Acahana na vita, hao wanakudanganyanya unabakia magofu, huyo mwamba hutamuweza una madeni mpaka, unaweza kulipa unafikiri ni msaada kumbe wanakuzuia silaha acha hayo mambo kijana
Zelenzyk ameferi pamoja na kusaidiwa na nchi takribani zaidi ya 58 duniani ikiwemo Marekani si aibu hiyo yaani NATO wamo EU wamo lakini ni kipigo kitakatifu viva Russia viva Putin

Siyo "aridhi" ni "ardhi"
Mwana kulitafuta
Mwana kulipata
Putin atasumbua tu ktk muda wake,baada ya hapo dunia itakuwa salama