake asitishe watu Mzeer juso kubwa
Duuuuuuhhhh
Nakweli kapata drooo
Kurjuani imefanya kazi
Sasa hamja shinda mmesale tune kuchukua chetu
Kurjuani kwel daaaaahhh
Magoma tumalizana nae
Kweli
Mech ijayo mazembe tuwapeleke zanzibar hao waarabu huko mc ager
Ombeeni mc Alger afungwe
Mwanzo walimuona mjinga saiz wameanza kujigawa wapo walianza kumsapot japo hawaonekani saiz huyo hayupo pekeake
Duuuuuuhhhh
Kwani wachezaji wamekushtakia wewe kama hawalipwi posho zao
Mmmmmmmhhh
Wewe mzee njaaa sanaaaa
Duuuuuuhhhh
Njaa fc huyu mzee
Achananae hana uchungu na yanga nadhani ana tafuta kufahamika inatosha tunamfahamu
😳😳😳😳
Mzee tulikua na azizi pakome dey sasa maga tukupeechi gani wewe na utujakikishie ushindi tuone unayosema nikweli Kisha utasema hayo ili watu wakuini
Acha tuangalie kurjuani kama itakua imefanya kazi
Jamani nakuombeni. Nendeni kaongeeni acheni. Ubishi huyo mtu namjua. Sana
😳😳😳🔨
Mzee wakilinge iwe hivyo kaka yani tumeshikiriya roho
Kumbe daaaaahhh
Safi sana
Duuuuuuhhhh
Tanga 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kwani yeye mungu huyo magoma ende akanye uko
😳😳
Huyo Sio Mzee ñi kijana basi tu kaamua
Duuuuuuhhhh
Huyo Tundu Magoma mnafiki hana lolote njaa inamsumbua alishazoea kuchota maganda watu wameshitukia ndio maana analalama. Mtangazaji kama unabisha mwambiye akuoneshe risti za ada ya Yanga alizotoa zamani kama anazo kwanza huyo Pan Africa asikudanganye huyo mzushi tu mimi namjuwa
Mwamba Mzee Magoma
Aaaaaaahhhhh
uyu Mzee yuko sawa kabisa kwanini yanga wasimpe kazi pale jangwani
Asikilizwe
Mmmmh mzee magoma ninakushauri kitu kimoja yanga ni ya wote na kila kizazi kina wakati wake Sasa wakati wako wewe ndani ya yanga umepita huu ni wakati wa eng. na kundi lake Sasa usilazimishe lazima na wewe uwepo kwa vile ni mtu mzima wa zamani ndani ya yanga je wale wazee wote walioitumikia yanga wakitaka waabudiwe je itakuaje magoma kaa pembeni kama wazee wengine usilazimishe lazima na wewe huwepo asante
Duuuuuuhhhh
Huyu mzee magoma alikuwa kwenye kamati ya kuirogea Yanga,sasa hawamjali ndiyo maana
Duuuuuuhhhh
Nimeamini Yanga wanategemea uchawi kwenye mpira msikilize huyu mzee magoma
Duuuuuuhhhh
Yaah,it is wizard
Magoma siumpige kolojuani enginear
😳😳😳🔨
Na kama huyo mlevi anauchungu na yanga Kwa nini asiende ofisi za yanga pale wapo viongozi wote, na sio vichocholoni
Thubutuu atakula magongo ya kutosha sana paka huyu
Nilichogundua Mimi waandishi wote hawana pakupata chanzo Cha habari ndio maana wanaa gaika na huyo mlevi asiye na pakukaa
Sio kweli tunafuata pale tunapoona kuna habari
Siyo mlevi anajua chakufanya,wewe mdharau,hatuna Cha kuvuna bila kumsikiliza alishaishika yanga huyu.
Huyu jamaa mna mbeza ila haya mambo yapo acheni matusi kaeni nae
Kweli
Kinachokusumbua ni dhiki na njaa uliyonayo laiti ungekuwa na mipango kazi yako usingehangaika na yanga kila siku nenda zako
Anaela
Huna lolote wewe ni nani mbona unawatisha watu hivi unajiona kama nani dunia hii
Duuuuuuhhhh
mzee asikilizwe jamani 🎉🎉
KW an I wewe yanga niyakwako bass mbona wewe tuu ndounalalamika
Tunachotaka matokeo, tuache maneno dakika 90 ziongee. hakuna wa kuomba msamaha, lakini yanga inapiga mark time, sababu ni maamuzi magumu yanafanywa na watu wawili au wanne. suala la kocha Gamondi wanayanga wote walikuwa hawajui lolote. suala la starehe za kipuuzi ni la viongozi wote na baadhi ya wachezaji upo ushahidi wa viongozi kushirikisha wachezaji ktk matembezi.
Huyu bwana kwani yeye anashindwa Nini kwenda na wazee wengine wakaonana rais wakampa mawazo hakuna kiongozi yeyeto hataki maendeleo ya timu-
Duuuuuuhhhh
Huyu mzee KENGE TU JANA PIRA JERMAN LIMEPIGWA TUMESAWAZISHA NA DUBE KAFUNGA GOLI MUHIMU. NA YEYE ALISEMA YANGA INAFUNGWA NDO MWISHO WAO SASA WE MWANDISHI MFUATE HUYO KENGE ASEME TENA UJINGA WAKE YEYE SIYO MUNGU SISI TUNAMUOMBA MUNGU MUUMBA ALIEMUUMBA YEYE PIA. WAMBIE WAANZISHE TIMU YAO KAMA ANA WAFADHILI WAANZISHE KAMA PAN WALIVOFANYA NA KOCHA WAMCHUKUE GAMONDI. ATI POSHO YAANI HOJA ZA KIJINGA YAANI GSM ANAFADHILI TIMU ASHINDWE KUTOA POSHO KWELI INAINGIA AKILINI.
Laana itawapata kwa kumtukana mzee magoma huyo ni mzee amewazd umri na hekima na busara,
Duuuuuuhhhh
Wazee hawa wanatafuta ulaji tuu
Magoma anaela sana
Michezo msiihusishe na ushirikina! Mwenyezi MUNGU mi muweza ya yote.
Kweli Kaka tatizo Africa tuna amini mambo ambayo ya hovyo
We mtangazaji mjinga sana. Hivi unaamini Kuna mtu mmoja ana uwezo wa kuiyumbisha rimu ya mpira kwa njia za kiza? Wacheni ujinga.
Huyo ni Mnafiki anatumwa. Wakati tunachanga kwenye mabakuli alijificha hata senti tano hakutoa Ni tapeli huyo sio Mwanachama wa YANGA huyo
Mbona anasema yeye ni mwenyekiti mwenza wa yanga?
Wewe ndio mnafiki. Mngoni na Yanga wapi na wapi? Huyu Mz kwanza ni mwanachama hai na wa muda mrefu. Pili huyu ni mtu wa pwani Hizi Timu asili yake waanzilishi wake ni Wazaramo na Wandengereko walio kua Makuli Bandari salama. Huyu Mz aheshimiwe kwa umri wake na sio kumdhihaki kisa ushabiki wa kukurupuka.
@MrishoMindu-zq7mz . Kama hujui uliza Wangoni Ndio Wanachama wa kwanza YANGA. Ulizia Wazee Akina Mandawa. Je unaifahamu asili ya Baba yetu Rip Karume? Wewe katoto kadogo umevunja ungo kwa kubakwa Magoma hamfahamu Rip Mzee Mandawa hata historia ya ofisi ya Jangwani. Wewe katoto na Magoma ni matapeli. Aliwadhurumu ndugu zake mirathi
@@simonndunguru1629 Rudi kwa kungwi wako akufunde vzr jinsi ya kumuhudumia Mume sio bwana. Acha kujishika Matako utatoka na Mavi. Wangoni walikua shamba huko wana kunywa Comoni na kulima Mahindi hata mjini walikua hawajafika. Baada ya vita ya maji maji hao wazee wako waliomba uanachama kwa Waanzilishi Wa hv vilabu Mzaramo na Mndengereko na Wa Matumbi. Wengine walikuja kujifichia ili kutafuta uhuru. Hizi Club zilianzishwa kama club za watu sehem za kupotezea muda kucheza Bao keram karata wakati wana subiri muda wa kwenda mskitini. Mz Magoma unaye mdhihaki ni Mzaramo Aliuza Nyumba ya Urithi kitundu cha duara wewe huyu kwao Magomeni Makuti Mt Somanga hadi kesho Nyumba yao ipo aliuza Nyumba aliyo Kupangishia? Mtoto wa kike acha kujilegeza. Bar zina changanya jioni Jiandae Uingie kazini.
Weingekua mchawi usingeokita makopo kengewe
Magoma walipe posho wachezaji
Duuuuuuhhhh
Ajijazie mwenyewe upepo awe na Mali nyingi,huo upepo unajazwa kwa Yanga tu😂😂😂😂😂😂 Mwandishi unapoteza muda wako.
Duuuuuuhhhh
@@nyavunitv12Mbona unamfuatilia? Nadhani wewe ndo unapoteza muda
Swali kwako,je sasa ivi ikitokea mtanzania ana enda mahakamani kuishitaki simba kwa kuidanganya jamii juu ya mdhamini sandarendi itakuwa sahihi.
Ndio
Magoma nihogatu
Ibenge kawapiga 2 kwa mkapa vipi nayo😂😂
Al hilal kawapiga mbili kwa mkapa nayo je😂😂
Watanzania tukitaka kuendelea tuache kuamini uchawi haupo jamani
Point sana
NYIE MUWE MNAHOJI WATU WANAO JIELEWA KIDOGO
ENDELEENI kumtusi magoma hiko siku mtakuja kukubari maneno yake ....kma mlivyokuwa mnaambiwa timu bovu mizee mingi,migonjwa.mingi mlibisha lkn sasa.mnaanza.kukubar.twendeni tuu tutafika...na mtanyoosha mikono huu kwa magoma......!!!!!&#£@😂😅😂😂😂😮
Tunamnyooshea mikono Mungu tu siyo huyo unayemtaja hapa