Mashamba tunayo, rasilimali watu,wapo . Viwanda vipo, pesa munakopa kila kukicha. Nikwanini pesa hizo zisifanye kazi hiyo yakuzalisha sukari ?? Tunazo kwelii !!? Wotee humo vichwani,au tumebeba vichwa vikubwa tu !
Mkiacha kujipendekeza ili kupata kitu haitasaidia chochote. Lazima kwa wivu mkubwa tuweke sheria ya kulinda viwanda vya ndani na kuvisaidia ili vizalishi kwa wingi
Hii ni nchi ni ya ajabu sana ,wabunge wa aina hii hawaisaidia nchi bali wanaiua nchi ,badala ya kuvitengenezea mazingira mazuri viwanda vya Sukari ili vizalishi kwa wingi na kuongeza wigo wa vijana wetu kupata Ajira bado tunataka kuagiza sukari nje ili kuinua uchumi wa nchi nyingine na kuwapa ajira watu wao na sisi uchumi wetu use, hapo hapo mnasema dollars zimeadimika sasa bado mnataka kuzimaliza kabisa kwa kuagiza sukari nje,mngesaidia viwanda vya ndani wakazalisha sukari kwa wingi na wauze nje ili dollars zije ndani uchumi nao upande na vijana wapate ajira,sijui mnatuona wengine hatuna akili na ni nyie tu mna akili.
Msukuma upo vzr sana..big up...tutetee baba la baba
Yani msukuma umesema kweli kabisa.
Safi
Msukuma nimekuelewa na wewe pekeyako ndoo umebaki bungeni mungu akurinde
Musukuma, waarabu vipi wakupapase? DP world oyeeee
MP for Geita but lives in Mwanza?
Mashamba tunayo, rasilimali watu,wapo . Viwanda vipo, pesa munakopa kila kukicha. Nikwanini pesa hizo zisifanye kazi hiyo yakuzalisha sukari ?? Tunazo kwelii !!? Wotee humo vichwani,au tumebeba vichwa vikubwa tu !
Kwa nini wanachi wasiache kutumia sukari ? Sukari ni sawa na pombe tu.
Mkiacha kujipendekeza ili kupata kitu haitasaidia chochote.
Lazima kwa wivu mkubwa tuweke sheria ya kulinda viwanda vya ndani na kuvisaidia ili vizalishi kwa wingi
Hii ni nchi ni ya ajabu sana ,wabunge wa aina hii hawaisaidia nchi bali wanaiua nchi ,badala ya kuvitengenezea mazingira mazuri viwanda vya Sukari ili vizalishi kwa wingi na kuongeza wigo wa vijana wetu kupata Ajira bado tunataka kuagiza sukari nje ili kuinua uchumi wa nchi nyingine na kuwapa ajira watu wao na sisi uchumi wetu use, hapo hapo mnasema dollars zimeadimika sasa bado mnataka kuzimaliza kabisa kwa kuagiza sukari nje,mngesaidia viwanda vya ndani wakazalisha sukari kwa wingi na wauze nje ili dollars zije ndani uchumi nao upande na vijana wapate ajira,sijui mnatuona wengine hatuna akili na ni nyie tu mna akili.
Bunge la ndiyoooooo