BARAKA ZA MAMA EP 10

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 229

  • @esthajojo1920
    @esthajojo1920 4 หลายเดือนก่อน +8

    saivi mumeanza kujitaidi safi Sana mko siliasi mungu awabaliki Sana vipaji vikue

  • @CaroDzame
    @CaroDzame 4 หลายเดือนก่อน +9

    Huyu mganga wakiume anaimba sana nadakika sinaisha 😂😂😂

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 4 หลายเดือนก่อน +8

    Huyu mganga wa kiume anakula dakika zetu anaimba sana bhana

  • @Haji-yr9db
    @Haji-yr9db 4 หลายเดือนก่อน +12

    Mganga unaimba mda mrefu sana punguza

    • @mapenzi4813
      @mapenzi4813 4 หลายเดือนก่อน

      Naivo vijimeno vyake kama waititu wangu yameisha juuu apigi mswaki😂😂😂

    • @nyamokizainabu205
      @nyamokizainabu205 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@mapenzi4813😂😂😂😂ilikua mpka utaje waititu cheza n gahwa ww

    • @RaelDiana-d3w
      @RaelDiana-d3w 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂aki

  • @sirahchocolate8508
    @sirahchocolate8508 4 หลายเดือนก่อน +13

    Kaka mbwa huna akili mbwa ww

    • @mapenzi4813
      @mapenzi4813 4 หลายเดือนก่อน

      Kubwa jinga😂😂 weee uogop

    • @OmarmamudoBaissa
      @OmarmamudoBaissa 4 หลายเดือนก่อน

      Apana yeye anazo akili sema wameweka kama utu aliio logwa

  • @morjanoman5181
    @morjanoman5181 4 หลายเดือนก่อน +3

    Safi Sana Kaka kwamahamuzi uliyochukua kwenda kwa mganga uyo shemejiyako alijuakama mkienda uko wote. Ataumbuka ndio ayosasa

  • @LilaAl-b3x
    @LilaAl-b3x 4 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu mshenz mtowen akajiunge na bend y kuimba na kucheza kuambiw nanan km kuimba sn ndounakuw mganga chefu

  • @MariamRiziki-o8x
    @MariamRiziki-o8x 4 หลายเดือนก่อน +8

    Msichelewe sana hii movies ni tamu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @JanethMgaya-wt3ze
      @JanethMgaya-wt3ze 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli kabisa

    • @faithnasimiyu7455
      @faithnasimiyu7455 4 หลายเดือนก่อน +1

      Jamani mm Kwanza nangoja mwisho WA huyo mchawi WA roho mbaya anae madharau mamake mkwe

    • @MariamRiziki-o8x
      @MariamRiziki-o8x 4 หลายเดือนก่อน

      @@faithnasimiyu7455 huyu mwanamke Ana roho mbaya sana hata si maigizo hii yake ni roho mbaya jidomo mm naomba afukuzwe

  • @SullePhilipo
    @SullePhilipo 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mganga wa kiume apunguze kuimba anatumia mda sana na anaimba kwa mda mrefu sana

  • @AllyJelejeza
    @AllyJelejeza 4 หลายเดือนก่อน +36

    Hakuna jaribu linalokosa mlango wakutokea Hili niigizo lakini maisha halisi yapo hivyo tumuogope mungu mzazi wa mwenzio ni wako pia

    • @سعدياقوت-ت2خ
      @سعدياقوت-ت2خ 4 หลายเดือนก่อน +2

      Kabisa

    • @annamutarodwa669
      @annamutarodwa669 4 หลายเดือนก่อน +2

      Kwa kwelii Mungu mwema

    • @joycemkeka3769
      @joycemkeka3769 4 หลายเดือนก่อน +3

      Kweli kabisa kaka yani mimi pia nimewai kushuhudia maisha kama haya tena yeye alikuwa mwanaume anamwambia mkwewe mamayake mchawi kwaiyo asimnunulie dawa za presha wala asimpe chakula mana eti aumwi nimchawi yani nduguyangu mungu atusaidie 😢😢

    • @khadijamatar3945
      @khadijamatar3945 4 หลายเดือนก่อน +1

      Yapo sana haya mambo.Allah atuhifadhi yarab

    • @FatimaFatima-bx8ez
      @FatimaFatima-bx8ez 4 หลายเดือนก่อน +1

      Nikweli kabisa ❤

  • @Hawaayaa
    @Hawaayaa 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mmmmmmh sio kweli mskize kakako uende kwa mtaalam utajua si mamako bali ni mkeo na hauna huwakika kua mamako ni mchawi

  • @ElianaSengiyumva-fs1ei
    @ElianaSengiyumva-fs1ei 4 หลายเดือนก่อน +3

    Jamani nawashukurusana kwakutuongezea dakika nawapendasana from🇨🇦

  • @kennedyoloo8259
    @kennedyoloo8259 4 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe mwanamke Kuna mungu binguni😂😂😂but nakupenda njoo Kenya na usitese mamangu....

  • @ZainabOman-q6d
    @ZainabOman-q6d 4 หลายเดือนก่อน +1

    Duu kweli 😂uchawii so muzurii we dada una zambii

  • @najmamwinyi2929
    @najmamwinyi2929 3 หลายเดือนก่อน

    Mganga wa kiume unaboa,its too much 😂

  • @joobmohammed2116
    @joobmohammed2116 4 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mwanaume na mke wake wako na rohoo mbaya sana

    • @Jemachangala.
      @Jemachangala. 4 หลายเดือนก่อน +1

      Huyo mwanaume hana Roho mbaya Ila kageuzwa MOYO na namna yake ya maamzi na mke wake

  • @hawaa2227
    @hawaa2227 4 หลายเดือนก่อน

    Mm nimevutiwa tu na mama my JANNAH ❤❤❤❤❤

  • @AsmaKhamis-y8r
    @AsmaKhamis-y8r 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tena muvi mzur kweli🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Alicia-x3r
    @Alicia-x3r 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu dada mshenzi sana yaan anashindwa kutambua thaman ya mama yake

  • @HalimaOman
    @HalimaOman 4 หลายเดือนก่อน +1

    Inayofuata inayoka lini jamani ❤🎉

    • @SAYUKI513
      @SAYUKI513  4 หลายเดือนก่อน

      Imeshatoka leo

  • @MwanakomboAliKhamis
    @MwanakomboAliKhamis 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mume kuwa makini na huyo mkeo kwa kweli SI mke mzuri

  • @esthajojo1920
    @esthajojo1920 4 หลายเดือนก่อน +4

    Uyo mganga wakiume anawakost ajui kuigiza badilisheni mungine anaimba sana

    • @WilliamMarai-o8c
      @WilliamMarai-o8c 4 หลายเดือนก่อน

      Yeye ndo anamaliza dk haeleweki

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 4 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana mchezo huu kama usihishe yaan❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @CikeTanzania
    @CikeTanzania 4 หลายเดือนก่อน +3

    Uyo mganga hovyoo dakika anachukua nyingi sana.

  • @MwimbilaMarlene
    @MwimbilaMarlene 4 หลายเดือนก่อน +3

    toka Zambia solwezi namafuta vizurisana kazinjema kwenu

  • @SabraAlly-u1b
    @SabraAlly-u1b 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu zulfa ni jini haswaa wa kufitinisha watu😂

  • @HalimaAme
    @HalimaAme 4 หลายเดือนก่อน +10

    Na mm sijacherew naomba like

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 4 หลายเดือนก่อน +2

    Punguzeni mganga anachukua mda mrefu sana

  • @ndabarinzesamuel9333
    @ndabarinzesamuel9333 4 หลายเดือนก่อน +3

    Wewe mwanaume umelogwa na mkeo hujui kinachoendeleya nyumbani kwako.

    • @سعدياقوت-ت2خ
      @سعدياقوت-ت2خ 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂yote ni kijungu chake mkewake😂😂😂

  • @reymathomas1562
    @reymathomas1562 4 หลายเดือนก่อน +3

    Nyie mnaniboa mbona ufumbuzi watatizo hamtaki kufanya ebu ifike hatua apone mwenye 😂😂😂 kuumbuka ifike hatua yake

  • @PuritySalama-yv6to
    @PuritySalama-yv6to 4 หลายเดือนก่อน +2

    Weee ata ujui kambe unahubiri jitqhid sayuki

  • @airinendondole
    @airinendondole 4 หลายเดือนก่อน

    Huyo mganga apunguze kuimba imba mda mrefu ,

  • @AghHh-v3f
    @AghHh-v3f 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mariposa nihapahapa chini yajuwa mama wamumewe ni mama yako subhanallah 😮😮😮😢😢🎉🎉

  • @hdbd8187
    @hdbd8187 4 หลายเดือนก่อน

    Jamani huyu mwanaume anankera mm 😢😢😢 mamako kweli

  • @OmarmamudoBaissa
    @OmarmamudoBaissa 4 หลายเดือนก่อน

    Mwandishi wa hiii ingizo ameweza sana ,japo nafasi nyingi ya mganga nime ipenda

    • @SAYUKI513
      @SAYUKI513  3 หลายเดือนก่อน

      Niko hapa mwandishi na C.E.O SAYUKI TV naomba maua yangu.

  • @MaryamMoosa-g5s
    @MaryamMoosa-g5s 4 หลายเดือนก่อน +2

    We mwanamke. Unaroho mbaya sana.

  • @MaryKilomo
    @MaryKilomo 4 หลายเดือนก่อน

    Zulfa zulfa wanawake kama wewe waache malipo hapa hapa duniani

  • @faithnasimiyu7455
    @faithnasimiyu7455 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mganga mpatieni transport arudi penye alitoka yeye ndio anaharibu utamu ya hii mchezo

  • @hamzaIlunga
    @hamzaIlunga 4 หลายเดือนก่อน +16

    From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo napenda mnavyo achiya araka araka

    • @Aisha-o4v
      @Aisha-o4v 4 หลายเดือนก่อน

      Mashallah Nitakuwa mngeni wako sikumoja

  • @PetterMagolofa
    @PetterMagolofa 2 หลายเดือนก่อน

    Funzo kubwa sana kwa wake zetuuuu

  • @mapenzi4813
    @mapenzi4813 4 หลายเดือนก่อน

    Mganga meno kaaa ngirii jaman unajua kuimba😂😂

  • @MuambizaneusseneusseneRa-fg4yp
    @MuambizaneusseneusseneRa-fg4yp 3 หลายเดือนก่อน

    Essa senhora tem coragem parece é verdade não só história

  • @mbikamtanganaki
    @mbikamtanganaki 4 หลายเดือนก่อน

    Yaan wewe ingekuwa ni kaka ningekokomesha na huyo mkeo ningekwambia Ili tumponye mama twenden kwenye maombi mkeo aumbuke😢😢😢😢😢😢

  • @jollymunezero4629
    @jollymunezero4629 4 หลายเดือนก่อน

    Neeenda kwa muganga ao maombi atapona piya huyo mukewe mucawi apate aibu na haya

  • @AmnaAmna-l3u
    @AmnaAmna-l3u 4 หลายเดือนก่อน +4

    Leo nimekuwa watano

  • @neemamwasomola8663
    @neemamwasomola8663 4 หลายเดือนก่อน +2

    Uyo mganga anavuta sana muba

  • @mahramarswad6041
    @mahramarswad6041 4 หลายเดือนก่อน

    Jamani mnatukata patamu plz msicheleww kutuletea burudani yetu haya ndio maisha ya sasa ni true kabisa tunawapenda from uk 🇬🇧

  • @MwanakomboAliKhamis
    @MwanakomboAliKhamis 4 หลายเดือนก่อน

    Uyo mganga wa kiume anaimba sana jaribuni kupunguza nyimbo kwake

  • @Samsunggalaxy-j7x
    @Samsunggalaxy-j7x 4 หลายเดือนก่อน

    Good nimefurahi sana

  • @halimaa9367
    @halimaa9367 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu mlinde mama yangu❤

  • @faithnasimiyu7455
    @faithnasimiyu7455 4 หลายเดือนก่อน +1

    Weka EP kila siku jamani 🇰🇪

  • @mwajumaanthony5470
    @mwajumaanthony5470 4 หลายเดือนก่อน

    Mpaka imeniliza na mm dah😢😢

  • @mbikamtanganaki
    @mbikamtanganaki 4 หลายเดือนก่อน

    Ivi unamuomba Nini siumzibue kibao uingie ndan mbwa huyo matako

  • @FatimaFatima-bx8ez
    @FatimaFatima-bx8ez 4 หลายเดือนก่อน

    Da jamani kila siku naangalia hii movie sijawahi kulia lakini leo nimeniliza sana da nani kama mama 😢😢😢😢😢duniani 😮😮😮mmeweza kucheza❤❤nawapenda

  • @AnnahNanjala-xh6ov
    @AnnahNanjala-xh6ov 4 หลายเดือนก่อน

    Mke na mume wote mitomo kubwa simtoto wao itatokea sahani😂

  • @JOHNKAFUNZO
    @JOHNKAFUNZO 4 หลายเดือนก่อน

    Bwana mdogo komaa na mama Ako achana na hyo bro wako anagandia lwa manzi wako lkn ovyooo😂😂😂😂😂

  • @SinaVuai-t6j
    @SinaVuai-t6j 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu mngaga wakiume anaharibu mchezo

  • @AzizaMayemba-td8po
    @AzizaMayemba-td8po 4 หลายเดือนก่อน +3

    Uyo mganga apunguze nyimbo anapoteza muda

  • @RajabuHayyan
    @RajabuHayyan 4 หลายเดือนก่อน

    Unaliomba shetwan kuwen serious bwana

  • @Beatrice-kp7uw
    @Beatrice-kp7uw 4 หลายเดือนก่อน

    Mke roho mbaya kama sura yake ilivo mme nae domo kazi 😂😂😂

  • @LightnessElisha-q4w
    @LightnessElisha-q4w 4 หลายเดือนก่อน

    Haya co mapenz huyu kaka karogwa na huyu mwanamke😮😮

  • @JumanneHunda
    @JumanneHunda 4 หลายเดือนก่อน

    Mganga tawileeeeeee toboaaaaa

  • @shakiraissa2517
    @shakiraissa2517 4 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂kuna comment nataka niirudie kuisoma imenipotea nimecheka sana,, eti mganga anaimba kama yupo studio😂😂😂😂😂

  • @RebeckAunt
    @RebeckAunt 4 หลายเดือนก่อน

    Mwalikazi Ana roho mbaya Kama surayake😂😂

  • @MarthaOtundo
    @MarthaOtundo 4 หลายเดือนก่อน

    Aky nimeimagine n mamangu amefanyiwa hvo nimejikuta tu nalia

  • @افلينافلين-ي9ك
    @افلينافلين-ي9ك 4 หลายเดือนก่อน

    Laki 8 haki ni mle kuku duhh. Uyu mwana mke jmn. Roho kama surayake

  • @KalimboKombo-ph2su
    @KalimboKombo-ph2su 4 หลายเดือนก่อน

    Mganga anaboa izo nyimbo nyingi anachua dakika nyingi sana

  • @Clara-r2w
    @Clara-r2w 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu tusaidie sana weka hofu yako ndani mwetu

  • @SisterWillison
    @SisterWillison 4 หลายเดือนก่อน

    Ninge kua ni mm ninge muchukua mama yangu niondoke nae kama yeye uyo mke kama anauchungu ange muona mana hamujali kweli

  • @aminakenyaa9337
    @aminakenyaa9337 4 หลายเดือนก่อน

    Kuu zaa nimuhimu ukizaa watoto wawili ama watatu mmoja akisiza mkewe mwingine hatakuwacha uteseke 😢😢ila inahuzunisha sana

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 4 หลายเดือนก่อน

    Natamani siku Moja aje kuumbuka na mme wake

  • @JudithJudy-hz6wr
    @JudithJudy-hz6wr 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu mwanaume pia anafanana bibi yake simpendi

  • @khadijaaboubakary9338
    @khadijaaboubakary9338 4 หลายเดือนก่อน

    Mama km mama❤❤

  • @VeronicaKalinga-r9d
    @VeronicaKalinga-r9d 4 หลายเดือนก่อน

    kaz nzuri 🎉🎉🎉❤

  • @haroubmbarouk7858
    @haroubmbarouk7858 4 หลายเดือนก่อน

    Hatima yke wataibika na mke wke hawa

  • @GraceMadondola
    @GraceMadondola 4 หลายเดือนก่อน +4

    Mganga wa mwisho ni kichefu chefu anaimba kama yupo studio aah mtoen

  • @agneskavumbi7133
    @agneskavumbi7133 4 หลายเดือนก่อน +4

    Wa pili leo

  • @Pat139enZaeadic
    @Pat139enZaeadic 4 หลายเดือนก่อน

    Hujielewi ww uliekwa kwenye chungu na huyo mke wako😢😢

  • @yasintajoseph8429
    @yasintajoseph8429 4 หลายเดือนก่อน

    Huyo mganga wa kiume anapoteza muda

  • @MariamDinday
    @MariamDinday 4 หลายเดือนก่อน

    Mko vzr sana

  • @MussaChimbilimana
    @MussaChimbilimana 4 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢uzuni ninaho mwingi

  • @WalterkunduBarasa
    @WalterkunduBarasa 4 หลายเดือนก่อน

    Kazi suri sana brother

  • @elizamwacha7458
    @elizamwacha7458 4 หลายเดือนก่อน

    Mganga unaimbaaa mudaa

  • @MusaSolad
    @MusaSolad 4 หลายเดือนก่อน

    Ila wanawake mungu awasaidie

  • @niyogushimadorine6086
    @niyogushimadorine6086 4 หลายเดือนก่อน

    Naomba basi Ep 11 huyu Mama Apone 😢 nawapenda sana kutoka Burundi 🇧🇮

  • @NtirenganyaNahasoni
    @NtirenganyaNahasoni 4 หลายเดือนก่อน

    Jamani tuonyesheni just simama atakavyopona tuone matokeo ya huyo mwanamke mtundu

  • @RehemaMakita
    @RehemaMakita 4 หลายเดือนก่อน

    Wanganga wanatumia muda mrefu sana

  • @BrendaAlexiousmkandawire
    @BrendaAlexiousmkandawire 4 หลายเดือนก่อน

    Mganga wa dada unaimba sana alafu muda nimdogo sana

  • @JoselineJuma-r7o
    @JoselineJuma-r7o 4 หลายเดือนก่อน

    Uyu mganga anatumia muda mwingi ajarbu kujitahidi

  • @w4058
    @w4058 4 หลายเดือนก่อน

    Naam khasa hizi nchi zetu zimezidi

  • @JumaSwaleh-x5k
    @JumaSwaleh-x5k 4 หลายเดือนก่อน

    Uyu mganga wa kiume yuwapoteza mda

  • @eunicem5647
    @eunicem5647 4 หลายเดือนก่อน

    Imagine kama ni mamako anateswa hivyo utafurahi kweli

  • @eddiemwangaraba9289
    @eddiemwangaraba9289 4 หลายเดือนก่อน

    napenda sana bado nasubiria hatima yake ya mama na mkwamana wake imefikia wapi

  • @MariamMgaya-g1x
    @MariamMgaya-g1x 4 หลายเดือนก่อน

    Anaimba xana uyo mjinga xx tunataka mchezo xio nyimbo

  • @SharifaOmary-ui8vs
    @SharifaOmary-ui8vs 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu mganga au chizi hafai

  • @Beatrice-kp7uw
    @Beatrice-kp7uw 4 หลายเดือนก่อน

    Mtaalaamu uko sawa

  • @chabanemomad
    @chabanemomad 4 หลายเดือนก่อน

    Ndiyo mganga anaimba sana inabidi ajirekebishe

  • @BrendaMogambi
    @BrendaMogambi 4 หลายเดือนก่อน

    Alfu huyu mganga namjukia sana na huyu mwanamke hebu punguza maneno mingi ww

  • @esthajojo1920
    @esthajojo1920 4 หลายเดือนก่อน +1

    saivi mumeanza kujitaidi safi Sana mko siliasi mungu awabaliki Sana vipaji vikue

  • @Jaysonzinga
    @Jaysonzinga 4 หลายเดือนก่อน

    Hii ni kali mnoo