Haiwezekani mgeni anapokuja iwe kilio na machungu kwa wenyeji 🥹

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @Allyiddsud
    @Allyiddsud 2 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu akubariki mkuu wa mkoa chalamila❤❤❤. Niwewe na makonda tu . Asat

  • @SamsonSamsoni-q9s
    @SamsonSamsoni-q9s 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mitano 5 tena mkuu wa mkoa 👏👏👏👏👏👏👏👏👏🙏🙏

  • @MsafirGervas
    @MsafirGervas วันที่ผ่านมา

    Wahindi ndo wengi sana mkuu wa mkoa!🎉🎉🎉

  • @AmbakisyeSimion
    @AmbakisyeSimion 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wachina ni tatizo kubwa sana

  • @gilbertmanimo1125
    @gilbertmanimo1125 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😢😢😢😢😢 economic intelligence

  • @shekharally6192
    @shekharally6192 2 วันที่ผ่านมา

    Bg up rc👊

  • @JuliusTimon
    @JuliusTimon 2 วันที่ผ่านมา +2

    Mweshimiwa tembelea ofisi zote ata showroom za magari asa mimi mwaka wa 7 ila aijulikani nssf amna sina mkataba

  • @g14summit19
    @g14summit19 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yes sir!

  • @AdamLameck-x5n
    @AdamLameck-x5n วันที่ผ่านมา

    Ela ndo tatizo

  • @jonaycemoshi7261
    @jonaycemoshi7261 2 วันที่ผ่านมา

    Huyu mkuu wa mkoa ana akili na busara nyingi sana.I am proud of you RC!

  • @Saayamaarifa
    @Saayamaarifa 2 วันที่ผ่านมา

    Shida moja tunaishi sana kwa kuongea bila utendaji mkuu nyuma ya uyu mtu kuna mkuu mwenzio anampa nguvu ya kufanya haya ,dawa nikushughurikia wanawapa kiburi, mbona kwao uwezi fanya hivi,naomba tuache maneno tushughurikie chanzo cha tatizo wananchi wanaumia asante

  • @KatotoEvarest
    @KatotoEvarest 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tumechemuka tatizo katiba mbovu

  • @FrecoShirima-qb1qo
    @FrecoShirima-qb1qo 2 วันที่ผ่านมา

    Na kwa taarifa ikiendelea hivi miaka kumi ijayo Tanzania wachina watafungua mpaka Magenge

  • @ramadhanhassan9308
    @ramadhanhassan9308 วันที่ผ่านมา

    Tatizo ni watendaji wa serikali hapo ni unafiki tu

  • @KhamisiSalimu
    @KhamisiSalimu วันที่ผ่านมา

    Natoka Pemba nakukubal sna muheshmiwa chapa kaz kwel wewe umesoma hukufoji unajua nini uongoz

  • @salama1113
    @salama1113 2 วันที่ผ่านมา

    Hapa tupo na ww baba

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 วันที่ผ่านมา

    HAO SIYO WAWEKEZAJI BWANAA, NI VIBAKA WA KICHINA AMBAO HUKO KWAO MAISHA YAMEWASHINDA, WANAKUJA HUKU KUWADANGANYA WATANZANIA. SABABU WANAJUWA TANZANIA SISI NI MABWEGE. WATANZANIA KAZI YAO MATUSI TUU MIDOMONI. LAKINI WACHINA WANAWAPIGA KAMA WATOTO WANAUME WAZIMAA.

  • @ndiditheodore5936
    @ndiditheodore5936 2 วันที่ผ่านมา

    Hiyo ndiyo sera ya ccm, kuwachukia watanzania na kujinufaisha na wageni.

  • @hatimmohamed4299
    @hatimmohamed4299 2 วันที่ผ่านมา

    Tatizo kubwa hapa ni rushwa

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 วันที่ผ่านมา

    NA HAO WASIRUHIWE KUWEKA MADUKA HAPO KABISAA. DUKA SIYO KIWANDA. MI NASHANGAA WATANZANI SISI UTAKUTA BAADHI YETU SISI WENYEWE TUNAWAFUGA.

  • @fauzibinzoo6563
    @fauzibinzoo6563 2 วันที่ผ่านมา

    Mkuu upo sahihi lakin kumbuka waliochini yako halmashauri ndio wanaowapa leseni mi nadhani hata haonnaonwa kuwawajibisha pia

  • @FrecoShirima-qb1qo
    @FrecoShirima-qb1qo 2 วันที่ผ่านมา

    Waliingiaje Nchini,huo ni unafiki tu

  • @AbuuRamadhani-o7k
    @AbuuRamadhani-o7k 2 วันที่ผ่านมา

    Walaumin mipakan na bandarin

  • @MonicaMwoka
    @MonicaMwoka วันที่ผ่านมา

    Yaani ni vitu tunavichukia tz mchina anadiriki hata kumpiga mwenyeji hii sio sahihi

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 2 วันที่ผ่านมา

    wenyeji wasenge wana mazoeaa mafala tu wenyeji hawana displine muwekezaji ni bilionear kenge ya kariakoo anataka kulingana

  • @mamlomamlo9064
    @mamlomamlo9064 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tatizo nyie weusi ni makorapt mumejaa rushwa muhindi mchina na mwarabu hawezi fanya lolote mpaka mweusi alieko juu amshike mkono

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 2 วันที่ผ่านมา

    wageni wapewe mkoa wao wenyeji ni wasenge tu

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 2 วันที่ผ่านมา

    Shida siyo wachina, shida mfumo wa seriakili yetu kila mtu akiwa kwenye sekta yake anaangalia ulaji tu na si maslahi mapama ya Taifa na manufaa kwa wananchi.

  • @davidmsemo8892
    @davidmsemo8892 2 วันที่ผ่านมา

    Mfumo wa nchi ndio tatizo na rushwa kubwa sana maana hapo rushwa imetembea sana mheshimiwa

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 2 วันที่ผ่านมา

    ccm haina policy nzuri kwa wazawa

  • @mohamedrajabu9055
    @mohamedrajabu9055 2 วันที่ผ่านมา

    Tembelea kwenye viwanda wahidi wamejaa hawana vibali lkn wanalindwa na raia yetu wastafu

    • @bwagizoselemani8434
      @bwagizoselemani8434 2 วันที่ผ่านมา

      Kwel kaka

    • @bwagizoselemani8434
      @bwagizoselemani8434 2 วันที่ผ่านมา

      Wachina ni waharibifu sana hata huko kwenye mirad ya Barbara ukiumwa mchina anakwambia huna chako ukipitisha siku tatu huna kaz yaan wamezarau hii nnch kabisa

  • @HussainMaula-l1s
    @HussainMaula-l1s 2 วันที่ผ่านมา

    Serikali za Vietnam na nchi nyingine zenye maendeleo ya viwanda wanawakopesha wananchi wake wazarendo ili wafungue viwanda na waajiri wananchi wengine ili nchi ipate maendeleo ila Tanzania tumekubali kuwakaribisha hawa washenzi mwisho wa siku imekua mzigo wa misumari kwa serikali na wananchi wake serikali inapitia azabu kali ya kukosa kodi na wananchi wanapata mateso na kunyanyaswa katika hivyo viwanda vya wachina .

    • @AbdulKinda
      @AbdulKinda 2 วันที่ผ่านมา

      🎉🎉

    • @robinchristian3125
      @robinchristian3125 2 วันที่ผ่านมา

      Sawa kabisa. Hakuna kitu wanafanya hawa wageni ambacho watanzania wa leo hatukiwezi.

    • @cholowao
      @cholowao วันที่ผ่านมา

      Wabongo wanachukua

  • @twahakabajemi9716
    @twahakabajemi9716 2 วันที่ผ่านมา

    Tatizo like kwenye mamlaka zetu tbs tra

  • @robinchristian3125
    @robinchristian3125 2 วันที่ผ่านมา

    Mheshimiwa Chalamila unaongea kwa uchungu mkubwa sana. Haya ni matokeo ya serikali kuwatelekeza wafanyakazi na wajasiriamali.Tubadilike kifikra jamani. Rasilmali kuu ya nchi si dhahabu wala gesi.Wananchi ndio rasilmali kuu.Kuwalinda na kuwaongezea nguvu isiwe suala la kisera tu bali iwe ni itikadi ya taifa. La sivyo tutaendelea kuona uchumi wa nchi unakua bali wa mwananchi unashuka. Mheshimiwa Chalamila piga mzigo brother.

  • @SaidiMussa-df5el
    @SaidiMussa-df5el 2 วันที่ผ่านมา

    Tukopeshen wananchi mitaji hat sisi tunaweza kufungua hivyo viwanda kuliko kukumbatia wageni

    • @AbdulKinda
      @AbdulKinda 2 วันที่ผ่านมา

      🎉🎉

  • @IddiKhamis-u6c
    @IddiKhamis-u6c 3 วันที่ผ่านมา +1

    Hivyo ndivyo mulivyotuweka viongozi wananchi tusiwe na thamani kuliko wageni. Hapo usijidai kukemea ili uonekane kana kwamba unachukia.

    • @MrIntegrity-q5d
      @MrIntegrity-q5d 3 วันที่ผ่านมา

      MHESHIMIWA TUNA SHUKURU SANA...NDIO MAANA WACHINA WENGI WANA ENDA CASINO ZA DAR NA MIJI MINGINE WAKI CHEZA MA MILIONI YA HELA..NDIO HIZO HELA ZA HARAMU WANA TUMIA KWA DEZO ZAO...PIA MHESHIMIWA KAMPUNI NYINGI ZIPO DAR NA MIJI MINGINE AMBAO WANA KUPA MSHAHARA MILION MMOJA , LAKINI NSSF WANA LIPA LAKI MMOJA...YAANI WANA KUPA UNOFFICIAL LAKI 5 NA OFFICIAL LAKI 5...ILI WA EPUKA KODI ZA PAYEE...NA NSSF AMBAYO NI ASILIMIA 20....NAOMBENI SANA SERIKALI MFANYE OPERATION BINAFSI ZAKU KAGUA KILA KAMPUNI NA MIKATABA NA MSHAHARA KUWA UNA ENDANA NA NSSF NA PAYEE...HAPA INA ONEKANA KUNA WATU WANA KULA RUSHWA...NDIO MAANA HADI LEO KAMPUNI HIZO ZINA LIPA HIVYO HIVYO , MISHAHARA MIKUBWA LAKINI NSSF UN OFFICIAL NA PAYEE NDOGO WAKI LIPA...OZ WANA DANGANYA MSHSHARA WA MFANYAKAZI KWENYE VITENGO VYA SERIKALI...NAOMBA TU SAIDIE...
      NA OMBA PIA SERIKALI E FUNGE CASINO ZOTE OZ ZINA FIRISI VIJANA...HADI WANA UZA MA VIWANJA , VYUMBA..HAWA SOMI WALA KUENDELEA KI MAISHA...

  • @salehezimbwe6395
    @salehezimbwe6395 2 วันที่ผ่านมา

    Kamuamshe magufuli

  • @viootanzania9080
    @viootanzania9080 2 วันที่ผ่านมา +1

    dawa ni kupunguza madalaka makubwa ya raisi na tupate tume huru ya uchaguzi, pia tupate marekebisho ya kariba ili tupendekeze mgombea binafsi

    • @Majhidymhessa
      @Majhidymhessa 2 วันที่ผ่านมา

      😮😮😮
      Sijakupata hapo Urais na katiba issue hiyo vinamahusiano gani

    • @viootanzania9080
      @viootanzania9080 2 วันที่ผ่านมา

      @Majhidymhessa tafakari,fatilia namna ama upana wa taasisi ya uraisi ilivyopewa mikono mikubwa kiasi kila kiongozi wa siasa hawezi kuaza wala kumaliza hotuba yake bila neno raisi si kitu kibaya kuutaja urausi rakini tunapaswa kupunguza ili kuleta weredi,ukweli,uwajibikaji katika majukumu yao kama viongozi wetu kiukweli sufuria inavuja sana kiasi kwamba hata changamoto mbalili ambazo wanachi walibidi wazipigie yoe wazifanya kua ni hari inayopaswa kuvumiliwa, mambo ni mengi saana yakuyashughulikia katika taifa letu (Rushwa ni adui wamaendeleo)

    • @cholowao
      @cholowao วันที่ผ่านมา

      Dawa ni kuboresha elimu ili watu waweze kutamka "madaraka"

    • @cholowao
      @cholowao วันที่ผ่านมา

      Kashadanganywa na wapigaji(chadema) kwamba wakibadilisha katiba watakuwa matajiri.

  • @AmbakisyeSimion
    @AmbakisyeSimion 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wachina ni tatizo kubwa sana

  • @AmbakisyeSimion
    @AmbakisyeSimion 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wachina ni tatizo kubwa sana