Zelensky aapa kulipiza kisasi kwa URUSI baada ya watu 31 kuuawa ikiwemo shambulio kwenye hospitali

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 113

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 2 หลายเดือนก่อน +12

    Hatupendi kuona watoto wanauawa popote lakini Dunia ndiyo imeamua tufike hapa. Sitailaumu Rashia ila nalilaumu Shirika la Umoja wa Mataifa U N, kwasababu maafa yaliyo tokea Ukraine hayako tofauti na Yale yanayo tokea Palestina na watoto walio fariki Ukraine ni sawa tu na wale walio fariki Palestina. Mungu zilaze roho za watoto wote wanao fariki kwa vita Duniani. Amina Amina

  • @VexMaizoOfficial
    @VexMaizoOfficial 3 หลายเดือนก่อน +7

    🧭🤳 wakwanza Leo...😭😭😭 inasikitisha sana hii hali 😭😭 nawapata nikiwa Msumbiji 🇲🇿 Mkoan wa Cabo Delgado mjini Pemba CarioCa ❤️❤️

  • @SarhaSaid
    @SarhaSaid 3 หลายเดือนก่อน +11

    Yani yeye kilasiku yuko zialani zelensk 🙌

  • @fadhilisule
    @fadhilisule 2 หลายเดือนก่อน +4

    Hiyo ni hospital sawa lakini lilikuwa ni genge la wajeda wa magharibi hapo waliweka kambi mrusi mafia sana aisee

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 3 หลายเดือนก่อน +15

    Walikufa watu zaidi ya 200 pale Urusi siku ile waliposhambulia kwenye lile duka la shopping mall!! Moscow. Je waliokufa hawakuwa watu? Zelensky tulia tu, hiyo ni kionjo bado dozi kamili.

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 2 หลายเดือนก่อน

      URUSI WALIKUA kusema ni ISIS na hakuna MKONO WA ukraine sasa sijui unaropoka nini

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mashoga zelensky na wenzake

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 2 หลายเดือนก่อน

      @@Mumewangu shoga baba yako

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@josephwilliam5813ww choko

  • @JacksonMartin-pb2vq
    @JacksonMartin-pb2vq 2 หลายเดือนก่อน +3

    Nice hiyo ni hosp lakini ndio walikuwa wanafikia Askari kutoka mataifa ya ulaya na USA

  • @mugishajoseph8851
    @mugishajoseph8851 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu atusamee

  • @EmanuelMandoo
    @EmanuelMandoo 3 หลายเดือนก่อน +5

    Ziarani tena hela anatoa wapi

  • @RamadhanRamdhan-i2c
    @RamadhanRamdhan-i2c 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yan tunamwinda huyo raisi wa ukrein kombora lake lipo tyr siku zake zinahesabika

  • @fredymwanzi4448
    @fredymwanzi4448 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kama ni Hispitali wanajeshi walifuta nini huko Hospitali??

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche 2 หลายเดือนก่อน +2

    Juzi alipiga bichi uko cremea aliona poa zelesky asilie liie.

  • @TrinaRoman345
    @TrinaRoman345 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mi nampenda putin akixema atalipisa basi sobiria majibu yake 🙌🙌🙌 kasema na hapo badoooo.. samahani mafua yamenikamata leo kwenye kuandika 😂😂😂

  • @RamadhanRamdhan-i2c
    @RamadhanRamdhan-i2c 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sisi kama warusi tutapiga popote pale hamna kenge atazungumza lolote

  • @kimodomusic9760
    @kimodomusic9760 2 หลายเดือนก่อน

    Safi

  • @KhamisBeja
    @KhamisBeja 2 หลายเดือนก่อน +1

    Matokeo ndio hayo yanaanza kutengezwa

  • @WilliamKivugo
    @WilliamKivugo 2 หลายเดือนก่อน +1

    Uongo huo hao watoto hapo wameletwa tuh ili kuteka hisia za watu

    • @mohamedngoshani2067
      @mohamedngoshani2067 2 หลายเดือนก่อน

      Me ckufaham ila we msomi mwanamiz 😂

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 2 หลายเดือนก่อน

    Sad

  • @WadySaidi
    @WadySaidi 2 หลายเดือนก่อน

    Kwani sisi hatujui kama mlificha silaha pale na wanajeshi wa maghalibi pale ndio wamepiga hapo mtajuta safari hii

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 2 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢😢

  • @Nicholaskinyua253
    @Nicholaskinyua253 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ongelaa papa putin

  • @hamisiselemani4927
    @hamisiselemani4927 3 หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana mie natamani iwe zaidi ya hapo

    • @lakasid3860
      @lakasid3860 2 หลายเดือนก่อน +1

      Huwa mnapenda vita ila wakianza pigwa Gaza mnaanza lialia saiv mnafurahia

    • @BenjaminMetanyau
      @BenjaminMetanyau 2 หลายเดือนก่อน

      Hawa akiri hao ndo maana nafurai izilaer ikiwatandika baba zao waarabu🦁​@@lakasid3860

    • @MirajiMbolile
      @MirajiMbolile 2 หลายเดือนก่อน

      Kuna gaza hapo imejadiliwa ? Au ulikua usingizini ? Pole​@@lakasid3860

  • @DibloMajura
    @DibloMajura 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ebwanae

  • @shafiiayoub5779
    @shafiiayoub5779 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hangary inakufuata zeleksi

  • @Elizabeth-gq9kl
    @Elizabeth-gq9kl 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi nalaumu Urusi kwakuvamiya Ukrein

  • @WadySaidi
    @WadySaidi 2 หลายเดือนก่อน

    Ganzi bado aijakutoka ww zelensky usubili itokee yajayo yanafurahisha

  • @WadySaidi
    @WadySaidi 2 หลายเดือนก่อน

    Yani zelensk muongo sanaa

  • @PUTINN365
    @PUTINN365 2 หลายเดือนก่อน

    Yan ukweli wa mambo ni kwamba siyo watoto walificha silaha kwenye jumba la watoto ili zisishambuliwe urusi hawez shambulia watoto

  • @RonjoSalum
    @RonjoSalum 3 หลายเดือนก่อน +3

    Urus piga awo mpaka maji waite mma

    • @charlesboniphace2249
      @charlesboniphace2249 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kabx kama Israel inavofanya palestina iuwe wote mpk wafiristi waseme Israel ni mtoa roho

    • @sadikihamad9770
      @sadikihamad9770 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@charlesboniphace2249Israel mashoga wadhaifu waoga

  • @masudiramadhanimasudi
    @masudiramadhanimasudi 2 หลายเดือนก่อน

    Na bado 😏😏

  • @davidpeter8099
    @davidpeter8099 2 หลายเดือนก่อน

    Yaani mtu anajipiga bomu arafu anaomba msaada wa dunia makisema ione kilichotokea

  • @salehkhamis9994
    @salehkhamis9994 2 หลายเดือนก่อน

    Wamagharibi baadhi ya matukio wanatengeneza picha za uongo kuichafua urusi na hili limegundulika huko mariopol na miji mingne

  • @shuzashadyproduction8438
    @shuzashadyproduction8438 3 หลายเดือนก่อน +2

    SA SI MBISHI

  • @WadySaidi
    @WadySaidi 2 หลายเดือนก่อน

    Tuliona mnajadili ujinga ndio maana tumelipua

  • @msukumamnywamaziwa2785
    @msukumamnywamaziwa2785 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂❤bado cjaona PUTIN/RUSSIA ToA kichapo

    • @raydanfrenk
      @raydanfrenk 2 หลายเดือนก่อน

      Akili zako ni k

  • @MwambaWarusaka
    @MwambaWarusaka 2 หลายเดือนก่อน

    Wa ukrane na warusi wote ni binadam wanastaili kuishi allha awarehem waliofaliki mtu Mbaya hapa ni NATO wakiongozwa na nchi ya marekani cha msingi wakae Mesa moja kijadili hili liishe binafsi inaniuma Mana wanaokufa ni binadam wenye haki ya kuishi

  • @FrolenceSangu
    @FrolenceSangu 2 หลายเดือนก่อน

    Russia uraaa , kwani wew ulipo ua watujuzi pale Russia ulitegemea matokeo yake nini ?

  • @saimongilala8938
    @saimongilala8938 2 หลายเดือนก่อน

    Pinga mpaka anye kabisa mjinga huyo myahud

  • @aishabrondi236
    @aishabrondi236 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi Niko naputin mpaka Ukraine itoke nyuma ya marecani 😂😂yani mtapigwa sana tu

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 2 หลายเดือนก่อน

      Ungekua against na marekani usingetumia HATA TH-cam matumizi ya TH-cam PESA unapeleka marekani shwaini

    • @WadySaidi
      @WadySaidi 2 หลายเดือนก่อน

      Hata wew unapeleka marekan iyo ni biashara

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 2 หลายเดือนก่อน

      @@WadySaidi si tofauti na marekani wewe unaeichukia susa na mitandao yao ili tujue umemaanisha

  • @ivankadaudi8161
    @ivankadaudi8161 2 หลายเดือนก่อน

    Endelea kusikila nato wakat raiya wako wanaisha na huna msuli wakumpiga uyo urusi

  • @fauzanhamed
    @fauzanhamed 2 หลายเดือนก่อน

    zelesky ni kirusi ameingiza nchi kweny kwa maslahi ya nato

  • @abdallahmmary8591
    @abdallahmmary8591 2 หลายเดือนก่อน

    Hakuna kitu mnavuna mlichokipanda Wayahud wakiguswa wanapiga kelele Zelesky ndio mshenzi

  • @BenPeter-vp2cy
    @BenPeter-vp2cy 2 หลายเดือนก่อน

    Sina uhakika ila nazan hii ni red flag ukraine kufanya tukio mwenyewe kupata sababu ya kufanya jambo flani... poland na ukraine wamesain mkataba nazan unauhusioano kias na hili shambulizi

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 2 หลายเดือนก่อน

    Zelens bana, haya aweee. Sie watz yetu macho, baada ya mwaka 2040 vizaz vijavyo watakuja nao kusimuliwa, kama sie tu tuliosoma kwenye historia vita ya 1 na ya 2 ya dunia

  • @fredymwanzi4448
    @fredymwanzi4448 2 หลายเดือนก่อน

    Leo tu wamelambishwa mchanga watu 40

  • @BizzBoy-g4o
    @BizzBoy-g4o 2 หลายเดือนก่อน

    vp na kule parestina

  • @DeusRobart
    @DeusRobart 2 หลายเดือนก่อน

    hakuna namna mtu akimwaga mboga mwaga ugali kanyaga kanyaga na vyombo😂😂😂
    siwaliuwa watoto wa urus

  • @MedyKauly
    @MedyKauly 2 หลายเดือนก่อน

    Mwana kulitafuta 😂😂😂😂😂

  • @RBMBAKARI-bv6wn
    @RBMBAKARI-bv6wn 2 หลายเดือนก่อน

    Russian haiwezi kupiga bila target putin yupo makini sana .huenda hapo tayari kulikua na mamluki wa magharibi hivyo kama alivyosema putin atapiga pale anapoona ni kituo cha mataifa ya magharibi

  • @donaldmgunda4970
    @donaldmgunda4970 2 หลายเดือนก่อน

    Vivaaaaaa ukrainaaaaa😢

  • @lukafbbwebelof3874
    @lukafbbwebelof3874 2 หลายเดือนก่อน

    Chamsingi watu wanapewa honi ili wakimbie inchi bado mapema

  • @kimodomusic9760
    @kimodomusic9760 2 หลายเดือนก่อน

    Putin piga hao

  • @hadijagere
    @hadijagere 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mbona wewe uliuwa watu urusi unajisahaulisha sijuzi tu tulia dawa ikuingie

    • @belitomanuel6240
      @belitomanuel6240 2 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅😅😅😅😅😅

    • @sadikihamad9770
      @sadikihamad9770 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @CrissManda
    @CrissManda 2 หลายเดือนก่อน

    Ukraine imeua watoto kwenye mji wa urusi uko Crimea Beach, hajajua kama wale sio watoto

  • @GodenBMDaniel
    @GodenBMDaniel 2 หลายเดือนก่อน

    Zelensky Ni mpumbavu hapendi amani unatarajiya Nini

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 2 หลายเดือนก่อน

    Tutalipiza kisasi

  • @JosephAlakonya
    @JosephAlakonya 2 หลายเดือนก่อน

    Wapi NATO

  • @HassanRamadhanPashua
    @HassanRamadhanPashua 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mbna azungumzii gaza putin piga wao

    • @lakasid3860
      @lakasid3860 2 หลายเดือนก่อน

      Yaa na Gaza wapigwe tu

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 2 หลายเดือนก่อน

      Ukidhani ukraine hawastahili kunawanaodhani wagaza ni mbwa

  • @kassimkhalid1185
    @kassimkhalid1185 2 หลายเดือนก่อน

    Ukraine wanawauwa Raia wa Urusi kila leo mbona sasa zelensky ananza kuhara

  • @ShedrackShedrack-c2b
    @ShedrackShedrack-c2b 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwawatu wasio kuwa nahakri watamwona zelensk mjnga lakini ikumbukwe hata adorufu hitrla halishawai kufanya ktondo kamaicho urusi kwa kisingizio hanawatafta wayaun na hakauwa watu milion 21 lakini hawakukata tama wakasmama himara wakamshnda huku mchango mkubwa uktoka kwa marekani

    • @EmanuelMandoo
      @EmanuelMandoo 3 หลายเดือนก่อน +1

      Haulewiki

    • @SaidiMkome-qq7hy
      @SaidiMkome-qq7hy 3 หลายเดือนก่อน

      Ctory

    • @mahmudahmad5369
      @mahmudahmad5369 2 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe hakuna unachokijua KUHUSU hii Dunia tulia Tena na ukae kimya

    • @Mkundi-o7v
      @Mkundi-o7v 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mbwa wewe hujui chochote nenda Kwa mashoga wenzio mkafilwe kwanza

    • @ShedrackShedrack-c2b
      @ShedrackShedrack-c2b 2 หลายเดือนก่อน

      @@mahmudahmad5369 ww hunaelewa ukiwa wap hatawe hakuna unachoerewa

  • @hamishatibu699
    @hamishatibu699 2 หลายเดือนก่อน

    Uyo si alipewa mitambo ya ulinzi wa Anga juzi tu na ujerumani vipi bado anapigika, hizo kombola zilizo tumika ata Nato awawezi kuzizuia vile zenye hazina engen azizalishi joto zikiwa zinasafiri kufikia taget, Zerensky akubali tu yaishe akae mezani

  • @jerryndondole1965
    @jerryndondole1965 2 หลายเดือนก่อน

    Hiyo ni False flag,ukraine inapanga kufanya jambo baya dhidi ya Urusi.

  • @josephkostans9128
    @josephkostans9128 3 หลายเดือนก่อน +1

    Bado haujasema na hiyo haitoshi inawezekana haujalizika kalibu kulipa kisasi upewe saiz yako wewe Putin anakubeba sana ningekuwa mimi naongiza Moscow sahizi ungekuwepo huko ahela madukani

  • @WadySaidi
    @WadySaidi 2 หลายเดือนก่อน

    Zelensiki ni mpumbavu anawaskiliza wamarekani wasiojua vita

  • @abuuabuu274
    @abuuabuu274 2 หลายเดือนก่อน

    Navip kuhusu GAZA

  • @mosescharles1921
    @mosescharles1921 2 หลายเดือนก่อน

    Sisi warusi hatupuuziwi

  • @Muzammil99p
    @Muzammil99p 2 หลายเดือนก่อน

    Putin 🥰✊

  • @aediayumgo8546
    @aediayumgo8546 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mnajipiga wenyewe mnaseme Putin

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 2 หลายเดือนก่อน

      Unamaanisha ukraine imejivamia si NDIO?

  • @SalumMasengwa-b9s
    @SalumMasengwa-b9s 2 หลายเดือนก่อน

    Unaposema wamekufa angalau watu kumi kiswahili hiki kinamashaka kiswahili safi useme wamekufa watu kumi
    Neno angalau hutumika unalihitaji jambo.hilo jambo Bado hujalipata.mfano Mvuvi anasema Leo bahari imechafuka ningelipata ANGALAU Samaki mmoja.neno angalau linaenda sambamba na neno hata kama
    Lakini neno hili Angalau linatumika vibaya Sasa siku hizi

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 2 หลายเดือนก่อน

      Mbona Kiingereza hutumia neno at least? Mfano At least 10 people died

  • @lukafbbwebelof3874
    @lukafbbwebelof3874 2 หลายเดือนก่อน

    Kwanza kama Iko na akili asipime kabisa ku rudisha kisasi ndipo atakiona kile kinacho fichwa juu ya hayo mashambulizi. Hiyo nikulipiza kusasi, kwenye. A shambulizi yaliyo fanywa na Ukraine pale Crimea kwenye Bichi 😅😅😅😅

  • @CharafimalisalimoAli-qw3hk
    @CharafimalisalimoAli-qw3hk 2 หลายเดือนก่อน

    SASA NI KUPIGATUUU MPAKA WAELEWE DADEK.

  • @ShedrackShedrack-c2b
    @ShedrackShedrack-c2b 3 หลายเดือนก่อน

    Zelensk kaza haki hinapganiewa hakinahaman hawahombi haki wanaifia

    • @Kingo1410
      @Kingo1410 2 หลายเดือนก่อน

      Juzi yeye alivyo liga beach pale cremea Ali waza nini wapigwe Tu akili iwakae vizuri

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 3 หลายเดือนก่อน +1

    Lazima tulipize kisasi mbwa wewe Putin unataka kutawala nchi nyingine kisa nini??

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk 3 หลายเดือนก่อน

    🇷🇺🇷🇺🇹🇿🇹🇿👏

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 2 หลายเดือนก่อน

    Ukraine tutalipza

  • @YasiniMkakile
    @YasiniMkakile 2 หลายเดือนก่อน

    Propaganda

  • @InnocentZamkulu
    @InnocentZamkulu 2 หลายเดือนก่อน

    Naona wajinga mna shangilia ujinga hamjui iposiku yanaweza wakuta. Binadamu gani mna shangilia wanadamu wenzio wanapo uwawa? Yaani nashindwa kuwaelewa hata kidogo.

    • @WadySaidi
      @WadySaidi 2 หลายเดือนก่อน

      Wew ni linyumbu tu

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 2 หลายเดือนก่อน

      Ww choko

    • @WadySaidi
      @WadySaidi 2 หลายเดือนก่อน

      Choko wew mvuta Bangi ndio maana umevua nguo Bangi zimekupanda mpuuzi mjinga