Hizo mic zinahitajika mengine mapya waislam tushikane tununue mic nyingine nzuri zaidi kwa sababu ni kazi muhimu sana channel hii inafanya....!! Kazi mufti mashallah!!
Hawa 'WAMBUA' wawili, wako na Wazimu. Leo Mic ili kuwa ina kata kata. Olease support this Dawah Team n channel! Na Siku hizi, Hii Dawah ime anza ku fika TZ, MashaAllah. TabarakAllah Team. Including Cameraman, Suleiman na Local support.
Wa alaykum salaaam warahmatullahi wabarakatuh kaka salim wanyoike MASHALLAH nafrahi kukuona tena na tena jitihada zizidi na juhudi zinoge na ALLAH awataqabalie nyote .... AMIIIN
Allahamdhulla
Hizo mic zinahitajika mengine mapya waislam tushikane tununue mic nyingine nzuri zaidi kwa sababu ni kazi muhimu sana channel hii inafanya....!!
Kazi mufti mashallah!!
Inaonekana ni kama zimeanza kuzeeka tutajaribu kurekebisha inn shaa Allah
Mashaallah baarakallah
Hawa 'WAMBUA' wawili, wako na Wazimu.
Leo Mic ili kuwa ina kata kata.
Olease support this Dawah Team n channel!
Na Siku hizi, Hii Dawah ime anza ku fika TZ, MashaAllah.
TabarakAllah Team. Including Cameraman, Suleiman na Local support.
Yeah tutajaribu kurekebisha nikama zimezeeka hizi mic
Allah awazidishie Afya muzidi kueneza Qalima ya lailaha ila Allah Muhammad RasuluAllah
Aameen ameen ameen sote
Waalaykum Salaam Warhamatullah Wabarakatuh
Wa alaykum salaaam warahmatullahi wabarakatuh kaka salim wanyoike MASHALLAH nafrahi kukuona tena na tena jitihada zizidi na juhudi zinoge na ALLAH awataqabalie nyote .... AMIIIN
Inn shaa Allah
Walaikum salam warhmatillah wabarakat
Waalequm salam waehmatullahi wabaraqatuh, nilikua naisubiria kwahamu hii daawah, masha allah
Masha Allah tunakupenda kwa ajili ya Allah
❤
Asalamu aleikum
Allah awafanyie wepesi kila njambo
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin
Asalamu aleykum sheikh salim,sauti kidogo tatizo
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
ALLAH AKBAR
Sauti Leo iko mbayaa
Asalam alykm ndugu zangu ❤❤!! Cjachelewa sana niko mjengon apa kwa SALIM buana 🙏🏾
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh tunakupenda sana kwa ajili ya Allah
Masha'allah
Assalam aleikum Sheikh Salim sauti yapotea potea
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah tutarekebisha
Mansha ALLAH brothers
Taqbirrrrr nmewahi mapema leo
Nafikiri ni hizi mic mpya zina interfere
Tutarekebisha inn shaa Allah
Masha Allah. Abu Raas media pia leo wamefika kiwanja mshahuri ya dawah
Masha Allah tumefurahia kuwaona macho kwa macho
Asalam alaikum sheikh salim sauti ina kata kata
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh tutarekebisha
Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh Allah awabariki sana nimefurahi kuwaona tena
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh tunakupenda sana kwa ajili ya Allah
ALLAHU AKBAR ♥️
ASLM ALYKUM LEO MICROPHONE 🎤 SAUTI INAKATIKATIKA SHEIKH SALIM.....
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh tutarekebisha inn shaa Allah
Mashaallah , kazi nzuri .
Alhamdulillah
Asalaam aleykum wabarakatuh?Saudi yenyu inakatakata shekhee
Emergency
@@MohdJuma-w6lnikwel
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah tutarekebisha
Allhamdullilah
Masha allah mungu awajazii
Assalam Alaykum Warahmatullahi Wabatakatuhu.. Maa Shaa Allah,,,Allah awalipe Jannatul Firdaus,,,sijui leo ina katakata, yaani sauti?
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aameen ameen ameen sote tutarekebisha hilo
Kwa bahati mbaya kuna Kesha za maulidi in the coastal areas sikuhizi
Noma
Mbona sauti inakatikakatika
Tutarekebisha inn shaa Allah
Asalaam aleykum warahamatullahi wabarakatuhuh,nashauli wakati mnarusha basi katk yenu mtu aweke yu-tube ili nanyi mpate kuona au kuskia sauti ilivyo.
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah