Ng'wana Kang'wa -Harusi ya Holo Video

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 25

  • @gkanyanda1173
    @gkanyanda1173 10 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe ni hatati ....hongeraa sana nakupata nikiwa bujumbula brdi...wabeja sana ntemi.

  • @Dottohubert-gx3eu
    @Dottohubert-gx3eu 4 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu akawe na ww kilaa hatua Dua kk naona ulikuwaa usagali wilaya ya uyui kama cjakosea karibu sana Wilaya Ya Nzega kk mungu akutanguliee 💐💐💐💐💐🙏🙏🙏

  • @ABELMAGESA
    @ABELMAGESA 4 หลายเดือนก่อน +3

    Burudani ya hii nyimbo nzuri kutoka Kwa ng'wana kang'wa tunaipata tukiwa dar es salaam kinondoni na ndugu zangu wakina doto ng'wana sawaka na paschal mayunga na mungu akubariki sana ndugu yetu uendelee kuupeleka mbali zaidi mziki wa asili kutoka Kanda ya ziwa,👏👏👏

  • @patrickkapisha628
    @patrickkapisha628 4 หลายเดือนก่อน +3

    Ntuzzu umechelewa sana

    • @thentuzumusic
      @thentuzumusic 4 หลายเดือนก่อน

      Kweli Leo umeniwahi

  • @EmmanuelKalelanda
    @EmmanuelKalelanda 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera sn kaka nyimbo ni nzr sn mungu akupe maarifa zaidi

  • @daudkutokaarushanawapatavi6518
    @daudkutokaarushanawapatavi6518 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupata vizur ndugu yangu kutoka Zanzibar kila la khery ndugu yangu fundi san wewe

  • @teddydotto7137
    @teddydotto7137 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana boss

  • @HelanaThomas
    @HelanaThomas 7 วันที่ผ่านมา

    Nyimbo zako ni zr wabeja sana

  • @ibrahimbaraka5262
    @ibrahimbaraka5262 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nakukubari ma blaza ukovizuli❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @LeticiaEmmanuelCliff
    @LeticiaEmmanuelCliff 21 วันที่ผ่านมา

    Napenda sana nyimbo zako nakupata nikiwa Arusha

  • @thentuzumusic
    @thentuzumusic 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kaz zr kaka

  • @yumbujackson869
    @yumbujackson869 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hari sana❤

  • @MahiziJohn-t5l
    @MahiziJohn-t5l 22 วันที่ผ่านมา

    Asante kwakazi nzuri

  • @LeticiaEmmanuelCliff
    @LeticiaEmmanuelCliff 21 วันที่ผ่านมา

    Napenda Sana nyimbo zako

  • @erickbingwa831
    @erickbingwa831 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ukabheje li kaya

  • @IsackKija
    @IsackKija 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ulisiza ong'wa nganundo tulaga shunguli fedu

  • @EzekieliNicolaus
    @EzekieliNicolaus 3 หลายเดือนก่อน +1

    Dar saw

  • @Director_Kitindi_Complete
    @Director_Kitindi_Complete 4 หลายเดือนก่อน +1

    Good

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 25 วันที่ผ่านมา

    Sauti ipo vzuri

  • @HelanaThomas
    @HelanaThomas 7 วันที่ผ่านมา

    Mambo vp

  • @selestinepius3562
    @selestinepius3562 17 วันที่ผ่านมา

    Natamani kujua kisukuma ili niwe nakusikiliza

  • @LeticiaEmmanuelCliff
    @LeticiaEmmanuelCliff 21 วันที่ผ่านมา

    Napenda Sana nyimbo zako

  • @LeticiaEmmanuelCliff
    @LeticiaEmmanuelCliff 21 วันที่ผ่านมา

    Napenda Sana nyimbo zako