THE CLASSIC NA P1 BLACK : NINI MNATAKA MAZEE/TIKISA BONGOFLEVA/VIPIKUHUSU BEEF NA BLUE BYSER

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024
  • Moja ya marapper wakali weny flows nyingi kwa muda mrefu P1 Black amefika kwenye The Classic na kuonge mengi yanayohusu historia ya maisha yake ya sanaa na zaidi

ความคิดเห็น • 46

  • @rogerslwitiko3915
    @rogerslwitiko3915 10 หลายเดือนก่อน +9

    Beat za wakati wote Kwa upande wangu 1.Daz Baba ft Daz Nundaz,Sewa Side & Scout Jentaz~Nipe 5 2.P1 Black~Nini mnataka 3.Jay Moe,Complex, Inspector Haroun &Dudubaya~Safari njema 4.Mwana Fa ft Jay Moe ~Ingekua vipi 5.Prof.Jay ft Juma Nature,Mkoloni&Munny~Zali la Mentali 6.Ay ft Complex~Raha tu remix 7.Prof.Jay ft Jay Moe~Tathmini 8.King Crazy Gk ft TID~Tutakukumbuka daima milele 9.Daz Nundaz~Barua 10.Immam Abbas~Mitaa ya kati

  • @benedictngowi8631
    @benedictngowi8631 10 หลายเดือนก่อน +8

    Mzee sijui kwanini huwa unatoaga mziki kwan ukisikika hapa kuna sida gan piga nyimbo zisikike watu wamemiss hizi cyo tu interview pekee ukipga wimbo achia usikike kama hiyo ngoma ya Pig black unaiminyaje yan😀😀 ushauri tu @Kuvi

  • @azizmtyaule2540
    @azizmtyaule2540 9 หลายเดือนก่อน +2

    Inaweza ikawa ngoma kali ya Hip Hop yenye flows kali kuliko zote

  • @franciskassanga7999
    @franciskassanga7999 10 หลายเดือนก่อน +2

    hii Kindumbwendumbwe inapatikanaje, tusaidieni kuipost tuipate kwenye mtandao, haipo kabisa

    • @juliusngowi952
      @juliusngowi952 9 หลายเดือนก่อน

      Ninayo kama unaitaka kaka

  • @MussaRobart-w2y
    @MussaRobart-w2y 10 วันที่ผ่านมา

    Mwambie jay mo nina tape yake ulimwengu ndio mama

  • @dicksoniaidani3822
    @dicksoniaidani3822 10 หลายเดือนก่อน +1

    Oiii mmetisha wanangu Jabir Saleh, P1 Black na mwanangu kabisaa Moruoking 🔥🔥🔥🔥🔥🙌🏿🙌🏻

  • @dastonamichaels1854
    @dastonamichaels1854 10 หลายเดือนก่อน +2

    Niskize mi ili bang sana Mombasa Kenya❤️

  • @mwitawambura8920
    @mwitawambura8920 10 หลายเดือนก่อน +1

    CEO wa nini unataka mazee nakukubali mazee, kiwaside📌

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 10 หลายเดือนก่อน +1

    Much love from Helsinki Finland 🇫🇮🤝💪

  • @jumahamis227
    @jumahamis227 6 หลายเดือนก่อน

    Msanii mwenye sauti unique sana kuwahi kutokea bongo 👏.

  • @samwelmasssawe1767
    @samwelmasssawe1767 10 หลายเดือนก่อน

    Huwa napenda Sana kumskiza P.. ana madini Sana af mnyawezi Ile mbaya🙌

  • @wilbertjosephat1615
    @wilbertjosephat1615 9 หลายเดือนก่อน

    Beat kali za muda wote
    1. HAWATUWEZI -n2n
    2. NINI MNATAKA- pg
    3. NIPE TANO- dz
    3. ZALI LA MENTAL -prof
    4. USIULIZE- rado
    5. NAMPENDA YEYE- temb
    6. TUTAKUKUMBUKA- gk
    7. HILI GAME- jnt
    8. NAKUPENDA MPENZI- dudu
    9. MIKASI- ngwer
    10. DARUBINI KALI- sele

  • @mwitawambura8920
    @mwitawambura8920 10 หลายเดือนก่อน

    Jamaa anaweza sanaa hakuna mtu atakaye ifikia ile ngoma nini mnataka

  • @allysanya8346
    @allysanya8346 8 หลายเดือนก่อน +1

    Chief pindi n kali mno jaribu balance muda wa interview añgalau wanapokuwa hapoo artists watupe na michano,midondoko,mistari ya hapaa na palee

  • @MONEY_CHANNEL.
    @MONEY_CHANNEL. 10 หลายเดือนก่อน +2

    MLETE NYANDU MZEEE

  • @Marjeby
    @Marjeby 9 หลายเดือนก่อน

    P mnyama sana nauelewa sana unyamwezi wake aisee

  • @abumuhammad9615
    @abumuhammad9615 5 หลายเดือนก่อน

    Piggy black mnyamwezi...haitatokea rapper mwenye flow kama yake hapa bongo....nini mnataka mazee

  • @joshuamakota6714
    @joshuamakota6714 3 หลายเดือนก่อน

    Mtoto wa mjini AY kapita sanaaaaaa

  • @hassanihussein2731
    @hassanihussein2731 10 หลายเดือนก่อน

    Ebhana p1 mnyamwezi mnoooooo

  • @temboconsultants1962
    @temboconsultants1962 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka Jabir tuache swala la kuwa Msanii bora sijui nini tuache but, kwa kipindi hiko hakuna Rapper alikua mkali kama huyu Pig Black na Ngwair style zao bwana zilikua future, Young Lunya anamuiga P1 Kuflow we fastilia
    Maoni yangu - Call me Tembo

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 10 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥Legend kiwa breezy

  • @salumuseif3324
    @salumuseif3324 10 หลายเดือนก่อน

    Nakubali sana iki kipindi

  • @rogerslwitiko3915
    @rogerslwitiko3915 10 หลายเดือนก่อน

    Nakumbuka mwaka 2003 hii ngoma wakati inatoka Kuna Bro aliweka Radio Kiss FM ndio nikaisikia hii ngoma ya Pig Black Nini mnataka

  • @kagirasta1476
    @kagirasta1476 10 หลายเดือนก่อน

    Mwamba mnyamwez sana enz zake michano yake

  • @mosse1466
    @mosse1466 10 หลายเดือนก่อน

    Up up up!!!

  • @farajamfaume7545
    @farajamfaume7545 10 หลายเดือนก่อน

    1-mstari wa mbele ya kikosi
    2-nini mnataka ya p1 black
    3-hili game ya nature

  • @managergoa6798
    @managergoa6798 10 หลายเดือนก่อน

    This is hiphop beyby

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 9 หลายเดือนก่อน

    Miziki ya zamani inaishi

  • @cloudcharles3476
    @cloudcharles3476 10 หลายเดือนก่อน

    Unyamwezi mwingi

  • @joshuamuro9494
    @joshuamuro9494 10 หลายเดือนก่อน

    Pia kuna beat ya RADO Pigia mstari ninoma sana pia

  • @gnmbi
    @gnmbi 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hata mwanafarsafa kuwa mwana fa

  • @ericksawaki2786
    @ericksawaki2786 10 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🙌🏿

  • @alexmsigara4329
    @alexmsigara4329 9 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ndoxmafia
    @ndoxmafia 10 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @jila_legrand
    @jila_legrand 10 หลายเดือนก่อน

    Mwamba alikarisha sana na hio pini

  • @Roger_zanzibar
    @Roger_zanzibar 10 หลายเดือนก่อน

    🙌🙌🙌🙌

  • @RichardCossan-rk1ub
    @RichardCossan-rk1ub 10 หลายเดือนก่อน

    Bro jabily iyo simu yako sio powa😂😂

  • @ronaldissack3338
    @ronaldissack3338 10 หลายเดือนก่อน

    Goma la karne hilo,nini mnatka mazee

  • @kinnofleksi
    @kinnofleksi 10 หลายเดือนก่อน

    💯✔🏁👊

  • @edwinMramba-tp9kr
    @edwinMramba-tp9kr 10 หลายเดือนก่อน

    slowghter

  • @user-uv5rf5zn3v
    @user-uv5rf5zn3v 10 หลายเดือนก่อน

    Mafundi awapo sasaivi

  • @DassYonela-bk9qo
    @DassYonela-bk9qo 10 หลายเดือนก่อน

    Kiwalani

  • @iamzillahx6901
    @iamzillahx6901 10 หลายเดือนก่อน

    The Classic Show For Classic Artists

  • @niggahoodthemc9156
    @niggahoodthemc9156 10 หลายเดือนก่อน +1

    ✊🏿👮🏿‍♂️