Mch Moses Magembe - UAMUZI WAKO, HATIMA YAKO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 47

  • @husseinjohn532
    @husseinjohn532 ปีที่แล้ว +4

    MUNGU akuhongezee miaka yakuhishi ili utufunze more nakupenda sana mchungaji wangu 😊

  • @fatumaremy
    @fatumaremy ปีที่แล้ว +2

    Amena Mungu atusaidie tuwe na maamuzi mazuri yenye kupendeza Mungu 👏👏👏👏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🇺🇸

  • @patiencehumbled3519
    @patiencehumbled3519 ปีที่แล้ว +3

    Baba Mungu akubariki sanaa mimi niko inchi ya lebanon,nilikuwa nimeokoka lakini nilikuwa sijapata malezi mazuri ya neno,lakini kupitia mafundisho yako nimefunguka akili na macho ya kirohoni

  • @maureenmgeni
    @maureenmgeni ปีที่แล้ว +2

    Amina na Amina

  • @ObadiahNyabuti
    @ObadiahNyabuti ปีที่แล้ว +1

    Mungu akutuze Baba yetu wa kiroho ww n wa Mungu tu milele

  • @Abraham_official-3
    @Abraham_official-3 2 ปีที่แล้ว +2

    Hatima Yako ndo uwamuzi wako au ndo matokeo yako
    Bwana yesu asifiwe sana utacho amua akikisha unauwakika na unacho kiamua maana wengi hujutia uwamuzi wao bila mungu utakosa uwamuzi sahihi mshilikishe mungu kwakila jambo amen

  • @emanuelwilliam6744
    @emanuelwilliam6744 2 ปีที่แล้ว +3

    Nakuelewa sana baba mchungaji

  • @gambonmgaya1286
    @gambonmgaya1286 2 ปีที่แล้ว +6

    Unajua nini watu wa Mungu hatujibiwi maombi yetu kwa haraka kwasababu hasa wanawake kusuka ,kusuka nywele za kuzimu ,mawigi, kuvaa surual, kanisani wanawake hawataki kujifunga vitambaa kichwani, Mungu anapotaka kukutumia anakutana na mpinga Kristo, Funika kichwa ukiwa kanisani , usisuke wala kuvaa mawigi ,hereni ,mabangili ,shanga viunoni ,mikononi , unaomba Mungu na unashanga na bangili mkononi wewe ni mganga, YESU UTUREHEMU ,mimi pia ni mtumishi chipkizi ,wanaume kuvaa manguo yenye machata yasiyojulika , muache na kunyoa denge mwache ,Mara moja Ni siku za mwisho. MPENDEZEENI MUNGU SIO WANADAMU .

  • @christopherobossygenya8984
    @christopherobossygenya8984 2 ปีที่แล้ว +4

    Glory Be To God. Mtumishi Tunakupenda Kwa Jinsi Bwana anavyokutumia Aleluya Tunakuwa kiroho.

  • @shukuranibenoit5638
    @shukuranibenoit5638 2 หลายเดือนก่อน

    Amen ubarikiwe saaana baba yetu

  • @isackakyoo6446
    @isackakyoo6446 2 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akutunze mzee wetu,baba wa Imani Tanzania

  • @danielhenry-hu5un
    @danielhenry-hu5un ปีที่แล้ว +1

    Amina baba mchungaji mungu akubariki

  • @happyJoram-y3s
    @happyJoram-y3s 8 หลายเดือนก่อน

    Baba nakuelewa sana Mungu akutunze

  • @tajialbanomashaka361
    @tajialbanomashaka361 2 ปีที่แล้ว +2

    Baba nimepona kwa hii injili

  • @willfredychazz2258
    @willfredychazz2258 ปีที่แล้ว +1

    Kwa wachunguji wa Tanzania huyu mzee waga namkubali sana sana

  • @maryaluoch1998
    @maryaluoch1998 ปีที่แล้ว +1

    be blessed bishop am toucheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeed

  • @giftbakari8253
    @giftbakari8253 2 ปีที่แล้ว +2

    Hakika MUNGU ni mwema, nakutakia maisha marefu mtumishi wa MUNGU , uzidi kutumika sawasawa na mapenzi ya MUNGU

  • @kedricksiame6167
    @kedricksiame6167 2 ปีที่แล้ว +2

    Amina Baba Mungu aenderelee kukutuza maana mmebaki kazi hiyo ni njema maana una ugusa moyo wangu kabisa

  • @estherkaale9422
    @estherkaale9422 2 ปีที่แล้ว +3

    Ameen Ameen ubarikiwe sana Mch. Neno zuri sana limenibariki na kunipa nguvu.

  • @harrietkiden7808
    @harrietkiden7808 ปีที่แล้ว +1

    He is full of Holy spirit and deeply rooted in Jesus Christ.

  • @emelyneigiraneza3033
    @emelyneigiraneza3033 2 ปีที่แล้ว +2

    MUNGU akubariki pastor

  • @evangelistneglinrobert609
    @evangelistneglinrobert609 2 ปีที่แล้ว +2

    ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @pireremaisha2482
    @pireremaisha2482 2 ปีที่แล้ว +2

    Tuna waihitaji piya hapa kwetu Congo.

  • @fikiri5530
    @fikiri5530 2 ปีที่แล้ว +3

    Be blessed man of God
    I love my spiritual father

  • @amosbenard6657
    @amosbenard6657 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki sana nipo pamoja na wewe

  • @yuritherbyamungu3857
    @yuritherbyamungu3857 2 ปีที่แล้ว +2

    Be blessed pastor

  • @kolaniwentibegelana616
    @kolaniwentibegelana616 2 ปีที่แล้ว +2

    May God bless you Pastor,i like your preaches

  • @mlimangaile1936
    @mlimangaile1936 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu aendelee kukutumia mtumishi, tunabarikiwa sana na masomo na maombi yako kupitia you tube

  • @amosbenard6657
    @amosbenard6657 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akupe haha ya moto wako

  • @hermansarwat881
    @hermansarwat881 2 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwa baba karibu mbinga ruvuma

  • @beatriceamissi5765
    @beatriceamissi5765 2 ปีที่แล้ว +2

    Kweli kabisa baba maamuzi mndo mimi mwenyewe

  • @amosbenard4358
    @amosbenard4358 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki Sanaa baba

  • @lovenesswalter6650
    @lovenesswalter6650 2 ปีที่แล้ว +2

    Mbarikiwe sana

  • @IsayaSchone-kt7uq
    @IsayaSchone-kt7uq ปีที่แล้ว

    Somo zuri sanaa

  • @samsonshagille8313
    @samsonshagille8313 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu wa mbinguni awainue juu zaidi kwa huduma hii... pia nauliza kitabu cha ukristo uchumi na umisheni nawezaje kukipata?

  • @egidentibahezwa1294
    @egidentibahezwa1294 หลายเดือนก่อน

    AMINA

  • @dorisgesare7707
    @dorisgesare7707 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen

  • @shilwamsokwa5946
    @shilwamsokwa5946 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameni

  • @beatriceamissi5765
    @beatriceamissi5765 2 ปีที่แล้ว +2

    Amena amena

  • @alenivyombo1919
    @alenivyombo1919 2 ปีที่แล้ว +2

    🙏

  • @ushindiMabura
    @ushindiMabura 11 หลายเดือนก่อน

    Bwana asifiwe naommba mnisaidie namba ya Moses magembe

  • @nasmamponde5737
    @nasmamponde5737 2 ปีที่แล้ว +1

    Naomba namba ya kutuma michango baba

    • @revmosesmagembetv9267
      @revmosesmagembetv9267  2 ปีที่แล้ว

      Mungu akubariki sana kwa sadaka tumia namba zetu za mawasiliano. +255 676 470 517 Jina: Yohana Magembe

    • @janethmwihumbo1289
      @janethmwihumbo1289 2 ปีที่แล้ว

      Mungu akubariki mtumishi ata mwakasege aliwai Sema hivi sifa na utukufu zimrudie mungu

    • @byishimocadeau9880
      @byishimocadeau9880 2 ปีที่แล้ว

      @@revmosesmagembetv9267 barikiwa muntumishi Mimi ningeomba unisaindiye number

    • @ushindiMabura
      @ushindiMabura 11 หลายเดือนก่อน

      Bwana asifiwe naomba mnisaidie namba ya mch.moses magembe