KANISA LA PERAMIHO LINA SAA AMBAYO HAIJAWAHI KUPOTEZA MAJIRA, TANGU MWAKA 1946
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 22 ม.ค. 2025
- Kanisa la Abasia ya Peramiho Jimbo kuu Katoliki la Songea lina saa ya ajabu ambayo imetengenezwa kwa vyuma na haijawahi kusimama wala kupoteza majira tangu mwaka 1946 hadi sasa.