MARTIN LUTHER KING jr na SIMULIZI chungu ya MAISHA yake MPAKA KIFO. (SizPod 1 ep 10)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024
  • Martin Luther King Jr anajitofautisha na wanaharakati wengine wa Marekani kwa miaka hiyo kwa misimamo yake ya kadiri.
    hakuamini katika vurugu kwenye kudai haki, alihimiza usawa kwa namna ya amani kwa kadiri alivyoweza, hata hivyo haikuzuia chuki ya ubaguzi kushawishi wabaya wake kummiminia risasi na kupoteza maisha.
    kilichobaki kama kumbukumbu kumuhusu ni maadhimisho ya siku yake nchini marekani kila ikifika tarehe ya karibu na siku yake ya kuzaliwa 15 January na pia hotuba yake ya I HAVE A DREAM ni sehemu ya kumbukizi muhimu ya mwanaharakati huyo wa aina yake.
    #history #blackamerica #books

ความคิดเห็น •