Namshukuru Mungu kwa kukuleta duniani pumzik@ Baba yetu ...umefanya kazi ya Mungu kwa uaminifu mkubwa sn umetutengenezea njia nzuri tunahubili kwa kujiamin🙏🏻🙏🏻
MUNGU mkubwa anajua kutengeneza hakika huyu alikuwa mtumishi WA MUNGU hapindishi maneno injili hii imeniokoa imeniweka imara Yesu ameniokoa kupitia injili hii, hakika neno la MUNGU ni uzima AMEN
A time when people sat down to listen to the word of God in silence and in humility. And only a sound doctrine was preached not diluted gospel in these days.
Huyu baba kulola alikuwa wa tofauti na wahubiri wangi sana tz na nje.japo alitealiwa na Bwana bado namkumbuka na kumpenda sana .by pastor ilomo iringa Mufindi.

AMEN
Naomba Mungu anisaidie nikutane na Askofu huyu mbinguni,nabarikiwa na mahubiri yake ya kweli,ndugu na dada zangu tutengenezeni njia tuingie mbiguni.
Amiiiiiina
Ameeen
Hayanimanenomatamubaba
Haleluya kwa Bwana na mwokozi wetu Yesu Kristo.
looh nimemiss sana hii yooooooh aaaaaaammmmmeeeennnn
Mubarikiwe kwa kazi hii ila ongezeni bidii kutafuta
Nyieee, Mungu atusaidie sana.
Mungu u shukuriwe kwahuu ujumbe
Injili ya kweli. Kwa Léo ni shida kuipata. Ubarikiwe ulipo baba.
Injili iliyo hai kwelikweli
Amtafutaye kristo Kwa bidii na kweli atampata, kweli Askofu korowa bidii YAKO ilionekana wazi. Mungu akuzidishie
Injili ya mzee wetu ... injili ya kweli itasimama daima
It have very very good
A time when people sat down to listen to the word of God in silence and in humility. And only a sound doctrine was preached not diluted gospel in these days.
😢😢😢😢😢
Huyu baba kulola alikuwa wa tofauti na wahubiri wangi sana tz na nje.japo alitealiwa na Bwana bado namkumbuka na kumpenda sana .by pastor ilomo iringa Mufindi.
Amina
Baba nakushukuru sana jmn Baba askofu!!! Naamini uko Mbinguni hakika. Ameeeen!!!
#paradiso
Mungu ni mwema mbarikiwe sana watu wa Mungu kwa kutupatia mahubiri ya mzee wetu. Watching from South Korea 🇰🇷
000
000000000000
000
Be blessed, from Tz
MUNGU asifiwe Sana 🙏
Amen
Jamani kusema kweli huyu mtumishi napenda Sana Tena injili yake baba umepumzika kifuani kwa baba yeti ibulahimu
A good God's messenger
Napenda I jamani
Kazi yenu nzuri lkn klip inakatika bila kupat pt 2
Yooooo
Amen Amen
Ameeeeen and Ameeeeen
Kimwili hatuko na wewe lakini kiroho tuko wote utuombee kwa baba naamini umeketi kwenye mkono wa kiume wa baba yan Amengu
Ni mhubili wa kweli
Paak okas ian
Neno la MUNGU litasimama tuu
Ni Nani YUPO tayari kuisema kweli ya MUNGU.Nb simama kwa zamu yako.
Lufyotole
Wengi waliokoka kwa mahubili yako
Mimi Ni mmoja wapi na naendelea kumfuata YESU kikamilifu
Tunamkumbuka sana baba maana Injili yake imetufanya Imara sana Tena sana YESU atushaidie cku moja nitamwona mbinguni.
Amina
Amen
AMEEN
Amina
Amen
Kwakweli INJILI hii ni HAI DAIMA
Naomba mahubiri ya Moses kulola aliyohubiri mbeya