Ushindi Online Solution
Ushindi Online Solution
  • 146
  • 170 431
E-UTENDAJI _TASK AND SUBTASK_REVISED
TASK AND SUBTASK, TIME FRAME, PERFORMANCE INDICATO AND WEIGHT
มุมมอง: 569

วีดีโอ

FFARS SEHEMU YA 4: BANK RECONCILIATION
มุมมอง 73028 วันที่ผ่านมา
Jinsi ya kufanya usuruhishi wa kibenki (Bank Reconsiliation)
FFARS SEHEMU YA 3 JINSI YA KUFANYA MALIPO
มุมมอง 1.1K3 หลายเดือนก่อน
Payment Voucher, Create Cheque list, create payment
MFUMO WA VICOBA
มุมมอง 6713 หลายเดือนก่อน
MFUMO WA VICOBA
FFARS SEHEMU YA 2: JINSI YA KUPOKEA FEDHA
มุมมอง 1K3 หลายเดือนก่อน
FFARS_How to Create Receipt
FFARS SEHEMU YA 1 UTANGULIZI NA MAELEZO MUHIMU
มุมมอง 1.9K3 หลายเดือนก่อน
FFARS - Fund Source, Documentation, Report, Mgawanyo wa Fedha
SEHEMU 2 : KUTENGENEZA MFUMO WA MATOKEO
มุมมอง 6254 หลายเดือนก่อน
How to calculate Division
DHIBITI MATUMIZI YA MB KWENYE SMARTPHONE AU TABLET
มุมมอง 1.5K4 หลายเดือนก่อน
Reduce Background data in Smartphone
NEST SEHEMU YA NNE KITENGO CHA MANUNUZI KUFANYA REQUISITION
มุมมอง 6K4 หลายเดือนก่อน
Kitengo cha manunuzi ngazi ya kituo _Requisition
NEST SEHEMU YA TATU ACCOUNTI OFFICER KUAPPROVE TENDER
มุมมอง 4.3K4 หลายเดือนก่อน
Mkuu wa kituo Kupitia Ombi la ununuzi
NEST SEHEMU YA PILI KITENGO CHA MANUNUZI NGAZI YA KITUO
มุมมอง 7K4 หลายเดือนก่อน
Annual Procurement Planning
NEST SEHEMU YA KWANZA UTANGULIZI
มุมมอง 5K4 หลายเดือนก่อน
Fill Institution Information, Change Phase and Change Password
NEST UTANGULIZI
มุมมอง 4.1K4 หลายเดือนก่อน
NeST Installation, UserName and Password
E_Utendaji(ESS): BAD REQUEST It is not time for Planning
มุมมอง 3964 หลายเดือนก่อน
Umechelewa kufanya mpango kazi usijali Suruhisho lipo
Punguza ujazo wa Simu yako bila Kuformat
มุมมอง 1.2K4 หลายเดือนก่อน
Jinsi ya kuzuia simu kujaa (Increase Disk Space In Mobile Phone)
How to Partition Window
มุมมอง 2204 หลายเดือนก่อน
How to Partition Window
SEHEMU 1: KUTENGENEZA MFUMO WA MATOKEO
มุมมอง 2.2K4 หลายเดือนก่อน
SEHEMU 1: KUTENGENEZA MFUMO WA MATOKEO
ONLINE TEST AND EXAMINATION
มุมมอง 2384 หลายเดือนก่อน
ONLINE TEST AND EXAMINATION
ONLINE QUESTIONAIRE
มุมมอง 884 หลายเดือนก่อน
ONLINE QUESTIONAIRE
JINSI YA KUOMBA CHETI CHA KUZALIWA
มุมมอง 4.2K4 หลายเดือนก่อน
JINSI YA KUOMBA CHETI CHA KUZALIWA
ESS_KUJAZA RUHUSA NA LIKIZO_SEHEMU YA KWANZA
มุมมอง 3K5 หลายเดือนก่อน
ESS_KUJAZA RUHUSA NA LIKIZO_SEHEMU YA KWANZA
ADOBE PHOTOSHOP_JINSI YA KU RESIZE PICHA KATIKA PIXELS
มุมมอง 3205 หลายเดือนก่อน
ADOBE PHOTOSHOP_JINSI YA KU RESIZE PICHA KATIKA PIXELS
AJIRA_PORTAL_JINSI YA KUOMBA AJIRA
มุมมอง 3.6K5 หลายเดือนก่อน
AJIRA_PORTAL_JINSI YA KUOMBA AJIRA
ASC_SEHEMU YA TATU: EXTRA CULLICULA AND SPECIAL TEACHER
มุมมอง 6025 หลายเดือนก่อน
ASC_SEHEMU YA TATU: EXTRA CULLICULA AND SPECIAL TEACHER
ASC_SEHEMU YA KWANZA: INSTALLATION AND ACTIVATION
มุมมอง 1K5 หลายเดือนก่อน
ASC_SEHEMU YA KWANZA: INSTALLATION AND ACTIVATION
ASC_SEHEMU YA PILI: JINSI YA KUTENGENEZA RATIBA YA VIPINDI DARASANI
มุมมอง 1.4K5 หลายเดือนก่อน
ASC_SEHEMU YA PILI: JINSI YA KUTENGENEZA RATIBA YA VIPINDI DARASANI
How to Install Window 10 using Flash Drive
มุมมอง 8696 หลายเดือนก่อน
How to Install Window 10 using Flash Drive
E - UTENDAJI (ESS)_TASK_ASSESSMENT
มุมมอง 4.8K6 หลายเดือนก่อน
E - UTENDAJI (ESS)_TASK_ASSESSMENT
E - UTENDAJI (ESS)_IMPLEMENTATION _VOLUME III
มุมมอง 2.9K9 หลายเดือนก่อน
E - UTENDAJI (ESS)_IMPLEMENTATION _VOLUME III
E - UTENDAJI (ESS)_IMPLEMENTATION_VOLUME II
มุมมอง 2.4K9 หลายเดือนก่อน
E - UTENDAJI (ESS)_IMPLEMENTATION_VOLUME II

ความคิดเห็น

  • @nicholasanjiri4782
    @nicholasanjiri4782 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Good one...Also Consider task duration, task cost and Resources.

  • @herrypaul5103
    @herrypaul5103 วันที่ผ่านมา

    😂

  • @MasturaStamburiIbrahim
    @MasturaStamburiIbrahim วันที่ผ่านมา

    Naomba SoMo jinsi ya kuweka task na sub task

  • @Mozee003
    @Mozee003 2 วันที่ผ่านมา

    Habar broo

  • @mitandamasanja2905
    @mitandamasanja2905 7 วันที่ผ่านมา

    Asante sana kiongozi kwa elimu nzuri unayotupatia. Naomba kujua penye tarehe ya kuzaliwa nikijaza tarehe 17 nikisave inatunzika tarehe 16.. shida ni Nini?

  • @WILLYSPG
    @WILLYSPG 9 วันที่ผ่านมา

    upo vzr sanaaa

  • @JenelikoNyakunga
    @JenelikoNyakunga 11 วันที่ผ่านมา

    Kuna subtask moja nimetekeleza mpaka asilimia mia moja lakini kwenye score inasoma 0% tatizo linaweza kuwa ni nini

    • @ushindionlinesolution7804
      @ushindionlinesolution7804 11 วันที่ผ่านมา

      Umetekeleza kwa muda gani. Mara moja ukaweka 100 au kidogo kidogo mpaka 100

  • @shijakabaka3900
    @shijakabaka3900 13 วันที่ผ่านมา

    Sioni sub task za member wangu ili niwafanyie assessment

    • @ushindionlinesolution7804
      @ushindionlinesolution7804 12 วันที่ผ่านมา

      Rekebisha timeframe kupitia annual institution performance planning update

  • @Inyoma
    @Inyoma 26 วันที่ผ่านมา

    Tunasubiri wasimamizi wa vituo vya kazi kufanya marekebisho.....!

    • @ushindionlinesolution7804
      @ushindionlinesolution7804 26 วันที่ผ่านมา

      Unaweza subiri mpaka mwakani wakumbushe na waambie changamoto yako

  • @rachelkibiki9153
    @rachelkibiki9153 27 วันที่ผ่านมา

    Kwa sasa ambapo tumefikia mwisho wa mwaka naweza kumuwekea mtumishi alama 100? Nauliza hivi maana nikiangalia expected inaonesha tofauti na mtazamo wangu

    • @ushindionlinesolution7804
      @ushindionlinesolution7804 27 วันที่ผ่านมา

      Kumbuka hiyo ni Score yaani alama ya wazi AMBAYO unampima. Hiyo unaweka kulingana na wewe kiongozi unavyoona, na ndo maana unapima Qualitative. Nitoe Mfano kidogo. Tuchukulie Task ya kundaa azimio la kazi kwa mwalimu. Sawa mwalimu amendaa azimio moja. Sasa wewe kama mkuu unapima quality ya hilo azimio je mwalimu ameliandaa kwa kufata misingi na ubora wa ELIMU na wakati. Tena ili kusiwe na bias waweza muambia kabisa kwamba sehemu Fulani umechemka au mtu amefanya kazi kwa kusukumwa sana. Nafikiri wewe kama kiongozi unafahamu. Pia waweza share na viongozi wenzako wenye uzoefu na pia tukunbuke kwenye OPRAS tulifanyaje kuwapima watumishi. Alama ya chini ni 0 ya juu 100

  • @ayubumagumu3211
    @ayubumagumu3211 28 วันที่ผ่านมา

    Mfano umekosea unataka ufute tender ambayo umeshaitangaza Lakini siku ya kufungua bado haijafika tunafanyaje? I mean jinsi ya kuicancel

  • @davidmbwilo-v9r
    @davidmbwilo-v9r 28 วันที่ผ่านมา

    Sasa kuna watu inakuja qualitative pekee shida nn

    • @ushindionlinesolution7804
      @ushindionlinesolution7804 28 วันที่ผ่านมา

      Wakati wa kuset weight hawakujaziwa angalia hii video utaelewa th-cam.com/video/asNApqzp3XM/w-d-xo.html

  • @justinmwelinde8254
    @justinmwelinde8254 หลายเดือนก่อน

    Vipi mfumo una shilingi ngapi

  • @justinmwelinde8254
    @justinmwelinde8254 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kazi nzuri

  • @PreciousR-1972
    @PreciousR-1972 2 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa video nzuri

  • @geophreydaiford6808
    @geophreydaiford6808 2 หลายเดือนก่อน

    Asantee San kiongoz binafsi nimekuelewa vzr kuhusu videozako umenirahisishia kazi kwa kiasi kikubwa nilikua nachangamoto na huu mfumo naomba msaada kwa reconciliation

    • @ushindionlinesolution7804
      @ushindionlinesolution7804 26 วันที่ผ่านมา

      Kufanya Reconciliation unaweza gonga link th-cam.com/video/u84sNJ7vEGc/w-d-xo.html n kupata maelekezo

  • @geophreydaiford6808
    @geophreydaiford6808 2 หลายเดือนก่อน

    Asante tunaomba ya reconciliation

  • @adelaidamufumbo8352
    @adelaidamufumbo8352 3 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa maelekezo mazuri

  • @robertthomas1475
    @robertthomas1475 3 หลายเดือนก่อน

    Hiii

  • @robertthomas1475
    @robertthomas1475 3 หลายเดือนก่อน

    Unanunuaje sasa

  • @FroviaMbatina
    @FroviaMbatina 3 หลายเดือนก่อน

    Asante sana

  • @katunzitv97
    @katunzitv97 3 หลายเดือนก่อน

    Hizo picha unaupload vipi???

    • @ushindionlinesolution7804
      @ushindionlinesolution7804 3 หลายเดือนก่อน

      Ulivyoangalia hiyo tutorial mwanzo mwisho Kuna sehemu imesema upload picha

    • @katunzitv97
      @katunzitv97 3 หลายเดือนก่อน

      @@ushindionlinesolution7804 elekeza watu, hapo kuna sehemu ya kuattach picha either ya kitambulisho cha mzazi au cha mhusika ndo nauliza, jinsi ya kufanya hizo picha za vitambulisho kuwa kwenye mfumo wa pdf. Elekeza vizuri sio unajibu kwa makasiriko

  • @JonhDamiano
    @JonhDamiano 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba kutumiwa sehemu ya kwanza

    • @ushindionlinesolution7804
      @ushindionlinesolution7804 3 หลายเดือนก่อน

      Ipo kwenye channel hii au tumia link hii th-cam.com/video/3AIl6JaiM0I/w-d-xo.html

  • @ushindionlinesolution7804
    @ushindionlinesolution7804 4 หลายเดือนก่อน

    th-cam.com/video/QjuKI-sm_gI/w-d-xo.html PITIA SEHEMU YA KWANZA KAMA UKUIPATA. KARIBUNI

  • @deograsiaskiowi
    @deograsiaskiowi 4 หลายเดือนก่อน

    Hakika mnatupa elimu

  • @emmaseguni7241
    @emmaseguni7241 4 หลายเดือนก่อน

    Tunaomba namna ya ku-OPEN TENDER na kufanya EVALUATION

  • @angumbwikemrope4565
    @angumbwikemrope4565 4 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri manywa scientist nategemea muendelezo bro

  • @JoshuaOnesmo
    @JoshuaOnesmo 4 หลายเดือนก่อน

    Kaka kwan kama mimi nme accept ombi la mtu kuhusu kubadishana na mimi natakiwa nifuatilie kuhusu kupitishiwa kwenye idara yangu

    • @ushindionlinesolution7804
      @ushindionlinesolution7804 4 หลายเดือนก่อน

      Ndio kwako wapitishe na mwenzako wampitishie

    • @JoshuaOnesmo
      @JoshuaOnesmo 4 หลายเดือนก่อน

      Sawa mkuu na je mtu wa kwanza kupitisha kwangu ni nani

    • @ushindionlinesolution7804
      @ushindionlinesolution7804 4 หลายเดือนก่อน

      Status inasomaje

    • @JoshuaOnesmo
      @JoshuaOnesmo 4 หลายเดือนก่อน

      @@ushindionlinesolution7804 mbozi district's (ACCEPTED)and Kilindi district for approval

  • @rojahussein9530
    @rojahussein9530 4 หลายเดือนก่อน

    nakubali bruh..!

  • @rojahussein9530
    @rojahussein9530 4 หลายเดือนก่อน

    Good....!

  • @kijasamson7795
    @kijasamson7795 4 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana kaka kazi nzuri sana

  • @khalifanidiliku366
    @khalifanidiliku366 4 หลายเดือนก่อน

    Appreciate it bro 🙌🙌👏👏👏👏

  • @AnesiusJasson-ej9gz
    @AnesiusJasson-ej9gz 4 หลายเดือนก่อน

    Nimetuma maombi na attachments zote nimeweka na waajiri wote wamepitisha lakini kwenye

  • @rojahussein9530
    @rojahussein9530 4 หลายเดือนก่อน

    Naomba tuwekee setup yake...!

  • @ElizabethNgwesa
    @ElizabethNgwesa 4 หลายเดือนก่อน

    Nikishalipia ef 20.. hatua inayofata ni ipi?? Ntajuaje km cheti changu kimeshakuwa tayari? Au nasubiri muda gani kufata cheti?

  • @chuseboy6325
    @chuseboy6325 5 หลายเดือนก่อน

    Likizo ya kwenda masomoni? More than two years

  • @bonifacemwasala
    @bonifacemwasala 5 หลายเดือนก่อน

    Subt task ya kuendesha gar inakuwa completed au progress?

    • @ushindionlinesolution7804
      @ushindionlinesolution7804 5 หลายเดือนก่อน

      Nafikiri wewe kama msomi utakuwa unaelewa kazi Yako imekaaja. Mfano mdogo unaweza angalia kwa udereva wako task zimekaaje Kuna root ukiona root aziesabiki tumia siku

  • @esthermichael6856
    @esthermichael6856 5 หลายเดือนก่อน

    Mbona mimi nikitaka kufanya application organization haionekani bali option inayoonekana ni region, je nifanye nini? Au barua inajitosheleza kueleza ninakotaka kwenda

    • @ushindionlinesolution7804
      @ushindionlinesolution7804 5 หลายเดือนก่อน

      Mwanzo ilikuwepo nafikiri wanavyoboresha mfuno itakaa sawa

    • @esthermichael6856
      @esthermichael6856 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@ushindionlinesolution7804 sawa nashukuru

  • @ramadhanichampunga9304
    @ramadhanichampunga9304 5 หลายเดือนก่อน

    Asante mkuu , naomba kuuliza ukishafikia hatua hio ya kuomba na masomo na kuweka barua zako ,kuna hatua yoyote ya ku submit au inakuwa ndo umemaliza, na vipi kama ule mstari wa percentage haujafuka 100

  • @marynziku9332
    @marynziku9332 5 หลายเดือนก่อน

    Kuaplod profile picture inagoma jaman inasema internal sever error

  • @elipendohenry4122
    @elipendohenry4122 5 หลายเดือนก่อน

    unaaaply kwa ajili ya wengine sh ngap?

  • @jamesmwinami9814
    @jamesmwinami9814 5 หลายเดือนก่อน

    Jamani barua inaandikwa kwa mkono au soft copy

  • @sylivesterandasoni6154
    @sylivesterandasoni6154 5 หลายเดือนก่อน

    Kuna cheti cha chuo niliwahi kukiweka hakikuwa certified saiv naingia kwenye sehemu ya kuedit naweka ambacho kipo certified lakn hakibadiliki shida ni nini?

  • @rebecamadaha8934
    @rebecamadaha8934 5 หลายเดือนก่อน

    Nisaidie number yako ya Whatsapp unapplie

  • @georgejoshua8514
    @georgejoshua8514 5 หลายเดือนก่อน

    Mbona nikaaply mara ya pili mkoa mwingine naambiwa Already applied

    • @ushindionlinesolution7804
      @ushindionlinesolution7804 5 หลายเดือนก่อน

      Kwa somo moja au una apply mara moja. Kwa unaweza omba kwa somo la pili

  • @SafiaHamadi-vi4xv
    @SafiaHamadi-vi4xv 5 หลายเดือนก่อน

    Kama umesahau password unafanyaje

    • @ushindionlinesolution7804
      @ushindionlinesolution7804 5 หลายเดือนก่อน

      Reset password Kisha unatumiwa ujumbe wa ku reset account kwenye email yako

  • @ommyly
    @ommyly 5 หลายเดือนก่อน

    Sehemu ya Verification Certificate unaweka nini?

    • @ushindionlinesolution7804
      @ushindionlinesolution7804 5 หลายเดือนก่อน

      Kwa mujibu wa muongozo. Hapo WANAJAZA wale waliosoma nje ya nchi ambao wanapewa verification certificate kulingana na level husika

    • @ommyly
      @ommyly 5 หลายเดือนก่อน

      @@ushindionlinesolution7804 shukrani

  • @zalalaonline29
    @zalalaonline29 5 หลายเดือนก่อน

    Hiyo app ya asc

  • @zalalaonline29
    @zalalaonline29 5 หลายเดือนก่อน

    Kaka naomba link ya kupakua hiyo app

  • @dammygishasho1351
    @dammygishasho1351 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba msaada wa powa point