Songea mpya ndio hii inatusogelea...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ค. 2018
  • Naona ule mradi wa ULGSP unalipitisha tabasamu kwenye mji wa Songea ikiwa ni moja ya Halmashauri 18 ambapo umesaidia Halmashauri hii kuwa miongoni mwa miji inayokuwa kwa kasi kubwa.
    Hivi sasa Wananchi wanafurahia miundombinu amazing ya barabara, wanapumzika katika bustani ya kisasa, vilevile wanatumia stendi iliyoboreshwa huku wakisubiria stendi ya kisasa inayoendelea kujengwa.
    Tusisahau pia kuongezeka kwa mapato ya ndani kulikosababishwa na ufungaji wa mfumo wa kielektroniki wa ukusanyaji wa mapato uitwao Local Government Revenue Collection Information System (LGRCIS),

ความคิดเห็น • 12