PASTOR KAPOLA “NILIOKOKA PEKE YANGU SHULE NZIMA, NIKIWA KIDATO CHA TATU, MIMI NI MTOTO WA MWISHO”

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
    BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp....
    Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
    Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
    Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

ความคิดเห็น • 7

  • @OmaruMrum-qu4pu
    @OmaruMrum-qu4pu ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa ni kichwa Sanaa🙏🙏

  • @kiwaredavidy4468
    @kiwaredavidy4468 ปีที่แล้ว +1

    Uyu jamaaa n intellectual sana

  • @gogybushi9736
    @gogybushi9736 ปีที่แล้ว +3

    Tuliosoma swilla tujuane 😊

  • @chulelubella2819
    @chulelubella2819 ปีที่แล้ว

    Sawa kuokoka sio inshu muhimu nikuwahubiria watu waache dhambi waishi maisha ya utakatifu na toba,tofauti ni kuwa mnahubiri mafanikio ya kimwili tu hamtaki kukemea dhambi ndio maana mnapata uumarufu na kupendwa na watu wa kidunia wasiotaka kuambiwa ukweli.Sasa hivi kuna swala la ushoga,usagaji,ulawiti na kadhalika lakini yote hayo hamuyaoni,mambo ya kuhubiriana mambo ya kimwili yamepitwa na wakati tunahitajia kukemewa kuhusu dhambi Yesu anarudi wachungaji amkeni

  • @ayubucrinton3940
    @ayubucrinton3940 ปีที่แล้ว +1

    Pastor wewe ni jasili sana balikiwa