NIAMBIE KWENYE COMMENTS JINSI YAKUMBADILISHA MTU MWENYE ROHO YA KISHETANI ILI AWE NA ROHO WA MUNGU UNATAKIWA UFANYE VITU GANI AKUELEWE? NIAMBIE KWENYE COMMENTS
Unamwondokea mwanamke huwezi badilisha mtu jinsi alivyo , jinsi alivyo jiamulia kuishi , the best option is let them go leave and never come back, wakijipata pekee Yao watabadili mda si mrefu
Very nice Baba amenikubusha ...babangu marehemu nilipo rundi kwetu nikawa na makosa alinipinga fimbo Moja Kali 🤣🤣🤣 sasa roii amepokea yake ...ongera tumepata baba karobo.❤❤❤❤ from Kenya much love
Kwanza navuwa kofia yangu kwako Baba Joan na familia yaote kwa jumla,munazidi kunielimisha mimi kwa bule kabisa,sina budi ya kusema Mungu azidi kuwabariki saaaanaaaaa,ila natamani one day niwaone familia nzima
Hongera sana japo kuna mahali mumechanganya, naona pale Kibanio kwa Rihasa muda kidogo naona anapokea simu kutoka kwa Zuu yupo kwake na nguo tofauti bado pale tunamuona Kibanio ako kwa Rihasa anamsubiri Rihasa, alafu ule kaka kapigiwa simu akasema amemuacha na mbele tunamuona bado yuko pale
❤wow...am among the top viewers...it's long for more entertainment ❤...mrefushe tuone mpaka December 😂😂😂mama Karobo asikufe haraka, She's my best actor....
Nawapeni salamu kutoka Kenya 🇰🇪 wapi likes za Baba karobo na nifuraha amepatikana ila mama karobo feki amesikia Baba karobo amepatikana sasa kutakuwa na mgogoro Kati Yake na dada Yake Baba karobo na itakuwaje🤔🤔😮😮😮😳
Hongera sana kwa kazi mzuri munayo ifanya. ❤❤ Moçambique, 🇲🇿🇲🇿🇲🇿 Muito obrigado pai de Karrobo, meus parabéns pelo seu desempenho deste grande trabalho maravilhoso🎉🎉🎉🎉
Kibaniyo she made me cry also when she reached her brother Mr Jacob 😭, but i have not seen karobo where is she? Karobo and her dad their my favorite actor in this movie 😂😂❤
Kazi ni nzuri. Ila jitahidini kuwa na uhalisia, kwa mfano baba Karobo umempigia simu dada yako, badala ya kumsubiri mnaondoka bila kumjulisha kama mmeondoka na mnamuacha Kibanio katika sintofahamu. Zingatieni uhalisia.
Leo hii Kibanio umeniliza, I really feel for you kwa haya mateso yote. Jipe moyo. Mateso ni ya muda tu. Kazi safi baba Joan, Kila kipindi chako kina funzo nzuri sana. Mungu awatangulie. Natazama nikiwa Afrika Kusini.
NIAMBIE KWENYE COMMENTS JINSI YAKUMBADILISHA MTU MWENYE ROHO YA KISHETANI ILI AWE NA ROHO WA MUNGU UNATAKIWA UFANYE VITU GANI AKUELEWE?
NIAMBIE KWENYE COMMENTS
Ni kumushauli chochote ao umuombee❤
Kwanza kumjenga kiimani
Kikubwa unapaswa kumuombea tu hawez kubadilisha mawazo bira kumtanguliza mungu
Mpeleke Kwa kabisa lolote
Unamwondokea mwanamke huwezi badilisha mtu jinsi alivyo , jinsi alivyo jiamulia kuishi , the best option is let them go leave and never come back, wakijipata pekee Yao watabadili mda si mrefu
Na kupenda sana baba karobo mm natoka Kenya 🇰🇪 kitui mnipe likes jameni🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Niko kitui majengo😊
Nakupenda sana baba kalobo kwauvumilivu wanawake tupende watoto wawenzetu
Nampenda baba karobo naombeni muyiharakishe tuone suruhisho kabisa, like natoka Burundi 🇧🇮
Movie nzuli sana❤❤❤❤ ninawapenda kwakutoka Burundi 🇧🇮 ❤❤❤🎉
Wakwanza from Tanzania like Kwa baba karobo❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wakwanja toka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 wapi liké zenu jamais❤
❤❤❤❤ Baba karobo from Kenya 🇰🇪
th-cam.com/video/Hc3qlnlxliA/w-d-xo.htmlsi=OzNcFiFfRZm8Z5DP
Nampenda babake karobo na karobo 😊 pia mimi mnipe like natoka Nairobi 🇰🇪 Kenya
th-cam.com/video/Hc3qlnlxliA/w-d-xo.htmlsi=OzNcFiFfRZm8Z5DP
Watuw burundi mubapendahiy film pandish bendela🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
th-cam.com/video/Hc3qlnlxliA/w-d-xo.htmlsi=OzNcFiFfRZm8Z5DP
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮💪
Kweli umetisha kakangu hadi kibanio kanifanya nalia na mimi hongera sana baba joan mungu akuzidishie (from kenya)❤❤❤❤🎉🎉🎉
Nawakilisha vyema kutoka Kenya 🇰🇪. Naomba mnipe likes za BABA KAROBO 🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤🎉🎉
Baba karobo to the world. Much love from kenya
Nawapenda sana. Big up Kibanio unamupenda kaka yako!Am great from Mozambique 🇲🇿.
Baba Karobo team mko vizuri sana. Pongezi kwenu, Mama Karobo feki pokea maua yako unajua na kuitendea haki nafasi yako 🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Kwa dakika 14 tu mimi uyooo nimeshafika
Like zangu basi🇧🇮
Samqhani like hakuta kwa leo
🎉
Very nice Baba amenikubusha ...babangu marehemu nilipo rundi kwetu nikawa na makosa alinipinga fimbo Moja Kali 🤣🤣🤣 sasa roii amepokea yake ...ongera tumepata baba karobo.❤❤❤❤ from Kenya much love
Jamani mama karobo hacok kweri anaweza kbs 🇷🇼🇷🇼🇷🇼 Kigali turabakunda cyaneeeee ❤❤❤❤❤❤
th-cam.com/video/Hc3qlnlxliA/w-d-xo.htmlsi=OzNcFiFfRZm8Z5DP
Like kwa Kibanio na zuu wanatuwakilisha vema kabisa ❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤
❤
From Turkey 🇹🇷 🇹🇷 I'm locked in,,, tuko nyuma ya babakalobo hadi mama kalobo atakapo muuma😂😂😂😂 #babakalobokizimkazi
th-cam.com/video/Hc3qlnlxliA/w-d-xo.htmlsi=OzNcFiFfRZm8Z5DP
Hongera mama karobo unajua kuigia roho mbaya kwel kwel hongeren team nzima kiujumla
From 🇧🇮 Tumeikubali kazi yako brother
th-cam.com/video/Hc3qlnlxliA/w-d-xo.htmlsi=OzNcFiFfRZm8Z5DP
Pila kujelewa. Nakupenda sana baba karobo ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Wakwanza kutoka burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 Like zangu jamani wasiyo mupenda mama kalobo feck like zangu
😂
Waketu burundi shikazako
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🙏🙏🙏🌹
🎉
Wapi like zangu baba karobo nakupenda sana watching from Kenya
Mimi wa kwanza kutoka kongo nipeni like zangu❤️
Wao umetisha❤❤❤
Ni salim songoro kutoka kenya aki baba karobo kazi safi sana naomba like zangu nawapenda nyote wafuatiliaji wa series hii
Nmekua broke ata nikifuatilia wah,,kazi mzuri Sana napenda,, next naingoja❤❤
Kazi nzuri baba kalobo kwa kazi nzuri 🎊 congratulations baba kalobo
Team strong nlivoketi nkiisubiri hiking kipindi jamani nawapenda sana team Strong kutoka🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🎉
Tupoooo kutoka 🇴🇲 🇴🇲 🇴🇲
Tupo pamojaa 😂😂
Tupo wengi team saudi
🎉
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hiii ipo fire🎉🎉🎉🎉🎉🎉baba Karobo Allah akulinde akupe afya njema Inshaallah
Duuuu nmesubiria sanaaa ilove uuu karoboo
Mi ni mkenya, jamani hiki kipindi nakipenda Mungu azindi kuwaongoza ,mtupakulie vitu tam tam👏👏👏👌👌💯
✌️✌️✌️💋💋💋
Kazi nzuri barikiwa Sana baba karobo❤❤❤
Amina
I'm from Mozambique I love you series
Mimi nataka kuona venye uyo mchawi anapiwa. . so please bring the next part as fast as you can guys
Kwanza navuwa kofia yangu kwako Baba Joan na familia yaote kwa jumla,munazidi kunielimisha mimi kwa bule kabisa,sina budi ya kusema Mungu azidi kuwabariki saaaanaaaaa,ila natamani one day niwaone familia nzima
Kenya Nairobi this is the best of baba Joan I love it wapi like ya baba joan
Tupo wengi
❤❤❤❤
❤@@KKK-v6j
❤❤❤❤tuko jonjo
Jamani Big up sana kabisa nayipenda sana film hii kalobo anaweza kasa
Kwakweli maman karobo nimchawi! Namimi piya mnipe like natoka goma 🇨🇩CongoDRC
Hongera sana japo kuna mahali mumechanganya, naona pale Kibanio kwa Rihasa muda kidogo naona anapokea simu kutoka kwa Zuu yupo kwake na nguo tofauti bado pale tunamuona Kibanio ako kwa Rihasa anamsubiri Rihasa, alafu ule kaka kapigiwa simu akasema amemuacha na mbele tunamuona bado yuko pale
Kabisaaa mie mwenyewe nimeshangaa maana vipande hawajavipangilia uzuri
Ni kweli yule kaka alishatoka kwa yule mzee nashangaa tena yupo pale pale ni kweli hawakupangilia
Walichanganya hapo Kwa kuedit ila ni movie nzuri
Ongereni kwa kazi nzuri ila mnachelew sana
🎉🎉
Good teaching about respecting and supporting people with special needs.❤Exellent work.
Wow tunawapeda sana tulikuwa tunawasubiriyasana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤baba karobo unaagaikasana
Much love to to this baba karobo ❤and suejat nawapenda saaana 🙏 from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
❤wow...am among the top viewers...it's long for more entertainment ❤...mrefushe tuone mpaka December 😂😂😂mama Karobo asikufe haraka, She's my best actor....
th-cam.com/video/Hc3qlnlxliA/w-d-xo.htmlsi=OzNcFiFfRZm8Z5DP
Honger sana baba karobo unatunoa ubongo
Wa kwanza toka Congo mimi hapa
From Mombasa kenya .. kanzuri .. keep it up
Nawapeni salamu kutoka Kenya 🇰🇪 wapi likes za Baba karobo na nifuraha amepatikana ila mama karobo feki amesikia Baba karobo amepatikana sasa kutakuwa na mgogoro Kati Yake na dada Yake Baba karobo na itakuwaje🤔🤔😮😮😮😳
th-cam.com/video/Hc3qlnlxliA/w-d-xo.htmlsi=OzNcFiFfRZm8Z5DP
Nawakilisha Kenya 🇰🇪 tena mi ni mgeni naomba mnipeeni like
Kenyans in Mombasa jamani nipeeni likes n mm nfishe io ngapi ngapi ntashkuru.baba kalobo
Hongera sana kwa kazi mzuri munayo ifanya. ❤❤ Moçambique, 🇲🇿🇲🇿🇲🇿 Muito obrigado pai de Karrobo, meus parabéns pelo seu desempenho deste grande trabalho maravilhoso🎉🎉🎉🎉
th-cam.com/video/Hc3qlnlxliA/w-d-xo.htmlsi=OzNcFiFfRZm8Z5DP
Sema mama kalobo feki unakipaji unacheza vizuri kwenye sehem yako nikupe maua yako
Hongera baba mkwe wa baba karobo kuwa na mafunzo ya binti yako coz yuko na roho mbaya anastaali adhabu
Kazi zuri sana kaka yangu nakufata sana kutoka 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮 ❤❤❤😢😢😢😢
Kibaniyo she made me cry also when she reached her brother Mr Jacob 😭, but i have not seen karobo where is she? Karobo and her dad their my favorite actor in this movie 😂😂❤
Mupo vizuri sana, huyu babayake mke baba kalobo nibaba mzuri sana, munajuwa sana. Kibanio acha kutuliza dah
Hii iko vizuri asanteh kwa jufanyia kazi ushauri wangu maana mlikua mnatoa ladha ya movie
Mimi wakwanza toka 🇨🇩🇨🇩
th-cam.com/video/Hc3qlnlxliA/w-d-xo.htmlsi=OzNcFiFfRZm8Z5DP
Baba karobo anatosha ni hatari simulizi nzuri. Ila Mimi mgeni jmn naomba mnikalibishe kwa like.
Karib san katik kumpongez baba kalobo
Karibu
🎉
Karibu
karimbu
Kw kweli baba karobo unaniuzunisha sana, unapitiya matatizo makubwa. Maman karobo,ni mukatili sana.
Cha kwanza ni kumwani Mwenyezi Mungu, kukabidhi maisha yako mkononi mwake, then the change will come automatically
𝕊𝕒𝕗𝕚 𝕤𝕒𝕟𝕒 𝕓𝕒𝕓𝕒 𝕂𝕒𝕣𝕠𝕓𝕠 ❤❤❤❤❤
Nasra na rahasa nimke na mume kweli ?wamependezana ❤
Kama kawa kama dawa Niko rada mbaya ❤
Ni baba karobo ,nilikua nangoja hili jibu kutoka kwa dadake karobo ,jibu nzuri sana❤❤
Hahaha baba mama karobo anataka kumpiga mama barobo feki hajui yeye ni nani 😂😂😂
Kazi zenu ziko juu Sanaa.
Jamani. Kibaniyo. Unaniliza. Namimi jani. Polesana❤❤❤
Wapewe tunzo hawa filam zawo zina elimisha❤❤❤❤❤
Kazi nzuri sana🇹🇿
Napenda Rahasa na huyo rafiki ya zuu jinsi wanavalia,kisha nimependa zuu amesimama kidete na kumkanya mama karobo,hongera kwa kazi nzuri.
Eeeh jameni nimecelea lkn like zangu nizione tn ❤️❤️❤️
Natoka kenyan 🎉🎉❤ kitui mnipe like jameni ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤🇰🇪🇰🇪😍
Kazi ni nzuri. Ila jitahidini kuwa na uhalisia, kwa mfano baba Karobo umempigia simu dada yako, badala ya kumsubiri mnaondoka bila kumjulisha kama mmeondoka na mnamuacha Kibanio katika sintofahamu. Zingatieni uhalisia.
Wangapi wanatamani mama karobo feki apigwe na kitu kizito
❤️❤️❤️
Nawakilisha vyema kutoka Kenya. Nipe like zangu
Ni thamilia nzuri shakir Mohammed ❤❤❤❤❤
Nice I like this episode ❤❤❤
Thanks a lot babakarobo umetufunza mambo mazito Sana God bless you from Kenya
Leo wa kwnz mimi nipeni izo like zang bas
😢😢😢kibanio jmn..hata Mie mtazamaji tu nimelia kama kweli hilo tukio la baba karobo nawapenda sana mwendlezo please 30
Nzuri sana na pia nafurahi kuona baba Karobo akiwa salama,mama Karobo yote uliomfanyia bakarobo na mwanaye yatakurudia
Baba karobo hana nguo nyingine🏃🏻♀️ mbona wengine wanabadilisha
Kipofu wanambagua
hana wa kumnunulia nguo si mnajua
😂😂😂😂😂
Team saudi like za huyu chali alisaidia baba karobo simu akapigia dadake ❤❤❤❤❤❤una moyo wa utu na Mungu akubariki sana
Mashaallah nimeipenda Sana baba yangu kipofu
jamani mimi wa pili hapa like za kutosha japo sijui tunazipeleka wapi😂😂😂😂😂😂😂
Leo hii Kibanio umeniliza, I really feel for you kwa haya mateso yote. Jipe moyo. Mateso ni ya muda tu. Kazi safi baba Joan, Kila kipindi chako kina funzo nzuri sana. Mungu awatangulie. Natazama nikiwa Afrika Kusini.
Niko wakwanza ku comment nipatie like zangu jamani🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Muongo wewe wamwisho
Like tumezisahau kwa nyumba toa tu maoni
Mrundi mwenzetu❤❤❤🇧🇮🇹🇿🇧🇮
Umewakilisha nchi❤❤
hizo like unataka uzipeleke wap
🎉🎉
Well represented from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
nipeni like zang jamani sija chelewa bado 🎉🎉🎉 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
th-cam.com/video/Hc3qlnlxliA/w-d-xo.htmlsi=OzNcFiFfRZm8Z5DP
Boni ya
Tangu series ianze sijawahi pewa likes ata 200
Watkaa 200 wengneee htaa3 tyuu amnaaa
🎉
Jamani baba apewe like kama zote
Wakwanza kuccoment wapi likes za team strong
Lik au koment zinawasaidia nn toeni maoni nasikuomba lik
🎉
Xawa
Baba Joan# Baba Karobo ni msomi mwenye kipaji zaidi na zaidi na mwenye hekima mno #WEJA LIKE NYINGI KAMA UNAKUBALIANA NA HIKI KITU
Du leo nimewah jaman like hata moja naombeni
Baba Joan like kwake kwa kaz nzur
Asubuh tusion na kazi mjini tpo busy na movie 😂
Hahajajjhahahah😅😅😅😅
I wish all wishes for this drama nawapenda Sana team baba Joan nipen like ata 5❤❤❤❤❤❤🎉
Waliochungulia youtube kutok jana kutazama baba yangu kipofu mkono juuu 🖐🖐🖐🖐
🙋🙋🙋mambo
🖐
✋✋✋
🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
It is getting hotter mama karobo ameisha karibu ameze roho
Sasa Kam ik w kwanz n wapil kutok keny mm n wangapy🇰🇪🤣🤣🤣😊😊😊
th-cam.com/video/Hc3qlnlxliA/w-d-xo.htmlsi=OzNcFiFfRZm8Z5DP