Kitu ambacho nimependa ni kuwa pesa ni ndogo sana na imeonyeshwa jinsi gani yanga walivyo wawazi kuhusu kutotaka kujifanya wanaonyesha malaki mbele ya kamera badala yake wameonyesha kile kile kilichochangwa na mashabiki nmependa sana na pia hakuna zawad ndogo hata ongekua shilingi mia,,ahsante sana kwa kuridhika na zawad maana ni kubwa sana ndan ya moyo
Maoni yangu tuu yanga hatutaki wachezaji kama chama tegemezi kibu ni fighter ila itabidi tumuongezee skills na dube wanahitaji more skills ,kuna wafingaji wa mana ndani ya bongo kama tunataka tukuze majina ya wachezaji,ushamba ndio umetuzidi..na mishahara watoto wa jangwani.tukiacha team work ,tuendene na skill's na talent.sina mengi wengine tushacheza mpira.
Manshaallah wananchi wanaupendo na professor pacome
Kitu ambacho nimependa ni kuwa pesa ni ndogo sana na imeonyeshwa jinsi gani yanga walivyo wawazi kuhusu kutotaka kujifanya wanaonyesha malaki mbele ya kamera badala yake wameonyesha kile kile kilichochangwa na mashabiki nmependa sana na pia hakuna zawad ndogo hata ongekua shilingi mia,,ahsante sana kwa kuridhika na zawad maana ni kubwa sana ndan ya moyo
Hi
Inatia moyo kwa wachezaji wetu mungu ni mwema
Jamaniiii
Our own Doctor Khalid Aucho na yeye tumfanyie jambo 💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚
Haswaa, ana mchango mkubwa sana kwenye timu ni vile haonekan kwa sababu hafungi
❤❤❤❤❤ komaaaa
Kweli kabisaa
Jambo zuri kabisaa
Good idea
MUNGU ni mwema safari njema kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana Yanga
Pacome nakuombea Sanaa maisha marefu
Wanayanga wenzangu moyo wetu huu uendelee
Hii nzuri sana hii Wananchi,,, kidogo chetu ❤
Merci aussi pacome et tous les joueurs
Nawakubali sana wanangu wote
Alhamndulilah Allah awajaalie afya wachezaji wetu na azidishie uwezo ufaham na upendo kwwnye timu yetu Inshaallah
Huyu jamaa wangekua na Mayele yaaan tungeinjoy mpaka basi🎉🎉🎉
Kuna watu wangehama nchi
Nakubal Xan Mchango Wa Pacome Na Wachezaj Wengine Wanavojituma Kwa Ajili Ya Nembo Ya Yanga Africans 💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛
Jamaa anaonekana Humble sana
Merci aussi professer Pacome
Hapo sawa sasa, naomba like zangu
0:00 💕💕💕💕💕💕💕💕 0:00
Hivi likes zinauzwa?
❤
Vizuri mashabiki kumjali na kumpa pesa pacome pesa anafanya vizuri. Pacome oyeeeee💚💚🙌🏾
Yanga hi raaa adi naisi kisukali🎉🎉🎉 alli kamwe 🎉🎉 pacome
Safi kabisa wananchi😊
Daaah mungu ainariki yanga daimaa daimaaaa
Nakukubal xna,,tunahtaji wachezaj kma Hawa timu inapotaka kufa wao wanaifufua game
Naipenda sana Yanga card ninayo bado jersey ilosainiwa na Pacome tu
Lazima nakupende pacome zouzoua naomba like yangu 🎉🎉🎉🎉
PACOME ZOUZOUA ✊
DAIMA MBELE NYUMA MWIKO💛💚
Asa mwiko nyuma unafanya nin¿
@@samuelhuzibado hujasema
Pacome you the best player in Africa good man
Safi sana pacome
Hii imeeenda Wananchiiiiii iiiiiiiiiiiih ⚽💚💛🌟💪🔥🔝⚽
Wachezaji kama hawa tulikuwa tunawasikia tu kwenye timu za ulaya, sasa inshalla tunao. Ama kweli mpira wa bongo umekua.
Our professor pacome 😊
Nzuriiiiii
Over over nawapata kutoka Tokyo Japan❤
Safii sana kumbe yangu mnaelenda mkiwa mbari
Pacome 🎉🎉🎉
Asante wananchi kwa upendo,hiyo zawadi ndg itamfaa kijana kwenda fanyia usafi nywele,c haba
Acha dharau umesikia Hana Hela ya kusafixhia nywele.
Semaji letuu hilo 🎉🎉❤
😂Tunawapenda akii tena
💛💛💛💛💛💛💛💚💚💚💚💚💚💚💚 daim mbel nyuma mwik
Chama mda umeenda sana asije akatuharibia timu yetu km simba imemshinda atafute pakwenda na sio kwa wananchi ...
Pacome ukitaka mke wa pili Mimi nipo🤸🤸🤸
Uyu mwamba kweli kweli
Pekeang ndo nimeelewa haha😂😂😂😂😂kuna vyenye ametuambia tunakupenda sanaaaa na ahsante kushukuru
Hapo sawa msemaj la Caf
safi professa♥️👌🇯🇲
Hahahahah kibwana ana matatizo nimeipenda hiyo😅😅😅
❤❤❤😂😂😂yanga raha sana
Siku nyingine kma mnamchangia pacomee zouzoua au aucho na diarra mniambie namm nichangie
Iyo nimeipenda😂
Yanga 🎉🎉🎉
Minina 1000 hapa analipataje
daaaar namkubali sana pacome
Pacomeeeee🔥🔥🔥🔥
Professor
Pacome mtu hatareee sanaaa
Courage pacome meilleur joueur
Kibwana ana matatizo
Akika hii ndo yanga
Lazima kibwana awe na tatzo c unajua vijitu vfipi😂😂😂
Pacom daima mbele nyuma mwiko
❤❤❤❤ good 👍👍👍
😂😂😂😂 sio Kwa kuhesabu huko jm
Unajua Mpira sana
Daima mbele nyuma nwiko
Mercy Bukù
Very interesting 😂😂😂💚💛💪
Nipo kusuni nachungwea Aly kamwe na viongozi tunaomba mkija huku kwaniaba ya mchezo zudi ya namungo mupitie nachingwea tuna zawadi za pacome❤❤❤❤
We mmakonde andika vizuri usinitie aibu
Daima mbele nyuma mwiko
Jamaa mtaalamu
Cograts Pacomr
Khalid Aucho mpambanaji wetu hebu mfanyieni kitu fulani postivu plz
💚💛💚yangaaa
Congratulations brother
Wananchiii 💥💥💥💥
Mbona jamaa kabonga kiswahili et kibwana ana matatizo
Chama hatakiwi kwa wananchi aende timu nyingine atatuaribia
Kumbe anafaa kwa matumiz kabxa, mwambien niko single
Ni upendo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Huyu kibwana ana shida gani ety😂😂😂😂
The tanzanian zidane
Naomba namba yake😂😂
Ally kamwe iyoo hela hawakuchanga wananchi peke yao walikuepo mpaka mashabiki wa simba
Walitumwa 😂😂
Kwahiyo😅😅😅
❤❤❤❤ Yanga
Maoni yangu tuu yanga hatutaki wachezaji kama chama tegemezi kibu ni fighter ila itabidi tumuongezee skills na dube wanahitaji more skills ,kuna wafingaji wa mana ndani ya bongo kama tunataka tukuze majina ya wachezaji,ushamba ndio umetuzidi..na mishahara watoto wa jangwani.tukiacha team work ,tuendene na skill's na talent.sina mengi wengine tushacheza mpira.
Nice
😅😅iyo hamsini nilitoa mm😅😅
Nipeni na namba ya Yao Yao nifanye muamala na yeye pale Baki ni mutu na nusu😂
Motooo
Yanga bingwa😂😂😂
Yaan yanga mchezaji hatakama hachezi kwa mapenz basi watafanya mishe mishe ili aipende timu yao is good
Exactly passion is very important
Pacome🎉🎉
Professor zouzoua
safi
Nice one
Pacome ilov
Lako mnafanya video
Khalidi aucho naye jamami
Kher kubwa
Ise nimependa san kuuona uhalisia kiukwer mmefanya pow
hapo kwenye kutranslate umeotea tuu😅😅😅
Wachezaji wazikuipa furaha wananchi
Ali kakosea bhana uyph jamaa ana hazi kubwa
Eti Kibwana matatizo, Pacome ameanza kujua kiswahili 😂😂
🎉🎉🎉