SHOW YA DIAMOND ZNZ: Amuongelea Zari na Dongo la Insta jukwaani kwa dakika 2

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2017
  • Mwimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz jana usiku alifanya show Zanzibar kwenye uwanja wa Amaan ambapo pamoja na kuimba nyimbo zake, alimuongelea kwa dakika 2 Mama watoto wake Zari na jinsi kuzaa na Hamisa kulivyomtesa.

ความคิดเห็น • 415

  • @ckukuu8404
    @ckukuu8404 6 ปีที่แล้ว +2

    Asikwambie mtu mond uko level ingne alafu sauti yako unique sana..mi nikiskiaga nyimbo zako tu naskia zagusa mpka moyoni no 1 fun am dying kuattend show yako japo moja...+254 Mombasa

  • @ckukuu8404
    @ckukuu8404 6 ปีที่แล้ว +2

    Ya da best kwa performance achana na wale wakulaza ukumbi...i wish niattend show yako moja aki...+254 Mombasa

  • @suleimanmussa3201
    @suleimanmussa3201 6 ปีที่แล้ว +9

    safisana simbaaaaaa pamoja nnjoo tena znz kwa maranyingi zaidi tunakukaribisha

  • @foscakblessed3648
    @foscakblessed3648 6 ปีที่แล้ว +3

    Zari is your energy together you're incredible...check this show is what we expected in Uganda

  • @davidorito1707
    @davidorito1707 6 ปีที่แล้ว +7

    Show ilikuwa Nzuri sna. Nimependa cna

  • @sammabula7359
    @sammabula7359 6 ปีที่แล้ว

    Wow nimependa sana iyo part wazanzibari wanaimba

  • @kedmonmalima7245
    @kedmonmalima7245 6 ปีที่แล้ว +3

    Leo umekuwa wewe, show ya Marekani ulipooza sana dogo. Ila sababu bibie huko pembeni, nilikushauri good you are together now. Achana na mapenzi ya mtandaoni! That Ugandan girl is your star!

  • @ashabby7344
    @ashabby7344 6 ปีที่แล้ว +1

    lovely daimon,uko,juu

  • @princegabytv7251
    @princegabytv7251 6 ปีที่แล้ว +2

    big up simba ...... ! yote yatabaki story tu...!

  • @maryhenry606
    @maryhenry606 6 ปีที่แล้ว +1

    Zari hallelujah ua an angel 😇 dear so lovely mhhhh una nyota dada

  • @minaabdul3034
    @minaabdul3034 6 ปีที่แล้ว +10

    Mond unatisha ww si wanchi hii hatar nakupenda 2 bure yani

  • @christinebelinda3498
    @christinebelinda3498 6 ปีที่แล้ว +5

    dance style iko👌👌👌👌

  • @princesslady-n5987
    @princesslady-n5987 6 ปีที่แล้ว

    Wow lovely song Diamond

  • @sheilatezura5652
    @sheilatezura5652 6 ปีที่แล้ว +7

    Simbaaaa. Usiachane na zari.

  • @manning979
    @manning979 6 ปีที่แล้ว +2

    hapo ni balaa sana dai chapa kazi achana na midomo ya watu wauweeee

  • @eliuthamangula1791
    @eliuthamangula1791 6 ปีที่แล้ว

    So creative plutnumz

  • @evaevance5932
    @evaevance5932 6 ปีที่แล้ว

    pole sana hamisa poleeeeeeee👌👌👌😀😀😀😀😀

  • @zeinabsalehe8937
    @zeinabsalehe8937 6 ปีที่แล้ว +21

    kweli kaka uliteleza bahati mbaya kila binadamu inamkuta iyo love you so much kaka dai

  • @ummimohammed1856
    @ummimohammed1856 6 ปีที่แล้ว +1

    Salam zao wanojinganganiza wanaziniwa miaka tisa .ujanja kupata bibi kuwahi hakuna mana na ujana wake kaachwa solemba bwana anamtambisha malkia wake hofu hanaaaa.....vijana jitambieni wenyewe...

  • @priscaoriko5526
    @priscaoriko5526 6 ปีที่แล้ว +11

    zari jivunie kitu kwamba diamond is on your side ni raha kupendwa na mmeo n raha ata akija kuwa upande wa hamisa n kwajir ya mtoto kwaiyo hamisa kaz unayo kujibebisha diamond hakupend miaka tisa asingenda uganda kuowa wakat uko tz angekuwa anakupenda angekuwa ndan kaz unayo angalia maisha yako na watoto wako