ONE: AFUNGUKA JUU YA BIFU LA P MAWENGE NA NIKI MBISH/NAMUHESHIMU NIKI MBISHI/P MAWENGE /AMEZINGUA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 170

  • @abdulrahmanchengodee4162
    @abdulrahmanchengodee4162 4 ปีที่แล้ว +4

    Jamaa anaweza Sanaa na ametusnipire Sanaa wakenya mshkaji ana chana Sanaa one love all the way from Kenya 🇰🇪#The Trio 👏🏼👏🏼👏🏼🇹🇿

  • @honesthustler262
    @honesthustler262 4 ปีที่แล้ว +2

    Presenter ni Msomi, unauliza maswali ya muhimu kuhusi muziki , sio wengine udaku ndo unatawala. Big up sana Presenter

  • @peterclaver6060
    @peterclaver6060 4 ปีที่แล้ว +11

    One wewe ni genius sana hommie.

  • @jimmyx8412
    @jimmyx8412 4 ปีที่แล้ว +2

    #onetheincredible dah namkubali huyu jamaa kinoma

  • @shaphyvuai6805
    @shaphyvuai6805 4 ปีที่แล้ว

    Uno... zopa...moko... Onetheincredible... JamAA ni nomaaaaaa sana..

  • @babaivan6089
    @babaivan6089 4 ปีที่แล้ว

    Respect one the incredible uko vzr

  • @brightvatta284
    @brightvatta284 4 ปีที่แล้ว +4

    Moko Miujiza... Recognition ni kitu muhimu sana, Respect man

  • @oscarkeneth9476
    @oscarkeneth9476 4 ปีที่แล้ว +8

    Respect to one the incredible

  • @nyotamy3678
    @nyotamy3678 4 ปีที่แล้ว +7

    Napenda sana izi arguments

  • @jamalally3735
    @jamalally3735 4 ปีที่แล้ว

    Appreciate My Good @One the incredible

  • @bobmo2907
    @bobmo2907 4 ปีที่แล้ว +2

    One the gift of nation trust me.

  • @apangejulius9159
    @apangejulius9159 4 ปีที่แล้ว +5

    Hii view ya studio ni noma. Na kemera man kazi nzuri

  • @rayyannaceeb9991
    @rayyannaceeb9991 4 ปีที่แล้ว +2

    One nation bruh Nakubali

  • @makaveryvery4387
    @makaveryvery4387 4 ปีที่แล้ว

    Upo Sawa sana one

  • @DaimaInfo
    @DaimaInfo 4 ปีที่แล้ว +2

    Watch "Burudani Mix" on TH-cam
    Bifu la Nikki Mbishi na P the mcee kumbe lilianzia apa.
    kuitazama Burudani Mix Subscribe ili uwe wa kwanza kutazama, Like,Comment and Share.

  • @darhustler
    @darhustler 4 ปีที่แล้ว +2

    One The Incredible. Kweli umenifunulia Tungo tata za Unju ila P alitakiwa ajibu kwa Tungo tata ambayo ingeleta hisia kama ile THEN P amejitetea ni MASHABIKI (ni kweli kutokana na mhemko alioupata). Picha waliopiga ni wa3 na hapa ndipo Unju alipocheza napo.
    #oneincredible #music2020 #rapyear

  • @Samuelmtui
    @Samuelmtui 4 ปีที่แล้ว +1

    The og inside😎✨#one incredible

  • @dullahsimbaulanga6472
    @dullahsimbaulanga6472 4 ปีที่แล้ว +1

    >>>Og boonge LA Presenter, Unauliza MaSwali yenye mantiki kabisa🔥🔥🔥🔥💪

  • @Mnuanofilms
    @Mnuanofilms 4 ปีที่แล้ว +1

    HUYU ALIKUWA PRODUCER KITAMBO SANA ALIKUWA NI PRODUCER WANGU W.O.G RECORD....

  • @officer1208
    @officer1208 4 ปีที่แล้ว +2

    Kumuelewa One inatakiwa usiwe na mihemko,jamaa kafafanua vizuri sana kuhusu issue ya P na Nikki.

  • @pascalkuol9613
    @pascalkuol9613 4 ปีที่แล้ว +4

    The interviwer is great

  • @roybazigu765
    @roybazigu765 4 ปีที่แล้ว

    Genius kabsa 🙌🙏✊

  • @kijangapeter5135
    @kijangapeter5135 4 ปีที่แล้ว +1

    Kichwa makini sana hiki aisee,,Uno wa miujiza

  • @mussaramadhan9842
    @mussaramadhan9842 4 ปีที่แล้ว +2

    Jamaa namuelewa sana

  • @suhailsodeh5063
    @suhailsodeh5063 4 ปีที่แล้ว +1

    One talk to them...💯🎤🎧🔥🇰🇪facts

  • @joramkuboja4794
    @joramkuboja4794 4 ปีที่แล้ว +6

    Sijawai kuangalia interview ya msanii yeyote yenye urefu huu mpaka mwisho hii ndo ya kwanza

  • @boniventurekiwanuka.8098
    @boniventurekiwanuka.8098 4 ปีที่แล้ว

    Great thinker.

  • @sportarena3133
    @sportarena3133 4 ปีที่แล้ว +1

    nakubali sana uwepo wa one.sio mtu wakawaida km wengi wanavyodhani

  • @youngkiyai5336
    @youngkiyai5336 4 ปีที่แล้ว +1

    Nikki mbishi Is a real legend ukonga nyumbani nakutambua sana nikki mbishi ww jembe kwenye game show love kwa legend nikki mbishi p mawengee mdwanzi tuuuu

  • @mrswagz100
    @mrswagz100 4 ปีที่แล้ว +8

    One, you gotta respect opinions za watu. Kama yeye kasema ni bora kuliko Nikki ni sawa kwake, huwezi kusema kuwa that was wrong. It's right for him and you gotta respect that hata kama opinion yako ni tofauti because kuna mashabiki wanaodhani P ni Mkali kuliko Nikki kwahiyo na wao utasema wamekosea?
    .

  • @hamadimujungu9058
    @hamadimujungu9058 4 ปีที่แล้ว +3

    huu utatu one,stereo na nikk mbishi interview zao huwa nazielewa sana hawajawi kosea kbs, big up
    #nikk_mbishi
    #haturudishi diss ili kumpaisha mtu,
    #kila mmoja apambane na ali yake
    #🤗🤗🤗💪💪

    • @richardmakunza4729
      @richardmakunza4729 4 ปีที่แล้ว +1

      Arudishe kama ana uwezo

    • @jifaqmoonwalker6032
      @jifaqmoonwalker6032 4 ปีที่แล้ว +1

      Wakati Nay hakumjibu unju mliona Nay muoga... Now unju hajajib kwa P mnamuona mjanja... Hahahhaha u shabiki maandaz uo Unju kakalishwa

    • @nehemiahmguluka9505
      @nehemiahmguluka9505 3 ปีที่แล้ว

      Baba huwezi kumjibu mwanao ulie mlea na kumpa Misingi kwenye wimbo,unamsubiri tuu nyumbani akirudi jioni basi mnamalizana... Nikki Mbishi Unju ameonesha kwamba yeye Ni Baba 🔥🔥🔥ukimya wake ndio Umeonesha kwamba anajua yeye ndo Baba!!!!Kujibu huo wimbo Ni sawa na kujiibia Mwenyewe Yani unatoa hela mfuko mmoja halafu unaweka mfuko mwingine.....#salute The Living Legend unjuuu 🔥🔥🔥

  • @osmundmbilinyi7614
    @osmundmbilinyi7614 4 ปีที่แล้ว +1

    Uno issa TZ Kendrick fr. 🚫 🧢 #Period

  • @michaelmwasenga3570
    @michaelmwasenga3570 4 ปีที่แล้ว +5

    Bro mm nakubar hata speech ako nimeielewa public watanzania wameelewa

  • @hishamaliy3826
    @hishamaliy3826 4 ปีที่แล้ว +4

    Uno the genius

  • @donprince9752
    @donprince9752 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakubal one

  • @homan_nkwama
    @homan_nkwama 4 ปีที่แล้ว +5

    Nawaheshimu wote kaka zangu wa game One,Nikk,Pthe Emcee ,Wakazi LAKINI HAO WOTE wametuaminisha neno rap Science Na ,Ikumbukwe science is all about Nature is all about prove TULIMSIKIA MMOJA WAO KURUHUSU challenge isipo kuwa kwa Emcees ambao awajakomaza CV zao kwahiyo apart from NIKK ameni inspire pia Mimi kwangu ni great by fact BIOGRAPHY ila P YUPO SAHIHI SANA KWENYE TANZU YA FASIHI IITWAYO MAJIGAMBO naomba kupinga hisia kwenye hili P ametetea anacho amini kwamba aoni kama amezidiwa uwezo ni haki yake hii...

    • @jifaqmoonwalker6032
      @jifaqmoonwalker6032 4 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa brother Homan P kafanya poa na yupo sawa... Mbona Nay ambavyo hakumjibu Unju alichukulika muoga ila unju hajamjib P anaonekana ana akil

    • @homan_nkwama
      @homan_nkwama 4 ปีที่แล้ว +2

      Kujibu au kutojibu pia Nikk ni haki yake ila tunaposema Rap science ni vyema wakatambiana kiuwezo aijarishi uzito wa EMCEE mana ni science kwaio maoni yangu SIO KUMLAZIMISHA NIKK AJIBU Bali kuwakumbusha wasijifichie mwamvuli wa CV au history wa prove mana unaweza kuwa bora daima ila sio kumzidi mwingine na uwezi kuwa dhaifu daima kwaio kujipima ni haki ya kila mshindan

    • @jifaqmoonwalker6032
      @jifaqmoonwalker6032 4 ปีที่แล้ว +1

      @@homan_nkwama umeongea fact sana bro Homan

  • @musakaphu4581
    @musakaphu4581 4 ปีที่แล้ว +6

    Genius the One incredible

  • @salummaguo1453
    @salummaguo1453 4 ปีที่แล้ว

    Nakubali bro

  • @marobamkeya2399
    @marobamkeya2399 4 ปีที่แล้ว +1

    One unajibu maswali kiakili sanaa

  • @youngkiyai5336
    @youngkiyai5336 4 ปีที่แล้ว +2

    P mawengee ameanza mzikiii juzi tu so haezi kumwambia kitu legend of hip hop nikki mbishi

  • @MOJAZAIDI.
    @MOJAZAIDI. 4 ปีที่แล้ว +1

    Pure minded

  • @mobaisa1704
    @mobaisa1704 4 ปีที่แล้ว +6

    Naona munamsema Uno kuwa anamtete Nikk kisa ni mshkaj ake(STT),ila munasahau kuwa Wakazi anapita akimtetea P ikiwa P na wakaz n washkaj (SSK)

  • @issaomary7718
    @issaomary7718 4 ปีที่แล้ว +1

    dah uno umebonga fact knyama bro

  • @officialraydizzy5147
    @officialraydizzy5147 4 ปีที่แล้ว

    Nakukubali sana one the incredible but at the point of nikki haujanigusa kabisa ana vimba sana

  • @allymohammed5593
    @allymohammed5593 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu beans noma sana

  • @stevebayser1867
    @stevebayser1867 4 ปีที่แล้ว +2

    Mgejua one na p ni wana kuliko mnavyozan

  • @efremturuka7455
    @efremturuka7455 4 ปีที่แล้ว +2

    Nikiiii yukoooo juuuuuuuu bwanaaaaa

    • @chakamanoza1428
      @chakamanoza1428 4 ปีที่แล้ว

      efrem turuka Km yupo juu mwambie ajibu ngoma ya P tuone

  • @rashidramadhan4129
    @rashidramadhan4129 4 ปีที่แล้ว +5

    Oy One mbona kama kuna kitu iko kwa mdomo dingiii !!!???

    • @nivogee9830
      @nivogee9830 4 ปีที่แล้ว

      Cha bibi hahaaa

    • @mobaisa1704
      @mobaisa1704 4 ปีที่แล้ว

      ndivyo alivyo anaongea ka ana ugoro hiv

  • @isakamdemu8610
    @isakamdemu8610 4 ปีที่แล้ว +1

    Uno💪

  • @kastorymalila1109
    @kastorymalila1109 4 ปีที่แล้ว

    One we jamaaa ni geneous hatari sana

  • @msafirisalum8436
    @msafirisalum8436 4 ปีที่แล้ว +12

    Uno nakukubali ila leo hujaongea ukweli kuhusu diss ya Nick mbish na p mawenge hapo nick kapigwa

    • @quincychiti7020
      @quincychiti7020 4 ปีที่แล้ว

      Niki alitumia mstari mmoja tu na p mawenge ametumia dakika zaidi ya tatu kujibu maneno kadhaa unaona hapo mzazi ni nani

    • @hkmeme5437
      @hkmeme5437 4 ปีที่แล้ว

      Mziki ni safari, na distrack haifai kuwa nyimbo nzima kama ilivyo kwa nyimbo ya p the mc,

  • @abdulrahmanchengodee4162
    @abdulrahmanchengodee4162 4 ปีที่แล้ว

    One the incredible ni vile hajapata support bongo ILa ni msanii mkubwa na brand

  • @mrswagz100
    @mrswagz100 4 ปีที่แล้ว

    And that shot from Nikki was personal too, refer that to Wakazi's story on how Nikki was supposed to be on that project ya Castle Lite

  • @masoudymelimeli8231
    @masoudymelimeli8231 4 ปีที่แล้ว

    One w ni noma

  • @boniventurekiwanuka.8098
    @boniventurekiwanuka.8098 4 ปีที่แล้ว

    That's true buddy.

  • @gomizekhan5687
    @gomizekhan5687 4 ปีที่แล้ว

    Real base of Hip hop ni Sisi The Trial (One Stereo Nikki mbishi )

  • @rumibarton2359
    @rumibarton2359 4 ปีที่แล้ว

    One bhana anawasemea watu tena

  • @zerodone5854
    @zerodone5854 4 ปีที่แล้ว

    One including in hip pop!

  • @jifaqmoonwalker6032
    @jifaqmoonwalker6032 4 ปีที่แล้ว +3

    Huyu jamaa anakwama sikuiz Kumtetea Unju... Nikki aliwaattack walopiga picha na Casper na p akiwemo na Picha ya Casper na p ndo ilkua kubwa na kuonekana sana ao ilkina ison hawafaamiki km P.... Pia Wakati Nay hakumjibu Unju mliona Nay ni muoga sana na hawez ila Unju kashindwa kumjibu mawenge mnampa Kichwa kua ana akili

  • @officialmartin4432
    @officialmartin4432 4 ปีที่แล้ว

    kweli

  • @riffayahmad2021
    @riffayahmad2021 4 ปีที่แล้ว +1

    swali limerudi kwako mtangazaji.inashindikanaje kwa hapa nchini kwetu...? unatakiwa nawewe utowe jibu klna usiliache swala hilo juu juu haipendezi.

  • @Midupa
    @Midupa 4 ปีที่แล้ว +7

    Bifu ya nick umeijibu kiwack na nyinyi ndo mnaobabisha nick ajione mbuzi wakati sio kwel

  • @amanzingena5388
    @amanzingena5388 4 ปีที่แล้ว +4

    Nikki mbishi, One, stereo ni wabinafc kw sbb wao waanzilish

    • @fanleck2922
      @fanleck2922 4 ปีที่แล้ว

      Waanzishaji leo wamekuwa wabinafs !!!

  • @japharysety6890
    @japharysety6890 4 ปีที่แล้ว

    One uko sahihi

  • @ramatyga2289
    @ramatyga2289 3 ปีที่แล้ว

    ONE

  • @magnusmichael7052
    @magnusmichael7052 4 ปีที่แล้ว +6

    Kwa hiyo p mawenge asingetoka bila ww.. ain't fair ww.. apo kuna shida apo

  • @frankjohn3369
    @frankjohn3369 4 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana One the incredible

  • @michaelisrael4114
    @michaelisrael4114 4 ปีที่แล้ว +7

    one ninakukubali lkn kukaa upande wa Nikk mbish umezingua pia,Nikki alipaswa kumheshim p mawenge kabla yy hajaheshimika hata km ni moja kati ya wanzilishi wa tamaduni music,Nikk kashazoea kuwa attack watu mbalimbali na kwa mtindo tofauti,pia hip hop ina dis trac na ni kitu cha kawaida na kinachangamsha gem so Nikk akijib ndio maana ya hip hop kibaya ni kuvaana mwilin,chakukushauri mzee one kaa kati acha kuegamia kwa mshikaji wako wakati anatabia mbovu

  • @quincychiti7020
    @quincychiti7020 4 ปีที่แล้ว

    Moko ni moko incredible tu

  • @saidjaphar1377
    @saidjaphar1377 4 ปีที่แล้ว +9

    Uno unakosea kwa kusema bila ww P asingekuwa P,Napingana na hilo Bro cz kila mtu ana njia zake na wakati wake wa kupenya so usingemsaidia ww angepata nafasi nyingine na angepenya tu so it ain't fair kuzungumzia ishu kama hizo mzee.

  • @hassansamata5995
    @hassansamata5995 4 ปีที่แล้ว

    Kisomi one

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 4 ปีที่แล้ว

    Link ya Culture Movement TH-cam channel please,

    • @onetheincredible
      @onetheincredible 4 ปีที่แล้ว

      This is the official cltr mvmnt channel

  • @zulfikakalumba1977
    @zulfikakalumba1977 4 ปีที่แล้ว +11

    Interview ulianza vizuri ila kwenye beef ya Nikk na P umeleta mahaba, kwani ujui Nikk alimlenga P waziwazi?

  • @chakamanoza1428
    @chakamanoza1428 4 ปีที่แล้ว +7

    One nakukubali sana lkn kwa hii biff ya P na Nikki siko upande wako kabisa hyo nikki ni mzinguaji tu acha kutetea upuuzi

  • @princemujuni9803
    @princemujuni9803 4 ปีที่แล้ว +1

    Hiki kichwa nakikubali aisee

  • @emanuelkibila578
    @emanuelkibila578 4 ปีที่แล้ว

    👍

  • @efremturuka7455
    @efremturuka7455 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakubali unooooo

  • @athumaniabdallah6811
    @athumaniabdallah6811 4 ปีที่แล้ว +3

    P mawenge hatari sana

  • @roybazigu765
    @roybazigu765 4 ปีที่แล้ว +4

    Kamwe ukimsikiliza msomi kama one utaelewa kwann yeye ni mc bora

  • @titokyando4222
    @titokyando4222 4 ปีที่แล้ว

    Oya one toa ngoma mdiss chindo mbwa Mzee

  • @Paplick9
    @Paplick9 4 ปีที่แล้ว

    #education San

  • @CoachHafidh
    @CoachHafidh 4 ปีที่แล้ว +2

    Presenter umefanya makosa ku expose jina la NASH MC kuwa ulimpigia akakataa kuja

  • @saidmkutu2458
    @saidmkutu2458 4 ปีที่แล้ว

    Tamaduni pamoja

  • @denzopar6961
    @denzopar6961 4 ปีที่แล้ว +1

    Sema p the mc ni softness rapper na ilo kundi lake limempoteza kabisa hasa uyo wakazi ambaye Roma alimlenga na jiwe la gezani😂

  • @mpulitv8011
    @mpulitv8011 4 ปีที่แล้ว

    Dah huyu mwamba anakili sana

  • @jeamwenda7394
    @jeamwenda7394 4 ปีที่แล้ว +3

    Acha ushikaji kuwa realistic mnamuharib Nikki km mkali ajibu diss

  • @mrswagz100
    @mrswagz100 4 ปีที่แล้ว +6

    Am disappointed with the way you handled the interview kwenye Bifu la P na Nikki. unaonesha mahaba kwa Nikki

  • @aminmohammed4249
    @aminmohammed4249 4 ปีที่แล้ว +10

    Mzee nakukubali ila Niki alizingua kumdiss p na wenzake kuhusu picha na casper! The nigga is the best rapper ila anaropokwa sana kijinga...ubabe wa maneno haufai, nikki needs counselling usimtetee! He started it and let him get the hit. My thoughts tu.
    Ukimtetea niki unajishushia ka asilimia kadogo cha fan base yako..muache na futi sita zake🤔

    • @steamnature
      @steamnature 4 ปีที่แล้ว

      Sidhani kama umemsikiliza "One" na kujaribu kumuelewa.

  • @kherisaid6374
    @kherisaid6374 4 ปีที่แล้ว

    Kichwa cha aTalI one.

  • @weelzthorum978
    @weelzthorum978 4 ปีที่แล้ว

    Hip hop is environmental plays

  • @karimchindema9823
    @karimchindema9823 3 ปีที่แล้ว

    Anzia 14:10

  • @ahmedallynative8510
    @ahmedallynative8510 4 ปีที่แล้ว +8

    Usilete ushkaji uno, tabia za nikki zinajulikana so kwanini unaendelea kumtetea.

  • @officialmartin4432
    @officialmartin4432 4 ปีที่แล้ว

    hip hop iko real sana na interview zao sio poa wana vitu

  • @bon.tiger1656
    @bon.tiger1656 4 ปีที่แล้ว

    Kweli one umeogea kweli xema sema kichwa maji awawez kuelewa uchambuz wa bifu

  • @alexmdumba7357
    @alexmdumba7357 4 ปีที่แล้ว +4

    p kakataa kwa maan ya kujiweka chini lkn haimaanishi kwamba hamkubali maan hata diss yake kuna verse inasema nikki atabaki kuwa next after. so P sio kivile kwamba kamaind sema wakat mwngne ni kuoneshan maujuz mzee.

    • @mugadimon3563
      @mugadimon3563 4 ปีที่แล้ว +1

      Sure afu nikki mwenyewe kuna clip kasema hii ngoma kali ya futi sita

    • @mugadimon3563
      @mugadimon3563 4 ปีที่แล้ว +1

      Na pmawenge mwenyewe kaipost hiyo clip ya nikki

    • @jifaqmoonwalker6032
      @jifaqmoonwalker6032 4 ปีที่แล้ว +1

      Uo mstari hukuuelewa mzee

  • @amanzingena5388
    @amanzingena5388 4 ปีที่แล้ว +5

    Hawa tamaduni wana matabaka xn

  • @MultiMbongo
    @MultiMbongo 4 ปีที่แล้ว +1

    Kikoloni unadai ndio lugha yako ya kwanza,acha kuwa mtumwa wewe,pili huyo nikki mbishi ni kweli ana mashairi ya kuungaunga,nyimbo zake nyingi hazina mtiririko wa mmoja,

    • @yusuphally6618
      @yusuphally6618 4 ปีที่แล้ว

      Umesikiliza playboy ,sauti ya jogoo,kijusi,nyakati za mashaka

    • @officer1208
      @officer1208 4 ปีที่แล้ว

      Nikki yupi anamsemea? Bila shaka huyo ni Nikki Minaj

  • @baloziubalozini5074
    @baloziubalozini5074 4 ปีที่แล้ว

    Tell them "Chap Chap".

  • @dilipdab3714
    @dilipdab3714 4 ปีที่แล้ว

    Bongo.hizo.radio.wanatakaa mitelezo.to.hao.kunyonya.watu.kazizao

  • @frankmanga3721
    @frankmanga3721 4 ปีที่แล้ว

    Awa watu wanao ongea au wanao muona One kakosea watakua awaja rudia hii interview mara mbili