MZEE wa KILINGE: AFICHUA SIRI KUMBE ALIKUA ANAFANYA MCHEZO MCHAFU....

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @simonndunguru1629
    @simonndunguru1629 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nimekuelewa kweli Gamond alikuwa anaiangusha timu kwa tamaa Zake

    • @nyavunitv12
      @nyavunitv12  7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Duuuuuuhhhh

  • @zakayomoleli
    @zakayomoleli 19 วันที่ผ่านมา +1

    Sasa yanga ifutwe maana itakuwa inauwa watanzania hivi unazani Leo TU TANZANIA wamekufa watu wangapi ? Ifutwe watu wataisha maana Kuna watu yanga ndio dini Yao,yanga ndio wanaabudu,

    • @nyavunitv12
      @nyavunitv12  19 วันที่ผ่านมา

      Kwaiyo maoni yako yakoje Kwa Yanga?

    • @zakayomoleli
      @zakayomoleli 18 วันที่ผ่านมา

      @nyavunitv12 ninachokililia ni watanzania wenzangu wanapenda mpira kupindukia yanga ni zaidi ya MUNGU kwao ni zaidi ya baba na mama akifa baba au mama halii unamkuta amechangamka TU kama hakufiwa,yanga wakifungwa wanalilia sana wanazimia ambulance haziwatoshi wamepoteza fahamu,na faida ya kuiabudu yanga Hadi mtu anakufa ni ipi? Hakuna kabisa kabisa,na ujue huku duniani ktk mambo yote tunatafuta faida,kama simpati faida kwa kitu fulani kwanini nikitaabikie,atase napata Raha Leo nifurahi na kesho,kesho kutwa nife Raha hiyo ya siku mbili imenisaidia nini,Naomba serikali ifute yanga Ili watanzania wapo e

  • @MADAHAYOHANA
    @MADAHAYOHANA 20 วันที่ผ่านมา

    Yeee babaaah 😂 kesho magori tu ! Yanga 3-1 ibenge ! Kila la kher timu yetu pendwa ! Daima mbele nyuma mwiko !

    • @josephgalandu128
      @josephgalandu128 20 วันที่ผ่านมา

      Wamesahau Benchika kama hawajui vile

  • @AbubakarShaibu-m8w
    @AbubakarShaibu-m8w 20 วันที่ผ่านมา

    kilingenk😅😅😅

    • @nyavunitv12
      @nyavunitv12  20 วันที่ผ่านมา

      Kweli huakika Kaka?

    • @nyavunitv12
      @nyavunitv12  20 วันที่ผ่านมา

      KILINGE kaleta majibu

  • @AlfredBowa-b8r
    @AlfredBowa-b8r 20 วันที่ผ่านมา

    Umepotea mwamba hatukusikii ujawai poa nini

    • @nyavunitv12
      @nyavunitv12  20 วันที่ผ่านมา

      Nilipata ajali Ndugu yangu

    • @nyavunitv12
      @nyavunitv12  20 วันที่ผ่านมา

      @nyavunitv12 nimerudi tena

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 20 วันที่ผ่านมา

    Simba hakuna mpira zimebaki sharubu tuuuuu

    • @SadamSarita-t7z
      @SadamSarita-t7z 20 วันที่ผ่านมา

      Kwaiyo lig waongoza weww

    • @nyavunitv12
      @nyavunitv12  19 วันที่ผ่านมา

      Daaaaahhh

  • @rajabukitego1662
    @rajabukitego1662 20 วันที่ผ่านมา

    Wanaota,tabora,tatu,moja

    • @nyavunitv12
      @nyavunitv12  20 วันที่ผ่านมา

      Aaaaaaahhhhh