REV. DR. ELIONA KIMARO: TUMRUDIE MUNGU KWA MIOYO YETU YOTE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 26 ม.ค. 2025
- KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA JUMATANO YA MAJIVU 14. 02. 2024.
UJUMBE WA LEO: "TUMRUDIE MUNGU KWA MIOYO YETU YOTE
Yoeli 2 : 12 - 14
12 Lakini hata sasa, asema Bwana, nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote, na kwa kufunga, na kwa kulia, na kwa kuombolea;
13 rarueni mioyo yenu, wala si mavazi yenu, mkamrudie Bwana, Mungu wenu; kwa maana yeye ndiye mwenye neema, amejaa huruma; si mwepesi wa hasira, ni mwingi wa rehema, naye hughairi mabaya.
14 N'nani ajuaye kwamba hatarudi na kugeuka, na kutuachia baraka nyuma yake, naam, sadaka ya unga, na sadaka ya kinywaji, kwa Bwana, Mungu wenu?
Mhubiri: Rev. Dr, Eliona Kimaro
Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
Merci bcq mon pasteur
Nanunganisha na ibada hii kweli nimepokea uponyaji moyo wangu nimekabidi kwa Bwana.. na maumivu yangu nimeyajialia moyo wangu uko huru kumtumainia Mungu pekee na kufanya mapezi yake.. be blessed Man of God nakuzikiza nikiwa saudia
Najiungamanisha na ibada hii mbele ya madhabahu ya bwana,nikiomba msamaha na kufanya Toba ya kweli kwangu mimi na familia yangu yote🙏 yesu wa msalaba aliesema yote yamekwisha amalize na udhaifu wetu wote,tuanze maisha mapya
Amen Mchungaji kwa mafundisho mazuri kabisa. Mungu wa mbinguni atusaidie tuliishi neno la Mungu na kwa unyenyekevu.
Powerful message here. Happy Lent Season.
❤❤
Naomba maombi kwa ajili ya watoto wangu mume wangu uchumi wangu pia naomba uongozi wa mungu kwa maisha yangu yote tumrudie mungu wetu na damu ya yesu itufunike
Aminaaaaa mchg KimaroMungu akubariki sana babaangu, unanibariki Sana,Mungu akutunze na familia Yako yote
Ameni Mch Mungu akubariki ,azidi kukupa hekima na maarifa.
Amina Baba najikuta nalia kwa uchungu tu nimetapeliwa Haki yangu 😭😭😭😭
Amina Mtumishi nabarikiwa na maubiri yako❤
Najiunga nawe na ninakuja kwa Imani hapo mbele ya altere kwenye madhabahu hii ya Kijitonyama kufanya Toba kwa ajili yangu. Watoto wangu, Kaka zangu na familia ya na ukoo wa Mume wangu Ernest Lyimo. Mungu atuhurumie na kutusamehe.
Naomba kujiungamanisha kwenye ibada hii Mimi na watoto wangu na mume wangu na family yangu yote tumrudie mungu wetu ktk jina la yesu Amina
Tunabarikiwa sana
Umenipa nguvu ya kuachilia yote ninaimani sasa
Nikumbuke kwenye maombi ya kufunguliwa. Ubarikiwe mchungaji
améen dr eliona kimaro 🙏🙏🙏
Amen
Niombee na Mimi pamoja na uzao wangu wote
Wee Kimaro wewe !!