Mm sijapenda vazi la hijabu kutumika vibaya, unadhani jamii wataelewa vipi kuhusu vazi hili la heshima la waislaam kutumika vibaya itaonekana kama waislamu ni watu wabaya.
Hilo vazi ndy linatumika kwenye wizi km hujui ukitaka kujua nenda mahospitalini hasa Muhimbili watu wanalizwa cm utasema sio wao ule msikiti wa Muhimbili ndy chimbo lao ukisema naswali na waislam wenzangu kumbe pochi yako weka shingoni mama yng kalizwa mule mule msikitini anasujudu mtu kapita na pochi kasepa vazi ndy hilo na pale munchwar kwenye kukaa kusubiri kuaga kuweni makini vazi la stara lilikuwa zamani sasa ndy lakufanyia uhalifu
Umeshawahi kuingia super market umevaa ijabu ? kama wanazui kwann wanasema uvue tumia akili hii ni sanaa je kutumia ijabu SAYUKI TV Ndo wa kwanza asijifanye mjuaji fanya utafiti halafu uje na hoja hapa na sio haja.
Hijabu inadhaliliswa naomba hili liangaliwe sana, mavazi ya kidini yasitumike kabisa kwenye maigizo iwe mavazi ya askof au masister au mautadh au maustadhat
Badara mumtukuze Mungu kwa ukuuwake mnamfuraisha shetani nyie mmerogwa au kwanza mliekti vizuli Sasa mna aribu kama uyu mwanamke alitakiwa aukumiwe nyinyi mmemfuraisha yusfa kwa kazi ya uganga kaachwa kule kwa uchawi eti badala aaibue mmempa Tena cheo apate mume mwingine yie vp Katoa Mungu au mganga mnawafundisha Nini watu wamuogope Mungu kwa maombi na baraka zake Sasa wampende shetani na uganga wake. Mshidwe mshidwe kwa njina la yesu krto
Mbona uwalabuni watu wanavaa ijabu na wanajitoa mhanga na kuuwa mamia ya watu wengi duniani kwahiyo acheni watu wafanye kazi yao musiingize udini kwenye kazi ya watu
Mbona kudhalilisha vazi la stara ya dini kutumika kwa ujambazi huu ni kudhalilishaji mkubwa sn tafadhali SAYUKI TV mulirekebishe hili kabla wakuu wa dini kuliingilia.
Sio vizuri kuchanganya vazi la hijabu kwenye mambo haya mtasababish wasio waislamu kutudharau cjapenda kabsaaaaa
Mbona mwatumia vazi la kiilsamu vibaya hapa mjirekebishe 😢zuu we mbaya sna😢 alafu anaekata kutekwa n bahati jamani 😢Mungu amnusuru kwa hili 🙏
Mm sijapenda vazi la hijabu kutumika vibaya, unadhani jamii wataelewa vipi kuhusu vazi hili la heshima la waislaam kutumika vibaya itaonekana kama waislamu ni watu wabaya.
Hilo vazi ndy linatumika kwenye wizi km hujui ukitaka kujua nenda mahospitalini hasa Muhimbili watu wanalizwa cm utasema sio wao ule msikiti wa Muhimbili ndy chimbo lao ukisema naswali na waislam wenzangu kumbe pochi yako weka shingoni mama yng kalizwa mule mule msikitini anasujudu mtu kapita na pochi kasepa vazi ndy hilo na pale munchwar kwenye kukaa kusubiri kuaga kuweni makini vazi la stara lilikuwa zamani sasa ndy lakufanyia uhalifu
Bora hawa wanaigizia uku tanga na dini yao yote lakini wanaibia watoto
Nikweli kabisa
Kweli kabisa hata mm sijapenda
Ndiyo hapo wamekosea
Enyi mnao cheza Sanaa ya kuigiza angalieni mavazi msitumie hijab vibaya
@@RajabCharo-jl9ue kiukweli yaleo imeboa sehem zote
Yani Mii huyo dada kiukwel nime toka kumchukia kinoma noma yan
Huyu mwanammke mchawi kweli ht kwenye maisha ya kawaida
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo team kapipi
Mm nim kristo ira kwenye ilo vazi amja lite ndea aki ubunifu zilo apo
Sijapenda kuvaa vaz la kiislam nakufanya mambo yasiyofaa kwa ajil ya kuchafua din yetu ya kiislam
Ni washenzi tu hao
Tena sana hatamie pia wamenikera kutumia vazi Hilo vibaya
🙆 sijaipenda kuzalilisha vazi la kiislamu kufanjia mambo mabaya hapo mmefeli
Mvi nyengine hazifudishi Zina potisha vizazi😢
Tena wasirudie
Mmekosea sana kutumia vaz la kiislam kufanyia mamb ya ajabu muache bhna
zuu mpaka macho yako yanaonekanwa ni makali yanatisha isiwe mchawi kwelii mbona unaendana nao
Dah inaskitisha maskin bahati wanezungukwa na madui tunawapenda from uk 🇬🇧
Legeza bc sauti uwe kma mke bc zuu sauti gn hiyo Kam a wanaumewote khaaa😂
Mnatuharibia vazi letu mnamaanisha nn
Jaman bahat pole 😮
AUDHU BI LLAH" MINA SHAETTAN RAJEEM😢"
Kwahy mnatak kuniambia majambaz wote hupendelea nguo hiz au kiukwel mmetudhalilisha waislam
Kazi nzuri nawapenda ❤😢
Na umezidi kuroga dada mwanaume arogwi mdomo wako kauli yako na kumdikiliza mume nn anataka na sio ndumba dada weeeee puuuuu Kwa uchawi Noma
Wa 9 Leo naomben like zangu na mm
Sas mwakoseya bui bui na ninja ndiyo zakuuwa au au zakubaikiya jamani mwakoseya Sasa
Masikini Bahati mungu akulinde utoke kwa mikono mibaya
Kabs huyo dd mwang
Ila da zuu unajua kuvaa uhalisia wako maana tunakusema vibaya unathani ni kweli mimi nilikuwa Skupend ila saiv nakupenda Sana❤
Yaan mwanamke mbaya kuulazimisha upendo Kwa ulozi kaaa!!!! Namchukia had bas
Surambaya👌 rohonbaya pia
Hii muvie ni mzuri ila zuuu eeeeee punguza tabia mbaya dada kama aujazaliwa jmn puuuuuu
Ilo ndio linatumika sana kwenye mambo ya ovyo
Kabisa Wala co uongo😢
Wangp hatujaielewa hii movie
Endelea kuangalia utaelewa
Epsode 17 utaelewa
Huyu dada hata kawaida mchawi sio move tu
Wakwanza leo nipen like 20
Sijapenda hata mimi kuigizia mavaz hayo kwaubaya
Kando na kucheza move huyu dada atakua ana roho mbaya sana maana uchawi uko kwa dam
Ww pia umeona
Move inafundishs sana duuh godbless you
Uu ni ushetani jamani
Duh nimecherewa
Kwa huyu hafai kupewa ata pipi
Zuu wisho waubaya aibu litakukuta jambo
Huyu dada jamn mchaw huyo duh
Zuu ni jini wa mguu mmoja huyo
😢😢😢😢😢sijaoenda hiyo staili yenu iv munajua thaman ya hilo vaz
Ss huy bahat kafanya nn mpk wamteke mnaharibu mchezo
Tena apo mnakosea jamani seehemu iyo ilekebisheni msitumie ilo vazi
Sawa
Kumbe mashabiki w Simba kazi yao kuokota wanawake😂😂😂😂😂 barabaran
Amina mashaallah
Yaani nyinyi juuya iikaziyenu mshidwe na mlegee tuna mtukuza Mungu sishetani na matunguli yenu
Na sio vazi tu hata hizo tasbih kwenye gari haipendezi hapo
Ila kweli vazi la ijabu linatakiwa lieshimiwe cn kiukweli
Mlianza vizuri mnakoendea hata siko
Endelee kuangalia epsode ijayo utaelewa usihukumu kabla hujaelewa
@@SAYUKI513 ok
Mh yaani huyu mdada kweli mwanga
Jamanii bahati kafanyajee tenaa😢
Nyiee niwakiristo ndomana muna chafuwa ijabu Nani haro wbiya irovazi rinatumika katika maovu iro rinatumika katikamematu nsibada naorewenu rienderehe
Eeuyu dada sauti ngum sula ngum loho ngum
Sasa ndo utekaji gani huo mnazingua
Ww mdada ukome km ulivokoma kuwacha kunyonya siulikuw uvaye kinyago umeonae waisilamu Hilo vaz linatumika hvo leyo umenikera sn cjapenda 😮
Yani huyu dada ata kuwa mwanga kiukweli Yan ana kera kinoma
Huyu dada atakuwa mchaw kwel
Mchezo ovyoo mnauharibu
Wajua mwanamke mzuri kweli ww kaka jamani huyo mwanamke si ni zaidi ya jini
Mnaharibu kwa kutekana. Hata havihusiani. Bahati hana hela ni housegirl, hana hata ndugu wa damu mwenye hela. Sasa siwaelewi
Angalia Ep 17 utaelewa
Tuwe tunaheshim mavaz ya watu lkb
Kwaiyo roho mbaya yauyo mkeo ukimununuliya gari satagonga watu ovyo
😂😂
Apo mmefeli sana mambo yakutekan tena aaa so kwel. Vip mama na mtoto walio potea Kwa mazingira ya kutatanisha
Tuwe tunaheshim mavaz ya watu lkn
Chezen.kawaida kwenye ujambaz bado.amjaweza
Kwenye ujambazi mnachemsha aki
Aki huyu mchawi kabisa
Jaman kunawengine kweli wanayafanya mambo mabaya kwa kutumia hayo mavazi ,kukaba watu kuuwa watu na kujifanya mwanamke kumbe si mwanamke
Hamuelewi kabisa
Hapo wanataka wakamteke bahati
Qca afukize ubani maana ilo kwapa. Ndani yanyumba. Linasambaratisha 😂😂
😂😂😂😂weeee kumbe umeliona Ilo kwapa
@@NeillahMcute lina tisha undungu wangu. 🤣🤣
Sijapenda huu mchezo umeanza vyengine unaelekea kwengine hauna raha tena ilikuwa uendele vile vile imekhusu nini na kutekewa watu director aaa
Mumekoswa chakuigiza sa bahati anamakosa gani adi hatekwe
Hii ni hadithi endelea kuangalia vipande vijavyo utaelewa
Vazi hili hutumika vibaya kwingi na niombe tunao fanya hivyo tuache....maana ni makuruu.
Hyo kwapa vp huyu binti, mwny roho mbaya
Sasa km anapesa angefanya kaz Majumban huy
Tabia mbaya,hawesi kuwacha uchawi.
Huyu mwanamke dòmo kubwa kama uchawi wake nyoka huyu
Yuu
Mwana mke
Niyeye
Anajikosea
Sababu
Ya.uchawi
Yake
Tena wakirudia tutawashitak
Umeshawahi kuingia super market umevaa ijabu ? kama wanazui kwann wanasema uvue tumia akili hii ni sanaa je kutumia ijabu SAYUKI TV Ndo wa kwanza asijifanye mjuaji fanya utafiti halafu uje na hoja hapa na sio haja.
Wapuuzi kweny Hijab tena
Story nyingi sana punguzeni itapendeza
Mpka nauli ya kwenda kwao imeshinda mbona sijaelewa
Wewe yalyokukuta na mmeo na mi yamenikuta nichek in bobo tuyajenge
Huyo dada hafai hata kidogo mh
Mmmh mbona sijajua kinachoendelea juu ya bahati
Utakua epsode ya 17 endelea kuangalia
Halaf kwann amevaa mavaz ya kiislam maana wanovaa hivyo ni majambaz kwa kweli sjapenda
Haki mmenikera
Hutakiwi kukereka hii ni fasihi tu
Hijabu inadhaliliswa naomba hili liangaliwe sana, mavazi ya kidini yasitumike kabisa kwenye maigizo iwe mavazi ya askof au masister au mautadh au maustadhat
Hakika
Nikweli kabisa liangaliwe nahili pia
Nikweli kabisa
Mefel mmetoka kwenye mstari
Endelea kuangalia utaelewa huko mbele muandishi wa story anaelewa .
Nyie wapumbavuuu ilo vazi la nikabuu mbon mnalitumia upuuzii tu apo
Badara mumtukuze Mungu kwa ukuuwake mnamfuraisha shetani nyie mmerogwa au kwanza mliekti vizuli Sasa mna aribu kama uyu mwanamke alitakiwa aukumiwe nyinyi mmemfuraisha yusfa kwa kazi ya uganga kaachwa kule kwa uchawi eti badala aaibue mmempa Tena cheo apate mume mwingine yie vp Katoa Mungu au mganga mnawafundisha Nini watu wamuogope Mungu kwa maombi na baraka zake Sasa wampende shetani na uganga wake. Mshidwe mshidwe kwa njina la yesu krto
Mimi nimeielewa hii mvi ni kwamba ukiona mwanamke kaachwa usimchukuwe ukamuoa bila kujua sababu nini ya kuachwa
Hata halipendezi liko kama dime la nyani
Sijaelewa kosa la bahati kutekwa ni nn😢
Utaelewa epsode ijayo
Mbona uwalabuni watu wanavaa ijabu na wanajitoa mhanga na kuuwa mamia ya watu wengi duniani kwahiyo acheni watu wafanye kazi yao musiingize udini kwenye kazi ya watu
Shukran kwa exposure nzur .
Uisalm haugundishi ujambaz
Mbona kudhalilisha vazi la stara ya dini kutumika kwa ujambazi huu ni kudhalilishaji mkubwa sn tafadhali SAYUKI TV mulirekebishe hili kabla wakuu wa dini kuliingilia.
Kumbe huyu jirani mwenye nguo ya blue ndiye anawamaliza ,msaliti
Huyu mwanaume mchawi kiukweli
🙏🙏🙏❤️❤️🇧🇮🇧🇮
Mnahisi sisi tunao vaa haya mavazi ya kiislam wanatutafsiri vp wanao tizama tamthilia hii?jirekebisheni bwana
Huyo mama angewahi kumrecord ila wanaume jaman eeh mume wng yamemkuta km hayo sasa hasikii lolote