TOXIC - Meeh

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 1.3K

  • @wazi7719
    @wazi7719 8 หลายเดือนก่อน +123

    Nimerudia tena kusikiliza😁😁😁, Jana na leo..... Tuliorud leo tena like hapa wazeeee😊

  • @petrokawau682
    @petrokawau682 4 หลายเดือนก่อน +3

    DIZASTA ni hatari kabisa.....very real and OG💯

  • @kizzy_xprole
    @kizzy_xprole 8 หลายเดือนก่อน +272

    KAMA UNAKUBALI TOXIC KAMMALIZA YOUNG KUNYA ...GUSA LIKE APO 😂😂

    • @DerickEdward-jj2tv
      @DerickEdward-jj2tv 8 หลายเดือนก่อน

      Hawezi kumzima afu watu wanafki sana dah

    • @secretstriker2249
      @secretstriker2249 6 หลายเดือนก่อน +1

      Young Kunya tenaa😂

    • @victorosong
      @victorosong 5 หลายเดือนก่อน +1

      Young Kunya😂😂😂

  • @IvanKihwelo
    @IvanKihwelo 8 หลายเดือนก่อน +35

    🔥 🔥 Toxic umetisha.....mashabika wa rap ndo tunacho kitaka game iwe on Air kwa dis track na nyimbo qali

  • @StevenJosphat-y4s
    @StevenJosphat-y4s 8 หลายเดือนก่อน +439

    Oya wazee walioludia ihh Ngoma kama me tujuane kwa like hapa😊😊😊

    • @wakudatamjanja
      @wakudatamjanja 8 หลายเดือนก่อน +3

      Nimeirudia huyu toxic ety meeh 😁🤣🤣🤣

    • @cpson665
      @cpson665 8 หลายเดือนก่อน +2

      Tupo hapa apa lunya lbda akaombe msaada Kwa kitengo kidg 😅

    • @Lu_keng
      @Lu_keng 8 หลายเดือนก่อน +1

      Alaf tukisha kupa

    • @Heisfeisalmwema
      @Heisfeisalmwema 8 หลายเดือนก่อน +4

      Co kurudia tu nimekuj tena cku pili niickilize vzur kubabake

    • @StevenJosphat-y4s
      @StevenJosphat-y4s 8 หลายเดือนก่อน +1

      @@Heisfeisalmwema hili goma m2 kakalishwa mzee,😆😆😆

  • @SalminRahis-kd9sv
    @SalminRahis-kd9sv 8 หลายเดือนก่อน +19

    Kaka umetisha ira mbuzi ni kuma2

  • @ofby4zistboy445
    @ofby4zistboy445 8 หลายเดือนก่อน +211

    MWILI MDOGO ILA SOUND YA BUFA📌📌 nipeni likes zangu sasa😂

    • @Heisfeisalmwema
      @Heisfeisalmwema 8 หลายเดือนก่อน

      Alaf upeleke wapi 😂

  • @Makaveli-1960
    @Makaveli-1960 8 หลายเดือนก่อน +23

    Toxic sound ya bufa
    Noma hii love from kenya Nairobi

  • @YusuphTelana
    @YusuphTelana 8 หลายเดือนก่อน +214

    Kama umesikiliza zaidi ya mala mbili like hapa 😂😂

    • @mkingaboy550
      @mkingaboy550 8 หลายเดือนก่อน +1

      Mwanangu huyu toxic hapana😁😁😁😁😁mashavu makubwa

    • @YusuphTelana
      @YusuphTelana 8 หลายเดือนก่อน

      @@mkingaboy550 😂😂 meeh

  • @JunMbawala-iq9gi
    @JunMbawala-iq9gi 8 หลายเดือนก่อน +8

    Kitambo naanza fatilia ngoma zako aseee fire

  • @leocruiserkamanda
    @leocruiserkamanda 8 หลายเดือนก่อน +67

    TOXIC umenena ukwel! Haipingwi MBUZI anazingua parefu💯💪

  • @ibrahkartel9778
    @ibrahkartel9778 8 หลายเดือนก่อน +23

    Afazali umeongea wew mimi nilisemaga yule mashavu hajui hiphop kazi kujisifia watu wakanibishia muziki gani mwanzo mwisho anajisifia kama anaimba taarabu amna rapa pale yele ni aisha tuu

    • @snapreal9814
      @snapreal9814 8 หลายเดือนก่อน +1

      😂🤣😂🤣😂🤣 aisha mashauzi yule na adija kopa adija kopa hamfikii kwa taarab

    • @HappyKitindi
      @HappyKitindi 7 หลายเดือนก่อน +1

      Mashavu anajua sana sema sifa zimezidi kuliko mbuzi mwenyewe kwa kondoo

  • @emmanueltimba1011
    @emmanueltimba1011 8 หลายเดือนก่อน +32

    Usijiite mkali wa rap,
    Kinachofanya uskike sio kujua bali ni kujuana na watu 2:13 👏👏👏👏 Big Thinker

  • @khamissuleiman3253
    @khamissuleiman3253 8 หลายเดือนก่อน +2

    Captain wareys from zenji nungwi dah asante kwa kutusaidia alikuwa anabowa sana mbana puwa

  • @ErastoJoseph-tr3ui
    @ErastoJoseph-tr3ui 8 หลายเดือนก่อน +36

    Mwanaume anajisifu kama kapaka Meka up si ujinga kaka umemwambia ukwel
    Kwanza kamdisi mwanetu killer

  • @Alphatonyb
    @Alphatonyb 8 หลายเดือนก่อน +7

    Mwisho Wa leliiiiiiiiiiiii😂😂😂Unajua mpka unajuaaaa kaka 🙌🙌🙌🙌

  • @salomethomas6469
    @salomethomas6469 8 หลายเดือนก่อน +6

    🔥 💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥
    Mimi nilisha sema toxic ni better sas hapo alete kam kweli yeye mwamba

  • @othmanmuhidin9857
    @othmanmuhidin9857 5 หลายเดือนก่อน +2

    Noma 🔥🔥🔥

  • @meckpi8965
    @meckpi8965 8 หลายเดือนก่อน +52

    Ukikaa katikati yao ndo utasikiliza vizuri na kugundua hii distrack nikali kiasi inaonekana kama ya sekunde selathini ❤❤❤

  • @soudyruge-fi9xv
    @soudyruge-fi9xv 8 หลายเดือนก่อน +33

    😂😂😂 Fid Q ashasema huyu dogo sio mbuzi na huu moto sijui kama ataujibu

  • @slavemaster08
    @slavemaster08 8 หลายเดือนก่อน +13

    Toxic mpoteze kabisa uyu boyaaa

  • @Alwatan_moh
    @Alwatan_moh 8 หลายเดือนก่อน +4

    Oooyaaaahhh noma sana Fuvu punch zote kali hamna Ooomaaaiiii

  • @roybazigu765
    @roybazigu765 8 หลายเดือนก่อน +31

    Na siku lunya akimdiss dizasta vina atakua amekwisha kabisa
    Uyu toxic tu kamvuruga hivi 🙌😁

    • @emmanuelmchomvu2676
      @emmanuelmchomvu2676 8 หลายเดือนก่อน +2

      Kule hawezi amuulize Raptcha ad Leo kapotea😅😅😅😅

    • @kabezijoshua5413
      @kabezijoshua5413 8 หลายเดือนก่อน +1

      Simshauli hata kidogo bwana mbuzi😅😅

    • @programtz
      @programtz 8 หลายเดือนก่อน

      Hakika buda

    • @ibrahimjiondo2137
      @ibrahimjiondo2137 8 หลายเดือนก่อน +1

      Vina Next level

    • @wankurumasanja4764
      @wankurumasanja4764 4 หลายเดือนก่อน

      @@emmanuelmchomvu2676 wapi huko bro

  • @RajabMussa-qj2om
    @RajabMussa-qj2om 8 หลายเดือนก่อน +2

    Noma.Noma .Nomaaaaaa sanaaa lunya kaa rada...one love Toxic hili dude noma, Meeeèeh

  • @Cacti11
    @Cacti11 8 หลายเดือนก่อน +28

    "Tuwe makini na wanaume wanaosema hawarudii boxer"✌🏾✌🏾
    Humu ndani umefanya matusi ile mbaya itanibidi nitulize fuvu ili kumaster haya matusi🔥🔥🔥

  • @Its_dennispearls
    @Its_dennispearls 8 หลายเดือนก่อน +11

    From Kenya ila nakubali sound ya bufa!! Young Kunya mpelekenii chooni sio studio🔥🔥🔥

  • @kulwamadodo9648
    @kulwamadodo9648 8 หลายเดือนก่อน +7

    Oyaaaaaaaaa toxic Nina buku lako apaaaaa njoo ufateeeeeeeeeeeeee maana nimeirudia hii ngoma Mara 100 "Kama unajiweza nijibu nitoe part 2" 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @yohancabbaye7456
    @yohancabbaye7456 8 หลายเดือนก่อน +18

    Oaaa huyoo Lunya alikuchukulia poah kukutaja mweny session 6 😅😂😄kumbe kauchokoza motoo🔥🔥🔥Toxic mwanang tumsubr ajibuu 🤫Part two tunamnyoosha kam dakk 5 hv💪💪💪

  • @brownmamba254
    @brownmamba254 8 หลายเดือนก่อน +13

    Kali sana bro.

  • @allyachia5258
    @allyachia5258 8 หลายเดือนก่อน +2

    Wala hutumii nguvu asee👏👏

  • @noelpeter2130
    @noelpeter2130 8 หลายเดือนก่อน +118

    Kinachofanya uskike sio kujua, ila ni kujuana na watu✍️. Aaah noma🔥

    • @Oldskulgemini9991
      @Oldskulgemini9991 8 หลายเดือนก่อน

      Ajuane na watu na yeye tuone kama ataskika

    • @noelpeter2130
      @noelpeter2130 8 หลายเดือนก่อน +4

      @@Oldskulgemini9991 huyo hajuani na watu Ila anaskika
      Unaona utofauti uo

    • @Oldskulgemini9991
      @Oldskulgemini9991 8 หลายเดือนก่อน

      @@noelpeter2130 anaskika?😂 Anaskika wapi Mzee Ebu acha zako bana😅 huyu tunamjua tu sisi tunaofatilia zaidi hip hop lakini wengi hawajui, hao marapa wanaojua kuandika Sana wengi bongo hawajui kutengeneza mziki mzuri wengi wanaegemea kuandika tu. Kuna tofauti kubwa Sana kati ya kujua kuandika na kutengeneza ngoma Kali chidi Benz juzi tu hapo katika kuongea ukweli kwenye interview

    • @noelpeter2130
      @noelpeter2130 8 หลายเดือนก่อน +4

      @@Oldskulgemini9991 Ukiona hadi umefika kwenye kipengele chake cha kuComment, huko ndo kuskika sasa. Mbona unajifunga ndan ya maelezo😂

    • @Oldskulgemini9991
      @Oldskulgemini9991 8 หลายเดือนก่อน

      @@noelpeter2130 baadhi yenu wabongo Bado mpo zama za kina Nas na Jay Z mbaka leo ndo shida, hao wenyewe marekani game ya rap ilishawatema muda Sana lakini walikubali kwamba sio wakati wao Tena lakini huku watu wanafosi Dizasta vina aonekane Bora wakati muziki wake unasikilizwa na watu wachache Sana impact yake Wala sio kubwa kwenye game, angalia Lunya ambae anapigwa vita Kila siku ndo rapa wa kwanza kupata madili makubwa bongo madili ambayo wakina Fid Q walishindwa kuyapata zama zao, kaangalie trending Saivi ngoma yake ndo ngoma pekee ya hip hop inayoshindana na wasanii wa kuimba kwenye chart Iko namba Tano. Hao mnaowasifia wanajua kuandika Sana wapo wapi Saivi? Kubalini tu uwezo wa jamaa kwa Sasa

  • @LilcruzOfficial
    @LilcruzOfficial 8 หลายเดือนก่อน +1

    Toxic sio poaaaa... 🔥🔥🔥 Umeuaaaa mkaliii

  • @Theone12673
    @Theone12673 8 หลายเดือนก่อน +11

    Hii ndo rap Sasa,,,,unaupiga mwingi G🔥🔥🔥

  • @bobleoningiro8907
    @bobleoningiro8907 8 หลายเดือนก่อน +1

    Unyamaa sana hapa jamaa harudii
    Mashavu kama chura muda wote shpapi shpapii

  • @richardmloha1762
    @richardmloha1762 8 หลายเดือนก่อน +15

    Oyaaaah huyu mnyama 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @tellodelucky6864
    @tellodelucky6864 8 หลายเดือนก่อน +1

    All the way From Zenji#Marashi ya karafuuu....🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌

  • @kingshiggy6062
    @kingshiggy6062 8 หลายเดือนก่อน +5

    nisaaa meeeeh😁😁 uyu jamaa anajua

  • @epmzmusifiwar6694
    @epmzmusifiwar6694 8 หลายเดือนก่อน +2

    From Uganda 🇺🇬 Int'l Congo DRC 🇨🇩 To Tanzania 🇹🇿 Big up 🔥🔥🔥🔥🔥😂 big

  • @sanawiyamuhsin7279
    @sanawiyamuhsin7279 8 หลายเดือนก่อน +3

    Lunya Mshamba Tu.....Nakubalii TOXIC Salute 🫡

  • @ladslausemmer9577
    @ladslausemmer9577 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kwishaaaa mzee 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @FaustineJonasi
    @FaustineJonasi 8 หลายเดือนก่อน +13

    Mbuzi kagoma kwenda

  • @ZainaNasibu
    @ZainaNasibu 8 หลายเดือนก่อน +5

    Kweli mwana anajisifu sana

  • @Dachris20
    @Dachris20 8 หลายเดือนก่อน +31

    "TUWE MAKINI NA MWANAUME ANAESEMA HARUDII BOXER"😂😅
    hii punchline noma sana 🙌

    • @celvinrobert7972
      @celvinrobert7972 8 หลายเดือนก่อน +3

      😂😂😂dah so poa

    • @Mgangafundi
      @Mgangafundi 8 หลายเดือนก่อน +1

      😊😅😅

    • @Josamjosam8
      @Josamjosam8 8 หลายเดือนก่อน +2

      Sanaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @EuphboyKiller-rd6xl
    @EuphboyKiller-rd6xl 8 หลายเดือนก่อน +5

    Mbona nakupenda na mbuzi na mpenda

  • @francisgoliama1421
    @francisgoliama1421 8 หลายเดือนก่อน +23

    Rap imezaliwa Upya🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @EzraKatambi-g4b
    @EzraKatambi-g4b 6 หลายเดือนก่อน +1

    Meeeh mwambieeeh rapa mwenye mashavu kama kabugia tonge😂😂

  • @ringsnflashestv8067
    @ringsnflashestv8067 8 หลายเดือนก่อน +7

    Mbuzi mwanangu sana ila kwa hili nmempa kombe toxic kabla ya part2😂😂😂😂

  • @Gaddaf98
    @Gaddaf98 8 หลายเดือนก่อน +2

    Weeee jamaaa unajuaaaa sana

  • @RubenYoram-gu7gm
    @RubenYoram-gu7gm 8 หลายเดือนก่อน +15

    😂😂😂duh kaka si lunya ndo namsikia humu 😂😂 sema fresh 🔥🔥🔥🔥

  • @OswardOdan
    @OswardOdan 8 หลายเดือนก่อน +3

    We Ni Moto Toka Dakika Kumi Za Maangamizi Mm Ni Nyoosha Mikono

  • @SmokeyKings-gv9gq
    @SmokeyKings-gv9gq 8 หลายเดือนก่อน +17

    Kwli fuvu❤ a town tunakubal

  • @HatiMoTown
    @HatiMoTown 8 หลายเดือนก่อน

    Ichi kichwa Ni nomaaa Lunya Kayatimba Et Anasema baby Kama Abby Chems Unamleteaje UToxic Icho ki line kimemponzaa 😅😅😅

  • @rashidiabdi
    @rashidiabdi 8 หลายเดือนก่อน +11

    Aaaah kumamake upewe mauwa yako

  • @dennisnyakilambo3992
    @dennisnyakilambo3992 8 หลายเดือนก่อน +14

    mwanaume wa kweli huwa harudii kosa tuwe makini na mwanaume anayesema harudii boksa😂🔥🔥🚀

  • @professor_munir
    @professor_munir 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mbuzi anawatesa ndmn mnam dis everyday, Young lunya endlea kuwapiga umo umo mpk wakae chini

  • @AugustinMuswabantu
    @AugustinMuswabantu 8 หลายเดือนก่อน +42

    Ndo Mambo tunayoyapenda haya

  • @justinikifwe-qm7pp
    @justinikifwe-qm7pp 8 หลายเดือนก่อน +2

    Oy weeee uyu jamaaa nizaidi ya chuma tishasana

  • @mjroyaltz8322
    @mjroyaltz8322 8 หลายเดือนก่อน +24

    Moto umeungua🔥

  • @chidi_don
    @chidi_don 8 หลายเดือนก่อน +11

    Unyama ni mwingi sana yani unajua sana 💯

  • @Bonifacemagus
    @Bonifacemagus 8 หลายเดือนก่อน +3

    Daaah hizo meee

  • @SonboyMelodyOfficial
    @SonboyMelodyOfficial 7 หลายเดือนก่อน +1

    Lunya is next level, mnao mdisi young lunya ukweli ni kwamba rap zenu hazina nguvu kushindana nayeye, lunya ni star kwa maana iyo mnatafta kiki kupitia yeye ili tujue kua na ninyi mpo, huo ni ushamba, mziki wake ni watofauti na nyie ndomana yupo top level, VIEWS, SUBSCRIBERS hata mauzo toxic huwezi kua kama lunya, japo kakukuta kwenye game! Funga bakuri hujui ku rap, unaongea kwenye beat tu!

  • @StarGwanta
    @StarGwanta 8 หลายเดือนก่อน +12

    Toxic ebu wa sameeh🙏🙏🙏 😅😅😅 🔥🔥🔥🙌🙌Me nlisema wanao mshabikia young kunya n mashabiki mandaz hawaijui HIP HOP me mwenyew haniwez atanishinda kwa mashabiki mandaz wanashabikia mavaz anayo vaa eny mashabiki wa young kunya mmeisikia HIP HOP HOP ilivyo na Radha

  • @nalamzalendoo
    @nalamzalendoo 8 หลายเดือนก่อน

    Heeee heee heee We Fuvu wewe heee

  • @Sirtbreaker
    @Sirtbreaker 8 หลายเดือนก่อน +8

    Noma sana mzee🔥

  • @AbdulNgumbe
    @AbdulNgumbe 8 หลายเดือนก่อน +9

    Mbuzi mbuzi mbuzi mbuzi mbuzi 😂😂😂 me nimekuita mara 5

  • @smartyusufu1670
    @smartyusufu1670 8 หลายเดือนก่อน +17

    THE TOXIC ripuaaa 😂😂😂 meehh

  • @trillavic1988
    @trillavic1988 5 หลายเดือนก่อน

    kali sana .maad respect from kenya

  • @Thedonrboysuper_tz
    @Thedonrboysuper_tz 8 หลายเดือนก่อน +35

    Pamoja sana toxic ya kwangu inakuja saa soon🔥🔥🔥

    • @Lillyac85
      @Lillyac85 8 หลายเดือนก่อน +1

      Ningeskiliza bila kukomment ningeonekana mnafiki , nice work really anaboa

    • @Thedonrboysuper_tz
      @Thedonrboysuper_tz 6 หลายเดือนก่อน

      @@Lillyac85 nakubali sana mwanang 🔥💯

  • @frayz12
    @frayz12 22 วันที่ผ่านมา

    Tatizo mzee wangu unauwezo mkubwa mpaka ukifanya kawaida inaonekana umepania sanaa.. 🔥🔥🙌🏽🙌🏽

  • @johnstoneadventureofficial219
    @johnstoneadventureofficial219 8 หลายเดือนก่อน +4

    Daah Bro Sikutegemea Kama Ichi Kitu ulicho Kifanya Kama Kwako Itakuwa Ni Simple Like That Alafu Ngoma Kali Kinoma Na Umenyoosha bro Hii Ndio Maana Halisi Ya Hip Hop Na Wewe Ndio Rapper So Big Up Sana My G

  • @nasibuomary7981
    @nasibuomary7981 8 หลายเดือนก่อน

    Umetisha san Bob! Mtwange mtoto mdogo uyo!

  • @Paplick9
    @Paplick9 8 หลายเดือนก่อน +52

    Usingemjibu msenge huyo

    • @danielngove
      @danielngove 8 หลายเดือนก่อน +5

      Mtu akiona umenyamaza sana anadhani umemugwaya....pia kamtaja toxi lwenye hii session 6

  • @DerickRamson
    @DerickRamson 20 วันที่ผ่านมา

    Beat Kali unaishia kweny ooh my ooh my 😂😂😂

  • @samsonjailos9143
    @samsonjailos9143 8 หลายเดือนก่อน +7

    Mkanyagie hajui kweli

  • @fredykiluka6606
    @fredykiluka6606 8 หลายเดือนก่อน

    Nakujua mzee wakukalisha .....af wasafi walikupa kago kitengo ukamkalisha

  • @Orgenenoire195
    @Orgenenoire195 8 หลายเดือนก่อน +10

    Mhhhhh ☠️☠️☠️ daaah mbuzi wamchongo afu mbovu, toxic nipo nawe brother 🔥🔥🔥

  • @NOELYSagara
    @NOELYSagara 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hii ndo ile namba chafu mzee wa shpapi kaisoma aya tujibu sasa mwanetu oooooh my......😂😂😂😂😂

  • @IssaSamli
    @IssaSamli 8 หลายเดือนก่อน +24

    Nakubali kaka

  • @shafiichusi1897
    @shafiichusi1897 8 หลายเดือนก่อน

    🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌.... Mamakeeeeee.....💥💥.... Nomaaa sanaaaa umetisha

  • @ratconblackie5321
    @ratconblackie5321 8 หลายเดือนก่อน +17

    lets da rap game take over...... mbuzi ingia studio idd ya kuchinja ipo njiani na toxic fuvu ndo amepewa kisu. .

    • @aligomatumla2930
      @aligomatumla2930 8 หลายเดือนก่อน

      We ndoume uwa sa a mshua 👊

    • @majaliwatembe8445
      @majaliwatembe8445 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 MAHAKAMA YA MBUZI

    • @monixkarim-st4qm
      @monixkarim-st4qm 8 หลายเดือนก่อน

      Umetisha dadek

  • @hemedy_tz7080
    @hemedy_tz7080 8 หลายเดือนก่อน +2

    Toxic 💥💥💥⚡

  • @razackkasanga5288
    @razackkasanga5288 8 หลายเดือนก่อน +5

    Kuna Urapcha ndani 🔥🔥

  • @BRWanted-uz3or
    @BRWanted-uz3or 8 หลายเดือนก่อน +2

    Pya mwana Sana tu adi 254 tunaiskia # @ B.RWANTED 🇰🇪

  • @franklinaugustino2452
    @franklinaugustino2452 8 หลายเดือนก่อน +4

    Nimekuja kuangalia msiba wa mwanetu lunya hii toxic🥲🥲

  • @chibodee447
    @chibodee447 8 หลายเดือนก่อน +2

    Toxic best Freestyle na pia Muandishi,,, Big up

  • @TrilllionTheGhost
    @TrilllionTheGhost 8 หลายเดือนก่อน +22

    Uyo young lunya hamna kitu pale

  • @shanihamisi4215
    @shanihamisi4215 8 หลายเดือนก่อน

    Umeua mzee wangu TOXIC

  • @NahadiSaidi-mg7wi
    @NahadiSaidi-mg7wi 8 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu atengweeeee

  • @raphaelboniventus7215
    @raphaelboniventus7215 8 หลายเดือนก่อน

    Noma sana, nasubiri ajibu kama ana uwezo...tugonge part two

  • @juliuskafula-ee3yb
    @juliuskafula-ee3yb 8 หลายเดือนก่อน +3

    Maharaja ya kokein, rapa anajiita wa kimataifa kisa nyimbo zake znapgwa mikocheni

  • @ezramaduhu7076
    @ezramaduhu7076 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa huwaga simkubali ila hapa salute umeuaaa mzeee

  • @NgolyoNgolyo-uv9tj
    @NgolyoNgolyo-uv9tj 8 หลายเดือนก่อน +29

    Jamaa unajua sn tangu Kibasila kk

  • @SidniAlly
    @SidniAlly 8 หลายเดือนก่อน +2

    🔥🔥 Dem wangu alichopenda ulivyosuka kwenye session 6

  • @JosephJackson-jv1so
    @JosephJackson-jv1so 8 หลายเดือนก่อน +4

    Achia ngoma la mapenzi ...Mfano wa loves never die, Nitakinai and jinai ila liwe na dakika 4 kuendelea kaka...Ila hii Diss kali

  • @brezjohmc
    @brezjohmc 8 หลายเดือนก่อน +2

    Sioo poaa mtoko wakoooo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @dreamz16349
    @dreamz16349 8 หลายเดือนก่อน +7

    Tuwe makini na mwanaume ambaye harudii boxaa😂😂😂😂

  • @Baba-dk3bk
    @Baba-dk3bk 8 หลายเดือนก่อน

    Wazee hili goma tulirudie tena na tena 🔥🔥🔥🔥

  • @AssaniMboko
    @AssaniMboko 8 หลายเดือนก่อน +3

    Fuvu 🔥🔥🔥🔥🙌💣

  • @MohammedRashard
    @MohammedRashard 8 หลายเดือนก่อน

    Asee ni fire 🔥🔥🔥 uyu toxic

  • @frayz12
    @frayz12 8 หลายเดือนก่อน +6

    Brother 🙌🙌🙌... kama vip msa MEEEH...🤣