Mheshimiwa lissu ndio matarajio ya watanzania kwani kilammoja anahaki ya kugombea sasa anayoyatarajia mheshimiwa lissu ni maendeleo ya hakki kwa kila mtanzania kumchagua kiongozi anaemwelewa mgombea na sio kujichagua kura zote ziwehadharani mungu ampe uongozi mheshimiwa lissu
Wananchi ndio wapiga kula zenu so masijidanganye kabisa mkampo Mbowe huenyekiti mtakuwa Mmefeli vibaya kuliko Niko hapa Hila kama Mbowe hatajitoa mapema Kabla ya huchaguzi chama kitapanda sana.
Huyo haliesema lisu hana Busara hajitasimini mara mbili why walimsimamisha kuwa Raisi wa Tanzania kwa hio yeye ndio hana Busara au nyie mnayesema hana Busara ndio hamna Busara
Huo ndoo ukweli mbowe ametumika sana vya kutosha sasa ni wa kati angatuke abaki kama mshauri asifanye wakereketwa wa hicho chama wakaamini poropaganda zinazosemwa kua chadema ni taasisi ya mbowe.
Mtu akisema kua watu wanataka mageuzi lazima pia ajiulize kwa njia gani na kupitia nani. Ukisikiliza hoja za Mbowe utagundua kua ni mtu anajua Katiba ya chama na miiko ya uongozi. Nataka mtu ajitokeze anifafanulie kua ni wap mbowe amevunja Katiba ya chadema. Watu wengi wapo kiuashabiki na sio logical based. Huwezi ww mtu wa nje unaemjua Lisu na Mbowe kupitia social media ukawazidi wajumbe ambao wako nao most of the time. Tusubir kura then tuone democracy ikifanyika . Natoa wito wa watu kusikiliza mahojiano ya mbowe na CrownTv then utajua ukweli
Umeongea maneno ya busara sana mwaifunga kiukweli tunamuhitaji lisu
Umeongea vizuri sana brother
Huyu Yuko smart Sana. Yuko pamoja bro. Tumechoka na haya macciem yaliyo jimikisha hii nchi. Tunataka Moto na hamasa ya Lissu
Ni kweli kabisa wananchi wengi wanamtaka Lissu. Mbowe kafanya kazi kubwa hakuna anayepinga hilo lkn kwasasa wantu wengi wanamtaka Lissu.
Mwaifunga ww syo mnafiki unastahili kuwa kiongozi kwanza unajibu maswali kwa utulivu na unaakili sanaaa🎉🎉🎉🎉
Humeongea vyema sana your smart Diplomatic
Asante kaka umemalza
Umewakilisha vizuri
Lisu Tuna muhitaji sana, huku uraiani
Mbowe baba gari ra risuharizimiki sisi ndio watanzania tunataka risu
Kweli .kafanya mambo makubwa . kwangu mimi . naomba mh..mbowe awe mlezi wachama..km wakina mtei. Mzee ndesa nawengine. ..
Kaka hongera kwa kua mkweli mungu akubariki
We jamaa kwa Nini haupo kiongozi ndani ya chama
Huko smart sana kichwani
Lissu tosha mbowe king'ang'anizi
Mbowe angejitoa tu maana atakuja aaibike akae pembeni kwa heshima yake.
Umenifurahisha sana
Lisu ndio ana tufaa Kwa siasa za Sasa Nina mashaka ucha guzi uta ingiliwa na watu Fulani Kwa kumu ofia lisu akiwa mwenye kiti
Brave!
San ata mm anithamee twamtaka lisu
Chadema mkimwek mbowe narudsh likad lenu na libendera
Tuleteeni Lissu! tuleteeni Lissu!
Umesema kweli
Mm kama mm akipita mbowe itakuwa bc chadema
Ni kweli lisu ni mtu sahihi ila kazidi uropokaji
Ameropoka nini?
ni vizuri asijitoe mgombea yeyote isipokuwa uchaguzi uwe HURU,WA HAKI,WA WAZI NA USIOTUMIA RUSHWA.
Kaka ulipo tupo unasara kumshinda mbowe ajieerewi
Unaona mbali mbowe atua chama asipokua makini asikilize raia wa kunja ngumi
Kabisa kaka
Umeiva kaka kisiasa nimekukubali
Huyumboee kwani anann kwanini hataki kuondoka risuu ajeeee
Mbowe uwezi na chawa zako
Mheshimiwa lissu ndio matarajio ya watanzania kwani kilammoja anahaki ya kugombea sasa anayoyatarajia mheshimiwa lissu ni maendeleo ya hakki kwa kila mtanzania kumchagua kiongozi anaemwelewa mgombea na sio kujichagua kura zote ziwehadharani mungu ampe uongozi mheshimiwa lissu
Inafika wakati tuzungumze hakki na ukweli kwenye nafasi za kuongoza sio kujichukulia maamuzi yasio na ukweli
Umeongea vizur mwaifunga tunamtakia ushindi lisu
Kaka umeongea point lisu asipopata uenyekiti tutahama wengi sana kama sio kuachana na siasa uchwara,chakula kimeingiwa na Inzi
Wananchi ndio wapiga kula zenu so masijidanganye kabisa mkampo Mbowe huenyekiti mtakuwa Mmefeli vibaya kuliko
Niko hapa
Hila kama Mbowe hatajitoa mapema Kabla ya huchaguzi chama kitapanda sana.
Eeee kaeni chonjo yajayo
Wanachadema na watanzania wanamtaka lissu,,mboe apumzike
Wananchi tunamtaka lisu mbowe tuelewe bila hivyo chadema ndo mwisho wake usitegemee tena kubaki na chama bila lisu
Huyo haliesema lisu hana Busara hajitasimini mara mbili why walimsimamisha kuwa Raisi wa Tanzania kwa hio yeye ndio hana Busara au nyie mnayesema hana Busara ndio hamna Busara
AKILI KUBWA , UBARIKIWE SANA KWA KUJUA KUSOMA ALAMA ZA NYAKATI , ILA INAFAA UWE KIONGOZI , UPO SMART SANA
Umekua muwazi na mkweli brother! Waangalie sisi wananchi tunamtaka nani. Mbowe akileta mambo yake Chadema tutaihama, nguvu ni ya wananchi.
Huo ndoo ukweli mbowe ametumika sana vya kutosha sasa ni wa kati angatuke abaki kama mshauri asifanye wakereketwa wa hicho chama wakaamini poropaganda zinazosemwa kua chadema ni taasisi ya mbowe.
Acheni kura ziamue, lakini ushujaa wa mitandaoni hautasaidia bali utabomoa.
Lisu kwanza
Tunamtaka Liss
Lisu na Samia samia anayeuza Mali za watanganyika lazima apelee Lia mbowe hamna kitu
Siyo wote
mbowe amuachie2 risu
Mbowe atashinda, na hatatoka, hata kama hamumtaki Mungu akimtaka ninyi wanadamu mtafanya nini
Utabaki nambowe wako
Mungu akimtaka hiyo ni rest in peace 😊😊😊
lissu labda wamtilie fitina wamkate mapema ila kama sio hivyo mbowe hatoboi
Mtu akisema kua watu wanataka mageuzi lazima pia ajiulize kwa njia gani na kupitia nani. Ukisikiliza hoja za Mbowe utagundua kua ni mtu anajua Katiba ya chama na miiko ya uongozi. Nataka mtu ajitokeze anifafanulie kua ni wap mbowe amevunja Katiba ya chadema. Watu wengi wapo kiuashabiki na sio logical based. Huwezi ww mtu wa nje unaemjua Lisu na Mbowe kupitia social media ukawazidi wajumbe ambao wako nao most of the time. Tusubir kura then tuone democracy ikifanyika . Natoa wito wa watu kusikiliza mahojiano ya mbowe na CrownTv then utajua ukweli
sio kweli hayo ni mawazo yako sio wote wanamtaka lissu
Umma ni sanduku la kura tu
Lissu ameshindwa kabla ya kura kupigwa..
USIWASEMEE WATU HUO NI MTIZAMO WAKO