BAADA YA MSIGWA KUHAMA CHAMA(CHADEMA) VIONGOZI WA CHADEMA MIKOA YA MBEYA NA SONGWE WATOA YA MOYONI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • CHADEMA NDIO CHAMA PEKEE CHAKUWASEMA WANANCHI

ความคิดเห็น • 46

  • @yassinnabwera4273
    @yassinnabwera4273 3 หลายเดือนก่อน +6

    Uko sahihi kiongozi,Chadema haiwezi kusambaratika eti kisa Peter Msigwa.

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 3 หลายเดือนก่อน +4

    Umeongea vizuri

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 3 หลายเดือนก่อน +6

    Msigwa tamaa ya madaraka inamsumbua

  • @DeusAloyce
    @DeusAloyce 3 หลายเดือนก่อน +6

    Msigwa ni sawa na Mwajuma

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mimi naamini wanainchi mukilinde hiki chama maana hata uhuru tulionao nikwakua ccm wanaiogopa chadema vinginevyo tungepigwa viboko

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 3 หลายเดือนก่อน

    EXCELLENT SAID, CHADEMA IMEWANOA NA KUWAIMARISHA WATU WENGI SANA, HASA VIJANA

  • @Nicolasmosereta
    @Nicolasmosereta 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi naamini Chadema ni mwiba mkali kwa taifa hili endelea kupiga kwenye mshono vyama viko vingi Tanzania ila chama kinachoandamwa sana ni Chadema mimi naamini mna kitu endelea kupigana

  • @MashakaMagesa
    @MashakaMagesa 3 หลายเดือนก่อน +4

    Halitoka Siraa na Ziko lakini mapambano bado yanaendelea

  • @musa-v3f
    @musa-v3f 3 หลายเดือนก่อน +5

    Msigwa njaa imepanda kichwani na uvumilivu umemshinda sasa ajiandae ccm kumlisha matapishi yake mwenyewe..

  • @tobiaspaul9203
    @tobiaspaul9203 3 หลายเดือนก่อน +1

    Anaenda kupewa ukuu wa wilaya, siasa hawez tena

  • @CalistusTitus-s5o
    @CalistusTitus-s5o 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kwanza ata ukiliona likichwa cha msigwa ni kama msukure

  • @Zanzibar-e4h
    @Zanzibar-e4h 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sawa iwe kafanyiwa figisu nde ende ccm chama kinoumiza watu

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 3 หลายเดือนก่อน +4

    Njaa tu imempeleka, ila ukweli utabaki moyon mwake amejifunga mdomo hataongea ukweli Tena nenda huko

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn 3 หลายเดือนก่อน +9

    Ameondoka pekee yake hata familia yake imemkataa

  • @melch3097
    @melch3097 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mi binafsi, mtu yeyote anaendoka chadema, sioni shida, Kuna vipaji Vinahitaj nafasi

  • @Deoathanasmbongo
    @Deoathanasmbongo 3 หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana kwa busara zako kiongozi wetu sisi tupo pamoja na hili lituimarishe zaidi

  • @FikiriniMwaluko
    @FikiriniMwaluko หลายเดือนก่อน

    Ningemuona anaakili sana angehamia act kwenda kwa mafis em duu!?

  • @Zanzibar-e4h
    @Zanzibar-e4h 3 หลายเดือนก่อน

    Chadema wachen imani kuiweka pemben mnatakiwa mufurahi ALAH hukuondolea tafiki mnaf au hata mke ulikosalo lina heri na nyie unaweza ukaling'ang'ania jambo kumbe linashari na wewe unaweza ukaona unaikosa pesa kumbe heri yako

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 3 หลายเดือนก่อน

    YEYE AKAPUMZIKE TU, SPEED NA NGUVU CHADEMA ATUACHIE SISI VIJANA WAPIGANIA HAKI NA UHURU WA WATU

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 3 หลายเดือนก่อน

    Kumbe walikuwa wanalalamika rushwa kumbe walimtosa kwasababu alikuwa anagawa rushwa kutoka Kwa msukuma walimshitukia

  • @TrustElbashil
    @TrustElbashil 3 หลายเดือนก่อน

    amejimaliza mwenyewe maana haoni mbali ajifunze kwa akina nasali,waitara katambi,zito ,slaa, sumaye, lowasa,nyarandu, nawengine wengine msigwa alikuwa anataka cheo

  • @aloycemisigalo3983
    @aloycemisigalo3983 3 หลายเดือนก่อน

    Msigwa alihongwa pesa, haya sio maneno yangu ni maneno ya Msukuma aliongea mapema sana. Huyu Msigwa kajishushia kheshima.

  • @GeophreyMsomba
    @GeophreyMsomba 3 หลายเดือนก่อน

    Muache aende kwaniyeye Nani vijanawapo.

  • @EmmanuelSabibi
    @EmmanuelSabibi 3 หลายเดือนก่อน

    Mtu anaeenda ccm ,ujue sio mtetezi wa wananchi ,siku zote wanaotetea na kujali kuvisemea vitu vya wananchi ni chadema ,ila huyo kaenda ccm kupiga hela tu wala sio mzalendo huyo

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 3 หลายเดือนก่อน

    Chadema ngome nzito.
    Tuko pamoja makamanda

  • @PaskaliCharles-pz8ds
    @PaskaliCharles-pz8ds 3 หลายเดือนก่อน

    Aondoke mwenyewe ana njaa kali akaungane na mafisadi ya nchi hii

  • @brownaled2576
    @brownaled2576 3 หลายเดือนก่อน

    Good point

  • @mamlomamlo9064
    @mamlomamlo9064 3 หลายเดือนก่อน +1

    Labda kaingia ccm kuiharibu ccm

  • @ClementLushino
    @ClementLushino 3 หลายเดือนก่อน

    Ameenda kutafuta teuzi za mama Ma RC, DC wakurungezi na nyingine nyingi ana jipya.

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 3 หลายเดือนก่อน +1

    Lakini Msigwa amewakeraaaaa na bado sana mtakerekaaa

  • @JohnMwankina-sb6zb
    @JohnMwankina-sb6zb 3 หลายเดือนก่อน

    Msigwa alikuwa anawafundisha wanachadema jinsi ya kumjua msaliti ndani ya chama,sasa yeye kayafanya msaliti,kumbe hata alivyokuwa mkt wa Kanda ya Nyasa alikuwa kiongoz msaliti,

  • @LoitushulYamat
    @LoitushulYamat 3 หลายเดือนก่อน

    Jamani msijadili tena ya msigwa amechagua lake hilo hana tena nguvu,maana kwetu acheni kabisa.

  • @coolsinare8824
    @coolsinare8824 3 หลายเดือนก่อน

    halima nae alikuwa maarufu..dr Slaa..Zito kabwe nawengine ni haki yake aende kokote tu ni sawa..mi ukiniuliza alishavamiwa huyo ni hatari kama angeendelea kuwepo kwenye chama chenu..pigeni na shampen kabisa

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 3 หลายเดือนก่อน +1

    Msigwa kazeeka anataka aende ccm akapumzike siasa

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 3 หลายเดือนก่อน

    Chadema kina mitambo miamba mingi fisiyemu toka waanze kununua haijaisha ndo inaongezeka kwa kasi mtajua hamjui

  • @MjuniLaulian
    @MjuniLaulian 3 หลายเดือนก่อน

    Ameona awai pesa za bandari na anaweza kupewa kauwazili ili nae apate pa kupigia dili uyu ni msigwa anakwambia yeye awezi kushindwa

  • @isackphilipo9870
    @isackphilipo9870 3 หลายเดือนก่อน

    Nilikuwa mfuasi wa msigwa ila kwa sasa siwezi kuwa mfuasi wa Yuda eskarioti tena hana mvuto tena amesha kufa kiasiasa

  • @jakobongwara3038
    @jakobongwara3038 3 หลายเดือนก่อน

    Jamaani huyu feki mchugaji mwacheni chama nikamali kula msigwa nitamaa atarudi tu

  • @LoitushulYamat
    @LoitushulYamat 3 หลายเดือนก่อน

    Watachanganya majina ya wapiga kura

  • @tibbsminja2575
    @tibbsminja2575 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ana Haki ya kwenda kokote.
    Ajiulize mara 2 huyo huyo aliyempokea na anamsifia kuwa anataka kushirikiana naye na anatoa hela za miradi!
    Ajiulize NYALANDU alipokelewa kama yeye ni miaka ngapi sasa imepita hatumsikii!!
    SUMAYE alirudi wapi unamsikia?
    Nenda salama! Kukosa tu uongozi kimekulamba!!

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 3 หลายเดือนก่อน

    MAJASIRI HAWACHOKII

  • @henryndosi2002
    @henryndosi2002 3 หลายเดือนก่อน

    Msigwa na mpina ni mapacha 😮ila chadema ni matapeli wazoefu

  • @konderaeriasi6251
    @konderaeriasi6251 3 หลายเดือนก่อน

    Mjinga sana musgwa chadema tupo imara

  • @MalamboSelijusi
    @MalamboSelijusi 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe umeenza juzi naumezaliwa juzi kwenye Siasa sema mmechukia kwasababu anakiwango

    • @BraytonMwakitalima
      @BraytonMwakitalima 3 หลายเดือนก่อน

      Hana kiwango chadema itadumu milele magufuli alishindwa ataweza msigwa kweli

    • @MalamboSelijusi
      @MalamboSelijusi 3 หลายเดือนก่อน

      @@BraytonMwakitalima magufuli hakushindwa sipokua chadema nikitega uchumi ambacho kinakizi matakwa ccm nakwa wahusika wenyewe