KISUGU AMCHOMOLEA BETRI CHEMALONE | ATAPIKA NYONGO KWA YANGA KUITAKA ROBO | HII SIMBA INATISHA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ม.ค. 2025
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 82

  • @AndrewMwalenga
    @AndrewMwalenga 14 วันที่ผ่านมา +10

    Chemalone,,anatakiwa awekwe😮 bench mech kadhaa uku akiendelea kuambiwa uo uzembe anao ufanya,,,ipo cku tutashindwa kuvumilia atakula bakola,,

  • @aunyisameena374
    @aunyisameena374 14 วันที่ผ่านมา +6

    Simba has got a weak management at the current time. The weak management brings a weak technical coach. A player (i.e Fondo Chemalone) who makes the same big mistakes but coach still use the guy. I can easily rate coach Fadlu as a low capacity coach. Probably he is lacking experience. Why can't he Inform the management on this defensive personal problem?. Change the player or advise the Mgt to sell the player to other local/foreign teams. Go to the market and find a better central defender. We have never observed such poor defender for the last 5 years of Simba performance in CAF championships.

  • @davidmwamanda6473
    @davidmwamanda6473 14 วันที่ผ่านมา +3

    Huyu Malone achunguzwe kwa karibu sana!!! Mpaka simu zake, unawezekana anatumika kiaina. Ni muhimu

  • @YohanaJumanne-v3v
    @YohanaJumanne-v3v 14 วันที่ผ่านมา +4

    Chemalone simba hayuko tena mwachini aende atatuharibia ubingwa wetu Simba ❤❤❤ kumbukeni Inonga alianxa nae mbwembwe kuifungisha team Chee malone out Simba😂😂

  • @MwamvitaKizua
    @MwamvitaKizua 14 วันที่ผ่านมา +5

    Huyu chemalon isiwe Kama inonga achunguzwe hili ni Duka hawezi kurudia kila cku makosa anauza mechi anatoa asist kwa wapinzani kila cku anatuhujumu

  • @emmanuelsenga4536
    @emmanuelsenga4536 13 วันที่ผ่านมา +1

    Msimchezeshe Tena Chemaloni atatuharibia sana,zamani nilisema juma kaseja atatuharibia amkunisikiliza matokeo mkayaona pili nilisema Aishi Manura nae anatukosea matokeo yake mmeyaona,Sasa Chemaloni nae ameanza Sasa atauza mechi mtaona,nyie mpange mechi tuu

  • @MajombaMajomba
    @MajombaMajomba 14 วันที่ผ่านมา +3

    Chameleon ni kosa la miracle tu ni bek mzur apewe ushaur

  • @MzeeBabu-s6y
    @MzeeBabu-s6y 14 วันที่ผ่านมา +2

    tudili na simu zake

  • @VitalisSway-ov1ru
    @VitalisSway-ov1ru 14 วันที่ผ่านมา +2

    Malon ni kirusi kipya kwenye timu viongozi wamuangalie

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 14 วันที่ผ่านมา +5

    Chemaloni hatumwelewi Kwann anatufanyia hiv

  • @hassanYusuf-n4o
    @hassanYusuf-n4o 14 วันที่ผ่านมา +2

    Anachukuwa hongo huyo ipo siku itajulikana2

  • @Wasph-b5e
    @Wasph-b5e 14 วันที่ผ่านมา +2

    Ameichoka Simba aondoke Kuna siku tuzimia kwasababu yake anaiujumu Simba na anawapo wakati mugumu wachezaji wenzake watumia nguvu kubwa sana kusawaziaha bao aondoke TU Simba nikubwa aikose beki mzuri wangapi wamepita wazuri kuliko yy?

    • @JullianaJuma
      @JullianaJuma 13 วันที่ผ่านมา

      Anatia uzito katika mechi ,mechi inakuwa nzito sana unawakatisha wenzio tamaa kabisa

  • @franccoz94
    @franccoz94 14 วันที่ผ่านมา +1

    Che malone anazingua sanaa

  • @camilomassao8971
    @camilomassao8971 14 วันที่ผ่านมา +1

    Chemalone achaneni naye.

  • @YahyaNuru-v7d
    @YahyaNuru-v7d 14 วันที่ผ่านมา +1

    Ni kweli maneno yakol aondoke Chemalon

  • @davidfelician2903
    @davidfelician2903 14 วันที่ผ่านมา +1

    Ii imezidi kama afai aondolewe pia mwaka Jana kule Kagera akiwa na kikosi kile kilichofungwa na yanga 5 yeye kama beki alikosea tukafungwa Kagera mechi iyo Simba ilipa drool azamu akashinda ss tukawa wa TATU.

  • @shukuruiddi82
    @shukuruiddi82 14 วันที่ผ่านมา +2

    huu ndio uchizi sasa kuingiza utani na masuala ya iman, umeongea vizuri kuhusu chemalone ila shida bado hujatoa ushauri nn kifanyike kumuweka sawa, malone sio mbaya wala hana nia mbaya na simba bali malone ni mtu mwenye kujiamin na kujisahau, kocha anapaswa achague namna bora ya kumleta ktk line km zaman

  • @rebecalazaro9509
    @rebecalazaro9509 14 วันที่ผ่านมา +1

    Miwani kama Kingo

  • @YohanaJumanne-v3v
    @YohanaJumanne-v3v 14 วันที่ผ่านมา +1

    Mchome hyooo😂😂😂 subian

  • @GambaShadrack
    @GambaShadrack 14 วันที่ผ่านมา

    Kama vp acheze hat husen kaz

  • @HasaniKitumba
    @HasaniKitumba 14 วันที่ผ่านมา

    Hiyo ni kweli anauza mechi kama inonga asichese tu

  • @epaphraslugendo8790
    @epaphraslugendo8790 14 วันที่ผ่านมา

    Au kashakuwa duka??

  • @bulugubujashi6378
    @bulugubujashi6378 14 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂sio kibisila bali ni kibisawala

  • @GodfreyJames-zt6ig
    @GodfreyJames-zt6ig 14 วันที่ผ่านมา +1

    Chemaloni anafata nyayo za inonga za kutujumu mtakubli maneno yangu siku za usoni

  • @JosephMwaipopo-r9c
    @JosephMwaipopo-r9c 14 วันที่ผ่านมา +1

    Hataujua kisugu kwan we nani

  • @Josephtibu-l9e
    @Josephtibu-l9e 14 วันที่ผ่านมา +2

    Chamalon anazingua sana

  • @abdallahshariff6555
    @abdallahshariff6555 14 วันที่ผ่านมา +1

    Chemalon kaja kutafuta pesa,hakuja kwa mapenzi ya Simba,achunguzwe,Simba ana maaduwi wanao juwa fitna,Simba imepata umaarufu sana Africa kwa juhudi sio kupendelewa na CAF,maaduwi wanataka iwe zamu yao kwa njia ya fitna,kosa ambalo sirahisi kwa Chemalon kukisea,Nina wasiwasi kuna watu hawajaoenda tufuzu,achunguzwe,alitegewa Manara vipi yeye ishindikane

  • @habibujuma1063
    @habibujuma1063 14 วันที่ผ่านมา

    Siyo mechii kadha auzwe walikuwepo akina inonga wako wapi?

  • @idrisaabdala6522
    @idrisaabdala6522 14 วันที่ผ่านมา +1

    Mtu anyati ila kisugu heeee

  • @DanielChaula
    @DanielChaula 14 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 14 วันที่ผ่านมา

    Malone anachotafuta apewe maana makosa ni yale yale

  • @NdeonasiaMahava
    @NdeonasiaMahava 14 วันที่ผ่านมา +1

    Chemalone seeker kikao apewe onyo ajilekebishe asiludie tena kufanya huo uzembe tena

  • @HappyEel-wg4qx
    @HappyEel-wg4qx 14 วันที่ผ่านมา

    Ujafika fainal

  • @LaulentLameck
    @LaulentLameck 14 วันที่ผ่านมา

    Msukule wa makolo

  • @KosovoAwadh
    @KosovoAwadh 14 วันที่ผ่านมา

    Kisugu makosa ya che melon mara sita viongozi au banch la ufundi wamenyamaza mpaka mara sita huu uzembe huyo Bora akae bench

  • @rajabukampira9077
    @rajabukampira9077 14 วันที่ผ่านมา

    Mpaka mseme

  • @GambaShadrack
    @GambaShadrack 14 วันที่ผ่านมา

    Malon achunguzwe asiwe anatembea na mkataba!

  • @sadickjuma2465
    @sadickjuma2465 14 วันที่ผ่านมา

    Kwani mnamchezaji mmoja tu wekeni benchi mpeninafasi mwingine

  • @salumissa7237
    @salumissa7237 14 วันที่ผ่านมา

    Kwani si ndio kawaida yenu Yanga na Simba kusemana vibaya?

  • @danielelikana2615
    @danielelikana2615 14 วันที่ผ่านมา

    Kuna mechi moja Ally Salim alitaka kupigana na Chemalone...mnaikumbuka??

    • @JoseHaule-tx7lu
      @JoseHaule-tx7lu 14 วันที่ผ่านมา

      Ni kweli nakumbuka na tulijua bahati mbaya

    • @InnocentGavu-l5i
      @InnocentGavu-l5i 14 วันที่ผ่านมา

      Malone hajaanza leo kuasist

  • @melchiorrweikiza4517
    @melchiorrweikiza4517 14 วันที่ผ่านมา

    Amefanya mazuri mara ngapi?

  • @NassorAli-p9k
    @NassorAli-p9k 14 วันที่ผ่านมา

    Simba yetu bila chemalone inawezekana mbona

  • @YohanaJumanne-v3v
    @YohanaJumanne-v3v 14 วันที่ผ่านมา

    Yanga walitoa bahasha Ibenge hao wachezaji kama wanachexa dance😂😂😂 kila mtu analifaham mpaka Tff na CF mechi inachunguzwaaaa

  • @johnmwita9370
    @johnmwita9370 14 วันที่ผ่านมา +2

    Unatukana nwanaume,et kuma unasahau mama yako anashimo?

  • @azizajamary576
    @azizajamary576 14 วันที่ผ่านมา

    Msaliti huyo ale panga tu

  • @MohamadKhalid-k3r
    @MohamadKhalid-k3r 14 วันที่ผ่านมา

    mbona ueleweki kisugu au umejinyea ndani ya suruali yako umo.miwani kama kobe

  • @mohedali7033
    @mohedali7033 14 วันที่ผ่านมา

    SIMBA,,USIA WANGU,,HUU MCHEZO WA KUWAKARIBISHA WACHEZAJI AKINA MAYELE,,KWENYE MICHEZO YETU SIO SAWA KABISA,,,

  • @JestonMwaisaka-t3m
    @JestonMwaisaka-t3m 14 วันที่ผ่านมา

    Maloni amepewa shule ya kuihujumu timu maana huwezi kukariri kosa la kujirudia lilelile mh!!!! Bench tafakari!!!!!!

  • @DanielChaula
    @DanielChaula 14 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂

  • @PamelaHezron
    @PamelaHezron 14 วันที่ผ่านมา

    Uongozi ukae naye chemalon Kama ana offer team nyingine wamuachie aende

  • @JastineBalile
    @JastineBalile 14 วันที่ผ่านมา

    Achunguzwe anatukosea

  • @OmaryHabibu-gs7ld
    @OmaryHabibu-gs7ld 14 วันที่ผ่านมา

    Che Malone viongozi wetu anatumikq huyu na upande wa pili niongeq toka mwaka Jana

  • @Swarehshaban
    @Swarehshaban 14 วันที่ผ่านมา +1

    Tengua kauli yak mara sita mfululizo umeupata wapi wakati msimu wa kwanza mnaingia robo fainali msimu unao kuja mkatolew na edi songo mkatoka leo unasema mara sita mfululizo au ubongo wako hauwifaz kumbukumb

    • @abdallahshariff6555
      @abdallahshariff6555 14 วันที่ผ่านมา

      Na mechi za ndani

    • @gilbertndenga7897
      @gilbertndenga7897 14 วันที่ผ่านมา

      We ndiyo huna record, kaa kimya umeanza juzi kuishabikia Simba

  • @mohedali7033
    @mohedali7033 14 วันที่ผ่านมา

    HAWO WACHEZAJI WANAKUJA KUWARUBUNI WACHEZAJI,,HAO WANATUMIWA,,ILI IWE RAHISI KWAO KUWAONA WACHEZAJI..ANGALIENI...

  • @ekimnkande2873
    @ekimnkande2873 14 วันที่ผ่านมา

    MaLONE ANAKOSEA LAKINI NI MCHEZAJI MZURI SANA HIVYO TUMWACHIE COCHA

    • @kassimntara6901
      @kassimntara6901 14 วันที่ผ่านมา

      Tuache yoga tumwambie kweli Malone anayotufanyia ni Yale ya Inonga,mbona hatumlaumu kijiri au Abdulrazack ambao walishawahi kujifunga? Malone anajambo tusimchekee atatugharimu

    • @fatumasophu5855
      @fatumasophu5855 14 วันที่ผ่านมา

      Kwani inonga alikuwaje huenda kashaichoka Simba huyo

    • @abdallahshariff6555
      @abdallahshariff6555 14 วันที่ผ่านมา

      Anatumwa sio timu pinzani,anatowa pasi ili afungwe,je tusinge pata goli twenge mchukuliaje,mimi nina mashaka na Chemalon

  • @kassimntara6901
    @kassimntara6901 14 วันที่ผ่านมา +1

    Kweli kisugu Malone anatufanyia hivi mara tatu Tena kwa aina Ile Ile na lazima inakuwa magoli ya kwanza kwa wapinzani,baada ya hapo mbona anakaza sana? Anatukumbusha Inonga alipotaka kutoka alikuwa akitufanyia hivi hivi.Achunguzwe na uongozi na kujiandaa mbadala maana robo na nusu haihitaji uzembe wa aina hii

  • @HamisMohamed-r5p
    @HamisMohamed-r5p 14 วันที่ผ่านมา

    Anatumika na yanga ukweli uwo

  • @FidelisMathewmagele
    @FidelisMathewmagele 14 วันที่ผ่านมา

    Ametukosea siyo mechi mbili tu hata mechi za ligi alituchomesha inatuuma sana sijui Kuna nini .kamati ya ufundi mwangalieni huyu mchezaji

  • @HamisMohamed-r5p
    @HamisMohamed-r5p 14 วันที่ผ่านมา

    Uzembe wa makusudi Ally kamwe alikuwa na wakika wa simba kupoteza chemaloni mtu wao yanga wanasimba tuamke

  • @HemediMandai
    @HemediMandai 14 วันที่ผ่านมา

    Alie funzwa adabu awezi tukana yawezekana ana wazai huyo kashushwa tu

    • @phakundigervas1360
      @phakundigervas1360 14 วันที่ผ่านมา

      Wazazi anao Bali ameamua kufanya kazi ya mshahara rahisi kwa shetani

  • @SheikhMusa-z4e
    @SheikhMusa-z4e 14 วันที่ผ่านมา

    Huu ni mpira Sasa we unae mtusi.mwenzako Kila mtu anamini yake Sasa kumtusi mwenzako Kuma Wacha tabia hiyo heshimu maoni ya mtu

    • @Nuru9568
      @Nuru9568 14 วันที่ผ่านมา

      We mwenyew mbona umemtusi mwenzako😢acha tabia iyo

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 14 วันที่ผ่านมา

    Chizi

  • @ZabibuMwenda
    @ZabibuMwenda 14 วันที่ผ่านมา

    Chemalone achunguzwe mpumbavu yule

  • @NsubiRaphael
    @NsubiRaphael 14 วันที่ผ่านมา

    Malone asitulete za kijìnga kama àmepata seĥemu nyingine aende abilene ùjinga jinga Tanzania tuna amani uvumiĺvu utatushiñda kama yuko mbadala ŵake aka lie ubao

  • @JohnReonald-up8zr
    @JohnReonald-up8zr 14 วันที่ผ่านมา

    Utaumia Sana Kuma ww

    • @DamasPaschal-o2q
      @DamasPaschal-o2q 14 วันที่ผ่านมา

      Kuma na wewe kama ni raha

    • @KulwaMohammed-d1v
      @KulwaMohammed-d1v 14 วันที่ผ่านมา

      Wewe kenge matusi yanini

    • @hermanmwita2539
      @hermanmwita2539 14 วันที่ผ่านมา

      mpaka utukane,lakini hapo ulipopataja panakupa raha

    • @Nuru9568
      @Nuru9568 14 วันที่ผ่านมา

      Komaa mara moja weee unamtusi adi mzazi wko

  • @GodfreyMlay-n8p
    @GodfreyMlay-n8p 14 วันที่ผ่านมา

    Hivi kwa akili hizi alizonazo huyu mpuuzi huko home kwake ndiyo anaitwa baba mpambanaji kweli au la!