Momie ukifikisha miaka 45 kwenda juu unapaswa kubadili mfumo wa vyakula mfano kuacha kabisa kula mayai maana yana protini nyingi hivyo husababisha ongezeko la uzito wa mwili ambao husababisha uchovu wa mwili ambao ndio chanzo cha tatizo la disc za mgongo na hata maumivu ya magoti.
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
Mama Love kungwi , nakupenda, nafuta mafundisho yako, mazuri inajenga unyumba, naishi Canada- Calgary, Asante sana
Mashallah jamani huyu aunt nampenda sana nikija dar inshallah lazima nimuone ❤️🇰🇪
Mimi pia sitaki kabisa kwenda kuishi nje ya nchi labda kwa kutembea sio kuishi!Naipenda nchi yangu Tanzania!
kweli Tanzania kuzuri sanaa
Miguu mingine inanuka
Et milion 6 ungetafuta kiwanja ukajenga chumba nasebule ungejifadhi lakin hicho unacho fanya niupuuz mkubwa
Mashallah mimi na kupenda tu mama kipenzi
Masha Allah good
Kwakweli namuelewa sana huyu mama
Kubwa jinga huyu mama unaishi nyumba ya Kupanga Na kulipa pesa zote hizo umeshindwa kupata Akili ya kujenga🤔wewe hunakitu kubwa jinga😏
Hana akili huyo kubwa kinga ajenge ili watoto wake watapata urithi
Ushilikina anashiliki na ndugu upo mama
Kwa hio kama watu wanakujua Ndio ulipe pesa yote hio Jaman sema umeamua tu
Unakoga masaa mawili af mara sita kwa siku so 12 hours unaspend kwa kukoga ?
Kujenga ndio habari ya mjini bibi we we hahaaaaa kupanga hata panya wanapanga....
Hichi kipindi ndiyo kina mfaa Gabii.
MamaLove sichokagi kumsikiliza
Mama mtu mzima siri zako tmezijuwa .mama huna haya wala aibu unatafuta umaarufu.
Momie ukifikisha miaka 45 kwenda juu unapaswa kubadili mfumo wa vyakula mfano kuacha kabisa kula mayai maana yana protini nyingi hivyo husababisha ongezeko la uzito wa mwili ambao husababisha uchovu wa mwili ambao ndio chanzo cha tatizo la disc za mgongo na hata maumivu ya magoti.
Sasa jmn kodi million 6 kwa mwaka ndo imesimama mbona mm wakawaida na kodi kwa mwaka million 7
Masaaa 2 unaoga mara sita umeupiga mwingi
Mayai mbona yamekatika-katika 😮😮
Namm nd naon yamekatik ayo mapishi tu hayapo😂😂
Ni skirt na blouse 😂
Ilala mna raha jmn😄jumba lote ilo laki 5 kwa mwezi
Yaani wa sis London uwe tajiri 😹😹
Gabi uwe una vaa hivi sikutuvalia vibukta vya jinz vyenye maua ya green yani na manishaa uwe unavaa long si kuvaa kama homeless thug😏
Sasa mama unakoga mara sita masaa mawili hio siku imeishia bafuni😩
😂