Uko sahihi kabisa,ukuta wa simba umeruhusu magoli 3 tu tofauti na yanga imesharuhusu magoli 6 ktk mashindano ya kimataifa afu unasema simba ukuta mbovu
Yaani huyu jamaa hana akili kati ya simba , asec, almasir ipi time Bora apo yaani simba ashindane na al ahal ,widady uje umfananishe na hawa wakina al masry kweli?
Uko sahihi sana, mimi ni Simba dam lakini kiukweli timu zetu hazijafikia ubora wakushindana na mashindano makubwa, Yanga na Simba zote ni mbovu hakuna timu zakuchukua kikombe chochote.
Ila nyie jamaa ndio mnaochangia watu kutokukubali vya nyumbani , maana hata simba iwe bora bado nyie mtaona kama wamebahatisha lakini sisi simba tutawajibu kwa vitendo wajinga nyie.
Ndio, k/ sababu simba anacheza objective football
Ameen mungu aweke wepesiii
Amina
Nyie wanayanga ni wanafiki acheni kuropoka kuipamba ya 9:48 nga lenu bovu
wameipuuza.
Inshaallaha mungu atudaidie kwahilo
Ndoto za.machana hizi mwee😂😂😂😂😂
Timu inakuaje na safu mbovu ya ulinzi huku ikiwa imeruhusu magoli machache kuliko timu yoyote ligi kuu?
Uko sahihi kabisa,ukuta wa simba umeruhusu magoli 3 tu tofauti na yanga imesharuhusu magoli 6 ktk mashindano ya kimataifa afu unasema simba ukuta mbovu
Wapinzani sahihi wa simba ni rs berkan, usm alger na zamalek hawa wengine simba atawapiga kama anavyotaka
Yaani huyu jamaa hana akili kati ya simba , asec, almasir ipi time Bora apo yaani simba ashindane na al ahal ,widady uje umfananishe na hawa wakina al masry kweli?
Huyo Aucho wako unae msifia hapo hana lolote anacheza rafu sana akizidiwa maarifa. Sasahivi kishazeeka anachoka haraka sana
Tuwe wakweli hiyo Yanga yenu nayo haikuwa na ubora huo mnaousema
Eeemunguu endelea kuwatia nguvu wachezaj wetu
Andika hivi Eeh Mungu sio mungu
@MicahGhloloj-bs4 kwan bible imendika kama wewe
@tiffan2807 hamna sehemu yeyote utakuta kumeandikwa mungu hata Bible Ni capital letter lazima unapoandika uanze na herufi kubwa kumtaja Mungu
@MicahGhloloj-bs4cy ooooh saw
Tatizo la wachambuzi wetu ni uyanga na usimba.Iwe Yanga iwe Simba ni mbovu zote.huyo Aucho hana lolote.
Uko sahihi sana, mimi ni Simba dam lakini kiukweli timu zetu hazijafikia ubora wakushindana na mashindano makubwa, Yanga na Simba zote ni mbovu hakuna timu zakuchukua kikombe chochote.
Yaani wewe mkaraboko kweli hata uchambuzi wako ni maboko tu,
Binadam akielekea uzeeni akili hurudi nyuma na ndo maana kuwalea Wazee kadri wakizidi kuzeeka ugumu unazidi na ukichukulia hasira unapata laana. Ngoja tutulie tusubr huo ubora
Unatesekea wapi ndugu😂😂😂😂😂😂
Ila nyie jamaa ndio mnaochangia watu kutokukubali vya nyumbani , maana hata simba iwe bora bado nyie mtaona kama wamebahatisha lakini sisi simba tutawajibu kwa vitendo wajinga nyie.