Exactly, always investors they are after profit, that's why JPM prioritise Tanzanian first, Due to lack of knowledge we submitted our resources to the foreigner with zero management we end-up like slaves.
Asante Rostam kwa kuwaelewesha mbumbumbu wanapita kila nchi kutembeza kibakuli cha mikopo kila iitwapo leo huku kiasi kikubwa wakiingiza mikopo hiyo kwenye matumbo yao. Ni umaskini ulioje! Hebu watupishe.
Huyu jamaa aliwahi kuongelea wachina wanaofilisi wana kijiji kwa kuweka mashine za kamali vijijini alisema inawalemaza vijana kutokupenda kufanya kazi wakitegemea kamali hongera mwana wantemi igogo lya kaya likashenenegwa
Nakubali kabisaa anavyosema mheshimiwa Rostam Aziz,nimefanya kazi Kenya kwa kweli wale ni wabinafsi saana tena saana,Tanzania tumeruhusu mpaka wachina wanaingia mpaka vijijini wanachimba sasa tunafikiri kupata ushuru kuliko masrahi ya watanzania wa baadae.
1.Reginal Mengi (R.I.P) 2.Said Salim Bakheresa 3.Rostam Aziz Ni miongo mwa wawekezaji wazawa ambao tunaweza tukawaamini. Ni wakati haujafika kuwaamini wawekezaji wazawa kupewa miradi mikubwa na wakaiendesha vizuri tu bila taabu.
Tanzania ina sera za kiuchumi zisizotabirika, mfano kipindi cha JPM serikali ilizuia uuzaji wa madini ya bati ili biashara ifanywe na wazawa ikiwemo plant za kuchenjua madini watanzania wakakopa mikopo wakaanzisha miradi hiyo. Samia aliposhika madaraka akabadili sera jambo liliopelekea kufilisika kwa walioanzisha hiyo miradi. Misamaha ya kodi kwa wawekezaji wa nje isiyozingatia kanuni inalemaza wazawa kushindana hizi ni sehemu tu ya changamoto
Hukuwemo ktk wale waliomuita ROSTAM fisadi wakati ule? Mana sifa moja ya cc watz ni roho mbaya na unafiki, wengi tulimpopoa Rostam wakati ule tukamuita fisadi, leo eti cc cc tunamsifia na kumuelewa.
Broo Milad this two weeks before I was thinking of this , na hili n true. Ukiangaliaa mataifa yote makubwa uchumi wao umekuwa Kwa kutegemeaa matajiri WA ndani kukuza uchumi WA nchi. This can be traced long time ago those days we don't have country we we're having small society and it's how they had done
Umeongea vizuri sana igunga boy angalia Nigeria uchumi wa nchi umeshikwa na wanaigeria wenyewe sisi huku tunajifanya wajuaji kuthamini wageni na kuwaweka kando wazawa mwisho wa siku wanaiba kila kitu wanahamishia kwao
@@ndukulusudikucho_ inategemea unakimbia nchi kwa mlengo gani hata Mimi na wewe Leo hii tunaweza kuikimbia bongo tukaenda kukaa nchi zingine,lakini Mimi nawewe mzawa mwenzangu tukisema tuanzishe hata kakiwanda kadogo tu ili tutoe ajira kwa ndugu zetu wabongo wenzetu tutakutana na vikwazo vingi ila Leo hii akija mtu wa nje atapewa mpaka mkopo ili kurahisha huo uwekezaji wake akitajirika tu anaenda kuifaidisha nchi yake
Huo ndio ukweli,kwanza waitwao wawekezaji kutoka nje ni mawakala wa mataifa yao,wengi kwanza huwa majasusi,kwahio nchi makini huwatengeneza wawekezaji wazawa kwanza,
Kama mfanyabiashara mkubwa kama huyu anaogea kuhusu maumivu ya wawekezaji oh my wawekezaji walio shika sehemu nyeti mpaka wakatuache tutatota sana ....MAGUFULI salama baba
@@ibrahimkatunzi7851 Alikuwa msimamiaji mzuri wa raslimali za nchi. Hakutaka washenzi kuja kujifanya kuwekeza. Iko wapi bandari, uko wapi uwanja wa KIA, Bagamoyo nayo vipi. Ndio maana mwenye kufikiri sawa sawa anamkumbuka Magufuli.
Yaani uyu Rostam ndiye mwenye uwezo wa kufanya wa Tanzania kuwa wawekezaji wakubwa sana ktk nchi yetu uyu anafaa kuwa mtu mwenye mamlaka ya maamuzi makubwa ya nchi maana uyu ni tajiri hawezi kuibia nchi maana yeye ni tajiri
Yuko sahihi kabisa tatizo letu na sisi watanzania hatutaki kuwekeza ukijaribu kuangalia hela ipo tunayo sisi wenyewe huku kama tunaweza jenga makanisa na misikiti mizuri kwa hivi vijisenti vyetu vidogo tunaweza pia kufanya makubwa zaidi cha msingi ni kuanza tuu.
Tumeruhusu magate na madirisha kwa wawekezaji. Hakuna nchi duniani iliyojenga uchumi wake kwa kutegemea wawekezaji, kwani hawa wanategemea kupata masilahi yao zaidi kuliko mwenye nchi yake. Lugha inayo pingana na taratibu za huyu Samia Suluhu Hasan. AHSANTE SANA Rostam Azizi umekuwa muwazi. Wenye masikio watayasikia. Acha tuibiwe tuwe weupeeeeeee na baadaye mama mama aelekee Kizimkazi kupumzika.
Kikubwa ni sheria za nchi kulinda maslahi ya wazawa na nchi zidi ya wawekezaji, lazima kuwe vipengele vya ukomo na maslahi mazuri kwa wazawa kwanza ndio maana China ni wazalendo pengine kuliko sisi wabomgo, ila kuna wawekezaji wa nje na wananufaika nao, na ulaya na marekani wapo wa asia waliowekeza, kikubwa tuangalie vipengele vya katiba vinalinda vipi maslahi ya ndani.
Huyu mwamba NI vile samaki ana mengi ya kuongea shida maji mdomoni yamejaa, nahisi picha ya maneno haya NI hii wafanyabiashara wazawa kama wamebanwa halafu wageni ndiyo wamepewa nafasi
Mirlad Ayo anahisa clouds maana bland yake skuhz nikubwa inakaribiana na clouds, siku mirlad akifungua media zake akajitenga na clouds clodus itapungua Makari
Yupo sahihi lakini wawekezaji wa ndani kama wapo nao wajitokeze hawajakatazwa ili uchumu wa nchi uwe juu Unakuta sisi wenyewe choka mbaya ndiyo maana yeyote anaye kuja sawa tu
Watanzania hawasikiyagi anko magu ashakga yasema hayo yote kitambo tu.kwamba tuwekeze kwetu kwanza kuliko kutegemeya wengine weje wekeza nchini mwetu.nchi ni tajiri lakini inaliwa na wengine kuliko kunufaisha wanainchi.
Kweli ksbisa .mfano mchina anawekezaga nini zaidi ya kupigahela nakusepa. Hata majengoyao yakazizao maranyingi wanajenga yasio yakudumu wana piga piga mabodi na marine zamdamfupi jengo wana paua wanafanya kiwanda theni mkataba ukiisha anawaachia ma mbaombaotuu na aridhiyenu tuu hskunakitu anaacha zaidi ya taka taka.
Kwa heshima kubwa sana lkn hapo sikubaliani na muheshimiwa kwani kuna nchi nyingi sana zimekuwa kutokana na uwekezaji wa nje ikiweme china na brazil na nyenginezo
Wamejazana bungeni kupiga makofi tu Yani ata kwaajili ya kawaida tu unaona kabisa aiwezekani lkn daaah katiba mbovu tuelewe ndo sababu ya yote Aya kutokea
Ataleta sababu wafanyakazi wake wengi ni wazawa pia yeye ni WA ndani hatazunguka lakini hapa ndiyo kwao lakini wa nje anaweza akanufaika then akasepa kwao
Wawekezaji wa nje ni moja wapo ya ajenda zinazokuja zikimbatana na misaada na mikopo kama sehemu ya masharti. Ikiwa tutaendelea kutegemea mikopo na misaada ya nje basi lazima tuendelee kukubali uwepo wao.
Rostam yupo sahihi Tanzania imekuwa shamba la bibi tena mfano wahindi wamejaa Tanzania 🇹🇿 wengi wao wanafanya upuuzi tu hawana ujuzi yaani nashangaa unakuta mhindi yupo site naye ni formen wangine wanauza maduka hapa tanzania, siku hizi watuluki wamejaa Zanzibar kila sehemu wanaendesha mpaka magari na wanaopaleti mitambo sisi wazawa tunakosa kazi watuluki na wahindi wamechukuwa kazi zetu yani kweli Magufuli alikuwa sahihi kabisa kusema Tz ni shamba la bibi
Mpaka uwe nje ya ulingo ndio unaweza kuongea maneno mazuri kama haya. Huyu huyu akirudi ulingoni unaweza kubaki mdomo wazi! Sijui ulingoni huwa wanalishwa nini!!!
Hiyo kauli aliyosema kwamba hakuna mwekezaji yeyote wa nje anauchungu na nchi hiyo huo huo mfano uwafikie wanaosomesha na kuishi na watoto wa watu wakizani ipo siku watafaidika nao message hiyo
Milango, mageiti na madirisha. Asante rostam.
Exactly, always investors they are after profit, that's why JPM prioritise Tanzanian first,
Due to lack of knowledge we submitted our resources to the foreigner with zero management we end-up like slaves.
Ongea kiswahili bwege ww mbona unakisikia ww cyo mzungu acha utumwa
@TryphonRabson sawa broo nitafanya hivyo
@@TryphonRabsonspeak english idiot
Asante Rostam kwa kuwaelewesha mbumbumbu wanapita kila nchi kutembeza kibakuli cha mikopo kila iitwapo leo huku kiasi kikubwa wakiingiza mikopo hiyo kwenye matumbo yao. Ni umaskini ulioje! Hebu watupishe.
Huyu jamaa aliwahi kuongelea wachina wanaofilisi wana kijiji kwa kuweka mashine za kamali vijijini alisema inawalemaza vijana kutokupenda kufanya kazi wakitegemea kamali hongera mwana wantemi igogo lya kaya likashenenegwa
Na aliongea ukweli
Huyu mtu hachanganyi kiswahili na Kiingereza... Safi sana
ACHA UPUMBAVU WA AKILI RANGI YAKE NYEUPE INAKUWEUSHA NINI??
Hana tofauti na mtu wa Tandale tu Amelia kigoma waongea kingereza kigoma??
Ujumbe mmeuelewa au mnabisha visivyopo kama MASHOGA
Umemuelewa kweli mwenzako@@stateofart1089
@@fatumajohn703 acha kutukana watu hapa.
Anajielewa
Pointi nzuri sana sijajua wakubwa kama wanasikiliza vizuri hii kitu ❤❤❤
Nakubali kabisaa anavyosema mheshimiwa Rostam Aziz,nimefanya kazi Kenya kwa kweli wale ni wabinafsi saana tena saana,Tanzania tumeruhusu mpaka wachina wanaingia mpaka vijijini wanachimba sasa tunafikiri kupata ushuru kuliko masrahi ya watanzania wa baadae.
Nyie hamuna akili wakenya si mabwabwa
Sawa je wamefikia wapi kimaendeleo au ndo uko kuandamana
Ushuru wenyewe unatusahidia nn
@@laisamaujud1157kweli mwanangu sie waTz ni wapumbavu tunathamini wa nje kuliko wazawa
Uko vizuri sana, nakuelewa sana
Kweli kabisaa tanzania ndiyo nchi ambayo inakataza watanzania kuwekeza nchini mwao nakuwakandamiza ili washuke kiuchumi nakuwatetea wawekezaji wa geni
1.Reginal Mengi (R.I.P)
2.Said Salim Bakheresa
3.Rostam Aziz
Ni miongo mwa wawekezaji wazawa ambao tunaweza tukawaamini. Ni wakati haujafika kuwaamini wawekezaji wazawa kupewa miradi mikubwa na wakaiendesha vizuri tu bila taabu.
Daaah mwamba rostam tangia nimeanza kukujuwa leo hii umeongea point
Umesomeka mzee 👊✔️
Unaakili nyingi kushinda wabunge wote wanaomshabikia mama kukopa ela nje
Tanzania ina sera za kiuchumi zisizotabirika, mfano kipindi cha JPM serikali ilizuia uuzaji wa madini ya bati ili biashara ifanywe na wazawa ikiwemo plant za kuchenjua madini watanzania wakakopa mikopo wakaanzisha miradi hiyo. Samia aliposhika madaraka akabadili sera jambo liliopelekea kufilisika kwa walioanzisha hiyo miradi. Misamaha ya kodi kwa wawekezaji wa nje isiyozingatia kanuni inalemaza wazawa kushindana hizi ni sehemu tu ya changamoto
@@RubenMtuwaMungu-bz8eekweli ndugu
Hukuwemo ktk wale waliomuita ROSTAM fisadi wakati ule? Mana sifa moja ya cc watz ni roho mbaya na unafiki, wengi tulimpopoa Rostam wakati ule tukamuita fisadi, leo eti cc cc tunamsifia na kumuelewa.
Magufuli aliona hii. Alitaka wazawa wapewe nafasi
Rostam Aziz 👍🏽
Mwamba mwenye historia TZ. Well said Azizi 🔥🔥🙏
Broo Milad this two weeks before I was thinking of this , na hili n true. Ukiangaliaa mataifa yote makubwa uchumi wao umekuwa Kwa kutegemeaa matajiri WA ndani kukuza uchumi WA nchi. This can be traced long time ago those days we don't have country we we're having small society and it's how they had done
Ameiweka kitaalam mno short and clear
Upo sahihi sana
Umeongea vizuri sana igunga boy angalia Nigeria uchumi wa nchi umeshikwa na wanaigeria wenyewe sisi huku tunajifanya wajuaji kuthamini wageni na kuwaweka kando wazawa mwisho wa siku wanaiba kila kitu wanahamishia kwao
Mbona wanaongoza Kwa kukimbia Nchi yao
@@ndukulusudikucho_Kukimbia nchi hata ulaya wanazikimbia nchi zao
@@ndukulusudikucho_ inategemea unakimbia nchi kwa mlengo gani hata Mimi na wewe Leo hii tunaweza kuikimbia bongo tukaenda kukaa nchi zingine,lakini Mimi nawewe mzawa mwenzangu tukisema tuanzishe hata kakiwanda kadogo tu ili tutoe ajira kwa ndugu zetu wabongo wenzetu tutakutana na vikwazo vingi ila Leo hii akija mtu wa nje atapewa mpaka mkopo ili kurahisha huo uwekezaji wake akitajirika tu anaenda kuifaidisha nchi yake
Yuko sahihi 100%
Safi sana kwa kutufumbua macho
ww kama nikipofu utaona aliyokuonesha mengine utaendelea kua kipofu tu
Yupo sahihi sana
Hata wewe Masoud kipanya Unaweza kuwa Mwekezaji 😊
Huo ndio ukweli,kwanza waitwao wawekezaji kutoka nje ni mawakala wa mataifa yao,wengi kwanza huwa majasusi,kwahio nchi makini huwatengeneza wawekezaji wazawa kwanza,
Kama mfanyabiashara mkubwa kama huyu anaogea kuhusu maumivu ya wawekezaji oh my wawekezaji walio shika sehemu nyeti mpaka wakatuache tutatota sana ....MAGUFULI salama baba
Sasa hapo magufuli anahusikaje
@@ibrahimkatunzi7851 Alikuwa msimamiaji mzuri wa raslimali za nchi. Hakutaka washenzi kuja kujifanya kuwekeza. Iko wapi bandari, uko wapi uwanja wa KIA, Bagamoyo nayo vipi. Ndio maana mwenye kufikiri sawa sawa anamkumbuka Magufuli.
JPM aliona hiki
Amemalizaa kila kitu. Akili kubwaaa
Yaani uyu Rostam ndiye mwenye uwezo wa kufanya wa Tanzania kuwa wawekezaji wakubwa sana ktk nchi yetu uyu anafaa kuwa mtu mwenye mamlaka ya maamuzi makubwa ya nchi maana uyu ni tajiri hawezi kuibia nchi maana yeye ni tajiri
Ningekua na uwezo ningekufanya rais wetu
Uwezo unao Cha msingi ni nia ya Kuutaka na Maono yako unataka kutuongoza tufanye nini.
Ungekuwa rais ungefanya hayo usemayo.....iwe heri kwa nchi na watu....natamani uwe rais ufanye usemayo
Imekuwaje tena leo umeongea point mwanza mwisho,hayo yalikuwa maono ya jpm.
Huyu jamaa anaakili ya kuzaliwa wewe. Uwezi mfikia kamwe.
Yuko sahihi kabisa tatizo letu na sisi watanzania hatutaki kuwekeza ukijaribu kuangalia hela ipo tunayo sisi wenyewe huku kama tunaweza jenga makanisa na misikiti mizuri kwa hivi vijisenti vyetu vidogo tunaweza pia kufanya makubwa zaidi cha msingi ni kuanza tuu.
Umetoa somo
Rostam anaongea kiswahili kizuri sana
Nikweli hakuna mwekezaji wa nnje atakae kujengea nchi yako
Mtu makini sana!
Tumeruhusu magate na madirisha kwa wawekezaji. Hakuna nchi duniani iliyojenga uchumi wake kwa kutegemea wawekezaji, kwani hawa wanategemea kupata masilahi yao zaidi kuliko mwenye nchi yake. Lugha inayo pingana na taratibu za huyu Samia Suluhu Hasan. AHSANTE SANA Rostam Azizi umekuwa muwazi. Wenye masikio watayasikia. Acha tuibiwe tuwe weupeeeeeee na baadaye mama mama aelekee Kizimkazi kupumzika.
Ndo kilicho bakia
Nilijua hujui kiswahili rostam
Corruption Ina chukua nafasi
umeongea ukweli kabisa
Sio Kweli Nchi Nyingi Zimeinuka Kutokana Na Wageni Kuja Na Mitaji. Mfano Mdogo Ni DUBAI Isingekuwahapo Ilipo
Anacho sema yuko sahihi 💯
Nikweli kabisa
Jamaa ana akili sana.
Kikubwa ni sheria za nchi kulinda maslahi ya wazawa na nchi zidi ya wawekezaji, lazima kuwe vipengele vya ukomo na maslahi mazuri kwa wazawa kwanza ndio maana China ni wazalendo pengine kuliko sisi wabomgo, ila kuna wawekezaji wa nje na wananufaika nao, na ulaya na marekani wapo wa asia waliowekeza, kikubwa tuangalie vipengele vya katiba vinalinda vipi maslahi ya ndani.
Jamaa ana akili kama yangu.
Huyu mwamba NI vile samaki ana mengi ya kuongea shida maji mdomoni yamejaa, nahisi picha ya maneno haya NI hii wafanyabiashara wazawa kama wamebanwa halafu wageni ndiyo wamepewa nafasi
Ukweli unaosemwa na kutuamsha
KWELI kabisa sisi tunafanya kazi sana lakini tunaliwa mno.. kuendelea itakuwa shida
Mirlad Ayo anahisa clouds maana bland yake skuhz nikubwa inakaribiana na clouds, siku mirlad akifungua media zake akajitenga na clouds clodus itapungua Makari
History ya dini na shule kwetu havijatufundisha kupenda vya kwetu. Ndo Maana made in Tanzania haviuziki Tanzania
Vip bandari zetu juu ya waaarabu
Madini autaki na ges
We huogopi?
#MIMI: DAAAH KWEL TUNAIBIWA😢
@NCHI YANGU: NAHANGAIKA KUTAFUTA WAKEZAJI KWAAJILI YENU. 😂😂
Duh ss kwann nchi yetu I ahangaika kutafuta wawekezaji jmn
Yupo sahihi lakini wawekezaji wa ndani kama wapo nao wajitokeze hawajakatazwa ili uchumu wa nchi uwe juu
Unakuta sisi wenyewe choka mbaya ndiyo maana yeyote anaye kuja sawa tu
Kwani hawapo? Si wewe hapo
Shida 10%
Watanzania hawasikiyagi anko magu ashakga yasema hayo yote kitambo tu.kwamba tuwekeze kwetu kwanza kuliko kutegemeya wengine weje wekeza nchini mwetu.nchi ni tajiri lakini inaliwa na wengine kuliko kunufaisha wanainchi.
Anayeongea ni mwekezaji wa yanga ajaye GSM by by😂😂😂😂
Kweli ksbisa .mfano mchina anawekezaga nini zaidi ya kupigahela nakusepa. Hata majengoyao yakazizao maranyingi wanajenga yasio yakudumu wana piga piga mabodi na marine zamdamfupi jengo wana paua wanafanya kiwanda theni mkataba ukiisha anawaachia ma mbaombaotuu na aridhiyenu tuu hskunakitu anaacha zaidi ya taka taka.
Very true
Sisi hadi misitu yetu tunakabidhi wageni wasimamie, tena wasio na huo uzoefu maana kwao hakuna misitu. Ajabu sana!
Nchi tajiri dunia zimewezesha watu wake kuimalisha sector binafsi. Kwahiyo Tz yetu iendelee kuwezesha raia wake uchumi utapanda
Huyu jamaa anaongea maswala ya kiuchumi ambayo ni mazito katika lugha rahisi ambayo hata Mimi ambaye sijaenda shule naelewa
Namisemo Yao, (Mama amefungua nnchi) acha tuipate Habari yetu
Kwa heshima kubwa sana lkn hapo sikubaliani na muheshimiwa kwani kuna nchi nyingi sana zimekuwa kutokana na uwekezaji wa nje ikiweme china na brazil na nyenginezo
Kweli hata Dubai pia
kwanini Tigo ameibadilish jina?
Akili kubwa
Huyu mzeh apewe ulinzi kaongea fact sana ani nimerudia kama mara 3 hii video kila kitu anacho kizungumza ni fact 🤝
Madirisha mageti sawa lkn wageni wanalalamika akuna ichi ngumu kupata documents km hii utaishia kariakoo tu na wajanja wa uwamiaji
Sasa nimeelewa kwa nini makampuni mengi ya kichina ya ujenzi niya serikali... Jamaa yupo smart sana.... Kuna kitu ametufungua...
Hao unaowambia hawakuelewiii mzee😢😢
Mzee ameongea kizalendo sanaa, viongozi wetu yachukue haya madini yafanyiwe kazi
Wachoyo au wanaakili awataki kibinasifwa malizao😂😂😂
Hivi kwanini matajiri wa Tanzania hasa wale utajiri wao ranking za juu asili yao sio tanzania?
Kaongea madini matupu..tushikamane tuijenge nchi yetu
Wamejazana bungeni kupiga makofi tu Yani ata kwaajili ya kawaida tu unaona kabisa aiwezekani lkn daaah katiba mbovu tuelewe ndo sababu ya yote Aya kutokea
Njo Congo utapewa na watoto😂😂😂😂😂 jaribu DRC
Hii message ilifikie pumbavu moja linajiita Madelu Mwigolo; tumbafu jizi kabisa wote na bi chura maizi wakubwa
Hata mwekezaji wa ndani au mfanya biashara wa ndani asiye mzalendo (moigaji)hawezi leta maendeleo katika taifa lake(Tanzania)
Ataleta sababu wafanyakazi wake wengi ni wazawa pia yeye ni WA ndani hatazunguka lakini hapa ndiyo kwao lakini wa nje anaweza akanufaika then akasepa kwao
Iyo hela ataipeleka wapi Kama sio kwa wazawa?
Sure wawekezaj.wanaongezea katk uchumi.wako sio kukujengea uchumi wa nchi yako
Daah eti namadirisha😂😂
Kwo starlink wasije co
Nyie wafanya biashara wakubwa mnanyonya sana wananchi wa har ya chin mnapandisha ovyo bidhaa Bora zije kampuni nyingi Ili mshindane kwenye soko
Sio milango tuuu na mageti na madirisha
Wawekezaji wa nje ni moja wapo ya ajenda zinazokuja zikimbatana na misaada na mikopo kama sehemu ya masharti.
Ikiwa tutaendelea kutegemea mikopo na misaada ya nje basi lazima tuendelee kukubali uwepo wao.
Upo sahihi kabisa
Rostam yupo sahihi Tanzania imekuwa shamba la bibi tena mfano wahindi wamejaa Tanzania 🇹🇿 wengi wao wanafanya upuuzi tu hawana ujuzi yaani nashangaa unakuta mhindi yupo site naye ni formen wangine wanauza maduka hapa tanzania, siku hizi watuluki wamejaa Zanzibar kila sehemu wanaendesha mpaka magari na wanaopaleti mitambo sisi wazawa tunakosa kazi watuluki na wahindi wamechukuwa kazi zetu yani kweli Magufuli alikuwa sahihi kabisa kusema Tz ni shamba la bibi
Akili mingi Sana,,hata ruge nilishamnakilialipokuwa hai,,alisema lazima serikali ijikite kuinua watanzania ili tuijenge nchi yetu
😢sawa
Kama hujasoma uchumi huwezi elewa
Mi nimemuelewa
Gahiitahi hata elimu kubwa kuelewa
Sio mpaka usome uchumi, akili ya kawaida inatosha
Unaruhusu wawekezaji kwa Sera ambazo zinamanufaa kwako na inchi,, piah unalinda wawekezaji wa ndani kwa Sera vivyo hivyo.
Kwanini kila siku usingekuwa unaongea hivyo
Mnafiki leo hii wanaikumbuka tawala ya magu wakati ndio walikuwa wakimpinga sana.
Kuna haja yakuchagua mfanyabishara kwenye mamulaka ,nadhani tutaendelea , other wise tutahangaika
Kitendo cha nyinyi matajiri kukubaliwa kuwa wa bunge na kushika nafasi za juu serikalini ndio kimefanya munatunyanyasa sisi waajiriwa wenu
Kumbe rostam sio roma na stamina
😂😂😂😂😂 si ndio
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Wew kumbe ni mtoto wa 2000
Ndio yale yale alichosema Bw. Ndugai.. Nchi itapigwa mnada... Lakini Rostam ameisema kwa makini na ustarabu...
mpakavyoo
Watanzania wajifundishe kuongea kiengereza wakumbafu !!
Tufungue macho
Tunafuata sheria au busara?
Mpaka uwe nje ya ulingo ndio unaweza kuongea maneno mazuri kama haya. Huyu huyu akirudi ulingoni unaweza kubaki mdomo wazi! Sijui ulingoni huwa wanalishwa nini!!!
Kwani yeye sio mtanzania?
Halafu ile kwamba kasema ukweli ndo Cha mhimu