Massage kutoka kwa mungu tayari umeshatumwa Tanzania lakini kwa sababu ya ubinadamu na ugumu wa miyoyo ya viongozi wetu walishindwa kuitambua Wala kupokea Sasa mungu anatuma kwa sura nyingine.
Nyie wengine ndio wale waoga munabaki bendera fuata upepo mara oh mie sio hivi lakini niko vile daah binaadam hamuna hata uoga wa Mungu kwa unafiki wenu.
Lisu unawagawa wanachama ukisema umeshinda Ulikua unashindana na nani? Unataka kutuaminisha cc watu wa upande wa pili ndio tumeshindwa? Sio kimeshinda chama? Haya cc tulio shindwa Tunakaa pale tunawaangalia mulio shinda.
Mbona Timu Mbowe siwaoni humu,shida nini jamani, ebu niambieni wamepatwa nini? Make tulikuwa nao bega kwa bega meseji kwa meseji lkn nimewatafuta siwaoni mnielekeze walipo
Angalia tofauti ya Kura iliyopo ndogo sana yaani mbowe ndo likuwa chaguo la wajumbe,ila shinikizo la viongozi na Kura za viongozi ndizo zimempitisha Lisu, tofauti kati ya 30 na 2o Plus , Sasa hizi 20 plus ndo za viongozi na laiti isingekuwa ushawishi wao Mbowe angeshinda Kwa sababu Mbowe hajajishughulisha kushawishi watu wampigie Kura.
Massage kutoka kwa mungu tayari umeshatumwa Tanzania lakini kwa sababu ya ubinadamu na ugumu wa miyoyo ya viongozi wetu walishindwa kuitambua Wala kupokea Sasa mungu anatuma kwa sura nyingine.
Hongera sana Mh.Tundu Antipas Mughwai Lissu Sisi Timu Lissu tunamshukuru sanaaa Mungu tumeuona Mwaka Mpya 🙏🙏🙏
💪💪💪💪✌️✌️✌️✌️
Zile risasi 16 Mungu ameamua amfute machozi
ALLAH AKUBARIKI SANA LISSU
Asante Mungu nimefurahi sana
Tumeshindaaaaaaa🇹🇿✌️❤️❤️❤️❤️💪💪💪💪💪💪💪🙏🙏🙏
😂😂😂😂 magari yaliyokuja kwa shari
Tutakusapoti sana
Mungu akulinde Lisu
Mungu mwema sana aendelee kumsaidia lisu aongeze mapambano kwa ukubwa zaidi
Hongera sana baba Lissu ni kiongozi na tumaini letu tupo na wewe mguu kwa mguu
MUNGU anasababu na ww LISU ndiomana alikuponya kwenye zile kisasii 16 inshallah tuvushe baba kwa uwezo wa allah🤲🤲🤲🤲🤲
Lissu ni genius
Naomba kwa Mwenyezi Mungu akutie nguvu ukawe rais
Mh.Lissu ww ulishamwaga damu na ipo ardhi ya Tanzania kama ni hivyo URAIS ni muhimu 2025
Damu yako inalia bado....na italeta majibu ya urais
Huu mwaka n wake..ngojen mtaona
Amen
Amen
Usimsahau rema kwenye ufalme kwako ana kitu kafanya kazi kubwa Sana kukupambania
Lema kamsaliti mchaga mwezie mmachame mwezie...katisha ila naona ulikuwa mpango ata mbowe anajua ilo
Wenye D tunaelewa
Hongera Sana bro
Nakuelewa sana mkuu
Magari ya Mbokomu 😅😅 shwaiin kabisa
Why mbokomu
Asanteee 🙏 🙏 🙏 Mungu akubariki
"I can feel 5 president of tanzania spirit in Tundu Antipas lisu"
mark this comment
Amen
unachanganya baina ya Uenyekiti wa CDM na urais wa TZ
Nikiwakumbuka wakina Soka vijana wadogo 😢😢
Chadema ni Moja, hakuna Tena team team
💪💪💪
Hongera umeletwa na mungu baba
Hakika
Asante Yesu wangu
Hapo sawa narudi chadema naenda kuchukua kadi
Mimi sio Chadema wala CCM lakini nasuport Chadema. Lusu Mungu akulinde
Mungu akubariki sana Hilda
Nyie wengine ndio wale waoga munabaki bendera fuata upepo mara oh mie sio hivi lakini niko vile daah binaadam hamuna hata uoga wa Mungu kwa unafiki wenu.
Nmefurah sana
🎉🎉🎉🎉
Hapo wanachama watakuwa wengi sana
Ahhhh tundu lisu uraisi hupati wewe utakuwa kama mzee kiseketi .
Hongela tundu adamant out good example
TEAM LISSU TUMESHINDAA
Hakika Mungu ni mwema sana
Chama kipo salama
HUYU NDYO MWENYEKITI SIYO YULE WA KULE ANAOGOPA SANDUKU LA KULA
Anti pasi atakuwa raisi wa .....
🦁🦁🦁🦁🦁🔧
KIKUBWA CHEO KISIKUPE KIBURI SANA NA USIJARIBU KUWA KIBURI KUPITILIZA NDANI YA SERIKALI YAKO KISHA YAKAANZE MAPAMBANO YA HOJA.
Lisu unawagawa wanachama ukisema umeshinda
Ulikua unashindana na nani?
Unataka kutuaminisha cc watu wa upande wa pili ndio tumeshindwa? Sio kimeshinda chama?
Haya cc tulio shindwa
Tunakaa pale tunawaangalia mulio shinda.
Jamani katibuwetu ninani::::?!!!
Lema
Katibu ni John mnyika
Ulikuwa uchaguz lisu mbowe wote ni chadema na mama yao ni TZ
mnaona ???ananza uchochezi kabla mashetani ya maframasoni ya fanya kazi ?? lissu kujagiliwa mwenye kiti wa chadema ????pole ? pole sana tanzania
Sor kasemaje samahan
Et wamekuja kwa shari
Mchungajimapinduzi nakuona ulivyona raha inapendeze sana
Lissu najiunga rasmi kama mwanachama wenu, tupeni utaratibu wakupata kadi nakulipia ada
Mihemuko itampeleka patamu sana na atakiua chama
✌️✌️✌️✌️🙏
Sasa apa bado lema awe katibu mkuu safu itakuwa imekamilika pale lisu pale heche pale lema iyo ndo safu imala🙏
Mnyika anatosha lema apewe cheo chingine
🫡🫡🫡
Rais ajae Tanzania
Tunahitaji viongozi walopokaji
Walopokaji wako ccm
Hujawahi kusikia maneno kule ni vitendo tu waropokaji wako hapa na unawaona. Kama hawagombani wanalalamika hiyo ndio kazi yao tu
Mbona Timu Mbowe siwaoni humu,shida nini jamani, ebu niambieni wamepatwa nini? Make tulikuwa nao bega kwa bega meseji kwa meseji lkn nimewatafuta siwaoni mnielekeze walipo
Angalia tofauti ya Kura iliyopo ndogo sana yaani mbowe ndo likuwa chaguo la wajumbe,ila shinikizo la viongozi na Kura za viongozi ndizo zimempitisha Lisu, tofauti kati ya 30 na 2o Plus , Sasa hizi 20 plus ndo za viongozi na laiti isingekuwa ushawishi wao Mbowe angeshinda Kwa sababu Mbowe hajajishughulisha kushawishi watu wampigie Kura.
Usiamwacha lema tafadhali hyuo mwamba Bado tunamhitaji
Awezi muacha kabisa
Huyo ni kibaraka mzuri Yuda Escarioti.