MUME AELEZA ALIVYOSHIRIKIANA NA MKEWE KUMFANYA MTOTO WAO ZEZETA ILI WAPATE UTAJIRI/TULIKUNYWA MANII

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 226

  • @uwezowamunguutendaokazi3043
    @uwezowamunguutendaokazi3043 4 ปีที่แล้ว +13

    Amen amen. Shetani anangaisha watu sana. MUNGU MKUU akuepushe na majanga haya. Ni hatari kubwa. (Nabaki na YESU MWOKOZI NA MWANA WA MUNGU MKUU ALIE HAI MILELE YOTE) Amen.

  • @mashaelieazer6120
    @mashaelieazer6120 4 ปีที่แล้ว +16

    Jamani acheni kumwamini shetani,shetani hawezi kukupa furaha hata siku moja.kazi ya shetani ni kuua,kuharibu,.kwa Mungu kuna furaha,amani, na uzima.

  • @naimanurdin8984
    @naimanurdin8984 4 ปีที่แล้ว +3

    Ya Rabyi twakuomba utunusuru na Tamaa za kidunia na mengi Yasokupendeza wewe Mungu Tnakuomba Utuongoze kufanya yalo mema na utajalie Mwisho Mwema Ameen

  • @mamoulovecherry5121
    @mamoulovecherry5121 4 ปีที่แล้ว +8

    Subhannallah innalillah wa innalillah raji'un ewe Mola wetu tunusuru ila wana wake mto wajahan tuko weng jili ya upuunzi wetu😞😞😞

  • @hamidibrahim5369
    @hamidibrahim5369 4 ปีที่แล้ว +2

    Mtoto zezete Mali hakuna na majuto hadi mwisho, inasikitisha.
    Allah akikuepusha na ushirikina inafaa unamshukuru kila sekunde maishani mwako.
    Badala ya kwenda kwa mganga wange swali tahajjud pamoja wamlilie Allah, wenyewe wangeona mabadiliko

  • @mwamurekadenge2161
    @mwamurekadenge2161 4 ปีที่แล้ว +1

    Shukran kwa kutupa ufahamu mzuri tumejifunza Devistar mata story nzuri God bless you 🙏😢

  • @ZahraZahra-cx9xw
    @ZahraZahra-cx9xw 4 ปีที่แล้ว +11

    Subhanaallah Allah anijaalie uridhike na umaskini wangu , mali ni mtihani.

  • @ZainabZainab-tv9ir
    @ZainabZainab-tv9ir 4 ปีที่แล้ว +7

    Subhanallaah eee mungu tupemwishomwem wajawako

    • @twitedmind5406
      @twitedmind5406 4 ปีที่แล้ว

      subscribe channel yangu nami nisubscribe ya kwako

    • @fasanitzfasanitz9631
      @fasanitzfasanitz9631 4 ปีที่แล้ว +1

      Amen

    • @fatmaalrshdii7615
      @fatmaalrshdii7615 4 ปีที่แล้ว

      Mungu atunusuru na tamaa za duniani atupe Mwisho mwema in shaallaa pamoja sana wangu dm

  • @abuu_khaki4120
    @abuu_khaki4120 4 ปีที่แล้ว +11

    Mr.. facts DUNIA INAMENGI ENDELEA KUTUFUNGULIA tuna burudika na tunajifunza kupitia vipindi vyako ....

  • @farhatfarhat3816
    @farhatfarhat3816 4 ปีที่แล้ว +4

    Sisubutu ata kidogo kuloga mwanangu akilogwa na jelani tu naumia je mm mwenyewe
    Astaghafilulahi astaghafilulahi MUNGU ninusuru bora niridhike na hali yangu

  • @abdulhalimhumud1917
    @abdulhalimhumud1917 4 ปีที่แล้ว +1

    Mr Facts hongera kwa Kazi Mzuri unapambana Mungu akubarik amen 🙏 (ila watu Wengine Dah ujinga umetawala mganga Wenyewe Maskini Kwanini asiwe Yy tajiri km Kwa mganga Kuna utajiri Mungu atulinde na Mtihani hi amen Dah wamemdhulumu bure mtoto Maskini kisa utajiri Dah

  • @SamsungA-su2qj
    @SamsungA-su2qj 4 ปีที่แล้ว +4

    Ushirikina ni mbaya kweli jamaa kanyweshwa shahawa zake duh mungu angepitisha miujiza akabeba mimba ingekuwa raha sana

    • @titodaudi8949
      @titodaudi8949 4 ปีที่แล้ว

      Hahahahahaaaaa laaana kabisa

  • @khadijajuma1408
    @khadijajuma1408 4 ปีที่แล้ว +1

    Subhana Allah
    Ya Allah tunusuru na udanganyifu wa dunia

  • @magdalenamatiko9995
    @magdalenamatiko9995 4 ปีที่แล้ว +2

    Siku zote ukiona mshirikina ni mchafu kweli,anafanya uchafu anakula vitu vichafu na moyo unakuwa mchafu vivyo hivyo

  • @haarunsaidabdillahi4082
    @haarunsaidabdillahi4082 2 ปีที่แล้ว

    Imani ya Kiislamu ni kuwa dhambi kubwa kabisa ni ushirikina.Hawa wanalea zezeta,dhambi wamepata na mali zimeondoka.Wamebaki na Maputo uhai wao wote.

  • @biusimohamed1049
    @biusimohamed1049 4 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi MUNGU tunusuru na shiriki

  • @sarahogama9540
    @sarahogama9540 4 ปีที่แล้ว +1

    Wapi part 2 plz,,, aka kastoty kako touching Sana

  • @vumymushi4607
    @vumymushi4607 4 ปีที่แล้ว

    Mwenye masikio na asikie Tamaa ni mbaya jamani mtegemee Mwenyezi Mungu peke yake anatosha.

  • @aishakhasim1440
    @aishakhasim1440 4 ปีที่แล้ว +1

    Alhamdulillah Allah kwa kunipa wazo la kuja dubai🙏🙏

  • @angelrimoy2365
    @angelrimoy2365 4 ปีที่แล้ว +1

    Davista unakuwaga mmbea 😀eti unywe unavyoshtukaga mie hoii

  • @saidhamad533
    @saidhamad533 4 ปีที่แล้ว

    Ukisubut kwenda kwa mganga basi tarajia shida katika maisha waganga sio watu

  • @oprahsalum8185
    @oprahsalum8185 4 ปีที่แล้ว

    Hela hizi !! Waende kwa Bishop Gwajima not all gltters are gold unaona watu wana hela unatamani that money is not really, Lord Jesus Christ can heal them

  • @euniceeunice7680
    @euniceeunice7680 4 ปีที่แล้ว +3

    Ila shetani mshezi tena ni jeuri. Yn shahawa zko then unywe daaah😀😀😀😀😀😀😀😀😀inasikitisha uyo ni jini na sio mtoto ndo mana akataka shahawa zko .lengo Lao uyo mtoto anyonye damu ya mama .watu wangu wanaangamia kwa kukosa maharifa 🙌🙌🙌🙌🙌waganga waganga waganga Mungu anawaona.yan waganga wanafanya vaisa vesa.mganga awezi kukupa mtoto anae toa mtoto ni Mungu tuu.na waganga sio watumishi wa Mungu Bali wa shetani so shetani ana uwezo wa kuumba. Wanacho Fanya waganga wanawapandikizia majini then yanawatafuna.

  • @lindaphabz8913
    @lindaphabz8913 4 ปีที่แล้ว +7

    Waganga sio watu wazuri, yani hawakuambii madhara yatakayotokea baadae

    • @Ryoof-qo7if
      @Ryoof-qo7if 4 ปีที่แล้ว +1

      C watu tuungane tuwachinje waganga wote

    • @titodaudi8949
      @titodaudi8949 4 ปีที่แล้ว +1

      Tutakiwa amri za mungu, kwani uchawi mpaka vitabu vyote vya mungu vimeandika uchawi. Muhimu ni kumtegemea mungu tu

    • @moalawy7001
      @moalawy7001 4 ปีที่แล้ว +1

      @@titodaudi8949 kabisaa

    • @lindaphabz8913
      @lindaphabz8913 4 ปีที่แล้ว

      @ Ryoof 1998 haswaa

    • @lindaphabz8913
      @lindaphabz8913 4 ปีที่แล้ว

      @ Tito Daudi kweli kabisa, amelaaniwa anayemtegemea mwanadamu

  • @mariamm2724
    @mariamm2724 4 ปีที่แล้ว +4

    Siwapendi waganga mimi jmn, kwa chochote kile, pia sio watu hao

  • @aishabeka5562
    @aishabeka5562 4 ปีที่แล้ว

    Nakukubali sana Mr Davistar Mata

  • @khadijaomar8427
    @khadijaomar8427 4 ปีที่แล้ว +1

    Mulikunwa juice ya mbegu🤣🤣🤣🤣

  • @zainabwambui9030
    @zainabwambui9030 4 ปีที่แล้ว +4

    Tamaa mbya sana
    Allah aniweke mbali na tamaa ya dunia

  • @kiehbhzh7044
    @kiehbhzh7044 4 ปีที่แล้ว +1

    duh mtihani warrah mnalaho ngum aisee

  • @mackynicky5832
    @mackynicky5832 4 ปีที่แล้ว

    Mungu baba nisaidie niridhike na unachonipa

  • @Ryoof-qo7if
    @Ryoof-qo7if 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atusame waja wake kwa tama za kiduniya

  • @angelrimoy2365
    @angelrimoy2365 4 ปีที่แล้ว +1

    Alf watu wa namna hii ndo wakwanza kusema wanalogewa watoto wao kumbe wanawaharibu wenyew lool???

  • @wemakalamu3538
    @wemakalamu3538 4 ปีที่แล้ว

    Innallillahi wainna illahi rajiun binadamu mnatisha sasa mmmh mpaka naogopa kwa kweli.

  • @husseinmmohamed7440
    @husseinmmohamed7440 4 ปีที่แล้ว

    Salute sanaa Davister

  • @sureommaboy2514
    @sureommaboy2514 4 ปีที่แล้ว

    Mtanga Zaji Umeniacha hooiii Kabsa Uripo muriza uywe Mbegu Zako Uywe

  • @haarunsaidabdillahi4082
    @haarunsaidabdillahi4082 2 ปีที่แล้ว

    Wateja wote wa Davister ni wachawi na washirikina waliofeli.Mwisho wa ubaya ni aibu.

  • @dottokulwa7075
    @dottokulwa7075 4 ปีที่แล้ว

    Aiseee dunia inamengi wawezasema mie wa motoni kumbe wapo waliofanya makubwa kuliko mie duuh? Allah tunusulu wajawako

  • @hadija846
    @hadija846 4 ปีที่แล้ว

    maisha mazuri ni kinga tu ya mwili wako na jitihada za kufanyakazi yoyote.
    Sasa haya masimulizi unamuamini vipi mganga huu ni upumbavu huyo mganga akamatwe kabisa labda kafanya mambo haya kwa wengi sana na bado anaendelea kuwatesa watu hatari sana❌😭

  • @tullyedward435
    @tullyedward435 4 ปีที่แล้ว +7

    Kaka umenifanya nisitamali nimuonapo mtu tajili ctaman hata kidogo

    • @twitedmind5406
      @twitedmind5406 4 ปีที่แล้ว

      subscribe channel yangu nami nisubscribe ya kwako

    • @niaanthony9588
      @niaanthony9588 4 ปีที่แล้ว +1

      Hawa matajiri asilimia kubwa wanamengi wanasili kubwa sana

    • @esterelias8189
      @esterelias8189 4 ปีที่แล้ว

      @@niaanthony9588 mimi siwataki matajiri ukweli kutoka moyoni.

  • @allymtamilwa6899
    @allymtamilwa6899 4 ปีที่แล้ว +2

    Duh tusipotumia akili zetu vizuri haki tutamkosea mungu saana

  • @najmamohmad6348
    @najmamohmad6348 4 ปีที่แล้ว

    Hahaha Davistar wasema unywe macho wayatoa mmmm kz na uyo mganga nitajiri ama nyumba ya kuinamisha kiuno

  • @damarismosima8484
    @damarismosima8484 4 ปีที่แล้ว +2

    Tosheka na ile kidogo mungu amekupa. Every action has it's own consequences .

  • @juniorcantona4040
    @juniorcantona4040 4 ปีที่แล้ว

    Shabashi!!!!
    Hivi akili zenu maji au??? Tamaa mbaya sana!!! Na adhabu ya Mwenyezi Mungu ipo juu yenu!!! Kumbuka moto wa jehanamu kuni zake ni watu na majini... na watu wenyewe ndio nyinyi..!!!

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 4 ปีที่แล้ว +6

    Majuto ni mjukuu.

  • @phylislukuyu7801
    @phylislukuyu7801 4 ปีที่แล้ว +2

    Oooooh GOD have Mercy on us

  • @blandnamasala8513
    @blandnamasala8513 4 ปีที่แล้ว

    Mungu kuwarahani ujue mungu akupenda

  • @halimaomari7589
    @halimaomari7589 4 ปีที่แล้ว

    Ila ndugu zetu watanzania mnapenda shiriki sana

  • @khadijajuma1408
    @khadijajuma1408 4 ปีที่แล้ว +1

    Subhana Allah
    Umekunywa shahawa jamani

  • @sarahyvonne4580
    @sarahyvonne4580 4 ปีที่แล้ว

    Mungu haezi umba watu vizuri wengine viwete hii niujinga wamwanadamu,ndo maana mungu alisema watu wangu wanangamia kwakukosa marifa,

  • @victoriastephano4075
    @victoriastephano4075 4 ปีที่แล้ว

    jaman hivi kweli unamtowa mwanao kafara daaah ee mungu nilindie wanangu kwakweli

  • @salmaluhombero8466
    @salmaluhombero8466 4 ปีที่แล้ว +1

    Maziwa yanatoa damu omg.

  • @sureommaboy2514
    @sureommaboy2514 4 ปีที่แล้ว

    Kuna Sehemu Mtanga Zaji ume Mtisha Sana Musika

  • @fatmasule1175
    @fatmasule1175 4 ปีที่แล้ว +1

    Ao waganga munaowaendea wawape Mali wao hata nyumba hawan mtihan kwa kweli

  • @somoeawadh7774
    @somoeawadh7774 4 ปีที่แล้ว +1

    SubuhanaAllah... Allah Tupe mwisho mwema

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 4 ปีที่แล้ว +1

    Watoto wa jinsi hiyo nimewaona wengi tu kumbe maskini wamewekwa misukule wazazi wapate pesa!!! SubhanAllah tumuogope Allah turidhike na kile alichotujalia....Mwanadamu tamaa ya upuzi ilhali maisha yetu mafupi kifo tunatembea nacho kila uchao

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 4 ปีที่แล้ว

    Mungu wangu tusitili turidhike NA maisha tulio nayo tamaa MBAYA. Pesa haina mwisho. 💔💔💔💔💔💔😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @faidhirashidi1354
    @faidhirashidi1354 4 ปีที่แล้ว +1

    mzee jana nimekuona kigamboni hulikua unaulizia gari za kibada

  • @jumakoga2179
    @jumakoga2179 4 ปีที่แล้ว +1

    Acheni shirki Allah hatamsamehe mshikina siku ya kiama , riziki anatoa mwenyewe acheni huo uchafu, sasa mbona hamkupata,

  • @preciousgrayson2021
    @preciousgrayson2021 4 ปีที่แล้ว

    Aisee zimechukuliwa nyota,baraka na uthamani wa kizazi chenu + nafsi = u need deliverance

  • @blandnamasala8513
    @blandnamasala8513 4 ปีที่แล้ว

    Anachojificha kitu ganipumbavu amuna hakli wote mmelikologa kulinywammeshindwa

  • @salmaluhombero8466
    @salmaluhombero8466 4 ปีที่แล้ว

    Bora nife masikini kubeba mimba na kuzaa mtoto mbovu kisa pesa God forbid

  • @wantangosaimon5295
    @wantangosaimon5295 4 ปีที่แล้ว +2

    Davixter unaxhangaa kunywa mbegu za kiume ndo ujue utajili c masiala nilienda kijiji kimoja mama ntiliye anauza huku yuko uchi anawabong'olea lakin hamuoni kinachoendelea

    • @shizaarfred4059
      @shizaarfred4059 4 ปีที่แล้ว

      Haaa we umesema hamumuon ww ulimuonaje

    • @shizaarfred4059
      @shizaarfred4059 4 ปีที่แล้ว

      Davista eti vivyo vitu mlikuwa mnakunywa vyenyewevenyewe au ilikuwaje

    • @wantangosaimon5295
      @wantangosaimon5295 4 ปีที่แล้ว

      @@shizaarfred4059 ww tumeaga nyumbani lakin co kwa kubong'oa kule

    • @shizaarfred4059
      @shizaarfred4059 4 ปีที่แล้ว

      @@wantangosaimon5295 hahahahaha nitakakutafuta unipeleke huko kwenu ili nami niwe naona maajab

    • @wantangosaimon5295
      @wantangosaimon5295 4 ปีที่แล้ว

      @@shizaarfred4059 hahahaaaa duh ww acha tu nilicheka xana akiinama unaona mpaka maini

  • @khadijajuma1408
    @khadijajuma1408 4 ปีที่แล้ว +1

    Subhana Allah
    Atakuwa jini uyo

  • @eshialabonita7736
    @eshialabonita7736 4 ปีที่แล้ว

    Duh wanawake sisi tutakua kuni kesho kiama maana mwanamke ndio kamshawishi mwanaume

  • @salmaluhombero8466
    @salmaluhombero8466 4 ปีที่แล้ว

    Mke ujenga au ubomoa nyumba na mikono yake angalia alichokifanya kaharibu mambo yote

  • @mosetidavid143
    @mosetidavid143 4 ปีที่แล้ว +2

    Mrudie mungu bro

  • @farhatfarhat3816
    @farhatfarhat3816 4 ปีที่แล้ว +1

    Yani nilikataa wachumba watatu matajili na bibi yangu alinikataza kuolewa na matajiri aliniambia ogopa sana utajiri usioujua umepatikana vipi na sasaivi nimejifunza bora nimewachukia waganga siwapendi waongoo kz yao kuwaweka wenzao misukule

  • @aishaanthony4508
    @aishaanthony4508 4 ปีที่แล้ว

    Mwenderezo

  • @hassanm.5291
    @hassanm.5291 2 หลายเดือนก่อน +1

    TZ wacheni hizi vitu

  • @awadhirajabu7754
    @awadhirajabu7754 4 ปีที่แล้ว

    Yani Nawewe Umekubali Awa Akubadili Mawazo Yako Bola Ukawa Mchawi Wa Mwendo Kasi Fasta Tu

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 4 ปีที่แล้ว

    Turidhike na alivyo tujaalia Mungu kwani vitokavyo kwake vina thamani na huwezi jutia kumbuka anaebariki ni Mungu pekee yeye hawahi wala hachelewi,kuwa na subra atakubariki

  • @jasminali5921
    @jasminali5921 4 ปีที่แล้ว +1

    Alhamdulilah l Leo kidogo nimekuwa wa 5 ila pole sana

  • @goodgood9370
    @goodgood9370 4 ปีที่แล้ว +1

    Mtoto wangu au wandugu yangu @)😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @qelseykenya3933
    @qelseykenya3933 4 ปีที่แล้ว +1

    Niruhusu tu nicheke😂😂😂😂😂siwezi kunywa...

  • @peteryukunda9239
    @peteryukunda9239 2 ปีที่แล้ว

    Pumbavu zenu sn! Mngekuwa mnapata raha, mcngetoboa CTI hii.Kafien mbali huko,badala mlime,mnataka sort

  • @roseuwambe8089
    @roseuwambe8089 4 ปีที่แล้ว +3

    Simama mwenyewe yesu😪😪😪

  • @ashurar2721
    @ashurar2721 4 ปีที่แล้ว

    Yani watu akili hatuna unaenda kwa MGANGA kutaka utajili wakati mwenyewe anakaa kwenye kibanda cha nyasi hata kitanda hana fyuuuu mtapata tabu sana kwa upungufu wa imanizenu fanyenikazi

  • @magdalenamatiko9995
    @magdalenamatiko9995 4 ปีที่แล้ว

    Yani mwanamke bado ni nyoka tu wanaume muwe mnachuja shauri zingine

  • @dullamburu1718
    @dullamburu1718 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana broo ndo changamoto za maisha lkn na wanawake acheni mambo ya ushirikina mna yapenda sana Kwa kweli.

    • @angelrimoy2365
      @angelrimoy2365 4 ปีที่แล้ว

      Nyie ndo mmezidi mnawatoa mpk wazazi wenuu

    • @angelrimoy2365
      @angelrimoy2365 4 ปีที่แล้ว

      Nyie ndo mmezidi mnawatoa mpk wazazi wenuu

  • @esterelias8189
    @esterelias8189 4 ปีที่แล้ว +2

    Jmn me kabla sijasikiliza chochote naingia kwenye comment kama ni nyingi ndo niangalie.

  • @mwatimeabdallah7945
    @mwatimeabdallah7945 4 ปีที่แล้ว +1

    Davista mbona Kama umevaa nguo ya kulali au usiku

  • @missrukia9661
    @missrukia9661 4 ปีที่แล้ว

    Ohiiiiii

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 4 ปีที่แล้ว +2

    aisee alipatikizwa jini , hatari sana

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 4 ปีที่แล้ว +2

    Tatizo kutoijuwa dini ndio tatizo au elimu na kujielewa

  • @mohamedalirajabu4034
    @mohamedalirajabu4034 4 ปีที่แล้ว

    Yaani kabla hata sija maliza kuingalia huyu jamaa boyaa sanaa sasa wote tukiwa matajiri nani ata muomba mwezie na katika maisha utajirii hauji mara moja lazima ujitumee kwanza ila pole mungu ata kuhukumu ila ume uhuru wake huyu mtoto na nafsi yake haita kuacha hadi una kufaa

  • @magdalenamatiko9995
    @magdalenamatiko9995 4 ปีที่แล้ว

    Joka hilo,peleka kanisanilikafanyiwe maombi

  • @leylahloo5863
    @leylahloo5863 4 ปีที่แล้ว

    Subhanallah jameni sheitwani niadui kwetu sisi binadamu eeehh is to sad sad

  • @almasisaid7597
    @almasisaid7597 4 ปีที่แล้ว +1

    Tamaa mbaya..

  • @esterabonga7947
    @esterabonga7947 4 ปีที่แล้ว

    Alikuwa na bridi maana ahikuwa mimba ya kawaida ya kutoka kwa Mungu

  • @roseuwambe8089
    @roseuwambe8089 4 ปีที่แล้ว +4

    Pesa zinakujaje zinakufata🤣🤣🤣

    • @marymary6758
      @marymary6758 4 ปีที่แล้ว +1

      Subhanaaà

    • @Ryoof-qo7if
      @Ryoof-qo7if 4 ปีที่แล้ว +1

      Wacha nife maskini wallah

    • @esterelias8189
      @esterelias8189 4 ปีที่แล้ว +1

      Mimi ngoja niendelee kusuguwa masinki kwa warabu..

    • @Ryoof-qo7if
      @Ryoof-qo7if 4 ปีที่แล้ว +1

      @@esterelias8189 kabisa bora ni teseke huku saudi mimi kuliko kukufuru kiyasi kubwa

    • @juliusphabian6336
      @juliusphabian6336 4 ปีที่แล้ว +1

      😖😖😔

  • @hellenmanzi4740
    @hellenmanzi4740 4 ปีที่แล้ว +1

    Ukiwa unatamani pesa mno utajiri lakin ushawishike ufanye hivyo

  • @Ryoof-qo7if
    @Ryoof-qo7if 4 ปีที่แล้ว +3

    Kuna watu wana roho nguvu wallah mtoto wenu mwenyewe mumfanye zezeta kisa pesa

  • @hildaernest1090
    @hildaernest1090 4 ปีที่แล้ว +2

    Hapo kweny kunywa shahawa sasa mmh

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 4 ปีที่แล้ว +4

    Tuned 🇰🇪

  • @abdallahrenatus6677
    @abdallahrenatus6677 4 ปีที่แล้ว +5

    "Mimi naitwa Davister mata Mr. Facts"

    • @esterelias8189
      @esterelias8189 4 ปีที่แล้ว +2

      Hahahahahahahaha. Me naomba niwe bi mdogo Mr Facts.

    • @Ryoof-qo7if
      @Ryoof-qo7if 4 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣🤣🤣

  • @salmaluhombero8466
    @salmaluhombero8466 4 ปีที่แล้ว

    Kumbe mambo ya ushirikina yapo eh are you serious kwa hiyo wale watoto mazezeta wengine ni ushirikina dah ni hatari sana

  • @sportsgram7364
    @sportsgram7364 4 ปีที่แล้ว +2

    Bro naona kweli unazunguka maeneo mengi. Kama unaweza ukafanya namna uwe unaweka hata namba za kukuchangia kiasi kwa ajili ya kuwezesha kazi yako. Kweli unatufunza mengi na tunajua mengi kupitia hizi stor

    • @sashaelias518
      @sashaelias518 4 ปีที่แล้ว

      Yani nyie mnafikili anaweza akafany Kaz bila faida asee mgejua maana ya yutbor msingemuonea huruma huyu Dev anapiga her San hiz story ujue mnaangaria watu Zaid ya 300/ Sasa kila clp inapesa ya kufa mtu nyie mnaona anasafir bule kusak story bule mwenzenu anapiga pesa San

  • @mariasongea5518
    @mariasongea5518 4 ปีที่แล้ว +1

    Mabwege nyieee... mfyuu

  • @macamezunguzungu5697
    @macamezunguzungu5697 4 ปีที่แล้ว

    Mganga ni mwanga waganga wote wakuda tu pumbavu saana

  • @silimazdu1100
    @silimazdu1100 4 ปีที่แล้ว

    mtu makini nakukubali wewe kweli ni makini videos anazotuletea ni mafunzo makubwa sana never give up davista