Asante mkuu , naomba kuuliza ukishafikia hatua hio ya kuomba na masomo na kuweka barua zako ,kuna hatua yoyote ya ku submit au inakuwa ndo umemaliza, na vipi kama ule mstari wa percentage haujafuka 100
Kuna cheti cha chuo niliwahi kukiweka hakikuwa certified saiv naingia kwenye sehemu ya kuedit naweka ambacho kipo certified lakn hakibadiliki shida ni nini?

Jamani barua inaandikwa kwa mkono au soft copy
Handwriting
unaaaply kwa ajili ya wengine sh ngap?
Mbona nikaaply mara ya pili mkoa mwingine naambiwa Already applied
Kwa somo moja au una apply mara moja. Kwa unaweza omba kwa somo la pili
Kuna cheti cha chuo niliwahi kukiweka hakikuwa certified saiv naingia kwenye sehemu ya kuedit naweka ambacho kipo certified lakn hakibadiliki shida ni nini?
Angalia baada ya muda kupita
Kuaplod profile picture inagoma jaman inasema internal sever error
Subiri jatibu baada ya masaa kadhaa
Sehemu ya Verification Certificate unaweka nini?
Kwa mujibu wa muongozo. Hapo WANAJAZA wale waliosoma nje ya nchi ambao wanapewa verification certificate kulingana na level husika
@@ushindionlinesolution7804 shukrani
Kama umesahau password unafanyaje
Reset password Kisha unatumiwa ujumbe wa ku reset account kwenye email yako
Nisaidie number yako ya Whatsapp unapplie
Comment yako hapa au email yako tuchati