MELI za 'HAPA KAZI TU' Noma, Zina CHUMBA cha POLISI, Sehemu Maalumu kwa WAZAZI na WATOTO...
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- MELI za 'HAPA KAZI TU' Noma, Zina CHUMBA cha POLISI, Sehemu Maalumu kwa WAZAZI na WATOTO...
Baada ya wakazi wa Mwanza-Bukoba na Ukerewe -Mwanza kusubiri kwa muda mrefu kukamilika ukarabati wa meli ya New Mv.Victoria Hapa kazi tu na New Mv.Butiama Hapa kazi tu kukamilika wanatarajia kuanza kupata huduma ya usafiri wa meli hizo kuanzia wikiendi hii ambapo gharama za usafiri zimewekwa wazi katika kusafiri na meli hizo.
Akizungumza na waandishi wa habari afisa mtendaji mkuu wa kampuni ya huduma za meli, Eric Hamisi, amesema Meli hizo zinatarajia kuanza safari agost 16 kutoka mwanza kwenda Bukoba kwa Mv.Victoria na Kutoka Mwanza kwenda Nansio Ukerewe kwa Mv.Butiamba.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...
Hongera Sana JPM. Mungu akulinde. Huu usafiri ulipotea muda mrefu sana. Natumaini wanainchi watafurahia na kuuitumia hii fursa nzuri kwa kuongeza biashara zao zitakazosafirishwa kwa Bei nafuu na kupata faida nzuri katika mauzo yao.
No 1 like magufuli nakukubali sana jpm
Elfu 45000 si kitu, lazima tulale ili tuone uzuri wake.nitalala First class.
Viva mr president MAGUFULI
That is affordable, can't wait kuja home
Tunakwenda na magufuli 2025
Madaraja hainishtui wote tunafika wakati mmoja. SUMATRA MPO? wasizidishe mizigo kama Mv BK
Ongera jpm
Rais magufuli atashinda kwa kishindo mwaka huu. 2020-2025
Anae sema, mh, Rais hajafanya kitu, ni mpumbavu sana, check mamboz, kama haya na bado yapo mengi, tu aiseeee, magu 5 tena, harafu tunabadili katiba, harafu 30 nyingine, tutaheshimiana tu hapa town. Tanzania kwanza.
Alafu kina Lissu wanataka wachukue nchi kirahisi hivi, sio rahisi wanavyofikiri, wasubiri JPM aifikishe Tanzania kwenye nchi ya maziwa na asali kwanza. Afe beki afe kipa JPM tena
yaani hapa unatamani kumtemea Lisu kohozi usoni!manina zake
Napenda nijue kwa nini safari zinafanyika usiku zote???? Pamoja na swali nampa hongr raisi wetu
@@princeeddie2204 Hii ni meli ya kuinua uchumi kwa wananchi. Hivyo mchana unakusanya Mali au unauza Mali ulizoleta kutoka upande mwingine, au unazisafirisha kutoka kwenye meli kuelekea sehemu nyingine, yenye mahitaji. Usiku unarudi nyumbani, au unaenda kutafuta mzigo mwingine. Lakini pia kwa yule anayewai ofisini, hospitali, msibani na kwigineko ukifika asabuhi, utafanya mahitaji na kurudi usiku nyumbani. Ratiba hii in nzuri sana.
Tena wa tz tuombe sana na kuswali uyo lisu asijishaue kabisa asije kualibu inchi yetu ambayo inazidi kupendeza
Mambo yakusafirishana usiku kwenye mimaji,mh!
Heshima kwa magu wetu
Viva magufuli
Tanzania oyeeeeeeeeee
Imenunuliwa kiasi gani?hiyo meli
Meli hainunuliwi bali inatengenezwa
Hivi slogan ya Hapa kazi tu ina faida gani kuandika kwenye meli na ndege????Ebu mkue nyiye acheni mambo yasiyo na maana.
Wewe ni maskini kabisa😆 huna nauli ya meli, huna nauli ya kupanda ndege, labda ujinyonge😆😆😆 Viva jpm🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@@mutalemwagabrie9791 Nipande meli mimi msukuma au Mhaya? Hivyo ni vitu vidogo sana kaka ebu acha ujinga wewe!
@@mutalemwagabrie9791 huyo labda sio mtanzania ndio maana ime muuma achana nae niwivu tu
Hongera watakao tumia huu usafiri kwa mara ya kwanza maana mtatend mitandaoni
@@daishajumanne5990 sema basi tu ingefaa zaidi aandike matunda ya Ccm
D lamek we ndo mpumbav usitake kill mtu aamin unachokiamin wewe
Hkuna mtu asiyetakuamini unachokiamini .ila ukweli upo wazi na hamna ajenda nikuulize mlipokuwa mkisema magufuli anatekeleza ilani yenu ni IPI ?