Sessions ya instrumental ya MARIOO - UNANIKOSHA by Mocco Genius

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ย. 2024
  • Sessions ya instrumental ya #unanikosha ya #marioo #imagination

ความคิดเห็น • 188

  • @ispajohn9243
    @ispajohn9243 4 ปีที่แล้ว +34

    mocco your a really genius gonga like kwa mocco kama anajua kutengeneza beat

  • @diacusterrible
    @diacusterrible 4 ปีที่แล้ว +17

    Masterclass Mocco Predator (MMP) , Mocco genius (MG) ..... Mzee wangu wewe ni talented sana mimi napenda venye unavyoweza kuuelezea muziki kwa vitendo pia napenda vile ambavyo fikira zako za kuubuni muziki zilivyo tofauti sana na waandaaji wa muziki wngi duniani, lakini pia unawafundisha waandaaji wngi sana wa muziki kua muziki sio mpaka uwe na plug ins za kisasa sana au vifaa vya kutisha kama ambavyo waandaaji wengi hufikiri bali muziki huhitaji ufundi wa kubuni zaidi kuliko vifaa vya gharama. Mimi binafsi nazipenda kazi zako sanaa yani nikishasikia wimbo uko na sagn (mooocco) haijalishi ni wa nani lakin lazima niuhifadhi na niusikiliza kwa makini sana, Mimi pia ni mmoja kati ya watu wa sanaa ya muziki mwenye malengo na matarajio mengi, lakini moja ya ndoto ya msanii yoyote ulimwenguni kabla ya kuwaza kutengeneza wimbo utakaobadilisha maisha yake huwaza ni muandaaji gani wa muziki ambae wanaweza kushikiana kwa pamoja na kutengeneza wimbo huo. Mimi binafsi muandaaji ninaemuota kila siku ni wewe Bro, kwasababu nimjaribu kufatilia kila mahojiano uloyafanya na waandishi wa habari na kugundua mbali na talanta ulojaaliwa na mungu pia umebalikiwa moyo safi sana na hii ndo sababu kubwa inayonivuta kwako, Waweza sema labda natafuta aina fulani ya wepesi wa kufanya kazi na wewe jibu ni hapana kwasababu nimeshawahi kuwasiliana na wewe kuhusu kazi toka 2017 na kwamara ya mwisho ni mwezi wa 3 mwaka huu na kwa bahati mbaya mara zote tumekua hatufikii makubaliano kwa maana kua bei za session hubadilika kulingana na wakati , unakuta bei tunayokubaliana leo mpaka nitakapjichanga nipate hicho kisent basi ile bei inakua imeshabadilika..Lakini hii si sababu ya kunizuia nisiiote ndoto yangu yakuja IMAGINATION SOUND kuifata ndoto yangu.. Naamini nina uwezo fulani wa kimuziki ambao sitopenda upotee bure , Lakini pia kipato nacho ni kipengele hasa kwasisi watu wa mikoani, Na kuhusu gharama unazotoza kwa sesseion sijawahi kuzitilia mashaka wala kuzishangaa maana kazi inayofanyika sio ndogo pia kwa upande wangu hata ingekua $1000 per session kama ninazo ningekupa brother....Imagination suond kwangu ni platform kubwa sana ambayo kama nitaifikia basi najiona kua mtu mwingine kabisa (amina) Pia napenda sana vile uko very very Professional sijawahi kukutana na wewe lakin wew ni mkarimu sana pia sio mtu mchoyo wa mawazo kwa mwenye uhitaji... Sijui kama utayaona mawazo yangu haya lakini pia kama ukiyaona tambua watu tunaona na kutambua unachokifanya kwa ukubwa ambao pengine wewe huufikiriii , uwe na kazi njema kaka.

  • @devicemussali5510
    @devicemussali5510 4 ปีที่แล้ว +3

    Sijuibhata piano but u really inspire me najikuta natengeneza mziki kwakuchora tu

  • @Mellanke
    @Mellanke 3 ปีที่แล้ว +8

    🥁🇰🇪🔥 I'm Mellan from Kenya ♥️

  • @Apollowmoves
    @Apollowmoves 4 ปีที่แล้ว +3

    Mocco kurekod mziki kwako ni shingp kwa wasanii wadogo

  • @kakasteve7117
    @kakasteve7117 3 ปีที่แล้ว +3

    Daaaah, hii ni ladha halisi ya mziki wanangu. Moccoooooooh. Nothing more to say but may God be with you my young brother

  • @gama_liely
    @gama_liely 4 ปีที่แล้ว +2

    Uko vzuri sana jamaa yangu mungu azidi kukuzidishia🎹🎹🎹🎹🎹👌👌👌

  • @nundebeats6754
    @nundebeats6754 4 ปีที่แล้ว +5

    Umeniongezea ujuzi,Nashukuru kwa ajili ya tutorial hii,naomba kama utaweza uonyeshe hata tutorial moja ya jinsi vocals zilivyomixiwa,ili tujifunze zaidi

  • @passkillsmwalayee8410
    @passkillsmwalayee8410 3 ปีที่แล้ว +1

    We nooooma xana broo
    Nakubaliii kazi zako hukoseagi mzee bb

  • @norditocristovao4025
    @norditocristovao4025 ปีที่แล้ว

    Kali sana so congratulations 💪💪💪👍

  • @passkillsmwalayee8410
    @passkillsmwalayee8410 3 ปีที่แล้ว +1

    Namba yako broo ntaipateje
    Nashida kweli na wewe yaani msalimie ndugu yangu centano

  • @TellaaxisTz
    @TellaaxisTz 2 ปีที่แล้ว

    #Official_tella 🔥
    Yeah #Tella_axis_tz from MAJOHE
    nakubali Sana man of work

  • @AlistarMuhamed-mo9qm
    @AlistarMuhamed-mo9qm ปีที่แล้ว

    NAKUKUBALI SAANA MOKO LOVE FROM TANZANIAN IN UGANDA ❤❤❤

  • @amotv9953
    @amotv9953 3 ปีที่แล้ว

    Mocco Mbona unajua sana key za kuimbia boss achia kibao basi

  • @aaronngowi
    @aaronngowi 4 หลายเดือนก่อน

    Mwanaume unajuaaaaaa we ni fireeeeeee

  • @clinsmanluvembe3646
    @clinsmanluvembe3646 2 ปีที่แล้ว +1

    You genius respect

  • @Talented_Destiny_Music
    @Talented_Destiny_Music 2 ปีที่แล้ว

    Nakueshimiwa sana Mocco genius 🇸🇸 🇹🇿

  • @hashtagstudio9389
    @hashtagstudio9389 4 ปีที่แล้ว +1

    kazi nzuri asante kwa kushare mocco

  • @wizemzik
    @wizemzik 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimetafuta siku nyingi sana tutorials zako Mocco siku pata. Nashkuru sana kupata hii. Maana weye ni moja kati ya my inspirated producer

  • @sundaymkirima4896
    @sundaymkirima4896 3 ปีที่แล้ว

    hatareeeee mzeeee nakubali 100%

  • @mkaleboybeatz4343
    @mkaleboybeatz4343 4 ปีที่แล้ว +6

    #MG
    Inayofatia iwe de way u mixing beat en vocal production
    Gee

  • @RbierBeatz
    @RbierBeatz 3 ปีที่แล้ว +2

    Unafanya kazi nzuri sana mocco wew ni producer mkubwa unae inspire vijana wengi na unapeperusha bendela ya bongo kiujumla, ila nilikua naomba nikushauri kitu...jaribu kuweka subtitle kwenye sessions zako sababu naamin hufatiliwi na watanzania tu wapo wengine ng'ambo wanahitaj kukufatilia ...🙏🙏

  • @inspiringmediarecords4391
    @inspiringmediarecords4391 4 ปีที่แล้ว +2

    Uko top sana bro ni maptoducer wachache wenye moyo wakufunza wenzao techniques zao

  • @robertmuta2620
    @robertmuta2620 3 ปีที่แล้ว

    U just superb.. ukojuu dogo

  • @mswalehmswazi2507
    @mswalehmswazi2507 4 ปีที่แล้ว +1

    Mocco nitafurahi nikifanya kazi nawe... From Kenya

  • @patiencenimmoh3956
    @patiencenimmoh3956 4 ปีที่แล้ว +5

    Yooooh Mocco napenda bidii yako broh. next naomba ufanye @Haijakaa sawa ya Mbosso. 254 represented much love all the way ❤❤

  • @GeoffreyShabani
    @GeoffreyShabani หลายเดือนก่อน

    Good Sana Brother Nimeikubari Hiyo Kaz

  • @johnmrope2890
    @johnmrope2890 3 ปีที่แล้ว

    Dah umetish mocco

  • @nover8035
    @nover8035 4 ปีที่แล้ว +5

    huenda unaweza ukawa Genius kweli but, siku tukikutana tajua how genius you are👏🏼👏🏼 nice man

  • @darrenhirst9900
    @darrenhirst9900 ปีที่แล้ว

    Bro that is some sweet music

  • @DavidSasi603
    @DavidSasi603 3 ปีที่แล้ว +2

    u are really cool bro i like ur projects they are always awsome

  • @danypromagic1926
    @danypromagic1926 3 ปีที่แล้ว +5

    If there is a producer that I follow..you..I agree with you Gee.
    #Moccoooo

  • @johnprodbeatz5084
    @johnprodbeatz5084 ปีที่แล้ว

    kwanza Brother mocco genius mi nakukubali sana bro n'a Pia nakubali sana kazi zako , n'a Pia usiku na mchana na muomba mwenyezi Mola usiku na mchana aweze kukulinda kwa sababu ya sessions zako bro imekuwa ni msada il ubwa wa mawazo ata kwetu producer tunao anza na Pia tunauomba usichoke kwa kufanya ivi.

  • @thekillersounds5569
    @thekillersounds5569 3 ปีที่แล้ว +1

    Mocco bro unaweza tuonesha jinsi ulivyo mix mbosso haijakaa sawa

  • @LumayzhMadiucka
    @LumayzhMadiucka หลายเดือนก่อน

    Show brother nimekukubali

  • @nkaladiwizzybeatz7983
    @nkaladiwizzybeatz7983 4 ปีที่แล้ว +2

    You're De best keep it up

  • @kushdavid1402
    @kushdavid1402 3 ปีที่แล้ว

    Moco unauwa sana

  • @dominicknondo7681
    @dominicknondo7681 2 ปีที่แล้ว

    Unyamaa sana🎼🎷🎺🎸🎻

  • @danihaule3204
    @danihaule3204 3 ปีที่แล้ว

    Salute kwako mocco genius

  • @KirangaHouston
    @KirangaHouston 3 ปีที่แล้ว

    Nakuja Dar....unitengeneze ngoma kali ya HipHop.
    #KikiHouston
    @BURUNDI

  • @chrisstzchubwa9562
    @chrisstzchubwa9562 4 ปีที่แล้ว +1

    Beat Kali sana iyooo

  • @givenrich5961
    @givenrich5961 4 ปีที่แล้ว +1

    moco nahtj kujfunza production napnda sana biti zako...nsaidie mkuu

  • @Silyvesta
    @Silyvesta 2 ปีที่แล้ว

    Kaz zako ni nzuri sana.

  • @1woodlandmusic260
    @1woodlandmusic260 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali kazi zako ninzuri broo🔥🔥🔥

  • @youngvoiceke.
    @youngvoiceke. 3 ปีที่แล้ว

    Ak mm nkafanikiwa na kufanya kazi na ww mocco ntakuonyesha maajabu

  • @fekechebeats5490
    @fekechebeats5490 4 ปีที่แล้ว +5

    Appreciate Sana bro I wish to be like you one day

  • @officialgadoski510
    @officialgadoski510 3 ปีที่แล้ว

    Mocco mie msani kutoka kenya nime penda kazi yako sana ninge weza penda sana kufanya nawe kazi

  • @obedibright4593
    @obedibright4593 2 ปีที่แล้ว

    Nakukubaligi sana bro 😎

  • @gerogold4
    @gerogold4 3 ปีที่แล้ว

    Moto🔥✨mocco✨🇨🇩

  • @mgbmonster2978
    @mgbmonster2978 ปีที่แล้ว

    courage sana kaka unajuwa sana kaka moko

  • @juliusmussa4895
    @juliusmussa4895 2 ปีที่แล้ว

    Mocco nataka unifundishe jinsi ya kufanya mixing nzuri

  • @dmcommedy2768
    @dmcommedy2768 3 ปีที่แล้ว

    Unatisha mzee baba

  • @hermankanisius3724
    @hermankanisius3724 4 ปีที่แล้ว

    Nakubali sana unachofanya kaka,,
    Ya Best of the best hit maker

  • @nzidyoboy9816
    @nzidyoboy9816 2 ปีที่แล้ว

    Kaka unpendekeza music mzuri sana

  • @thomasbilingi7048
    @thomasbilingi7048 24 วันที่ผ่านมา

    genius WE NI MTU KABISAAA

  • @victordeekenya3539
    @victordeekenya3539 ปีที่แล้ว

    Micro you are a rockstar.. That's a nice job 👏👏👏

  • @ibrahimkhalifa290
    @ibrahimkhalifa290 3 ปีที่แล้ว

    Mocco!!!!!!!!!!! Fan wako mkubwa toka 254 nairobi

  • @yassinmwakalinga5134
    @yassinmwakalinga5134 3 ปีที่แล้ว

    Unatisha sana mwamba.

  • @BRiGHTONJenius
    @BRiGHTONJenius 9 หลายเดือนก่อน

    👍👍👍👍 noma sana

  • @michaelfortune5294
    @michaelfortune5294 4 ปีที่แล้ว +1

    Mjomba kweli wewe genius💥💥💥💥💥💥💥

  • @nicolausmartin9934
    @nicolausmartin9934 3 ปีที่แล้ว

    Mocco 🙌

  • @baumusictz9141
    @baumusictz9141 3 ปีที่แล้ว

    Great one pdn music nakubali broo beat sema cna uwezo wamoney nataman nije nfanye Kaz kwako

  • @mirajihabibu6990
    @mirajihabibu6990 3 ปีที่แล้ว

    Huwa sichok kuangalia hii coz daaah this moooocooh 🔥

  • @ianblasio
    @ianblasio ปีที่แล้ว

    @Mocco Genius mimi ni mpezi wa Gospel genre lakini kwa hii video inaonyesha namna mziki ni lugha na lugha halisi ni namna yule anaeanda anajua like nguvu na jasho lote aliloliweka pamoja na hisia zake 12:56 . Bro i just wish you well on your music journey and hopefuly tuendele kusikia vitu vizuri kutioka kwako kaka .

  • @jfocus2
    @jfocus2 ปีที่แล้ว

    Good job Bro

  • @b2classicofficial829
    @b2classicofficial829 2 ปีที่แล้ว +3

    Much respect

  • @CeeEmG
    @CeeEmG 4 ปีที่แล้ว +1

    Mocco mkali wao

  • @jumaomary267
    @jumaomary267 3 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa Sana brow mabit yako

  • @felistasanga9398
    @felistasanga9398 4 ปีที่แล้ว +1

    Bro umentoa kwenye level moja kwenda nyingine tunataman kuona session nyngne ukielezea mana you are real geneous

  • @passkillsmwalayee8410
    @passkillsmwalayee8410 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali xana broo
    Ila na Mimi naimba coz niko mbali kiufupi nakukubali sana naamini oneday ntakuja kukutana na wewe face2face tufanye kitu @@# karibu nyumbani kigoma/kasulu

  • @emmanuelmzila8120
    @emmanuelmzila8120 3 ปีที่แล้ว

    good saaana unajua

  • @kbclassicbeat
    @kbclassicbeat 4 ปีที่แล้ว +1

    nakubali san

  • @frankvinisent7804
    @frankvinisent7804 4 ปีที่แล้ว +1

    Noma Sanaa

  • @kinagaubaga6938
    @kinagaubaga6938 5 หลายเดือนก่อน +1

    Napenda sana your work mocco,kumbe ni wewe sikuwa jua😂

  • @shebbywakuache6247
    @shebbywakuache6247 3 หลายเดือนก่อน

    Mocco💥💥💥

  • @mjubaog8258
    @mjubaog8258 4 ปีที่แล้ว

    Dingiii nazielewa zana ngoma ambazo umegonga beat unao ubunifu wa kutosha una kipaji na kazi yako unanivutia sana kwenye hiyo fani tatizo vifaa

  • @amossuka3462
    @amossuka3462 3 ปีที่แล้ว

    pamoja sana 100%

  • @madahtz
    @madahtz 3 ปีที่แล้ว +1

    Mocco appreciate you bro

  • @kevnlak3721
    @kevnlak3721 2 ปีที่แล้ว

    Kaka unajua.......!!!🥳🥳🥳

    • @kevnlak3721
      @kevnlak3721 2 ปีที่แล้ว

      Nomaa saaanaa🥳🥳

  • @paulaugustinoilomo6544
    @paulaugustinoilomo6544 4 ปีที่แล้ว +5

    Beat ni idea, una idea za ajabu sana. Safi kaka 🔥🙌

  • @kingtvonline1124
    @kingtvonline1124 4 ปีที่แล้ว

    Naomba ifuate ya Timbulo ft Jux mzeee nakubali sanaaAaa

  • @officialdjbranta_
    @officialdjbranta_ 4 ปีที่แล้ว +1

    Broh big up san

  • @calvinlwane1283
    @calvinlwane1283 ปีที่แล้ว

    Mambo vipi bro nafuraishwa na kitu ambacho unachokifanya mimi kama msanii chipukizi

  • @evadotv9528
    @evadotv9528 4 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana

  • @bonnysureolkokolaboy4342
    @bonnysureolkokolaboy4342 4 ปีที่แล้ว +1

    Moko umeua ahsee

  • @ryadsirma
    @ryadsirma 2 ปีที่แล้ว +1

    Mocco you're genius bro

  • @ibrahwyre7301
    @ibrahwyre7301 3 ปีที่แล้ว

    I'm Ibrahyre 20 from Kenya nimependa kazi yako taratibu na pia yakweleweka umenifutia pia Mimi msani I learn from producer. Bigup bro.

  • @madyshirly5703
    @madyshirly5703 4 ปีที่แล้ว +1

    Mokko keep it up bruh..hakika tunajifunza mengi kutoka kwako na unazidi kutuenspire..tunakuombea usibadirike n kuwa mbinafsi kama wengine..sema binafsi naomba kweny sessions zijazo upande wa chords na ala nyengine tushow izo scale na keys namna unavyozpngilia vizuri kuleta ladha nzuri ya mziki..appreciate mokko genius

  • @leonardflavour7533
    @leonardflavour7533 3 ปีที่แล้ว

    Ifate susumila na mbosso sonona naikubali sana

  • @inspiringmediarecords4391
    @inspiringmediarecords4391 4 ปีที่แล้ว

    Mzeeee uko vizuri sana tunakusupport sana tengeneza matutorial mengime mkuu

  • @J4UPro
    @J4UPro 4 ปีที่แล้ว +2

    Vip mzee baba napata monitor speaker used huko?

  • @Glove233
    @Glove233 2 ปีที่แล้ว

    Salute sana homie 🔥🔥🔥🔥🎵🎙️🎶🙌

  • @salimnondo740
    @salimnondo740 4 ปีที่แล้ว

    Mzee Mocco hizo afro roll drums naweza kuzipata

  • @ramsdenjames9782
    @ramsdenjames9782 3 ปีที่แล้ว +2

    Mocco Soma comments za wadau uzifanyie kazi

  • @mrrugessytz
    @mrrugessytz 5 วันที่ผ่านมา

    Very nice

  • @amoury1481
    @amoury1481 4 ปีที่แล้ว +2

    sasa hiyo plugin uliyopiga kwenye chorus si kuna mziki kwenye kufanyia mixing itoe sauti nzuri

  • @chagaboy255
    @chagaboy255 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️

  • @kevinsokuto4039
    @kevinsokuto4039 3 ปีที่แล้ว +1

    Genius indeed

  • @stanslausnyangige5978
    @stanslausnyangige5978 3 ปีที่แล้ว

    Creative

  • @J4UPro
    @J4UPro 3 ปีที่แล้ว

    Moccoooooo big up