Mocco Genius - Mar Gaya (Lyrics Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 26 มิ.ย. 2024
- Music by Mocco Genius performing ''Mar Gaya" (c) 2024 Imagination Sound
All Profile link Click here: linktr.ee/moccogenius
Listen to Mocco Genius on Digital Streaming:
Audiomack:audiomack.com/moccogenius
Apple Music: / mocco-genius
Boomplay:www.boomplay.com/share/artist...
TH-cam: / moccogenius
Spotify:open.spotify.com/artist/0qR7J...
Deezer:www.deezer.com/us/artist/4998...
Connect with Mocco Genius on Social Media:
Instagram: / moccogenius
Facebook: / moccogenius
Twitter: / moccogenius_
©2024 Imagination Sound.All rights reserved.
#MoccoGenius #margaya - เพลง
Mziki mzuri uwa ujifichi kama unakubalina na mimi like apa twende sawa team mziki mzuri 🎧❤️
Fundi sema unge ifanyia remx na kiba nyimbo kali sana
Kama umeikubali nyimbo kama mimi gonga like kwenye comnt hii tujuane
Nice
Ngoma yangu pendwa 2024 Aya mayatima wamapenzi km mm gongeni lake 👉👉
Hakika kwa bongo fleva Tanzania ndo inasonga mbele kimataifa❤❤❤❤❤❤
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Bongo fleva manake ni fleva za bongo km cjakosea
Kaka mocco, nisiwe muongo huu mwaka hamna nyimbo km hii ww ni bonge la artist unaejua kubadil radha yan bac ni jina 2seme lkn hii ngoma ilitakiwa kuwa 1 on trending 2siwe waongo kaka mpk nacomment namaanisha huwa sicomment ovyo jaman mpen mkono mocco .....🙏🙏🙏
Umeachwa lin kaka😂
@@AziziSalehe😂😂😂 ukorof TU kuoga aaaah
Umetishaaaaaa sana mwambaaaaaa
Uyuu anaimba vizuri kuliko wasanii wa kubwa tz,
Mocco ajawai kuniangusha twende kazi likes mara2 mb2❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Kihindi kidogo ngoma kali broo
Mocco genius kila ngoma ya moto 🔥🔥👑 lazima ukalisheeee
Ushaa nena
Mocco genius anajua mpaka anakera,naomba kiba aifanyie challenge ❤
Mwenye mziki wake fundi kabisa
Tamu Sana❤
Chuma kwa moko nipeni like zangu hapa❤️❤️❤️❤️❤️🎉
ungemshirikisha mbosso ingeenda snaaa, ngoma kali
WaBongo sijui kama kuna kitu wanachoshindwa
Nimeludia zaid ya mal tatu hiii nyimbo broo umetisha sana
Wimbo wa taifa toka kwa mfalme🇨🇩🇨🇩
Dah, mocco unanipa mawazo ya kuanza kukufatilia, kichupa🔥🔥👏
very emotional,my 1st emotiomal song this year ever.kama unakubal like
Huyu jamaa Dah!!!!! 😮😮😮😮 Kunamda siamini kama ni yeye asee bonge la nyimbo yani
Ngoma kali sana sema round hii rmx ufanye na yammy maana anachembe chembe za in🇮🇳
Chukuwa mauwa yako 🔥🔥🔥🫡🫡 unajuwa kaka 🫂🫂
Nimekubali kaka ni noma sana 🎉 hili goma Kali sana
Jamaa anajua sanaaa
Bahilam wanawake awaogopi moto 🔥🔥nasisi wanaume tiwapeleke moto🔥🔥🔥😱😱
Kama umerudia zaidi ya mara mbilii huuu wimbo tujuane hapaa
Uko kwenye safari nzuri kijana mwenzangu❤❤❤❤
Good music ❤❤❤❤i really love it
Ngoma yangu ya mwaka hii hapa kutoka Kwa Moco, hizo zingine gawaneni
Mziki mkali sana hu kweli we niginius🎉🎉🎉
Duuuh umefanifany niludie ngoma mala kumi
Icho kihindi tutaweza kukalili kwel ila uko vzur 🎉🎉
Unajua 🙌🙌👐 mpaka unakela all in all good music
Genius ni mmoja tu bongo hii..Ngoma kali Mocco@Music in Blood
Ngoma kali sana ira ungeua angekwemo mkuu alikiba mzee wa yooo
Tushawachoka hao
Oy broo ngoma Kali
Akitoka Jay Melody,uyu Ndio Msanii Wangu wa Pili Kipenzi 💗💗💗💗🔥🔥🔥
Noma sana ngoma kali hapa collabo na @yammi
noma sana mdogo wangu kazi nzuri
Moko unajua mpka basii tenaaa nime kuadd kwenye list za wasanii wanao konga moyo wangu❤❤❤
Ii ngoma kali siju wabongo wanataka nn❤❤❤
Uyu ndio alikua ataki kuimba waka mlazomisha Anza kuimba ila mocco sasa izi ngoma tungezipata wapi tz🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Hatari big tune feeling it from 254msa kenya mocco genius mwenyewe
Wow bro mocco genius hii nimekubali one love bloody from USA 🇺🇸
Jamaa anajua sanaaa😮❤
Jamaa anafit sana ktk bongo fleva
Mziki mzuri unawenyewe bhnaa❤❤ congratulations you fundi mocco
hiii ni talent kubwa sana aiseh moco ww ni genius kweli
Kaka sikupingi nakupa hekima Yako👏👏👏👏
AAAAAAH MOUJAA 👆 njoo Kwa comment tu, support MOOOOCCO
Kaka mocco hio nyimbo muuzie mbosso au itolee rimx na mbosso utafute maokoto ila ww mbonifu sana
Daaaah kali sana
Mocco hii ngoma ni kalii
Hii inakuja vizuri bro🤝🌺🌿, endelesha hivi-hivi, utofauti upo
Stick with King Kiba u will be on fire 🔥🔥
hiki kidude nikitam bna mocco u got love from Kenyan 🇰🇪bwoy @da cruiz
Hii ngoma Kali sana mzee yani unajua sana 🔥🔥🔥🔥
Mocco fundi asikuambie mtu ndio maana yuajiita genius
Nakubali combination ya lua
Mwamba anajua...
Unajua sana 🔥📌
❤❤❤😊😊😊😅🔥🔥🔥🔥 much love ❤️ 😍 💖 from kenya 🇰🇪 😍
Uyu jamaa anajua sana
Aaah moujaa..una kipaji sana mzee
Huyu mwamba mkalii 🔥🔥
Unajua sana mocco
Moto wa mocco sio kitoto
Ngoma Kali sana
Mooco
Ni mmoja tu❤🎉
Mocco karibu mjini
MWALIMU🎉🎉
Huyu mocco ni hatar sana yan
Nyimbo inanihusu mwanzo mwisho shenziiii
Kali sana
Leo ndo nmejua kwann Alikiba anapenda kuimba na mocco kwa hii ngoma itasumbua sana kuliko hata nyimbo zenu za salamu uko Amerca😅 mocco
ngoma kali team mzk mzr
Awesomeness ❤❤❤
doooh❤ alooo linajua bhna ili jmaaa💥
Kaka unajua sana mungu kakubariki by Musa 🎶
Nakubali kaka unaweza hadi unakela❤❤❤
Iko poa sana
Bro umeua sana, hii imeenda 🎉🎉🎉🎉
Mocooo umepooaaaa!! Mtu wa maana kbs ww
Mocco Genius is always outstanding wonderful young artist
Kaka unajua mpaka vinyoleo vimesimama
Daaaah una balaaaa Mwambaaaa
tuondoke nayoooo👽🎶✅
Mocco we fund sanaa🙌🏽🙌🏽🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥 by BMO
Mocco Yani Aka kanyimbo sijui kakutungia nani au ulifikilia nn Yani Uindi ndani
Duh mbosso jipange kaka muuone mtoto uyo
Unajikuta sharkhan mdogo angu😂😂🎉
Kubabake Goma langu limetoka🎉
Ngoma kali sana
Mwana vocals nzuri saana,Ngoma taam saana
nimeungojea Sana huu wimbo kaka
Remix Yammy ataweza sana Mocco
Mocco u r so talented brother 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🌞 hii mar gaya sio poa
🔥🔥kitaa kimekukubali kaka
Nakubali bailam bila matatizo🙏🙏