TOXIC MEEH AMJIA JUU YOUNG LUNYABAADA YA KUMDIS KWENYE FREESTYLE SESSION 6

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 25

  • @EsmeraldoJoséJoão
    @EsmeraldoJoséJoão 4 หลายเดือนก่อน +1

    Very fine my brother, Im respect your time tanks much

  • @majidlukman1980
    @majidlukman1980 6 หลายเดือนก่อน +3

    Sema nime mpa mashavu. Fuvuu unyama nimwingi ndani ya ngoma

    • @IssaMlyeha
      @IssaMlyeha 6 หลายเดือนก่อน

      😂jmn twachen ushabik mandaz iv toxic niwakushindanisha na lunya mbna toxic Bado mtoto sana

  • @KluivertVictor-xi1hz
    @KluivertVictor-xi1hz 7 หลายเดือนก่อน +7

    Ujue kitu alichofanya toxic nisahii kwa upande mmoja kwasababu watu wanafanya game kitambo ila hawana majigambo ila ndugu yetu kufanya kidogo unataka kilamtu umzarau sio kweli.Kwakipindi ichi younglunya angekuwa anatoa mashavu kwa wenzake ili mradi game ya hip-hop ikue kuliko kutaka aonekane yeye wenzie wasionekane na kuzidi kuwavimbia sio kweli

  • @Jacde6ix
    @Jacde6ix 7 หลายเดือนก่อน +6

    Kwa uelew young lunya hajamdis siund ya bufa kusema mtoto kama aby unamleteaje utoxic kamaanisha umwamba toxic ni njia tu ya kumdis lunya

  • @StevenMusa-j7v
    @StevenMusa-j7v 7 หลายเดือนก่อน +6

    Toxic Fuvu🙌🙌🙌🙌

  • @charlesmtamala4912
    @charlesmtamala4912 6 หลายเดือนก่อน +3

    Huyo lunya hana anachokiimba yaani anachokifanya ni taarabu kuipa beat ya hiphop mda wote kujisifia kama akina Aisha mashauz 😂😂😂😂

  • @ommykhan1748
    @ommykhan1748 7 หลายเดือนก่อน +5

    Ko #Lunya #atajibu au #Hatajibu😂😂

  • @SaidRashid-g5w
    @SaidRashid-g5w 6 หลายเดือนก่อน +1

    ☠️ fuvu utengwe kak 😂😂

  • @SidheeYededee
    @SidheeYededee 7 หลายเดือนก่อน +3

    Shobooo

  • @KingXule-ph5ln
    @KingXule-ph5ln 7 หลายเดือนก่อน +3

    Ucpo enda kwa ushabik level ambayo yupo lunya ni tofauti kabisa na ya toxic ata ukiangalia ki mzk lunya kampiga gape kubwa toxic japo kuwa toxic ni mzurii.

    • @charlesmtamala4912
      @charlesmtamala4912 6 หลายเดือนก่อน

      Lunya hamna rapper hapo kinachombeba ni media ndizo zinampa promo

  • @KingXule-ph5ln
    @KingXule-ph5ln 7 หลายเดือนก่อน +3

    Ukisema humuelew lunya kwenye uandishi itakuwa humskilizi vzr lakin freestyle yake ni ya kinyamwez na ni mwepesi tofauti na toxic kusema ukwel huwez ukamlinganisha na lunya kabisa japo kuwa toxic yupo vzr ila hip hop yake ni tofauti kabisa na ya lunya.

    • @RamadhaniLukanga
      @RamadhaniLukanga 6 หลายเดือนก่อน +1

      Lunya hip hop swaga❤

  • @abdulmohd6880
    @abdulmohd6880 7 หลายเดือนก่อน +9

    Toxic kaamua tu kupita n huu upepo ila hajadisiwa kabisa yan

    • @AugustinMuswabantu
      @AugustinMuswabantu 7 หลายเดือนก่อน

      Sasa mbuzi anaupepo gani mpaka mtu apite nao

    • @abdulmohd6880
      @abdulmohd6880 7 หลายเดือนก่อน +1

      @@AugustinMuswabantu elewa kwmb Mbuzi anafanya kazi na major lebo Sonny music, elewa kwmb Mbuzi ndie rapa ambae ngoma zke zinapendwa hata na wasio kua mashabiki wa hip hop yan hata wasiokua wagumu wakiwemo mademu ila Toxic tunmuelewa cc tu wazee wa michano elewa kwmb Mbuzi kw ss n ICON💪🐐

    • @godfreythobias1703
      @godfreythobias1703 7 หลายเดือนก่อน +2

      Icon kwako ila kwa watu wanajua hiphop lunya hana kitu chochote

    • @abdulmohd6880
      @abdulmohd6880 7 หลายเดือนก่อน +1

      @@godfreythobias1703 hizo n chuki zako ila yupo juu ki streams na ki mafanikio naongelea mkwanja yan kw new generation hakuna anompata na kuhusu kua hip hop yake n ya kawaida sn n kwl ila hip hop yake ipo kibiashara zaidi yan commercial

    • @awesoapollo8608
      @awesoapollo8608 7 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe Mshabiki wa Mzee yusufu huku umefata nn kwa baba zako

  • @exsaverymachaninga6138
    @exsaverymachaninga6138 7 หลายเดือนก่อน +2

    Fuvuuuuu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @IssaMlyeha
      @IssaMlyeha 6 หลายเดือนก่อน

      Akuna kitu toxic mchanga sana mbele ya lunya akamulize killer

  • @kylesmeight4837
    @kylesmeight4837 7 หลายเดือนก่อน +4

    Toxic Jini