MISA MT ANNA - UTUKUFU KWA MUNGU JUU | KRISTO MFUFUKA MUHEZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 32

  • @msaghamwakamba8182
    @msaghamwakamba8182 7 หลายเดือนก่อน +6

    Mzee baba nimekubali Infact Kuna chords zimeshikwa hapooo kwa ""Utuhurumie"" wooooooi,.... 😮😮 Maskini kinanda😢😢😢😢

  • @vincentonchieku9535
    @vincentonchieku9535 ปีที่แล้ว +3

    Good song well organised and balanced voices God bless you choir continue praising God through your songs. The pianist you are on another level brother well done.

  • @reu.mathematicsacademy8566
    @reu.mathematicsacademy8566 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kitu imepewa haki yake❤❤

  • @NoelSeni
    @NoelSeni 8 หลายเดือนก่อน +2

    Baba Swagara🙌🙌🔥

    • @juliuslucas593
      @juliuslucas593 8 หลายเดือนก่อน +1

      Mimi hapa

    • @Dailybasis-c4d
      @Dailybasis-c4d 2 หลายเดือนก่อน

      Mkuu​@@juliuslucas593

  • @annamosha968
    @annamosha968 ปีที่แล้ว +1

    Saaafi mnoo kwa utii wa kuimba marekebisho mapya mpo juuuuu na mmeimba👌👌👌👌👌👌 Mungu Baba awabariki zaidi❤️❤️❤️

  • @niyongabojonas4760
    @niyongabojonas4760 6 หลายเดือนก่อน +2

    Muziki Mtakatifu ni tiba

  • @CollinsTuikong
    @CollinsTuikong 8 หลายเดือนก่อน +1

    Gloria in excelsis deo! Good song!

  • @johnsadiki2657
    @johnsadiki2657 ปีที่แล้ว +1

    Misa nzuri sana👍👍

  • @EliasYohana-d6k
    @EliasYohana-d6k 5 หลายเดือนก่อน

    Kwann usichangamke kanisani kwa hali hio nimefanya utafiti kumbe wanakwaya wanaweza kudhoofisha misa takatifu au waichangamshe hongereni mmeupiga mwingi muendelee ivi ivi

  • @Misol003
    @Misol003 5 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉be blessed

  • @kafulyawilson8567
    @kafulyawilson8567 6 หลายเดือนก่อน +1

    kuna mijitu inakatisha tamaa wanaojifunza kinanda........🤣🤣🤣🤣🤣 mwamba unakibonda kinanda hadi siyo pouwaaa

  • @CastorTula
    @CastorTula 6 หลายเดือนก่อน

    Mziki mzuri sanaaaaaa. Mbalikiwee

    • @CastorTula
      @CastorTula 14 วันที่ผ่านมา

      Anaemfaham huyu organist tafadhali naomba aniunganishie nae au no. Ya cm.

  • @EliasYohana-d6k
    @EliasYohana-d6k 5 หลายเดือนก่อน +1

    Utavunja sàsa mjomba duh

  • @janem3806
    @janem3806 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina

  • @Simoni-oy4xx
    @Simoni-oy4xx 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kuweli

  • @novatusdonald7406
    @novatusdonald7406 ปีที่แล้ว +2

    Vema organist

  • @ericgathinji
    @ericgathinji ปีที่แล้ว +1

    Organist 🔥🔥🔥

  • @samwelamsi1996
    @samwelamsi1996 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂hiyo chord maskini kinanda Cha watuu

  • @josephkimitingunjiri5479
    @josephkimitingunjiri5479 20 วันที่ผ่านมา

    Utukufu, kwa Mungu Mbinguni,
    Na amani dunaini (kwa watu) kwa watu wenye mapenzi mema
    Tunakusifu tunakuheshimu tunakuabudu tunakutukuza
    Tuankushukuru kwa ajili ya utukufu wako mkuu (ee Bwana)
    Ee Bwana Mungu mfalme wa Mbinguni
    (Mungu Baba) Mungu Baba Mwenyezi,
    Ee Bwana Yesu (Kristu) Mwana wa pekee
    Ee Bwana Mungu Mwanakondoo wa Mungu
    Mwana wa Baba (Mungu) wa Mungu Mwana wa Baba
    Mwenye kuondoa dhambi za dunia utuhurumie
    Ewe mwenye kuondoa dhambi za dunia
    (pokea) pokea ombi letu
    (ewe) Mwenye kuketi kuume kwa Baba
    Utuhurumie (Bwana) utuhurumie
    Kwa kuwa ndiwe uliye (peke) peke yako mtakatifu
    (Peke) peke yako Bwana (peke) peke yako mkuu
    (Yesu) Yesu Kristu,
    Pamoja na Roho Mtakatifu katika utukufu wa Mungu Baba
    Katika utukufu, katika utukufu wa Mungu Baba
    Katika utukufu wa Mungu Baba
    (katika) Utukufu wa Mungu amina amina
    Katika utukufu wa Mungu (Baba) Amina amina

  • @musichealsTz
    @musichealsTz 7 หลายเดือนก่อน +1

    sema organist hichi kinanda amekionea sana, hahahahaha, inabidi atafutiwe FX 20, FS 70 au el 90...hahahhahhaa

    • @juliuslucas593
      @juliuslucas593 7 หลายเดือนก่อน

      Hahaha sawa mkuu

    • @ErnestMsalali
      @ErnestMsalali 6 หลายเดือนก่อน +1

      Mi naona kakizaba kweli, ila kajitahidi mno