Pumzika kwa Amani Baba Saba....ilikuwa ni baraka kukufahamu, kukujua, na kupata nasaha zako...Mungu akusamehe dhambi żako, akusafishe uovu wote, akupe nafasi ya kukaa na malaika wake Mbinguni....Amina
Mama wa Mungu, unifundishe kuyapokea mapenzi ya Mungu kwa unyenyekevu. Hata ninapokuwa katika shida kubwa nikumbushe kusema "Tazama mimi ni mjakazi wa Bwana, Nitendewe kama ulivyonena" Amina.
Kweli alitupa Roho Mtakatifu. Na pia pale msalabani kumbuka akutupatiya Mama Maria kupitia Mtakatifu Yohana. Pia kumbuka hapo Pentecosti ni nani waliiyepata Roho Mtakatifu? Mitume. Mama Maria alikuwemo... lakini yeye alipata mimba kwa Roho Mtakatifu. Tafakari hayo..That is the mystery.
Mama Bikira Maria asante sana kwa kukubali kuwa mama wa Mungu na mama yetu. Maagizo yako kusali rosari na kufanya toba kwa ajili ya amani ya ulimwengu na kuokoa roho nyingi zinazoteseka toharani. Kwa lugha nyepesi na iliyoeleweka kwa watoto tunapokea na kutekeleza agizo la kusali rozari. Tangu tulipoona na kushuhudia nguvu kubwa ya rozari, ushuhuda wetu ni kusali na kufundisha wengine kusali rosari kila mara. Asante Mama wa Mungu, Asante Mama Yetu. Asante padre kwa mang'amuzi hayo makubwa.
Milele Amina... Bikira Maria Mama wa Fatima utuombee Asante Mungu kwa ajili ya Fr. Raymond Saba Asante Fr. kwa Homilia ya kiini cha Mama yetu Bikira Maria kuja duniani kutupatia maagizo ya kutuletea amani. Mama Maria...Mama wa wote
Mafundisho yako Tunayaishi sana Baba Mwenyezi Mungu aendelee kukupumzisha kwa Amani Mafundisho yako bado nayaishi maana ya Rosari kuishi utakatifu siku zote Hapa duniani hakika Nafurahi na naenzi mafundisho yako
Mama bikra maria, mama wa Mungu utuombee. Shukran sana fr Raymond Saba kwa homilia yenye mafundisho makubwa juu ya mioyo yetu, kwa chakula cha roho. Upumzike kwa amani fr Saba, umefafanua vyema nafasi ya bikra maria katika maisha yetu. Tunamuomba Mungu wa mbinguni akupokee na mama maria aliyewatokea watoto wa fatima awe mwombez wako kwa mwanae Yesu Kristu. Nina majonz makubwa juu ya kifo chako lakini ninaamini bwana atakupokea huko mbinguni, nami ninamuomba sana Mungu niweze kuishi mafundisho yako.
Ainuliwe baba mwana na roho mtakatifu amina. Namshukuru mungu alinipeleka Japan kusoma PhD na kunifanya nitimize ndoto yangu ya miaka zaidi ya kumi nikitamani kusoma Japan. Baada kujaribu mara tatu nikaamua kuachana nayo ila mungu akatuma prof mmoja aliyenilipia kila kitu hadi Japan. Moyo wangu daima wamshukuru mungu
Bwana ametoa na bwana ametwaaa. Pumzika kwa Amani mtumishi wa Mungu, padri Raymond Saba. Roho wa Mungu aliyekufunulia hayo kulifundisha kanisa na ulimwengu, Roho huyo bado anaishi kupitia mafundisho yako mema.
Mungu n mwema kila wakat endelea kutupigania mama yetu usie na dhambi...tuombee ss wanao nas tupate utakatifu toka kwa Mungu ..barikiwa padre wetu mpendwa kwa mahubir haya
Josepha faustini hujui hujijui na hauto jua kamwe ktk maisha yako mpka kiama. Maana halisi ya mama wa Mungu ina maanisha mama aliechaguliwa na mwenyezi Mungu kuleta ama kumleta mkombozi wa ulimwengu huu ambapo Mungu aajidhihirisha katikati yetu IMANUEL maana yake ni Mungu pamoja nasi kwahio ni nani huyo nae ndio yesu alichaguliwa na akabarikiwa kuliko wanawake wote duniani...
Mama Maria mwombezi wangu niombee kwa mwanao anifanyie urejesho wa yale ninayo mwomba Sana sana Yesu Kristu niunganishe na ubavu wangu na upokee ombi langu katika jina lako takatifu..Amina🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇
Mungu muweza wa kila kitu Utusamehe, Mama Maria mtakatifu Utuombee, kwa msaada wa Maria Tunao sali Rosari Takatifu tutamshinda Shetani, Ee Mwenyezi MUNGU utajaliye Mapadiri Wengi wa aina hii popote Duniani kote Ninaomba hayo kwa njia ya Bwana wetu YESU Kristu Mungu wetu
Mama Maria umeombee Padre R.Saba Katika vikwazo vinavyomfanya asimwone baba Mungu. Raha ya milele umpe ee Bwana na mwanga wa milele umwangazie.....apumzike kwa amani Amina.
Kushiba hakutokani tu na kulasana Bali kuridhika,tumshukuru Mungu kwakile kiasi padri Saba alichojaaliwa kutufundisha tukienzi na tukiishi;na tumuombee kwa Mungu ampe pumzikojema lamilele.amina
Mama Bikira Maria, mama wa Mungu na mama yangu uniombee, Bikira Maria Ndiye mwanamke pekee duniani ni mama na hapo hapo ni bikira. Utuombee kwa Mungu. Amina.
Nashukuru saaana kwa mafundisho ya Mama nakufata kutoka Australia Mu gu akubariki na mama akufinike na Busti yake Takatifu .na pia ninahaja ya misa nayo.🙏🙏🙏
mwadhani kua na makanisa mkubwa ni fika mbinguni mtaishia kwenye magwanda ya maprokowenu. mnakera sana mjueni mungu na kusudi la yesu Duniani ni kwa ukombozi yes pekeyake ni mkombozi ombeni kwa huyo Acheni kua wachanga juu ya Elimu kuhusu mungu.
Elina Lwenge Fanya matendo unatakiwa kumheshim mama aliechaguliwa na Mungu kisha akasema kwa kupitia roho mtakatifu kua ataitwa mbarikiwa hujaambiwa kuwa usimtumie Bwana wetu yesu Kristo na hivi unajua kuwa Mariam kua alipalizwa mbinguni.
Kabla ya kuzaliwa mungu yesu na bikra maria. Je maria mungu wake alikua nani?. Kwa nini mungu yesu alimuumba mamayake bikira maria muislam yeye mkiristo?. na kwa nini mungu yesu alikufa akawaacha viumbe wake duniani sasa walikua wanamwabudu nani?. na dunia ilikua inaendeshwa na nani?. Nimeuliza haya masuali mnijibu kwa maandiko halafu niwe mkiristo.
alietokea huko sio mama maria ni shetani aliwatokea kwa sura ya maria shetani anawachezea akili dawa ni kuifuata Biblia na sio kufuata mapeo ya shetani
Rozari ni sala nzito na iliyotukuka mno maana nimeona na kushuhudia matendo makuu yakiwa matunda ya sala ya Rozari anayosali Mama yangu mara sita kila siku, amefanyiwa upasuaji mara 4 toka mwaka 1988 na sasa anaishi bila kula chochote kwa miaka 15 akiishi kwa kunywa maji na maziwa kidogo na kwa kusali Rozari mara nyingi kila siku kadiri iwezekanavyo.
Huo ni uongo na vita hivyo iliandaliwa na mpinga Kristo,hakuna biblia inayosema sarin rosario,na yeah,alisema yeye ndo mwanzo na mwisho,je unakuwaje,wale walio uwa yesu,ndo watangaze ijiri ya yesu,tunajua kaisar ndo mwanzilishi wa roma empire,agusto kaisar
nikazi kweli kwa wakatoliki kumjua Mungu wa mbinguni kwani wameacha kuifuata Biblia wamegagana na mapokeo ya wanadamu ambao walifunuliwa na shetani . tunae kuhani na muombezi mmoja tu ni YESU basi tofauti na yesu ni mafundisho ya ushetani
Baba Mungu Akupumzishe Mahali Pema peponi. Homilia Yako ya Mama yetu Bikira Maria Inaniongezea Imani Ya kumpenda Mama Maria ❤️🙏
Pumzika kwa Amani Baba Saba....ilikuwa ni baraka kukufahamu, kukujua, na kupata nasaha zako...Mungu akusamehe dhambi żako, akusafishe uovu wote, akupe nafasi ya kukaa na malaika wake Mbinguni....Amina
Asante sana padre kwa mafundisho mazuri sana kumuhusu mama yetu mpendwa Bikira Maria. Mungu akubariki sana.
Pumziko la milele umpe Ee Bwana na mwanga wa milele umwangazie fr Raymond apate rehema kwa Mungu apumzike kwa amani. Amina
Mama wa Mungu, unifundishe kuyapokea mapenzi ya Mungu kwa unyenyekevu. Hata ninapokuwa katika shida kubwa nikumbushe kusema "Tazama mimi ni mjakazi wa Bwana, Nitendewe kama ulivyonena" Amina.
Amina
Ila bwana yesu si alitupa msaidizi ambaye ni roho mtakatifu, what happened
Kweli alitupa Roho Mtakatifu. Na pia pale msalabani kumbuka akutupatiya Mama Maria kupitia Mtakatifu Yohana. Pia kumbuka hapo Pentecosti ni nani waliiyepata Roho Mtakatifu? Mitume. Mama Maria alikuwemo... lakini yeye alipata mimba kwa Roho Mtakatifu. Tafakari hayo..That is the mystery.
Believe that I am a good fit for the position and I am very interested in with love, joy peace and love
Mama Bikira Maria asante sana kwa kukubali kuwa mama wa Mungu na mama yetu. Maagizo yako kusali rosari na kufanya toba kwa ajili ya amani ya ulimwengu na kuokoa roho nyingi zinazoteseka toharani. Kwa lugha nyepesi na iliyoeleweka kwa watoto tunapokea na kutekeleza agizo la kusali rozari. Tangu tulipoona na kushuhudia nguvu kubwa ya rozari, ushuhuda wetu ni kusali na kufundisha wengine kusali rosari kila mara. Asante Mama wa Mungu, Asante Mama Yetu. Asante padre kwa mang'amuzi hayo makubwa.
father nakushukuru sana kwa tafakari ya mama Bikira Maria Mungu akubariki sana
Penda saaana mama yetu bikira Maria ,utuombee mama daima tupeleke kwa Yesu tumuabudu pamoja ombea familia zetu zilinde mama
Pumzika kwa Amani Fr....Mungu akuwekee mkono wake wa kuume! Tunakuombea kila lililo jema Fr Raymond🤚🏾
Milele Amina...
Bikira Maria Mama wa Fatima utuombee
Asante Mungu kwa ajili ya Fr. Raymond Saba
Asante Fr. kwa Homilia ya kiini cha Mama yetu Bikira Maria kuja duniani kutupatia maagizo ya kutuletea amani.
Mama Maria...Mama wa wote
Mafundisho yako Tunayaishi sana Baba Mwenyezi Mungu aendelee kukupumzisha kwa Amani
Mafundisho yako bado nayaishi maana ya Rosari kuishi utakatifu siku zote Hapa duniani hakika Nafurahi na naenzi mafundisho yako
Mama bikra maria, mama wa Mungu utuombee. Shukran sana fr Raymond Saba kwa homilia yenye mafundisho makubwa juu ya mioyo yetu, kwa chakula cha roho.
Upumzike kwa amani fr Saba, umefafanua vyema nafasi ya bikra maria katika maisha yetu. Tunamuomba Mungu wa mbinguni akupokee na mama maria aliyewatokea watoto wa fatima awe mwombez wako kwa mwanae Yesu Kristu.
Nina majonz makubwa juu ya kifo chako lakini ninaamini bwana atakupokea huko mbinguni, nami ninamuomba sana Mungu niweze kuishi mafundisho yako.
😊
Nimefarijika Sana na mafundisho haya ,Mungu azididi kukufariji huko uliko Padr wetu ,upumuzike kwa Aman
Huwa nakuelewa sana Padre Raymond!Mungu wa mbinguni akujalie hekima na uchaji mkuuu
Ainuliwe baba mwana na roho mtakatifu amina. Namshukuru mungu alinipeleka Japan kusoma PhD na kunifanya nitimize ndoto yangu ya miaka zaidi ya kumi nikitamani kusoma Japan. Baada kujaribu mara tatu nikaamua kuachana nayo ila mungu akatuma prof mmoja aliyenilipia kila kitu hadi Japan. Moyo wangu daima wamshukuru mungu
Bwana ametoa na bwana ametwaaa. Pumzika kwa Amani mtumishi wa Mungu, padri Raymond Saba. Roho wa Mungu aliyekufunulia hayo kulifundisha kanisa na ulimwengu, Roho huyo bado anaishi kupitia mafundisho yako mema.
Mungu n mwema kila wakat endelea kutupigania mama yetu usie na dhambi...tuombee ss wanao nas tupate utakatifu toka kwa Mungu ..barikiwa padre wetu mpendwa kwa mahubir haya
Maria Mama wa Mungu utuombee
Josepha faustini hujui hujijui na hauto jua kamwe ktk maisha yako mpka kiama.
Maana halisi ya mama wa Mungu ina maanisha mama aliechaguliwa na mwenyezi Mungu kuleta ama kumleta mkombozi wa ulimwengu huu ambapo Mungu aajidhihirisha katikati yetu IMANUEL maana yake ni Mungu pamoja nasi kwahio ni nani huyo nae ndio yesu alichaguliwa na akabarikiwa kuliko wanawake wote duniani...
God to take care everywhere 👋👭💜👩❤️👩
Mama Maria kimbilio ya wakosefu tuombe na umpe pumziko la amani saba mtoto wako Amen
Asante fr Raymond nafarijika na homilia yako
Mama Maria mwombezi wangu niombee kwa mwanao anifanyie urejesho wa yale ninayo mwomba
Sana sana Yesu Kristu niunganishe na ubavu wangu na upokee ombi langu katika jina lako takatifu..Amina🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇
Mungu muweza wa kila kitu Utusamehe, Mama Maria mtakatifu Utuombee, kwa msaada
wa Maria Tunao sali Rosari Takatifu tutamshinda Shetani, Ee Mwenyezi MUNGU utajaliye Mapadiri Wengi wa aina hii popote Duniani kote Ninaomba hayo kwa njia ya Bwana wetu YESU Kristu Mungu wetu
What happened to this amazing soul?? I used to follow his preachings! Ooh God, may you grant his soul an eternal rest in you who made him.🙏🙏
Mama Maria umeombee Padre R.Saba Katika vikwazo vinavyomfanya asimwone baba Mungu. Raha ya milele umpe ee Bwana na mwanga wa milele umwangazie.....apumzike kwa amani Amina.
Ubarikiwe sana fr.Saba kwa mafundisho yaliyojaa hekima nyingi
Nakosa cha kusema juu ya upendo wa Mama Bikra Maria..Ahsantee mbarikiwa!!
Kushiba hakutokani tu na kulasana Bali kuridhika,tumshukuru Mungu kwakile kiasi padri Saba alichojaaliwa kutufundisha tukienzi na tukiishi;na tumuombee kwa Mungu ampe pumzikojema lamilele.amina
Pumzika kwa amani baba. Aksante kwa mafundisho mazuri ya mama yetu Bikira Maria. Tusali Rozari daima.
Asante Sana Padre Raymond, Mungu azidi kukulinda na uzidi na moyo huo huo!
Mungu akuzidishie neema kuendeleza kazi yake.
Asante sana Fr. kwa tafakari ya kina kuhusu mama Yetu Bikira Maria. Ubarikiwe sana.
Sr Ignasia K
Karibu Padre hapa kwetu Kenya utufundishe kuhusu Rosari na msalaba wa Kristo kwa kuwa tunahitaji kuyafahamu haya.Masomo ya kusisimuwa na kutafakali.
Asante sana father kwa tafakari nzuri
Be Blessed fr..karibu hapa Kenya utufundishe mengi kuhusu Bikira Maria
Barikiwa sana Padri kwa mahubiri yako mazuri
Mama yetu Bikira Maria Utuombee. Baba Raymond Saba Mungu Akupe Pumziko la AMANI Mbinguni
Fr Saba Mimi nakulilia sana nakuombea uendelee kupata pumziko jema😢🙏
Baba una maneno ya rohoni mungu akuzidishie hekima na utumishi uliotukuka Amina
Ave Maria, asante sana Padre
Kwa neno tukufu ya mungu
Amen🙏🏿.
Asante Sana baba Kwa mahubiri mazuri ubarikiwe Sana baba Amina
God take care of all the world Amen 🙏👋➕💖💜💚👩❤️👩👭2gether pray every day and again for the enemy to be able to make where you are 💚💜
Pumzika baba mungu akusamehe ulipo kosea ,,R,,I,,,P
Padre tumsifu Yesu Kristu. Uko parokia gani kwa sasa
Rest in perfect peace Fr Saba. Umevipiga vita vilify vizuri mwendo umeumaliza na Imani umeilinda. Imani bila sala au matendo imekwisha.
Hakika ulikuwa hazina ya kanisa ,r.ip
Mama Bikira Maria, mama wa Mungu na mama yangu uniombee, Bikira Maria Ndiye mwanamke pekee duniani ni mama na hapo hapo ni bikira. Utuombee kwa Mungu. Amina.
Pumzika kwa aman fr raimondi Saba
Asante sana baba kwa fundisho zuri
Msimwite mtu yeyote baba,maana mnae baba mmoja tu.
Nashukuru saaana kwa mafundisho ya
Mama nakufata kutoka Australia Mu gu akubariki na mama akufinike na Busti yake Takatifu .na pia ninahaja ya misa nayo.🙏🙏🙏
asante XANA padre kwa mafundisho yako mazuri
Tunamwombezi mmoja tuuu yesu kristo
Nimekusoma kaka,ndio ninachoelewa
God make the way to the world 👋🙏💜💚👭➕
Pumzika kwa amani fr Raymond hakika mama Maria akubebe mikononi mwake akupeleke mbinguni
bikira maria mama yetu utuombee sisi wakosefu,asante father
Hongera father kwa mafundisho yako
Amen to all the world
MUNGU TUHURUMIE,KRISTO TUHURUMIE,MAMA WA MUNGU UTUOMBEE.AMINA
Amina sana
bikira maria is helping as to assist our prayers to be held by his son
am greatful through rosary
Pumzika kwa Amani baba yetu
Mama bikira maria mama wa mungu. Jamani Mungu anazaliwa kabisa
Asante sana padri kwa Tafakari nzuri ya mama Bikira Maria.Na hasa kuilinganisha na maisha yetu ya kila siku.
Pray every day without stopping by any of the world amen 💜🙏👋➕💚👭
Nimekupenda bure padri,mpk nimemkumbuka kaka yangu ambaye na yy alikuwa padri,alifariki mwaka juzi
Pole padri kwa mahuburi yako Ila
Yesu anakuhitaji Sana uokoke
Rest in peace Baba Raymond Saba, hakika ulimtangaza mama Bikira Maria Kwa kishindo
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ingelikuwa watu wanamuelewa mama huyu ...nadhani ulimwengu wote wangesali muda wote Kwa furaha
Milele Amina
fr umeeleweka
Mama mwenye moyo safi utuombee sisi wakosefu
Together 👋👭❤️➕💖
Amina
Endelea kupumzika kwa Amani fr Saba tutakukumbuka baba
Rest in peace my father
Pumzika kwa amani babs
Mkimbirie yesu achana na Maria alipata neema huyo kwa Mungu
Mama mwombezi wetu uzidi kutuombea Kwa mwanao
bikira Maria Mama wa huruma utuombee sisi wakosefu
bikira maria kimbilio na msaada wetu,,,,utuombee
R i.p❤️
mwadhani kua na makanisa mkubwa ni fika mbinguni mtaishia kwenye magwanda ya maprokowenu. mnakera sana mjueni mungu na kusudi la yesu Duniani ni kwa ukombozi yes pekeyake ni mkombozi ombeni kwa huyo Acheni kua wachanga juu ya Elimu kuhusu mungu.
Elina Lwenge hujui ulisemalo mungu akuongoze
Elina Lwenge Fanya matendo unatakiwa kumheshim mama aliechaguliwa na Mungu kisha akasema kwa kupitia roho mtakatifu kua ataitwa mbarikiwa hujaambiwa kuwa usimtumie Bwana wetu yesu Kristo na hivi unajua kuwa Mariam kua alipalizwa mbinguni.
Elina Lwenge kila unapo sali mwisho tunasema kwanjia ya yesu Kristo.mariam ni lazima apewe sifa yake naye atuombea kwa yesu...
Na ni nani aliwahi mwona maria, mbona kuna sanamu? Ndo alikuwa yeye?
Hujui ulisemalo Mungu azidi kukubariki
Mama Bikira Maria muombezi wa wasiyo na waombezi utuombee
Kabla ya kuzaliwa mungu yesu na bikra maria. Je maria mungu wake alikua nani?.
Kwa nini mungu yesu alimuumba mamayake bikira maria muislam yeye mkiristo?. na kwa nini mungu yesu alikufa akawaacha viumbe wake duniani sasa walikua wanamwabudu nani?. na dunia ilikua inaendeshwa na nani?.
Nimeuliza haya masuali mnijibu kwa maandiko halafu niwe mkiristo.
Rahma Shaban nitumie email yako kwa fligwa@gmail.com nikutumie majibu ya unachouliza
Makubwa haya,kweli Rosari ndio njia ya kutuelekeza kwa YESU KRISTO.
Rest in peace father
Ahsante sana baba kwa mafundio mazuri
alietokea huko sio mama maria ni shetani aliwatokea kwa sura ya maria shetani anawachezea akili dawa ni kuifuata Biblia na sio kufuata mapeo ya shetani
Amen for the enemy 👋➕🙏💜❤️
RIP fr
Haya mapokeo yanatupotosha,tusome neno la mungu
Nadhani unamchukulia Mama Maria kama mwanamke wa kawaida?
Atakuwa mkarismatic huyu mwenye hoja hii
ASANTE BB RAYMOND SABA KUTULISHA NENO LA MUNGU KUPITIA MAMA KANISA MAMA YETU BIKIRA MARIA.NANI KAMA MAMA BIKIRA MARIA?
Amina
RIP PADRE
Dah shetani hapendi vipaji rip baba
Pumzika kwa amani baba.
Kama huamini katk haya haina haja ya kuwapotosha wanao amini.Acha kila.mtu aamini kwa iman yake.Hukumu ni kaz ya.Munqu .Tuwe wa.tulivu.
Punzika kwa Amani Baba Saba
Mama Maria akupokee kule mbinguni
Roho yako ipumzike kwa amani mbinguni Pdr.
Rip Father
Rest in eternal peace padre Raymond saba
Rozari ni sala nzito na iliyotukuka mno maana nimeona na kushuhudia matendo makuu yakiwa matunda ya sala ya Rozari anayosali Mama yangu mara sita kila siku, amefanyiwa upasuaji mara 4 toka mwaka 1988 na sasa anaishi bila kula chochote kwa miaka 15 akiishi kwa kunywa maji na maziwa kidogo na kwa kusali Rozari mara nyingi kila siku kadiri iwezekanavyo.
J Twahirwa . sasa uoni anateseka aachane na rozari ya maria . aje kwa yesu anapona kabisa
Ads
Sad
Miller amina
Bikira maria utuombee
AMINA
Una andiko lolote la biblia kuhusu hayo au ni mapokeo ya wanadamu acha kupotosha watu hizo roho ulizodanganya utadaiwa
Who died for our sin?
Usiejua maana hatukupi maana kama maraika alinyenyekea kwa huyu mama je wewe ni bora kuliko maraika?
Huo ni uongo na vita hivyo iliandaliwa na mpinga Kristo,hakuna biblia inayosema sarin rosario,na yeah,alisema yeye ndo mwanzo na mwisho,je unakuwaje,wale walio uwa yesu,ndo watangaze ijiri ya yesu,tunajua kaisar ndo mwanzilishi wa roma empire,agusto kaisar
This is false
RIP father Raymond saba
Apumzike kwa amani Fr Raymond Saba
Maria mpokee mtumishi wako amina
Asante baba upumzike kwa amani
Mama mwenye moyo safi utuombee sisi wakosefu
RIP padre Raymond saba
Rip father
Amina
Asante mama yetu bikira Maria uzidi kutuombea ili tuweze kusali rozali
nikazi kweli kwa wakatoliki kumjua Mungu wa mbinguni kwani wameacha kuifuata Biblia wamegagana na mapokeo ya wanadamu ambao walifunuliwa na shetani . tunae kuhani na muombezi mmoja tu ni YESU basi tofauti na yesu ni mafundisho ya ushetani
RIP fr
Mama Bikira Maria akupokeee amina