Subhannallah 😓. Allah atunusuru atujaaliye WA khery yaa Rabby 🕋🙏🕋. Shukran jazzakkah Allahu khery 🕋. Ila ustadh Mie naona hatakama Hana Mali mume Ila kama ana hofu ya Allah, anajitahidi kutafuta ni khery kuliko WA Mali tajiri baada ya ndoa akifilisika! Sinibalaa ... Wasichana wenzangu nawahusia Istikhara katika kila unachotaka kufanya... Allah atakuelekeza Kwa aliye WA khery.... Maana "kupenda balaa na karaa na dhiki ya moyo.... Ila Ila kupendana Raha." Wasia mzury kwetu, MAA Sha Allah 🙏🕋🙏. Allah akujaaliye khery na maisha marefu in sha Allah Shekh wetu.
دعاء الاستخارة🌹 اللهم إني أستخيرك بعلمك ، واستقدرك بقدرتك ، وأسألك من فضلك العظيم ، فإنك تقدر ولا أقدر ، وتعلم ولا أعلم ، وأنت علام الغيوب . اللهم إن كنت تعلم أن هذا الأمر - و يسمي حاجته- خير لي في ديني ومعاشي وعاقبة أمري فاقدره لي ، ويسره لي ، ثم بارك لي فيه . وإن كنت تعلم أن هذا الأمر شر لي في ديني ومعاشي وعاقبة أمري فاصرفه عني واصرفني عنه ، واقدر لي الخير حيث كان ثم أرضني به Allaahumma inni astakheeruka bi'ilmika wa astaqdiruka bi qudratika wa as'aluka Min falika Al Azeem, fa innaka taqdiru wa laa aqdir, wa ta'lamu wa laa a'lam, wa Anta 'allaamul-ghuyoob. Allaahumma in kunta ta'lamu anna haadhal'l-amra( then mention the matter) Khayroon li fi deeni wa ma'aashi wa 'aaqibati amri faqdurhu li wa yassirhu li thumma baarik li fihi. Wa in kunta ta'lamu anna hadhal amra sharrun li fi deeni wa ma'aashi wa'aaqibati amri fasrifhu aani, wasrifni 'anhu waqdur li al-khayra haythu kaana thumma ardini bihi. O Allah, I seek Your guidance {In making a choice} by virtue of Your knowledge, and I seek ability by virtue of Your power, and I ask You of Your great Bounty. You have power, I have none. You know, and I know not. You are the Knower of hidden things. O Allah,If in Your knowledge,this matter {then name the matter} is good for me for my religion,my livelihood and my affairs, then ordain it for me, make it easy for me,and bless it for me. And if in Your knowledge that this matter is bad for me in my religion, my livelihood and in my affairs then turn it away from me and turn me away from it, and ordain for me good wherever it may be then make me pleased with it.🌹 🕋 In sha Allah khery Biidhinnillah 🕋
Darsa zuri mash'allah Lkn ma binti wa kiislam hawa chague dini wana chagua wasanii na wenye pesa paka ina fikia binti wa kiislam ana ritadi kwa ajili ya mwanamume mwenye hana dini
Anaetegemea wazazi wake ndio wale wale mume wangu naomba pesa ya mkate muulize maaaaaaaaaaaaaaaaaaa mume wangu naomba pesa ya mkaa muulize maaaaaaaaaaaaa😠😔😕😞
Mashaaa Allah!!! Umefunza funzo bora kabisa Sheikh Othman. Wanaume wengi wa leo, tegemeo lao ni mke. Wengine wanaoa wa mama wazee matajiri ili walishwe na waveshwe hawajui kufanya kazi na wakifanya hawana pesa. Na kweli olewa na unae mpenda kama unataka ku enjoy life. Shukran sanaaa Sheikh Othman. Umeongea. Jazakallahu kheir.
Manshallah manshallah shukran sheikh othman Michael kwa ushauri mzuri Sana Ila Sasa kama wengine atuja olewaga Kisha tumepeta mwanaume kweli Ana niya ya kuowa ila mahari Hana Tena manshallah anajitahidi kwenye dini ila tu pesa Hana Sasa huyo nisiolewi nae kwasababu Hana mahari? 😀
Innalilah wainnaillah rajiuun huu msiba wa kuchagua wachumba wanawake wengi wanafeli na hii nikwasababu zama hz wanawake siwachoyo kabisaa na miili yao yaani mtian kabisaa Allah atuongoze katika Khery yarabiy Jazzakumllah Khery Shekhe wetu kwa ukumbusho
Masha Allah , tabaraka Allah . Subhana Allah , Allah atunusuru na atujaalie wa kheir ya Rabby. Alhamdulillah shukran jazakkah Allah kheir kwa kututoa taka za masikio . Allah Akujaalie kheir na maisha marefu wewe na familia yako insha Allah.💕💕💕💕😘
Waalikum salaam warrhmatullahi wabarakatuh, nikweli kabisa Kaka yangu , haswa huku south africa nimtiani sana kwakweli tuombeane Dua, sheikh Darsa nzuri sana MaashaAllah
Subhannallah 😓. Allah atunusuru atujaaliye WA khery yaa Rabby 🕋🙏🕋. Shukran jazzakkah Allahu khery 🕋. Ila ustadh Mie naona hatakama Hana Mali mume Ila kama ana hofu ya Allah, anajitahidi kutafuta ni khery kuliko WA Mali tajiri baada ya ndoa akifilisika! Sinibalaa ... Wasichana wenzangu nawahusia Istikhara katika kila unachotaka kufanya... Allah atakuelekeza Kwa aliye WA khery.... Maana "kupenda balaa na karaa na dhiki ya moyo.... Ila Ila kupendana Raha." Wasia mzury kwetu, MAA Sha Allah 🙏🕋🙏. Allah akujaaliye khery na maisha marefu in sha Allah Shekh wetu.
دعاء الاستخارة🌹
اللهم إني أستخيرك بعلمك ، واستقدرك بقدرتك ، وأسألك من فضلك العظيم ، فإنك تقدر ولا أقدر ، وتعلم ولا أعلم ، وأنت علام الغيوب . اللهم إن كنت تعلم أن هذا الأمر - و يسمي حاجته- خير لي في ديني ومعاشي وعاقبة أمري فاقدره لي ، ويسره لي ، ثم بارك لي فيه . وإن كنت تعلم أن هذا الأمر شر لي في ديني ومعاشي وعاقبة أمري فاصرفه عني واصرفني عنه ، واقدر لي الخير حيث كان ثم أرضني به
Allaahumma inni astakheeruka bi'ilmika wa astaqdiruka bi qudratika wa as'aluka Min falika Al Azeem, fa innaka taqdiru wa laa aqdir, wa ta'lamu wa laa a'lam, wa Anta 'allaamul-ghuyoob. Allaahumma in kunta ta'lamu anna haadhal'l-amra( then mention the matter) Khayroon li fi deeni wa ma'aashi wa 'aaqibati amri faqdurhu li wa yassirhu li thumma baarik li fihi. Wa in kunta ta'lamu anna hadhal amra sharrun li fi deeni wa ma'aashi wa'aaqibati amri fasrifhu aani, wasrifni 'anhu waqdur li al-khayra haythu kaana thumma ardini bihi.
O Allah, I seek Your guidance {In making a choice} by virtue of Your knowledge, and I seek ability by virtue of Your power, and I ask You of Your great Bounty. You have power, I have none. You know, and I know not. You are the Knower of hidden things.
O Allah,If in Your knowledge,this matter {then name the matter} is good for me for my religion,my livelihood and my affairs, then ordain it for me, make it easy for me,and bless it for me.
And if in Your knowledge that this matter is bad for me in my religion, my livelihood and in my affairs then turn it away from me and turn me away from it, and ordain for me good wherever it may be then make me pleased with it.🌹
🕋 In sha Allah khery Biidhinnillah 🕋
Amin yaraby
Mashaallah.mungu.akupe.umrimrefu-shukran.shekhe
Swadakta sheikh
Darsa zuri mash'allah Lkn ma binti wa kiislam hawa chague dini wana chagua wasanii na wenye pesa paka ina fikia binti wa kiislam ana ritadi kwa ajili ya mwanamume mwenye hana dini
Anaetegemea wazazi wake ndio wale wale mume wangu naomba pesa ya mkate muulize maaaaaaaaaaaaaaaaaaa mume wangu naomba pesa ya mkaa muulize maaaaaaaaaaaaa😠😔😕😞
Subhana Allah
Shukran sana Allah akuhifadhi dunia fil akhera
Jazakallah khayran
instablaster...
Mwenyezi mungu atunusuru atuepushe.
Mashallah!! Umenifurahisha uliposema awe sheikh awe shekhena. Haki unafrahisha Allah akufrahishe mashallah 🥰
Kweli kabisa shekhe shukran kwakutuelimisha
Shukran Shekhe mapenz ya aina hiyo haya dumu asant kwa kutuelimisha
Mashaaa Allah!!! Umefunza funzo bora kabisa Sheikh Othman. Wanaume wengi wa leo, tegemeo lao ni mke. Wengine wanaoa wa mama wazee matajiri ili walishwe na waveshwe hawajui kufanya kazi na wakifanya hawana pesa. Na kweli olewa na unae mpenda kama unataka ku enjoy life. Shukran sanaaa Sheikh Othman. Umeongea. Jazakallahu kheir.
Mada ya leo ni bonge la zingatio, sheikh mimi nakupenda kwa Ajili ya Allah.
Dah Yan Mzee anaywezo kijana asioe Si kweli
Shukrani jazakallah kheir
Shukran mashukra
Subhanallaah shukran kwaushauri sheikh allaah akuhifadhi🇧🇮
Manshallah manshallah shukran sheikh othman Michael kwa ushauri mzuri Sana
Ila Sasa kama wengine atuja olewaga Kisha tumepeta mwanaume kweli Ana niya ya kuowa ila mahari Hana Tena manshallah anajitahidi kwenye dini ila tu pesa Hana Sasa huyo nisiolewi nae kwasababu Hana mahari? 😀
Sheikh Othiman tunaomba jibu Tafadhali
Sasa kama hana mahari atakuoa vipi
@@mamussi6872 Atakupa msahafu
Usiangalie dini huduma muhimu ata mungu ataki
nikwelichehehayoyapoalaakupechufa
Maa shaa Allaah TabakaAllaah MwenyeziMungu akulipe kheyr kwa darsa nzuuri
Waalykum msaalam waramatulah wabarakatul Masha Allah tabaraka Allah . Walahi ni mada nzuri sana .
Mashallah Mashallah tabarakrahman
Shukurn kwa darasa zuri sana sheikh
Mwenyezimung atujaalie waume wema....
Allahuma aamin
Masha Allah ❤
Maashaallah
Shukran Sheikh🤔🤔🤔 tutaolewa kweli???? Maana Hao wanaume wengi tunakutana nao huko huko barabarani na kwny mitandao
Masha Allah mada nxuri sana yenye kuzingati kwa kweli nimdiba mkubwa tulionao Ila kikubwa ni kuzingatia Allah akulip
Innalilah wainnaillah rajiuun huu msiba wa kuchagua wachumba wanawake wengi wanafeli na hii nikwasababu zama hz wanawake siwachoyo kabisaa na miili yao yaani mtian kabisaa Allah atuongoze katika Khery yarabiy
Jazzakumllah Khery Shekhe wetu kwa ukumbusho
SubhanAllah 😭😭shukraan sheikh hakika mafunzo mazuri yatatufaa, jazzakallah khayran sheikh
Allah akutuhifadhiee Sheikh wetu
Tunapata kuelimika Manshaa'Allah
MashaAllah Tabarakallah… Allah akujaaliye kheri hapa duniani na Akhera. Ameen Thumma Ameen
Masha Allah , tabaraka Allah . Subhana Allah , Allah atunusuru na atujaalie wa kheir ya Rabby. Alhamdulillah shukran jazakkah Allah kheir kwa kututoa taka za masikio . Allah Akujaalie kheir na maisha marefu wewe na familia yako insha Allah.💕💕💕💕😘
Mashaa allah mashaa allah darsa maridhawa kabisa kabisa
Alhamdulillah 🙏 🙏
Ahaaaaa aisee Allah atuifazi
Manshallah shukran 🙏
Waalikum salaam warrhmatullahi wabarakatuh, nikweli kabisa Kaka yangu , haswa huku south africa nimtiani sana kwakweli tuombeane Dua, sheikh Darsa nzuri sana MaashaAllah
Kweli kabisa ustadh shukran
Mashaallah shulran sheikh
maa shaa Allah shukran br
mashallah safi sana sheikh
Maa shaa Allah
Shukran sheikh kwa mawaidha mazuri mwanaume wa kuunganishiwa unganishiwa kama vilaka vya suluwali😂
Upo sahihi sheikh Mapenzi siokukulupuka ukitaka juta kulupuka loooooh nimejifuza Shukran sheikh akili nywele kilamtu anazake darasa zuri sana
Shukran Shekhe mapenz ya aina hiyo haya dumu asant kwa kutuelimisha