MUME KATUKOMOA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @wardaam3707
    @wardaam3707 ปีที่แล้ว +21

    Assalam alaykum warahmmatullah
    Ndug zang katka imani je hay mnao fanya yana mrdhisha Allah tumieni kazi zenu vizuri kwann mnajiabisha kujitingisha mbele za wanaume hairuhusiw muogopeni Allah na siku ambayo tutakuja kuulizwa mbele ya Allah

    • @aminakauli9951
      @aminakauli9951 ปีที่แล้ว +4

      😂😂😂😂sasa apa kwa coments section umefata nn ebu uza hio simu kwanza

    • @AishaswalehAweshaswaleh
      @AishaswalehAweshaswaleh ปีที่แล้ว +2

      Kwani kuna ubaya gani jaman mashekh mbona hamuishi visababu mbona musikae msikitin muko u tube acheni zenu

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le ปีที่แล้ว +2

      😂😂😂jaman, ikiwa hapa hawajajisti Ivo wakikaa uchi ndowanakua vp??na mnaangalia Kwa nn? hebu tuachieni tuburudike jaman Kwa rahzetu khaaaa!! Mnatuondolea utamu wetu banaa

    • @dama4995
      @dama4995 ปีที่แล้ว +1

      Watu na dini zao wamejoin comment section 😂😂😂😂😂wanachofanya hakimridhishi Allah na umeangalia😂😂😂😂

    • @aishaHussein-cx4ho
      @aishaHussein-cx4ho 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@aminakauli9951😂😂😂😂😂😂😂😂😂asanthaaaas

  • @BintalyB
    @BintalyB ปีที่แล้ว +9

    Nmewahi leo naomba like Ata Moja jmni 😂😂

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 ปีที่แล้ว +4

    😂😂😂madekodeko na sofia mwanichekesha😂😂

  • @furahajacqueline1339
    @furahajacqueline1339 ปีที่แล้ว +22

    Wa kwanza leo nipen like zangu😂😂

  • @shafianzuga5096
    @shafianzuga5096 ปีที่แล้ว +5

    😂😂😂😂 aya msideki bahat afanye mambo yake,,,, sema mkishikana mnapendeza😊😊❤❤❤

  • @habibnaswir9875
    @habibnaswir9875 ปีที่แล้ว +7

    😂😂😂Sofia njoo tudeki🤣🤣🤣🤣madikodiko huwaga waniachaga hoi😂😂

  • @BintiM-di1wm
    @BintiM-di1wm ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂 huyo dada wa kzi pia mm apana sijapenda daa😂😂😂

  • @bosslady1286
    @bosslady1286 ปีที่แล้ว +9

    Wa mwisho nipeni likes zangu😂😂😂❤

  • @tsch4944
    @tsch4944 ปีที่แล้ว +4

    Mumepigwa n kitu kizito 😂😂😂😂

  • @Karyma-g3n
    @Karyma-g3n ปีที่แล้ว +5

    Mbavu zangu sikwakungorota hko sofia 😂😂😂

  • @HazinaSaid-ze8lk
    @HazinaSaid-ze8lk ปีที่แล้ว +3

    Napenda kuwaona madikodiko na Sofia mkicheka 😂😂😂

  • @mariamnjama3963
    @mariamnjama3963 ปีที่แล้ว +2

    Napenda huyo mke mdogo😅😅

  • @maggieluvuno4666
    @maggieluvuno4666 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe mwaeza shikana mngezubaa tuu angekua wa tatu 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @FatimaFatima-xu2ff
    @FatimaFatima-xu2ff ปีที่แล้ว +3

    Mfanyaji kazi hoyeee😂❤

    • @NoorEesa
      @NoorEesa ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂 mfanyikazi anawazidi thako😅😅😅😅

  • @Riziki.AliSalim
    @Riziki.AliSalim ปีที่แล้ว +2

    Kumbe wajua kudeki😂😂😂😂

  • @athumanisagafu
    @athumanisagafu 9 หลายเดือนก่อน

    Mnaweza Jimbo Kwa kweli... BIGUP

  • @zainabramadhan1809
    @zainabramadhan1809 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂😂 mbavu zangu ...walifika harucn hwa watu 😅😅😅

  • @Mwanamkasi-s5e
    @Mwanamkasi-s5e ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂😂amba msidek muone bahti ilo nayo ng'ondo😅😅😅

  • @leylaabuu7025
    @leylaabuu7025 ปีที่แล้ว +2

    Msija mkamtafuta kwa gari mkamfumania na Kimada mkampiga teke la kichina tu 😂😂

  • @RadhiaJuma-t5z
    @RadhiaJuma-t5z 10 หลายเดือนก่อน

    Mwapenda bure Aki 😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤

  • @zahraabdul9652
    @zahraabdul9652 ปีที่แล้ว

    Walahi mamake wajuwa kudeki kweli 😂😂😂😂😂😂😂😂 minimize mbavu zangu 😂😂😂😂😂😂

  • @TaarabChannel
    @TaarabChannel ปีที่แล้ว +6

    Mpitie na kwangu jamani wapenzi❤❤❤

  • @نيجي-ن1د
    @نيجي-ن1د ปีที่แล้ว +1

    Lakini ww unajua kudeki ila makalio hayachezi kama huyo mfanyi kaz😂😂😂😂😂

  • @rodgersmwagu239
    @rodgersmwagu239 ปีที่แล้ว

    Hahaha mnajua , kaz nzuri

  • @NoorEesa
    @NoorEesa ปีที่แล้ว +6

    Halooooow 😂😂😂😂nimefika pia😅😅😅😅 naombeni likes hata 10

  • @MariamKarembo
    @MariamKarembo หลายเดือนก่อน

    Subah Allah sofia iyo kungorota 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂jameni😅😅😅 mtaathwa nyote wawili 😂😂😂😂

  • @MangaleMwaduka
    @MangaleMwaduka ปีที่แล้ว

    Deki❤❤❤❤❤❤ safi sana

  • @abubakarmaphox7132
    @abubakarmaphox7132 ปีที่แล้ว +2

    Wazi kaka bujra

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😂dawa ya mwanamke jeuri mtafutie mfanyi kazi kiboko kama huyo ngoma safi sana yatingishika mpaka vidole,safi sana broo😂😂😂😂

  • @osmanstark7366
    @osmanstark7366 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂...Muko vizuri jamaa

  • @najmangoni2162
    @najmangoni2162 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂😂😂😂sophia unangorota kabisa

  • @abubakarmaphox7132
    @abubakarmaphox7132 ปีที่แล้ว +3

    Beka ruga na muche wa myao😂😂😂

  • @Mishi-un1yt
    @Mishi-un1yt ปีที่แล้ว +2

    😅😅😅 mashaallah kazi nzr

  • @mejumaamwachirero7324
    @mejumaamwachirero7324 ปีที่แล้ว +2

    Aya amba ndipho phiani angani msiuye ta arubaini isire mumsise 🤣

  • @chunaabdullah1333
    @chunaabdullah1333 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂Tushakaribishwa na majithako🤣🤣🤣🤣

  • @husnamwagadi
    @husnamwagadi ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂nyie wakee mumenishinda tabia

  • @BakariJoto
    @BakariJoto ปีที่แล้ว +2

    Good talent Ruga bt kujulikana zaid use kiswahili ili ifikie wengi

  • @aysha1537
    @aysha1537 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂😂 jamani mumenichekeshaaaaa

  • @Mdmd-b1m
    @Mdmd-b1m ปีที่แล้ว

    😂😂😂kweli imeweza

  • @CheerfulBeignets-se8dn
    @CheerfulBeignets-se8dn 9 หลายเดือนก่อน

    Ongera Sophia na madikodiko😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mamdogo nakubali

  • @bintisudi4917
    @bintisudi4917 ปีที่แล้ว +5

    Kisofie sio wewe ni icho.kikukuu😂😂😂😂

  • @MwanaishaRama
    @MwanaishaRama ปีที่แล้ว

    Madikodiko na Sofia 😂😂😂😂mtaniua nyinyi 😂😂😂

  • @mercyfaith8566
    @mercyfaith8566 ปีที่แล้ว

    Sofia wanivunja mbavu mm😂😂😂😂😂

  • @MwanasizetuMohammed
    @MwanasizetuMohammed 8 หลายเดือนก่อน

    Hapo waongezaa watatu😂😂😂😂

  • @ZaytoonaKarama
    @ZaytoonaKarama 11 หลายเดือนก่อน

    Assalam aleykum warrahmatul wabarakatu hilo ndio funzo kw wanawake wasiojua kutunza waume zao😂😂😂

  • @MariamSalimu-u3j
    @MariamSalimu-u3j ปีที่แล้ว

    Wallai nimecheka😂😂😂😂 beka jamani

  • @bintmwarema3915
    @bintmwarema3915 ปีที่แล้ว +1

    Mume kawakomoa amba amsikii😂😂😂

  • @DjamilaGwasa-vu3uo
    @DjamilaGwasa-vu3uo ปีที่แล้ว

    Nimeipenda 😂😂😂😂😂😂

  • @Muna-v9z
    @Muna-v9z ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂😂kesho tn leten jeur

  • @naumi2302
    @naumi2302 ปีที่แล้ว +1

    Nlkua nmewamiss😍😍

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 ปีที่แล้ว +2

    Mume kawakomoa kweli😂

  • @shamsaaaaa3963
    @shamsaaaaa3963 ปีที่แล้ว +2

    Sofia mrembo❤❤❤❤❤❤

  • @saumubuku108
    @saumubuku108 ปีที่แล้ว +2

    Madikodiko ww et achanipige ile style yake 😅😅😅

  • @furahakalyfurahakaly4901
    @furahakalyfurahakaly4901 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂❤❤❤jamen yani wangorota na dakika

  • @ZulfaSaidigavunaZulfaSaidigavu
    @ZulfaSaidigavunaZulfaSaidigavu 7 หลายเดือนก่อน

    Sofi😂😂😂 wee ni kiboko😂😂😂

  • @ashahamisi2500
    @ashahamisi2500 ปีที่แล้ว +2

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Eti nadeki hivi

  • @IreneKai-d7t
    @IreneKai-d7t ปีที่แล้ว

    Hahaha 😂😂😂 beka kapagawa n nyama za bahati

  • @zarohjuma2151
    @zarohjuma2151 ปีที่แล้ว +2

    Keep up the good work 😂

  • @LuqmaanRamadhan
    @LuqmaanRamadhan 6 หลายเดือนก่อน

    Mke ndogo ndio nani jina lake

  • @mumsboy
    @mumsboy ปีที่แล้ว

    😂😂wewee ndiyo

  • @husnamwagadi
    @husnamwagadi ปีที่แล้ว +1

    Weee beka utaniuwa na kicheko 😂😂😂😂😂😂

  • @daddyjnr4250
    @daddyjnr4250 ปีที่แล้ว +1

    I wish to join the crewe InshaAllah 🙏🙏

  • @alisaida4080
    @alisaida4080 ปีที่แล้ว +2

    Punguza kidogo wengine hatuelewi

  • @ramasarai7875
    @ramasarai7875 ปีที่แล้ว +3

    Sofi nakupnda ww❤

  • @jumaomari3842
    @jumaomari3842 10 หลายเดือนก่อน

    Hawa wana tufundisha vituko vya wanaake mungu angalia nafsi kwaiyo hawa.hawana.nia.mbaya na watu

  • @busnaoman9981
    @busnaoman9981 11 หลายเดือนก่อน

    Ilaa hiki kibekaa😂😂😂😂

  • @HassanGuro-c9n
    @HassanGuro-c9n 9 หลายเดือนก่อน +1

    Deka mama hawajui

  • @citykibonge2999
    @citykibonge2999 ปีที่แล้ว

    Mbavu zangu jmn😂😂😂

  • @AdamBwambale
    @AdamBwambale ปีที่แล้ว

    mme komolewa kweli alafu bahati mzuri kuliko nyie

  • @Lucy-t7n
    @Lucy-t7n ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂nikazi

  • @EstherChengo-u3o
    @EstherChengo-u3o ปีที่แล้ว

    I used to watch this but sijawai subscribe lakini leo Beka na Bahati mmefanya ni subscribe alafu madikodiko nawe wasema pia wewe wajua Kudeki daaaar Hatari I say😅😅

  • @تتغتا-س6ش
    @تتغتا-س6ش ปีที่แล้ว

    😂😂kazi ipo

  • @aminapili2978
    @aminapili2978 ปีที่แล้ว

    Mwaniumiza mbavu wake wenza na mume wenu

  • @fatmarama1279
    @fatmarama1279 ปีที่แล้ว +2

    Beka 😂😂😂😂

  • @bintyusuf5
    @bintyusuf5 ปีที่แล้ว +2

    Dzeeee 😂😂😂

  • @LoiceLoice-c1b
    @LoiceLoice-c1b หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂ati na dek jmani

  • @OmanOman-e8m
    @OmanOman-e8m 10 หลายเดือนก่อน

    Kimeumana 😂😂

  • @officialsophyron4810
    @officialsophyron4810 ปีที่แล้ว +2

    Mume kajua kutukomesha😅

  • @AliceJonh-l9s
    @AliceJonh-l9s ปีที่แล้ว

    Nawapenda sn

  • @بناحمد-ك5ر
    @بناحمد-ك5ر ปีที่แล้ว

    Haki nyinyi huwa mwaniacha hoi kweli

  • @oyay2821
    @oyay2821 8 วันที่ผ่านมา

    Tushakaribishwa na mijitako

  • @AishaAbeid-wo4dk
    @AishaAbeid-wo4dk 10 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂Mayee

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq ปีที่แล้ว

    Me pia nadeki😂😂😂😂😂

  • @issakawaya8315
    @issakawaya8315 ปีที่แล้ว

    Dawa ya mto ni moto

  • @Karyma-g3n
    @Karyma-g3n ปีที่แล้ว +2

    Beka 😅😅😅😅

  • @zawadikasim6679
    @zawadikasim6679 ปีที่แล้ว +2

    Beka😂😂😂

  • @Bahati-b1
    @Bahati-b1 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂deki dada

  • @halimabbyhalimabby2738
    @halimabbyhalimabby2738 11 หลายเดือนก่อน

    Jmn😂😂😂😂

  • @mwanakombo4057
    @mwanakombo4057 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂jamani nimeka

  • @monarose6091
    @monarose6091 ปีที่แล้ว +2

    Zani zoooooo

  • @AidathRweyongeza
    @AidathRweyongeza ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣leo mmeniacha hoi

  • @zni8z
    @zni8z ปีที่แล้ว

    Mfanyikazi kiuno hicho

  • @binrashid8671
    @binrashid8671 ปีที่แล้ว +2

    Beka 😂

  • @AishaDigo
    @AishaDigo ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😅

  • @mejumaamwachirero7324
    @mejumaamwachirero7324 ปีที่แล้ว +2

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @SaumuOmar-d4t
    @SaumuOmar-d4t ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @HgJ-d2tm
    @HgJ-d2tm ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @kibwanasimba6431
    @kibwanasimba6431 8 หลายเดือนก่อน

    Yani beka wewe umeshinda dah aisee unanifuraisha sana

  • @MuhammedMwandoro
    @MuhammedMwandoro 5 หลายเดือนก่อน

    Hio ndio dawa ya mwanamke jeuri

  • @neemamzande8547
    @neemamzande8547 11 หลายเดือนก่อน

    😂,😂,😂😂😂😂😂😂😂❤️❤️❤️❤️❤️❤️