PATANISHO : MANENO YANGU YA MWISHO NI ....SITAKI UJINGA TAFADHALI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2022
- Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya
Subscribe to RadioJambo TH-cam - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220 - บันเทิง
Team hamam tuko
Ni team fulus not hamam
Huyu dem ako na msimamo, I like that 💪💪💪💪💪😂😂😂😂😂😂
True ... Subscribe plzz 🙏
Ghost always on fire na hicho kicheko
Love hakuna sikuhizi🤣🤣🤣🤣🇸🇦🇸🇦🇸🇦
Usijali team strong
Aki Ghosh kicheko Chako inanifurahisha sana
Aki mapenzi Kenya hakuna wacha nitafute pesa kwanza
Akii napenda kicheko ya ghost 🤣🤣
Anabambisha kipindi walai 🤣🤣🤣
Nachekanaga ka yy hehe
Tough Lady
Ni kubaya😂😂😂
Acha nioshe hammam mapenzi baadae fulus kwanza
🤣🤣🤣🤣🤣 aki
Kabisa
Team hamamu
Kabisa fulus muhimu
Patanisho Inakuanga live kwa TH-cam? Kesho niko off ningependa kusikiza live!!!!
Baraza kwani anakuwanga mlevi au anakulanga bangi🤣😜🤣
Hio kicheko ya ghost inaigianga vizuri 😅
Pia mimi naipenda
Hakuna kurudi nyuma ni kusonga mbele kama injili🤣🤣🤣🤣
😁😁😁kenya sihami..bt nisigue hamam kwanza 🚶♀️🚶♀️🚶♀️
Mubaba anakubebea kisu whee😳😳😳 hiyo apana. Barasa wewe ni mubaba ovyo sana
Wah peris jamani
True ,. Subscribe please 🙏
Marriage ni ngumu aky
Aki,,,
Huyu dem ako na kiburi sana
Good job
Wanawake uamini usiamini amtaingia binguni ✋
wacha sisi na ghost mule tucheke ili masiku iongezeke.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥💋💋💋🙏🙏.
Nakusaidia kucheka pia
@@priscillakageha1689 wacha2 tucheke ndio tuongeze masiku 🤣🤣
Okiti. Mungu. Akutie nguvu 2022 Mama Morgan wa kk
Hataki ujinga🙌🙌🙌🙌🙌🙌😂😂😂😂😂😂kisu ya puncture
Kitu cha kwanza unapoolewa na bwanako unafaa kuelewa kazi yake.hawezi huzia wanaume maji pekeyake biashara ni both side so bibi aache maneno yakusikiza majirani
Kweli kabisa ukifwata ya majirani utaharibu nyumba yako
I support you
Na kumtolea kisu
I LOVE IT WHEN I GET A NOTIFICATION 🔔 THAT "YOU HAVE A NEW SUBCRIBER" INANIFANYANGA NAKUWA NA BIDII SANA😁
More fire😂😂🤣🤣😍
Perish waaa 😂😂😂😂😂😂😂😂
Kuna Mahali tunachezwa mbona Gidi tayari alijua anachotaga maji na dem anajifanya eti hajui mbona ameleta radio jambo. 🤷♂️🤷♂️🤷♂️
Aki ghost waaah anacheka masaibu ya barasa😂😂😂
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🤣 sawa NDUGU
a monday like this
Dada kimbia kama mwenda anapepa kisu
Mafi fulus mafi hub khalas
Love without money will never last
True
And love build on money will never last as well! Watu wapendane bila kua materialistic
@@priscillakageha1689 of I ll
@@jeccym8715 ok just let her please lpopppp
@@priscillakageha1689 my way over to
Ni wily kutokaa tz,sitakangi ujinga tafadhalii
😂😂
Ni ukweli aswa ni bukusu uko nao
Kisu ni ya puncture😂😂
Gidi maboz
Nadai kupatanishwa pia
Niko single naejo nikiwa gulf..🤣 so nko na request ya wenye wako single mjaribu kutuparanisha na wenye wako single pia
Gidy na ghost Mimi hiyo nikitoka huko heri nikae huku culf nitafute fulus ghost kicheko 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣✅
Ghost hio kicheko yako inachanganya mtu Sana duhh
Hyo kisu iliistua huyu mama sana hawzi Rudi SA hii
N kubad
Wabukusu wetu yawaaa
Ukiachwa hachika bro, find another solution
Barasa unambiwa uwache ujinga🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ghost kazi yake ni kucheka tu😂😂😂😂.... Fala😂😂😂
Bukusu men!!!!!!!
🤣🤣
Hii life ni ngumu but kicheko cha ghost, hunichangamua ,,
huyu jamaa ni mwanahistoria hehehe anaelezaa
Angetuma pesa ya hosi ingeconvince Yee kurudi
Mbona waluhya ndio hupatanishwa😂
Wanapenda chai
Hata mimi hujiuliza hii swali🤣🤣
Ukitata depression,basi Hawa wanaume waluya ni stress....
😂😂😂😂wachana na waluyha nani
Waluya siyo waoga
ata wanawake wanapaswa kuelewa kazi za wazee coz hawezi fanya kazi na wanaume alone...kama Mimi upenda kufanya kazi na wanaume sana kuliko ladies...
Kweli kabisa yangu ilikua ya hotel na men's ndio hula kwa hotel sana
Walai umeolewa wew
@@willybett5412 yes willy nko na mzee na mtoi
huyu msichana ako na different agenda. juu this guy is genuine but ako dame anaongea hewa tu
Wacha nikunywe laban nkiosha hamam🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂team tano tena pita na 👍🏼 like
Ghost😂😂😂❤❤
Mapenzi ajia Diana Albert Diana B wajesu Terrence family Guadiana angel na mimi na my hubby 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣Barasa kisu cha nini
Gidi am crushing for u
Huyu jamaa anatumia madawa ya kulevia
Ukiachwa wajika
Siku utaajika ndo utajua maana yake
Mapenzi kizungumkuti
Hawa watarudiana🤣🤣
Haaaaaaaaaa
😂😂😂 ukiwacha ajika bro
Ghost ni 👻 tu!
Peris 🤣🤣🤣
Kisu ya puncture 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
mdomo loose tabia
Unajua mwanaume akikuoa uwa wanathani wame2okoa sana
Gidi na Ghost, kama hamna muda enough ya kusikiza kesu, wacha hii program ikae mpaka vile another radio station itapata enough time ya kusikiza kesi
Ghggg😢😮