Mimi ni Supervisor kwenye kituo cha kazi lakini kwa sasa sizioni subtask ambazo zimefanyiwa implementation na zikawa submitted... Au kuna siku maalumu ambazo naweza kuziona hizo subtask ambazo tayari zimepewa hizo asilimia. Mwanzoni nilikuwa naziona lakini kwa sasa kila nikiingia kwenye mfumo sizikuti ingawa wenzangu wanakuwa wamenitumia tayari.😊
Members wako Kama hawajasubmit huwezi kuona chochote hata yeye humuoni pengine wamepandisha majukumu yao lkn hajasubmit maana akisubmit unaona kwako ikiwa na 0% pia na yeye inaonekana 0% sasa wewe ukiverify tu utaona zile asilimia alizojaza pengine 50% kushuka chini sio zaidi ya 50% pia na yeye akaziona
Mbona nikiweka asilimia za utendaji kazi kila siku, hazionekani asilimia kwenye kazi zangu ndogo.
Zzinaonekana sema pengine unapoangalia sio. Fatilia video ya implementation and monitoring Volume II na Volume III
Kwangu ku verify inagoma shida itakua nini
Inakupa ujumbe gani
Nimeelewa kwenye verify,swali Nina approve katiba stage ipi? Asante
Angalia video uelewe vizuri
Mimi ni Supervisor kwenye kituo cha kazi lakini kwa sasa sizioni subtask ambazo zimefanyiwa implementation na zikawa submitted... Au kuna siku maalumu ambazo naweza kuziona hizo subtask ambazo tayari zimepewa hizo asilimia. Mwanzoni nilikuwa naziona lakini kwa sasa kila nikiingia kwenye mfumo sizikuti ingawa wenzangu wanakuwa wamenitumia tayari.😊
Hakikisha yafutayo
1. Member wako wawe wamesubmit kazi.
2. Taarifa zenu za kituo zifanane
3. Wakiset kama supervisor
Members wako Kama hawajasubmit huwezi kuona chochote hata yeye humuoni pengine wamepandisha majukumu yao lkn hajasubmit maana akisubmit unaona kwako ikiwa na 0% pia na yeye inaonekana 0% sasa wewe ukiverify tu utaona zile asilimia alizojaza pengine 50% kushuka chini sio zaidi ya 50% pia na yeye akaziona
Na yeye pia ataona zile alama ila kwa Sasa hawezi kuziona
Hakikisha vizuri
1. Clear cache and history
2. Logout and login again
Kuna subtask moja nimetekeleza mpaka asilimia mia moja lakini kwenye score inasoma 0% tatizo linaweza kuwa ni nini
Umetekeleza kwa muda gani. Mara moja ukaweka 100 au kidogo kidogo mpaka 100