Mambo mengine pamoja na haya yote, wazazi ulinzi wa watoto ni wa kwetu sisi wazazi,unaachaje mtoto unaenda kutembea? Kama huna ulinzi thabiti wa mwanao,thamani iko wapi starehe au mwanao? Kifupi mtoto amepoteza maisha kwa kukosa ulinzi wa malezi ya wazazi,,huna hata majirani?? Au huyu boda alikuwa pia na mahusiano na mteja wake?? Dah inauma sana
Inna lillah waina illah rajiuun, mtoto mdogo anauwawa bila kosa, huu unyama ni bora hukumu ya kifo itekelezwe bila kusema watu wa haki za binadamu wataipinga, huo ni ujinga na njia ya muendelezo wa mauwaji ya kikatili. Kwani aliyeuwawa ndiyo haki yake ila mauwaji atatetewa na mawakili wenye kujua kupindisha maelezo mpaka ionekane hana hatia au kauwa bila kukusudia, ma hukumu ikitolewa ya kifo kwa ushahidi kamili bila shaka basi raisi asifanye huruma kwani mahakama imethibisha kwa uhakika
Nimesikia hii story eti mama alienda kunywa pombe na mtoto akaachiwa bodaboda.hapa wa kumchunguza wa kwanza ni mama yake.huyu mtoto huenda alishauzwa Kevin kashikishwa kesi tu.
Huyu mama mshenzi tu amemyachaje mtoto na bodaboda na hali ya sasa ya ukatili ulivyo kwa nn asingeondika na mtoto? Bodaboda ni mwana ukoo.? Wamama tubadilike
Aiseee mwanangu mzuli eeeeh mungu tusaidie
Pole mama mtoto nzuri aise watu kuweni na huruma hii dunia tunapita tu Allah atahukumu
Mambo mengine pamoja na haya yote, wazazi ulinzi wa watoto ni wa kwetu sisi wazazi,unaachaje mtoto unaenda kutembea? Kama huna ulinzi thabiti wa mwanao,thamani iko wapi starehe au mwanao? Kifupi mtoto amepoteza maisha kwa kukosa ulinzi wa malezi ya wazazi,,huna hata majirani?? Au huyu boda alikuwa pia na mahusiano na mteja wake?? Dah inauma sana
Mtoto kafanya Nini jamani hata auwawe jamani😭😭😭ninajisikia vibaya sana aeee mtoto mdogo
Mungu husika
Duuuuh jaman wauaji muwe na huruma jaman huyo malaika ana kosa mpaka mmemkatili hivi kha! Mwenyezi Mungu awachome sana
Duuh kweli binadam hawana huruma hasa unamuua malaika kama huyu kweli 😭😭😭
Subuhanallah. Jamani kwann wamuue mtoto kawafanya nn😢
Subuhana laah
Aliofanya hivyo mungu atalipaa
Ana Kosar gani Malaika huyo
Pole.mama mwenzetuu 😭😭😭😭😭
Pumzika mwanangu mzuri ❤
Hivi binadamu tunapatwa nanini hswa jmn.Mtoto mdogo hivi jmn anakuwa nakosa Gani hsw.Enyi binadamu embu ufike mhl hofu yamungu itawale.Usimkomoe mzazi kwakumuua mwanae au familiya yke inauma mno jmn .Pole dada
Duh katoto kazuri sana. Mungu wangu kwanini lakini? LAaiti angejua angeondoka na mtoto wake
Jamani jamani ehhh
Mungu baba tusaidie
Jamani katoto kazuri kaa kahendsam jamani sasa mnasema mzazi kauza mtoto unauzaje mtoto sasa
Duh mtoto mzur inalilah wa inailah rajuun
Inauma sana, mtoto asie na hatia kuuwawa namna hii.
Jamaniii yanii wewe mama unatoka mtoto unamuachia kijana jamani
Au huyo boda kamdondosha kwenye bodaboda akaumia kichwa jmn
Inna lillah waina illah rajiuun, mtoto mdogo anauwawa bila kosa, huu unyama ni bora hukumu ya kifo itekelezwe bila kusema watu wa haki za binadamu wataipinga, huo ni ujinga na njia ya muendelezo wa mauwaji ya kikatili. Kwani aliyeuwawa ndiyo haki yake ila mauwaji atatetewa na mawakili wenye kujua kupindisha maelezo mpaka ionekane hana hatia au kauwa bila kukusudia, ma hukumu ikitolewa ya kifo kwa ushahidi kamili bila shaka basi raisi asifanye huruma kwani mahakama imethibisha kwa uhakika
Nimesikia hii story eti mama alienda kunywa pombe na mtoto akaachiwa bodaboda.hapa wa kumchunguza wa kwanza ni mama yake.huyu mtoto huenda alishauzwa Kevin kashikishwa kesi tu.
Huyu mama mshenzi tu amemyachaje mtoto na bodaboda na hali ya sasa ya ukatili ulivyo kwa nn asingeondika na mtoto? Bodaboda ni mwana ukoo.? Wamama tubadilike
Pumzika kwa amani Mtoto mzuri!
Jamani kwanini tunakua wakatili namna hii WAZAZI wenzangu kwanini msiondoke nae MTOTO mdogo mnamuachia mtu kwakweli inasikitisha sana
We nae kwahy wew hujawah kumuachia mtu mtoto wako au.....
@@Pianharoun-nt7zhmm sjawah zaid wazee wng kila sehemu naenda nao hadi hospitali
Unawezaje kumuuwa mtoto mdogo km huyu
Hivi ni visa tu vya wazazi
Sasa mtoto kakosa nini😭😭😭
Huenda kuna kitu cha kikatili pia alinfanyia so bamure
Nyie mbona unyama ivo
Kwa iyo ndio kiogooa kuacha watoto wetu?
Dodoma mji wng kwann jmn kuna watu wakatili hivii,,mtt amekosaa nn
dah
😭😭😭😭
hatakama unabifuna mzaziwake wewepambana.nayeye selekarizipo kunakitu kakufaniya kamshitaki hivikwanini.hatunahofu na.mungu jamani. amasikuya ufufuwotutayakuta
jamanibunadam mbonatunaroh mbayakupitakiyasi huyumtotomdogo anamakosagani
Rip
Kwanini msimshike na uyo mama yake atamwachaje mtoto na bodaboda
yotetunayoyatenda kilaunachokifanya unayifanyiya.nafsiyako italipwakwa.ilichokifanya lewoumezaliwa keshoumeishi keshokutwa umekufa halafuunaji dangaya pumzikamakoroboyimaraupepouki pulizatu inanimate haha kilts atabebamzogowakemwentewe.
tukumbukamaneno ya snura tunakuenda hatuishimiyakakumi walamiya walatiryoninimilele safikiriya wewe hukounakoedamilele ukaishi na.adhabu jamani kamahamuwaminisubirinimfe
😢😢😢😢
😭😭😭😭😭