Chama cha siasa hakitakiwi kukamata dola kwa kutumia nguvu ya jeshi. Vyombo vya dola vitumike kulinda haki ya kila raia. Pale nguvu ya jeshi au dola inapotumika kulinda masilahi ya chama kimoja na kunyima uhuru wa demokrasia,sheria na haki ya kila mwananchi kujieleza na kuchagua mgombea anayemtaka basi huo unakua ni utawala wa kidikteta.
CCM kweli wamechoka kwa kila kitu yaani hakuna mtu mwingine zaidi ya huyu kikongwe? Mawazo ya CCM ni kuiba kura tu ndio maana hawataki kabisa kusikia mambo ya katiba mpya, tume huru ya uchaguzi, uchaguzi ulio huru.
Huna muda
Utasema bwana ametoa na bwana ametwaa, kwahiyo hutuumizi Vichwa 😊😊
MMETUKOSEA WAZANZIBARI, HATUNA HAJA YA KUUNGANISHA KWENU. Jiunganisheni na Congo na Rwanda basiii.
Mzee Asp na tanu yupo,ccm imeishiwa
Ila chadema wamekomaa kwenye democrasiya wapo vizuri
Uchaguzi mzee kipara sio kugombana demokrasia hiyooo
Azeeka sana
Mwenyekiti WA cc manyani
hapo hakuna unacho ongea ni puuzi tu😅😅😅😅
Chama cha siasa hakitakiwi kukamata dola kwa kutumia nguvu ya jeshi. Vyombo vya dola vitumike kulinda haki ya kila raia. Pale nguvu ya jeshi au dola inapotumika kulinda masilahi ya chama kimoja na kunyima uhuru wa demokrasia,sheria na haki ya kila mwananchi kujieleza na kuchagua mgombea anayemtaka basi huo unakua ni utawala wa kidikteta.
Ongozeni tuuu maisha yenu ila itafika mwisho dunia utaiwacha kama sisi
Hana hata aibu
Ovyo ovyo ovyo CCM 👇 mnaguswa
Sasa mzee kazeeka hivi afu bado kuna vijana wanaenda kumsikiliza akili zao zimejaa matope
Watu tuliozaliwa tu wakati tanu na asp vinaunganishwa tunajihisi kuzeeka sasa huyu mzee sijui inakuwaje.
Kwanza unasinzia bungeni
Uyu Sasa Nini mbaya msee ameseka sana
Ndoto za ccm ni kukaa madarakani myaka yote. Hawaoni mambo yanavyobadilika kila siku.
Mzee rudi porin nyara za serikal
Arudi tu porini kuna hifadhi katoroka kule Kigoma !!
Hata wanaokusikiliza na😅kukupigia vimakofi.unafanana nao.pole.
mnajali masilahi yenu tu
Uchu wa madaraka vijana awapew kaz 😮
Mzee usiseme uongo hakuna waliogombana ,ila walikua kwenye ushindani wa kisiasa , sasa wewe ulipata kura ngapi? dhidi ya mshindani wako
Ubongo ulio lala kusimamia ubongo ulio amka.. mna feli mno kwa haya maigizo yenu..
Babu kapumzike huna Sera Bora makonda
Kiburudisho
Hakuna kulijibu remnant , yaani huyu mabaki ya Gorilla....
CCM kwa ujenzi gani wa nchi?
Babu huna busara kbs,89yeas babo unakuwa chawa,huko hamna vijana,
Mbona sioni hoja hapo! so what kama ulikuwepo?
Huyu mzee anajielewa kweli? Anawabagua wenye ulemavu!
Nccr uliendaje
Ukweli ni kwamba umezeeka kama ulikuwepo kwenye kuunganisha Tanu na Asp
Na bado anang'ang'ania kuendelea kuongoza
Wasira hizozama za mawe bado upo,mzee unakosa hekima baby wa vitukuu na vilembwe ,bado unataka ucheze single,kumbe hata wajinga wamezeka
Mbona dola munayo zamani hio dola
Du huyu muhenga alipigiwa kura nani ?
hakujaza hata fomu ya kugombea Samia alitoa jina lake mfukoni na kuweka mezani wajumbe wapitishe hakuna maswali wala mjadala CCM ni uozo
wasila made wajukuu2
Mzee umezeeka sasa angalia usifie madarakani 😂😂😂