Bwana Asante kwamaana ninaimani ndani ya mwezi huu umenitoa kwenye utumwa umenifungulia maisha mengine mapya namiongozo mipya katika jina la yesu Ameen
Bwana usiniache ndani ya mwezi huu kabla haujaisha nione mafanikio kwa wazazi wangu watawale na kumiliki kiafya kiakili kiiman kiroho kiuchumi katika jina la yesu Ameen
Naomba mtume maombi yako yasinipite nipate mume mwema, kazi nzuri magari mirad mbalimbali viwanja dabodabo mashamba dabodabo biashara nanikazidiwe katika jina la yesu Ameen
Bwana naomba kupitia mazabahu hii ya mtumishi wako mwamposa anaeomba nawatu wanafunguliwa wanashinda kifo bas ninaimani baba amefunguliwa katika nguvu za Giza popote alipo atoke
Ameee.
Bwana Asante kwamaana ninaimani umenitendea miujiza nimefuta kesi yamaden kwaboss wangu katika jina la yesu 🙏🙏
Bwana Asante kwamaana ninaimani ndani ya mwezi huu kaka angu Amani popote alipo atoke amefunguliwa katika jina la yesu Ameen 🙏🙏🙏 katika nguvu za Giza
Bwana ninasema Asante kwakuwa ninaimani ndani ya mwaka huu ninavuka mipaka katika jina la yesu Ameen
Bwana Asante kwamaana ninaimani ndani ya mwezi huu umenitoa kwenye utumwa umenifungulia maisha mengine mapya namiongozo mipya katika jina la yesu Ameen
Bwana naangusha ngome zozote mbaya katika maombi haya nakuteka nyara ngome zozote mbaya katika jina la yesu Ameen
Bwana ninasema Asante kwamaana ninaimani umenitendea miujiza umenifunguliwa vifungo vyote vyagiza katika jina la yesu Ameen
Ameee
Bwana Asante kwamaana Mwaka huu naomba nimiliki nakutawala kwakasi kiuchumi kiafya kiakili kiiman kiroho katika jina la yesu Ameen
Ninasema Asante bwana kwa kwamaana ninaimani umenitendea miujiza nipate kibali cha utajiri katika jina la yesu Ameen
Bwana usiniache ndani ya mwezi huu kabla haujaisha nione mafanikio kwa wazazi wangu watawale na kumiliki kiafya kiakili kiiman kiroho kiuchumi katika jina la yesu Ameen
Kufanikiwa nilazima kwenye maisha yangu Ameen
Bwana usiniache ndani ya mwezi huu kabla haujaisha nione mafanikio yenye baraka katika jina la yesu Ameen
Bwana Asante kwajiri ya baba Angu
Bwana Asante kwamaana ninaimani umenitendea miujiza katika familia yangu umeiinua kiuchumi kiafya kiakili kiiman kiroho
Bwana Asante kwajiri ya familia yangu
Bwana Asante kwamaana ninaimani umenitendea matendo makuu ndani ya mwezi huu
Akili mpya mawazo mapya mbinu mpya ubunifu mpya katika jina la yesu Ameen
Bwana Asante kwa ajiri ya Mama angu
Bwana Asante kwajiri ya kakazangu
Ameeeeen
Katika mwaka huu wa kumiliki nakutawala bwana unitendee miujiza nifanikiwe kupitia mazabahu hii katika jina la yesu Ameen
Naomba mtume maombi yako yasinipite nipate mume mwema, kazi nzuri magari mirad mbalimbali viwanja dabodabo mashamba dabodabo biashara nanikazidiwe katika jina la yesu Ameen
Nikiwa over take wale woote walionitangulia katika jina la yesu Ameen
Anmina
Nimepokea
Ninasema Asante bwana tumeuona mikono wako
Naomba usiniache ndani ya mwaka huukutendewa mambo makuu
Naomba mtume maombi yako yasinipite bila mafsnikio naomba nyumba na bihashara mtume.
Tumeuona mikono wako katika huduma hii
Bwana naangusha udanganyifu wowote wamali
Bwana naomba kupitia mazabahu hii ya mtumishi wako mwamposa anaeomba nawatu wanafunguliwa wanashinda kifo bas ninaimani baba amefunguliwa katika nguvu za Giza popote alipo atoke
Mwaka huu nafukuza wazo lolote baya
Amee
Bwana Asante kwajiri ya dada angu
Amee